KIFO cha MAUMIVU cha OTTO WARMBIER Mmarekani aliyeponzwa na WIZI, alichofanyiwa utaiogopa KOREA (N)

  Рет қаралды 57,347

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Пікірлер: 138
@abdornephotidas3848
@abdornephotidas3848 Жыл бұрын
Ninachojifunza hapa, nchini kama marekani inajali watu wake haijalishii popote walipo duniani...
@victorvancharlz9125
@victorvancharlz9125 Жыл бұрын
Unapoenda nchi za watu fuata mashart ya nchi husika. Acha kuleta uhuni na mzaha kwenye nchi za watu kwa kuhisi nchi yako ni bora sana kuliko nchi ulipo
@shaibumkullu4478
@shaibumkullu4478 Жыл бұрын
Hizi makala nazielewaga sana dadeq🤝
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Subhannallah, walimpa sumu ya kumuua Pole pole au walimtesa.
@deusraphael2954
@deusraphael2954 Жыл бұрын
Yaan habari inavosimuliwa unalazmika kuisikiliza hata kama haina impact ya moja kwa moja na maisha binafsi. Keep it skywalker
@mariamjoseph3530
@mariamjoseph3530 Жыл бұрын
Nipo kwenye basi nainjoy kusikiliza hii sauti ya Mume wa mama Cameroon,,,i love this voice sichoki kuisikiliza
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Napendaga sana simulizi zako.
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Oooh Jamaaanii he was very young wangemsamee tu😢 Inalilahi Wainailahi Rajeehun. Sky asante 360🔥
@erastongussa2334
@erastongussa2334 Жыл бұрын
young and stupid , hayo ndio matokeo yake. ujuaji mwingi.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
360 ni 🔥🔥🔥
@petertino-rp4ks
@petertino-rp4ks Жыл бұрын
On top🎉
@cicihammy6976
@cicihammy6976 Жыл бұрын
Hawa wazungu wanapenda sana kuvunja sheria hata nchini mwao! Kwa nchi kama Korea Kaskazini lazima wakupe kibano maana wanakuona kama spy
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Wanajiona ndo wenye dunia
@happynelson1136
@happynelson1136 Жыл бұрын
Tatizo alilofanya ni kutoa bango kwenye nchi yenye sheria kali la sivyo hayo yote yasingetokea
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
I will never forget this I seen on the NBC 😢😢😢 I were pregnant with my first child.
@peninacharles9757
@peninacharles9757 Жыл бұрын
Kerea Ni nomaa
@K25795
@K25795 Жыл бұрын
MAKALA 360 NA SKY NI KIPINDI NUMBER MOJA KWA SASA BONGO BORA SANA YA SIMULIZI ANAONGEA KIIIUFAZWAHA SIO KMA SIMULIZI ZAWENGINE SINAZOJAWA NA UZUSHII BIG UP SANA MWAMBA NAPENDA SNA KWA KAZI UNAYO IFANYA 🔥👏
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Bundala napenda sana ukiwa unahadisia
@CollinMixon
@CollinMixon Жыл бұрын
Very Sad😢
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Жыл бұрын
Daah bango tu limemtoa uhai
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Msimamo wao ni mzuri ndo maana hawapelekewi ujinga na wazungu
@Trys6254
@Trys6254 Жыл бұрын
noma sana aseeee ni fire
@veraisaria
@veraisaria Жыл бұрын
Simulizi na sky ni fire!!
