Hongereni wapendwa... MUNGU awape hekima muendelee kumtumikia
@hosanastudioz8523 жыл бұрын
Muende mbali sana katika kutumikia BWANA bado tunakazi ya kufikisha injili mbali zaidi. Bwana awainue 😍
@i2manhamisi8813 жыл бұрын
My brother Joshua Jackson love you sana the best song for me now 👍👍👍💪
@mr.mabelelyaganda38473 жыл бұрын
... ntaimba sifa zake.. 🏇🏇
@deapakbigsmall59153 жыл бұрын
Mmeua Sanaa kazi ya Mungu imekuwa nzuri barikiweni sanaaaaa
@mboneajoshuamweta.37803 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana mbarikiwe sana wajoli wa Bwana.🙏🏿
@thesonoritysingers-tz56903 жыл бұрын
Bwana awabariki Sana. Echoes of victory
@mdautechnology91333 жыл бұрын
Nitaimba sifa zakoo🔥🔥🙌🙌
@Reginald74133 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi hadi kuifikia dunia yote
@hidayachaduo53563 жыл бұрын
Mungu alieianzisha kazi njema maishani mwetu,ataimaliza kwa utukufu wa Jina lake. Tuzidi kuimba na kumsifu Mungu wa mbinguni hata milele, Amina!
@pauljulius76153 жыл бұрын
Angel, Yvonne, Rachel, Naomi, Doda, Hidaya, Zephania, Wanjara, Irene., Germana.., Hakika Bwana ana Jeshi kubwa. Awabariki tuu muendelee kumtumikia.🙏🙏
@zephaniahamiri27303 жыл бұрын
Amen
@dodabwenya95943 жыл бұрын
Amina
@dodabwenya95943 жыл бұрын
Itoshe kusema kuwa nawapenda Sana isivoelezeka.
@theadventharmonytz53323 жыл бұрын
Good symphony is made here, mbarikiwe keep on moving brethren
@mwitamtanke63253 жыл бұрын
Moyo wangu wanyenyekezwa na nguvu zako Bwana .. haleluyaa mbarikiwe sana Echoes of victory 🙏🥰
@calebzseneda17773 жыл бұрын
I got the content,..... Ua so good 🙌
@prof.aquaponics39393 жыл бұрын
Mbarikiwe na Bwana Mungu azidi kuwatumia
@goodluckmapogo7583 жыл бұрын
May Almighty God duplicate Blessingz on your talent 👏👐👋
@mosesleonardo2653 жыл бұрын
WHAT A SONG!!! NITAIMBAA SIFA ZAKOOOOO!! MBARIKIWE MUNOOO!!!
@samwelmwazini3 жыл бұрын
Nice work guys, may God keep using you
@sarahsayi35423 жыл бұрын
Nimebarikiwa nanyi, mbarikiwe zaid,,,will be waiting for de other songs
@gideonlebabu3 жыл бұрын
Nitaimba sifa za Bwana milele Amina ...
@emanuelantoni68853 жыл бұрын
hongereni, mko vizuri. 🔥🔥🔥
@princeismailsnr2913 жыл бұрын
Teacher kama teacher!! Nakubali sana!! #vanza boy!!🙏🙏 Mbarikiwe sana
@alisonmbwana53553 жыл бұрын
Bwana awabariki ...naungana nanyi kuimba sifa milele zote
@ahadidenis88583 жыл бұрын
Barikiweni Watumishi wa Mungu
@yvonnedaniel99043 жыл бұрын
Hakika...Mungu atukuzwe sana kwa hii kazi.
@jacquelinebeatus72893 жыл бұрын
I see my bedoo Naom🥰stay blessed dea
@violethagalla98472 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana ninabarikiwa na nyimbo zenu
@benjaminharrison8403 жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa kazi hii nzuri...
@maxwellvangulinja3 жыл бұрын
God bless watumish wa Bwana.
