Edward Snowden: Alivyoiba na kutoa SIRI nyeti na hatari za MAREKANI kisha kupewa hifadhi URUSI

  Рет қаралды 86,205

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

10 ай бұрын

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 133
@sospeterkedmonchitema
@sospeterkedmonchitema 4 ай бұрын
Sky worker big up brother
@zuberrymaabaddy5584
@zuberrymaabaddy5584 10 ай бұрын
Bro sky upo vizur sana
@danielpetrosa8026
@danielpetrosa8026 9 ай бұрын
Sauti ya dhahabu hii Sky. Hizi makala zinatujenga sana kiakili halafu na hii soundtrack ni ya kisomi sana mpaka raha.
@giant1779
@giant1779 10 ай бұрын
This guy is a national hero in most of us Americans PERIOD.
@YahayaShabani-ne5gd
@YahayaShabani-ne5gd 10 ай бұрын
Vp hapo chanika zingiziwa mvua inanyesha au
@sethny112
@sethny112 10 ай бұрын
As Tanzanian American, Snowden is a national traitor
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 9 ай бұрын
​@@YahayaShabani-ne5gd😂😂😂😂
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 6 ай бұрын
Nakukubali sana
@emmanuelkijika1966
@emmanuelkijika1966 10 ай бұрын
I remember this happened somewhere around 2013 and was hit story at that time
@mwami_the_don_
@mwami_the_don_ 10 ай бұрын
Nan Kama sky mungu akuweke brother una fanya ubongo wetu ipate afya ya akili na uwelewa
@frankvianey2438
@frankvianey2438 10 ай бұрын
Umetisha brother sky
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 10 ай бұрын
Sana. Lakini Verizon is pronounced Veraizon Whistle - Wiso (meza t) Sorry for that🙏🏽
@leylashelly4156
@leylashelly4156 10 ай бұрын
Hi Sky , am a big fan of Makala 360 en my dad as well Am requesting,is it possible for you to be giving us makala 360 weekly?
@colmanlesulie250
@colmanlesulie250 10 ай бұрын
I think daily
@trendingfootshorts
@trendingfootshorts 10 ай бұрын
Sky we ni genius
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 10 ай бұрын
Nakipenda hiki kipindi, 360 MAKALA 😘
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 10 ай бұрын
I was just watching his 3 years ago interview yesterday with jre
@tataztv9200
@tataztv9200 10 ай бұрын
Leo bro sky hatimaye kilio changu kmesikika thaks bro❤
@stephanomkumbwa162
@stephanomkumbwa162 10 ай бұрын
Sanaa kak😅
@tataztv9200
@tataztv9200 10 ай бұрын
@@stephanomkumbwa162 atr mzee mdau wa hii mmbo sana
@alphoncejohn6308
@alphoncejohn6308 10 ай бұрын
Nimekubali
@youngbona3804
@youngbona3804 10 ай бұрын
Documentary kali sanaa 🔥🔥🔥🔥🔥🤝👏👏👏
@denischengula5703
@denischengula5703 10 ай бұрын
Pu
@emmanuellewayo8854
@emmanuellewayo8854 10 ай бұрын
Nimeisubiri sana kaka
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 10 ай бұрын
Marekani ni wanyama
@hopechidera
@hopechidera 10 ай бұрын
Wanyama ni ww na kizazi chako chote...