@fatmadamasi6880
@fatmadamasi6880 Жыл бұрын
Nimejifunza kuwa lazima tuwe watu wazuri tuache tamaa asingeiba yasingemkuta pole Yao wazazi inasikitisha
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
Especially inchi za watu
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Жыл бұрын
Ina Uma Sana kama mzazi kweli
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Yaan bundala nataman uwe unatoa hadith kila sekunde na sisi tutasapot brooo
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd Жыл бұрын
North korea forever yeyote yule atakaye vunja sharia lazima ahadhibiwe
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Sad indeed; young and curious...alitaka memento au souvenir from North Korea, big miscalculation. Alikua mdogo sana and brilliant, hivyo inakua ngumu kujadiliana na vijana wa umri huo! Atakua ameteswa huko jela na bila hata ya viongozi wa juu kujua. Kama meno yalikua yamelegea, basi atakua amepata kipigo cha kuharibu ubongo...very sad indeed, and nothing can be done to NK as it's a nuclear time bomb by itself... 💣 Dunia inaiogopa sana hiyo nchi sababu hawajali and have nothing to loose. What untimely death 😔 😠 😡
@sandromiyad8855
@sandromiyad8855 Жыл бұрын
Nakufwata ana kwa ana kutoka komoro 🇰🇲🇰🇲 big up sn sky
@nibogorabella5804
@nibogorabella5804 Жыл бұрын
Niatari
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 Жыл бұрын
Asnte kwa makala hii. Post-mortem report, najua 🇺🇸 USA wapo number one, lakini itabidi tuheshim Dr 👨‍⚕️ alifanya post-mortem. ?? Botulinum not discussed!
@zachariamwita3926
@zachariamwita3926 Жыл бұрын
Alifanya Kama Wanavyo Jichukulia Vitu Hapa AFRICA Otherwise Pole sana Dunia Chungu Sana
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official Жыл бұрын
Nchi mbaya sana jamani hii stay inaumiza sana,kama urusi wanavofanya watu ukienda kusoma huko naukawa nahakiri sana lazima wakufanyia mambo mabaya
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 11 ай бұрын
Hakuna nchi mbaya unachotakiwa ni ufate sheria za nchi husika
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 Жыл бұрын
Duh 😢😢😢😢😢 tutulie tu kwenye nchi zetu.
@gooddeeds162
@gooddeeds162 Жыл бұрын
😂
@shamyally9874
@shamyally9874 8 ай бұрын
Kbx kwa watu kubaya sana
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Raia wa Marekani na Korea Kusini ni kama moto kwa nchi Korea Kaskazini
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 Жыл бұрын
Hiyo wala sio nchii ya kuisogelea wallahi
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Nawakubari makala yanu🙏🇹🇿🇬🇷
@susankitila2898
@susankitila2898 Жыл бұрын
7:09
@martingeorgenzali5614
@martingeorgenzali5614 Жыл бұрын
Naipenda Xana 3600
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Dah😢
@peaceking7241
@peaceking7241 Жыл бұрын
iyo nchi mfanowakuigwa
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Жыл бұрын
Mmmh usichezee Wala chura hawaelewi kitu duh hatar
@gseventz4663
@gseventz4663 Жыл бұрын
Wapili leo
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Bro unaelezea vizuri mno yaani hata kama unatuongopea basi uongo umesimama wima kama nyeti za tumbili yaani tunakuelewa vizuri sana na tunapata utulivu mno kwenye kukusikiliza…😂
@georgemhalla8853
@georgemhalla8853 Жыл бұрын
Haaaàaaaaaa
@danieellaura1588
@danieellaura1588 Жыл бұрын
Ni kweli hii stori
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
@tecratzmwakyambomwakyambo7243 Жыл бұрын
Sanaa yaani unainjoy tu
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Жыл бұрын
😢
@aishamatangamatangamatanga1344
@aishamatangamatangamatanga1344 Жыл бұрын
Daaah 😢😢😢
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
Ile nchi inavyotisha kwa masimulizi tu,watu wanapata wapi ujasiri wa kwenda NK????
@jeremialyati6092
@jeremialyati6092 Жыл бұрын
Fifth comments 🔥🔥🔥
@alainkubwimana5061
@alainkubwimana5061 Жыл бұрын
Nawapenda sana makala haya napenda yawe muda kwamuda
@modycadabra8721
@modycadabra8721 Жыл бұрын
The sky walker on duty
@ayshaamour9950
@ayshaamour9950 Жыл бұрын
Huzuni tu😢
@nadhifahassan3791
@nadhifahassan3791 Жыл бұрын
😢😢😢😢
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Жыл бұрын
Daah inasikitsha
@LevinaMichael-oy8cu
@LevinaMichael-oy8cu Жыл бұрын
Mmmmh Bora nibaki nyumbani niwe naona magorofa kwenye tv
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
😅😅Kwan unaishi nchi gani? Isiyokuwa na maghorofa, Ikienda nchi za watu ni kuwa tu mpole na kushika kilichokupeleka Zaidi ya hapo yatakukuta tu
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
💔💔💔
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay Жыл бұрын
walimpiga sindano huyo ili hasiende simulia kilichomkuta ndani! Husicheze na hawa jamaa wasiokuwa na dini!