@zephaniahamiri27303 жыл бұрын
Keep that fire burning
@joshuamaro96043 жыл бұрын
My mates Bro Manasseh, Ellen Wanjara and Elizabeth Kalinga I have seen you nimefurahi 😄😄God bless echoes of victory tz
@dotoemmanuel8533 жыл бұрын
😍Mungu awabariki hakika tunabarikiwa nanyi sana
@samwelsongora88173 жыл бұрын
Nimekubali mpo vzr✊
@allangunje25843 жыл бұрын
Nitaimba sifa Zako Bwana🎶🎵
@rashidlipoyola10963 жыл бұрын
Kaz nzuri👏🏻
@officialkadalatz.52433 жыл бұрын
Good &nicee
@menasmbinda47003 жыл бұрын
Hongereni sana kazi nzuri
@imimwazini3 жыл бұрын
Blessings over blessings🙌🙌
@mdautechnology91333 жыл бұрын
Ina sounds fresh sana
@rebecamaduhu21263 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na wimbo huu. Mungu aliye juu azidi kuwabariki.🙏
@lizzy_ways3 жыл бұрын
Amen mzidi kubarikiwa
@daudiedwardsayayi82613 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki na kuwainua zaidi
@dodabwenya95943 жыл бұрын
Amina
@maggiekenneth79893 жыл бұрын
MUNGU awabariki😍
@Boreshandotoyako3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana wajoli shaman mwa Bwana
@witnessjeremiah60763 жыл бұрын
Hallelujah Bwana Mbarikiwe sana kwa kazi njema .
@nurseellenyegela27103 жыл бұрын
Naomi na Davy🥰..... Mungu awabariki echoes of victory❤️❤️❤️
@sarahsayi35423 жыл бұрын
I was longing to hear dis song once again, since long ago federation jaman
@elisantemsafiri56943 жыл бұрын
Mbarikiwe sana. Kazi nzuri 🔥🔥
@mamuwamarlowmarlow12533 жыл бұрын
Twabarikiwaa Mungu awabarikiiii sanaa
@baseselesayi6483 жыл бұрын
Good work!!! May God bless you, much in your other works again!!!!
@theamontenor3 жыл бұрын
Ameeeen ... 🔥🔥🔥
@ntunganyenye93633 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@echoesofvictorytz96113 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watazamaji wetu hakika tunakila sababu za kuimba sifa za Mungu kwasabbu ametutendea mambo makubwa hatuwezi acha kuimba Ili na wengine wapate mbaraka huu share huu mbaraka hata kwa watu wengine asante EOVTZ
@haikakanza80973 жыл бұрын
Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏
@helenjames57233 жыл бұрын
Ellen wanjara, eliza kalinga, rebeca,naomy 🥰 happy to see you dear❤️mung awabariki mfike mbali zaidi😍
@danielmasunga40493 жыл бұрын
Ohh hallelujah 🙏 God bless The Echo of victory,,,🙏🙏🙏
@denisomuga94283 жыл бұрын
Amina
@malakilugatta1963 жыл бұрын
Good work Keep Going Echoes
@jisusimalale62883 жыл бұрын
Kaz nzur 👏👏👏👏👏
@kulwamayunga4183 жыл бұрын
Alto.....my admire👍👍👍 Be blessed for the great work..... your voices are healing the broken heart...😊
@salvatoryhimbo3532 жыл бұрын
MUNGU azidi kuwaonesha njia iletayo mwangaza katika kumtumikia yeye aliye mkuu... NAWAPENDA ECHOES
@mayenjajuma20683 жыл бұрын
Mwidete wetu
@zephaniahamiri27303 жыл бұрын
Thanks brother
@amasha84093 жыл бұрын
Mungu awabark
@benjaminsosiya78023 жыл бұрын
Granted my freends
@angelnyaki62953 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@mdautechnology91333 жыл бұрын
Nice song be blessed 😇🙏
@sylvestergodfrey58573 жыл бұрын
I can't stop watching this❤️❤️❤️🙏🙏🙏
@eliemoses1383 жыл бұрын
What a Cake... Be blessed Brethren
@officialvonalis36413 жыл бұрын
💘💘💘💘💘👏👏👏👏👏
@joshuahoseah15463 жыл бұрын
This song is amazing... God bless you ECVTZ...
@Kpmedics_healthcare3 жыл бұрын
Mko wapi...barikiwa sana
@echoesofvictorytz96113 жыл бұрын
Tupo SUA SDA CHURCH MOROGORO KARIBU SANA
@rachelmashimba Жыл бұрын
Kuna mdada humo sjui nampataje, nimempoteza mda mrefu
@YonaziElieskia7 ай бұрын
Saf sana
@ammyskills55883 жыл бұрын
🙏🙏
@petromasungu90722 жыл бұрын
Doda bana 🙄
@rosemarymeela45893 жыл бұрын
Mungu awabariki
@salvatoryhimbo3532 жыл бұрын
MUNGU azidi kuwaonesha njia iletayo mwangaza katika kumtumikia yeye aliye mkuu... NAWAPENDA ECHOES