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 10 ай бұрын
Good skay ,🇧🇮
@GiftFred-iq6qx
@GiftFred-iq6qx 10 ай бұрын
Naomba utuletee Thabiti mlangi mtaalamu wamikakati yakivita
@mfaumeally4476
@mfaumeally4476 10 ай бұрын
Sio yule wanamuita AYO kila siku ushubwada
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 10 ай бұрын
😂😂😂
@albertjoseph6848
@albertjoseph6848 9 ай бұрын
Brother umetishaa sanaa
@user-fk8jc3bz3r
@user-fk8jc3bz3r 5 ай бұрын
Mimi wakifatilia hitoria ya mtandaoni ninachogoogle wanaweza kucheka mpaka kufaa😂😂😂
@Saki930
@Saki930 8 ай бұрын
Anatisha sana
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 9 ай бұрын
Mashaallah
@Agath45
@Agath45 9 ай бұрын
Noma sana
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 10 ай бұрын
VERY NICE STORY. NICE NARRATION
@salumuseif3324
@salumuseif3324 8 ай бұрын
Noma
@fredmartin9633
@fredmartin9633 10 ай бұрын
Man sauti ni mukide for any documentary…🙌🏽
@rashidshaban2890
@rashidshaban2890 10 ай бұрын
this guy is genius
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 9 ай бұрын
Wow
@sulwajackson6906
@sulwajackson6906 10 ай бұрын
Asaxante kaka yangu nimekuta nikijua vingi kuptia vipndi vyako vizri,Mungu azidi kukutunza
@petronyereresaliboko4047
@petronyereresaliboko4047 5 ай бұрын
Imenikumbisha mbali sana
@user-nd1pu8wx7k
@user-nd1pu8wx7k 10 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@fatmakiraga4016
@fatmakiraga4016 9 ай бұрын
Let’s say for example Sina simu na Sina laptop Vipi watanifatilia 🤔
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 10 ай бұрын
Bado naendelea kuwa kumbusha hamakala fikirieni kuyakusanya sehemu moja Kisha muchapishe kitabu mukiuze kitabu kimoja 10000 , pia itapendeza cover ya kitabu 📚 iwe hiyo hiyo picha ya makala 360 , maana itafika kipindi teknolojia itabadilika huwenda mkaooteza hizi record lakini mkihifadhi kwenye kurasa itadumu , tafadhali fikirieni. Kwa kumalizia huyo jasusi yupo kwenye movie 🎥 au sires iitwayo. the black list
@magretangel5242
@magretangel5242 10 ай бұрын
Acha ushamba wewe siutengeneze vya kwako nyie ndio wale waafrika kila kitu mnauza ...njaa itakuua ww ..tumepewa Bure hapa ingekuwa ww na akili yako maji ungeuza ...Sasa chapa vya kwako acha ushamba sjui kabila gan ww.
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 10 ай бұрын
​​@@magretangel5242haya ndio madhara ya kupenda vitu vya bure bure , wewe unayependa vitu vya bure utasikiliza KZbin na Mimi ambaye nipo tayali kuwachangia SnS nitanunu. Alafu ukisikia marafiki mzigo ndio ndio wewe.
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 10 ай бұрын
​@@magretangel5242hhhhh babu umenimaliza bro 🇧🇮🇧🇮🖤
@bizzleadam9895
@bizzleadam9895 10 ай бұрын
@@magretangel5242 Ww pia kichwa yako haina kitu.....apa hujapewa buree bundle unalotumia ndyo PESA yenyew unayolipiaa..." imebadlika kutoka kwa karatas ya fedha mpaka kwa digital curency
@daprince7545
@daprince7545 10 ай бұрын
​@@magretangel5242yeye ametoa maoni tu, haina haja ukashifu mpaka kabila lake, kua na hekma soma comment yake vizur. Kuchapisha vitabu ni moja ya kukuza uchumi na kutoa ajira. Na serikali nayo itapata kipato chake apo kwa vitabu. Na pato ilo litakuja tena kwa wanaichi. Kuna barabara matibabu madawa shule na hali kadhalka
@dvjmiloow2955
@dvjmiloow2955 10 ай бұрын
Sky Napenda sana unavyo soma Story kwnye kipengele hiki, But ingpendeza zaidi kama Editor angekuwa ana changanya Picha kulingana na unacho kisoma.