@simonitolya8029
@simonitolya8029 3 ай бұрын
No,alifanya kitu kisichotakiwa sabab sio kitu kilichompeleka,alikosea pia
@ndrwdotts4347
@ndrwdotts4347 Жыл бұрын
Kama umekaa kaa kuvunja sheria usiende north korea
@edithajohn9600
@edithajohn9600 Жыл бұрын
Ila wakorea wanaroho mbaya
@ayk20
@ayk20 14 күн бұрын
Ndo maana husikii itikadi za kishoga,ndoa za jinsia moja na madawa ya kulevya
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️🙏
@blackhunter161
@blackhunter161 Жыл бұрын
vp marekani hakurespond kwa lolote lile
@jacklinemolleli5238
@jacklinemolleli5238 Жыл бұрын
Walizuia meli ya korea kaskazin wakaiuza dolla m500. Wakaipeleka kwa wazazi wa otto kama compensation
@yusterjohn3296
@yusterjohn3296 Жыл бұрын
Wachina watakuwa walimwekea kitu mwilini ili afe
@abdullymajid5073
@abdullymajid5073 Жыл бұрын
Nime penda kwa message yako cyo saw kwa ukatili kama uwi dah
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 Жыл бұрын
Dogo ujuaji ulimponza kudadadek vijana punguzeni majasho
@victormneney1307
@victormneney1307 Жыл бұрын
Hao askari wa NK wamechoka huenda hawali rushwa wala posho Ningekuwa NK hapo nikosa kukosoa Afya ya Askari Hii nchi inaongozwa na Belzebull Kwenye Bible kuna Nebukadrzza sishangai ila ufalme kama huo hau dumu cheki Julias kaiser mfalme Gogu wa bashan Mfalme Nimrod Nirou Farao nk
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita Жыл бұрын
Nina swali, @sky wewe unaweza kupeleka familia yako kutalii kwenye hiyo nchi? 😂 Mtazamo wangu ni kwamba demokrasia idumu milele - uwazi na uhuru ndo maisha ❤ na pia muwe mnasikiliza ushauri waswahili wanasema asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Ni huzuni kwakweli ila pengine yote yasingetokea labda angesikiliza ushauri wa US dept state.
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
duuh😢mung wang
@prospermbwambo2265
@prospermbwambo2265 Жыл бұрын
Simuliz nawakubali sana kama navomkubali diamond plutnimz
@eddiemay547
@eddiemay547 5 ай бұрын
Korea hamuamini mtu hasa mgeni mmarekani ukifanya kosa lazima wakuuwe
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Aiseee walimnyoosha vibaya mno nilikuepo
@GracieTyno
@GracieTyno Жыл бұрын
😂😂😂😂
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
😂😂
@lisaadolf2519
@lisaadolf2519 Жыл бұрын
Kijana unakitu utafika mbali😂😂
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu Жыл бұрын
Sinto muito nem para ir la nao quero.
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Kwa nini watu wanaenda korea kaskazini kwenye sheria kali nchi zenye sheria kali mimi siwezi kwenda wala siwezi kuishi huko
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Жыл бұрын
wewee🤣🤣🤣🤣🤣
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 11 ай бұрын
Hutaweza cos waafrica ni watu wa mzaa mzaa kila mahali hadi kwenye mapenz
@soundmale
@soundmale 3 ай бұрын
Alijikuta jeuri sana 🧐😁
@LuuKulaya-wi7uj
@LuuKulaya-wi7uj 10 ай бұрын
Nimelia San
@suleimanmselemsuleiman935
@suleimanmselemsuleiman935 2 ай бұрын
Mwana kulitafuta mwana kulipata.
@mscantraah8210
@mscantraah8210 Жыл бұрын
🤔🤔🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙏🏻🙏🏻😔😔
@hamisimlonga6127
@hamisimlonga6127 9 ай бұрын
kwetu mwizi tunamchoma moto hao walimuhurumia sanaaa
@luckyhardson18
@luckyhardson18 Жыл бұрын
Korea usikanyage hata sisismizi......... Huko ndo kwenyewe ndo maana wazungu hawapawezi wanakuja kutuonea sisi huku afrika.
@johnjulius6619
@johnjulius6619 Жыл бұрын
Korea Kaskazini sio nchi ya kibabe, bali ni nchi inayofuata utaratibu wa sheria waliojiwekea. Hatujazoea utaratibu kama huu ndio maana tunashangaa.
@sayshabani6350
@sayshabani6350 Жыл бұрын
Kabisa nchi zote tulitakiw kuishi kw mishingi na sheria za nchi ze2
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 4 ай бұрын
Walimchekecha🙄🙄
@zaujatnoah-ro6uj
@zaujatnoah-ro6uj 11 ай бұрын
Mbona sauti yako inakata kata
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Sasa Kumbe Alifanya Makosa Akiwa Anajua Shelia Za Nchi Iyo Tena Anatokea Taifa Kubwa Duniani Alistahili Jambo Ilo
@LuuKulaya-wi7uj
@LuuKulaya-wi7uj 10 ай бұрын
Ata nipate pesa mpak nibinuke sitokaa nikanyage iyo nchi aki ,rais wao mwenyew anatisha
@user-gbbentertainment
@user-gbbentertainment 4 ай бұрын
Mtoto akililia wembe mpatie
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Alilitafuta mwenyewe
@kelvincharles2247
@kelvincharles2247 Жыл бұрын
NI US STATES OF DEPARTMENT SYO US STATES DEPARTMENT COME ON MAN
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Жыл бұрын
hawa jamaa wana adhabu za kijasusi wanakutesa na vipimo vinashindwa kuthibitisha
@mylasadick5189
@mylasadick5189 Жыл бұрын
Kwaio wafanyakazi wa iyo hotel ni Ma Spy
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Propaganda za wazungu kuitangaza vibaya korea kaskazini mbona wapo wengi wazungu wanatembelea ukikiuka sheria utaazibiwa kimujibu wa sheria
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hao jamaa sijui wamerogwa nini yaani mtu mmoja tu anawaburuza atakavyo
@khadijazungu8627
@khadijazungu8627 Жыл бұрын
HIVYO USHAONA MAREKANI INAVYOBURUZA RAIA WAKE NA HIO BASI NDIO NCHI SALAMA KWA SASA KWENDA KUISHI MAANA HATA MAMBO YA USHOGA HUTOYAKUTA 😊😊😊 FUNUWA UBONGO
@missp1814
@missp1814 Жыл бұрын
Duh inasikitisha mno...ila marekani ndo wajifunze kuwa na adabu..pengine alifanya kama mzaha tu ila upande mwingine wanaona kama dharau ukizingatia history za hizo nchi lazima wakushikishe adabu
@israelmwasenga9288
@israelmwasenga9288 Жыл бұрын
Itakua alijisahau akahisi north korea kama marekani ambako wana uhuru kupitiliza
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official Жыл бұрын
Please sky tunaomba maelezo kidogo ya kifo cha Muigizaji wa Nigeria 🇳🇬 kimetokana nanini make tikitok ndo story lakini mimi huwa nakuamini wewe pekee kuanzia hasubuhi nachungulia kama umetuwekea nakuta bado Please musahada
@chainbre275
@chainbre275 Жыл бұрын
Ni mtoto wa muigizaji aliye agaa
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Жыл бұрын
Mkuki kwa Nguruwe police wa Kizungu wanawauwa Blacks American kila kukicha na hakuna hatua yeyote zinazochukuliwa
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Kuwa binadamu basi
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd Жыл бұрын
Kikawaida ukivunja sharia lazima uhadhibiwe kwahilo nina wapongeza north korea