@brunoh_bx
@brunoh_bx 10 ай бұрын
Kwelii👏👏
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 10 ай бұрын
Maelezo kwa hiyo sauti yanajitosheleza. Wengine husikiliza tu hiku tukifanya shughuli nyingi. Tafuta makala za KZbin utapata utakacho 👍🏽
@dvjmiloow2955
@dvjmiloow2955 10 ай бұрын
@@joycekisamo4896🙏🙏
@AlbertoOrlandolisboaLisb-re2sg
@AlbertoOrlandolisboaLisb-re2sg 10 ай бұрын
Asante
@ashrafukilete
@ashrafukilete 10 ай бұрын
🙌🔥🔥🎯
@geoffreyisaac3526
@geoffreyisaac3526 9 ай бұрын
Mbona hueleweki mala baada ya tukio la 2011 kajiunga na jeshi 2004
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 10 ай бұрын
Intelligence ya Hawa wamerekani ipo juu sana ndo maana wanaitawala Dunia kwa mda mrefu
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 10 ай бұрын
Watu gan urus au USA
@olomweneabongela1717
@olomweneabongela1717 10 ай бұрын
USA
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 10 ай бұрын
@@lameckraphael3743 America hapo hata Russia nae Kwa intelligentsia Yao ipo juu
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 10 ай бұрын
Hacha puuzi wewe anaye itawala dunia ni Mungu pekee!nyie binadam mnaangaika na dunia tuu
@fabianlaston5901
@fabianlaston5901 10 ай бұрын
Acha uongo wewe anayeitawala Duncan ni shetani na sio MUNGU
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 10 ай бұрын
Hakuwafikiria ndugu zake.Sasa anawamiss anataka kurudi..Hapo ndo ujue msemo wa nyumbani ni nyumbani
@Kuanimdogo
@Kuanimdogo 10 ай бұрын
Fungua the story book kaka
@elmereckbet4510
@elmereckbet4510 10 ай бұрын
SKY WORKER 🔥🔥🔥
@mfaumeally4476
@mfaumeally4476 10 ай бұрын
Wakwanza
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 10 ай бұрын
Usije kuta pengine huyo Snowden ni double Agent
@danvannyzawad6452
@danvannyzawad6452 9 ай бұрын
Duu atari sana
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 10 ай бұрын
Urusi wasidhani wamarekani wamepigwa ,ukute ni mbinu zao wamefanya ili snowden akaichunguze urusi kwa ukaribu zaidi,mzungu ana akili sana ukizingatia huyo jamaa ni very smart .urusi ameliwa hapo
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 10 ай бұрын
Ayuko huru kiasi kwamba anaweza kufanya jambo tofauti wakonae makini sana
@owenmutale8686
@owenmutale8686 10 ай бұрын
Unazan urusi hawana akili km wewe tahira?
@msodokidasilva6739
@msodokidasilva6739 10 ай бұрын
​@@owenmutale8686😂😂😂😂
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu 10 ай бұрын
Kakwambia nani marekani pekee ndo mzungu.
@sajojunior9479
@sajojunior9479 10 ай бұрын
Na pia inaezekana ni mrusi akapandikizwa america
@ramaccr7525
@ramaccr7525 10 ай бұрын
🙏🙏
@user-ui7lb5yc2l
@user-ui7lb5yc2l 8 ай бұрын
Tofauti kati ya Zionists and Jewish ni ipi !?
@showejikinjekitile5942
@showejikinjekitile5942 10 ай бұрын
Amr sio nchi
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 10 ай бұрын
Wazungu si wanawaletea 5G Tunachekelea 😂 Mzungu Sio Auntie Akoo Weeeh angalia Simu Yako Inao Mic Mbili juu na Chin, Battery n ndan kwa ndan Owky Amna Shida
@KingRomyJay
@KingRomyJay 10 ай бұрын
uyo msaliti ni wa kunyonya adi kufa yan kama angekuwa north Korea tungesha msahau kitambo sana
@deomloka683
@deomloka683 10 ай бұрын
👍👍👍
@alikhamis633
@alikhamis633 10 ай бұрын
🔥
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 10 ай бұрын
Shujaaa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 10 ай бұрын
👍👊✌️.
@NishimweJohn
@NishimweJohn 10 ай бұрын
🤛
@dannywillson5874
@dannywillson5874 9 ай бұрын
Kwa Putin wenda alisema
@paulinekamau9633
@paulinekamau9633 10 ай бұрын
Russia will eff him up at some point
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii 10 ай бұрын
Shujaa katufumbua macho
@josepheriah5977
@josepheriah5977 10 ай бұрын
Wanauuaaa
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 10 ай бұрын
Anarud marekan kufanya nn tena asiokaazake urusi akala bata
@salimalharrasi3943
@salimalharrasi3943 10 ай бұрын
HAKUNA MKATE MGUMU KWENE CHAI
@user-iu5lf3db4k
@user-iu5lf3db4k 10 ай бұрын
Putin anamtumia vip snowden? Russia wanaishi katika mistari ya snowden? Russia inamfaa snowden?
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 10 ай бұрын
Kwisha habari mambo mengi ya siri sana yalifichuliwa ikiwemo uongo uhusuo Osama Bin Laden kwamba yupo hai ni janja janja tu Marekani
@Anotisam123wurjf
@Anotisam123wurjf 10 ай бұрын
Sky tufanyie documentary ya kanyé west please
@DamasEmanuel-gw7lj
@DamasEmanuel-gw7lj 10 ай бұрын
Msailiti na mjinga
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 10 ай бұрын
Urusi waangalie isijekuwa ni mbinu za wamarekani,???