@samirajohn6938
@samirajohn6938 Жыл бұрын
Acha kupongeza ujinga wewe walichofanya Korea niukiukaji wa haki za binadamu wanatakiwa walipe walicho kifanya
@dj26number2
@dj26number2 Жыл бұрын
Kaka bundala msiwe mnakandamiza upande mmojatu kwenye habari !!!!! Funzo apo nikueshimu tamaduni na sheria za watu au nchii zawengine....mbona wenzake walirudi salama? Yeye uyo oto alizingua akazinguliwa📌🤣🤣 F**k 🇺🇸
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Жыл бұрын
Jamaa cio wabaya hawataki nchi yao idharauliwe
@amawanda3082
@amawanda3082 Жыл бұрын
Wew ni mbaya c wao
@geraldmbiyu6059
@geraldmbiyu6059 Жыл бұрын
Sio utawala wa kibabe
@johnhanga-dp9ck
@johnhanga-dp9ck Жыл бұрын
Tena akakiri makosa kvp?alizingua sana
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 Жыл бұрын
Really? ndo maana hawa watu wanatuona Africa kama choo, hivi hatuna habari kama hizi africa kweli? Msinitukane, Tuna mabilioni Yamepotea kutoka kwenye taarifa ya CAG, Kweli channels zina muda wa Kupoteza kujadili wengine zaidi ya kujadili taarifa ya CAG? KWELI PUMBA SANA WAANDISHI WETU
@rahmaidd1246
@rahmaidd1246 Жыл бұрын
Andaa Chanel yako uongelee maswala hayo usiwapangie watu cha kuzungumza ktk chanel yao kama huwez unsubscribe
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 Жыл бұрын
@@rahmaidd1246 Ndo maana mnabakia kufuata mkumbo tu, khaaa kweli kazi tunayo kwa mijitu kama nyie
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Жыл бұрын
Nenda CHANEL TEN, au ITV, hizo ndio Chanel za hayo mambo ya selikali na siasa hapa sio pahali Pake hayo mambo yako, alafu pia jifunze kua na utu heshima na hekima, hizo coments zako, zinavunja heshima kwa, watu wenye umri mkubwa zaidi ya wazee wako na, wenye hadhi ya ubinaadamu kuliko, huko kwenye UKOO wako, ndugu yetu heshima na hekima haviuzwi dukani, ni bure kabisaa, ila ÁFRICA wengi wetu hivi vitu kwenye família yani wazazi, hisia zangu zinaniambia , kwenye família yako mmekosa hivi vitu, acha ujinga hii, SNS ya, MTU binafsi, sio ya selikali na sio ya siasa, tumia 🧠 kufikiri.
@bakarinangulukuta1507
@bakarinangulukuta1507 Жыл бұрын
Brother, tunajua una uchungu na yaliyotajwa kwenye ripot ya CAG lakin hilo halitengui umuhimu wa kujifunza mambo mengine yanayoendelea ulimwenguni. Masimulizi haya ni funzo kubwa kwetu kwa sb kuna nyakati ambazo askari wetu wanapelekwa Korea kupata mafunzo hivyo itawasaidia sana namna ya kuishi huko
@erycah
@erycah Жыл бұрын
Wataongelea mambo ya CAG Kila siku? Kila mwandishi KZbin ana uhuru wakupost anachotaka yeye. Wacha tunaopenda content za sky tumsikilize sky wewe katafute mwandishi anaongelea mambo unayoyataka na sio kuwatukana wenzako. Au la fungua wewe Chanel yako uongelee hayo mambo hakuna anayokuzua
@muhammedomaryshembilu8539
@muhammedomaryshembilu8539 7 ай бұрын
😢
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Alilitafuta mwenyewe
@issamnada8210
@issamnada8210 Жыл бұрын
Hao hawataki utan na mmarekani kivyovyote
Why McDonald’s, Apple and Other U.S. Brands Are Losing in China | WSJ
6:21
The Wall Street Journal
Рет қаралды 681 М.
Did Modi really kill black money in India? : Economic case study
27:40
Think School
Рет қаралды 1,2 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 115 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 55 МЛН