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 10 ай бұрын
Tena wawe makini nae sana huyo jamaa 😅wanaweza kuhisi wamepata kumbe wanachorwa
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 10 ай бұрын
Geofrey umeona eeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa sababu Kwa akili za kawaida tuu ,haiwezekani mtu kuharibu kazi tena anajua kabisa kuwa ni HATARI Kwa usalama wake Kwa kufanya hivyo na Hana kichaaa chochote mhhh.
@fistonmichel1502
@fistonmichel1502 10 ай бұрын
muko nakawiya sana kwakuandaa nivema mufanye basi ata kwa wiki tuwe napata vidéo moja moja kwa wiki
@PalomaMshana
@PalomaMshana Ай бұрын
He is Gemini 😂😂 so oh yeah
@davidkamando9630
@davidkamando9630 10 ай бұрын
Kiukweli, jinsi tunavyo zidi kutumia technologia hasa kuingia kwenye internet, social media sijui smartphone... Tunazidi kujiweka hatarini... BASI tu huu ukweli watu mnapingaga tu... Eti mnatafuta hela online... Haya bana..
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 10 ай бұрын
Ana akilii sana kuka kujiunga na urusi maana sidhani nao kama wange muamini
@BGHaule
@BGHaule 10 ай бұрын
Lingekuwa Kosa kubwa ambalo lingeweza kugharimu uhai wake,ni afadhali alikataa hiyo ofa
@ashleekingashleeking1553
@ashleekingashleeking1553 9 ай бұрын
d
@kijazi6506
@kijazi6506 10 ай бұрын
traitor with in...
@sonnyr1899
@sonnyr1899 10 ай бұрын
Hapa ndio utajuwa kuwa demokrasia ni kiini macho kudadadeki
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 10 ай бұрын
Ukiskiliza hii makala kwa umqkini na ukafatilia story ya snowden utaelewa tu kwamba huo ni mpango wa marekani ,jamaa katumwa kazi urusi😅
@Adamchestemuzaahim
@Adamchestemuzaahim 10 ай бұрын
Unafikiri urusi pia imeka kimandazi?😂😂😂😂
@ashirafubesta1018
@ashirafubesta1018 10 ай бұрын
Uitambui vzr urus ww
@paulntalima6998
@paulntalima6998 10 ай бұрын
Sns n online media bora kwa sasa kuliko @Milardayo
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu 10 ай бұрын
Ujaambiwa utoe maoni ipi mbaya ipi nzuri woiii😏
@deejayvlctz
@deejayvlctz 10 ай бұрын
Kuwa mzalendo usipendee uchonganishi. Zote ni media zetu zinazotupa habari.
@user-gw5sl8tx5w
@user-gw5sl8tx5w 10 ай бұрын
Ubongo wa mende
@Gijantv
@Gijantv 10 ай бұрын
Da mko slow sana stori ya mababu uko mnatoa leo😀
@CoeusUranus
@CoeusUranus 10 ай бұрын
@TikTok_afro Akili yako ndo ipo slow..Sasa si Kungekuwa hakuna haja ya watu kusoma au kujifunza historia ya mambo kadha wa kadha ya nyakati za nyuma. Sasa wewe umekujaje ku komment kama umeona historia ya Snowden ni ya toka mababu..Unajifanya unajuaa huenda leo ndo umeenza kuisikia na nauhakika umesikiliza mpaka mwisho..😅😅 NDEZI kweli wewe..
@moseskulola6913
@moseskulola6913 10 ай бұрын
Noma
@fredmartin9633
@fredmartin9633 10 ай бұрын
Man sauti ni mukide for any documentary…🙌🏽
Inside Mark Zuckerberg's AI Era | The Circuit
24:02
Bloomberg Originals
Рет қаралды 1,1 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Edward Snowden: How Your Cell Phone Spies on You
24:16
JRE Clips
Рет қаралды 18 МЛН
From $42 Billion to $0 - How Anil Ambani Lost All His Money
23:56
AI is a Bigger THREAT Than Nuclear Weapons | Mo Gawdat
1:11:07
Rob Moore
Рет қаралды 117 М.
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 87 М.