🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 7 SIMULIZI YA SARA - JUNE 3

  Рет қаралды 9,403

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

Ай бұрын

🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 7 SIMULIZI YA SARA - JUNE 3
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:

Пікірлер: 59
@Deedlr4767
@Deedlr4767 Ай бұрын
Safi sana umetapeliwa umetia adabu mbishi sn wew dada
@sirajshelali6209
@sirajshelali6209 Ай бұрын
Na uanze kuwalipa wanaoleta story zao maana unachezesha kamari sana yaani umekuwa mkamaria kwelikweli!
@fatumayusufu2924
@fatumayusufu2924 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Ай бұрын
Dada vero hii simulizi itaisha kweli maana naona upo bize sana na hiyo michezo ya vuna hadi simulizi inakatishwa tu navumilia sababu napenda simulizi aiseeee
@user-bv3fy4fh5s
@user-bv3fy4fh5s Ай бұрын
Jamani hii simulizi inaumiza kwa kweli. Yaani binadamu wamekua na roho mbaya zaidi hata ya shetani daahhh😭😭
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f Ай бұрын
😭😭😭 Dunia siyo mbaya Binadamu ndiyo wabaya
@HelenaMasele-ug3hi
@HelenaMasele-ug3hi Ай бұрын
Asante kwa elimu nimejifunza mengi
@tunkuh661
@tunkuh661 Ай бұрын
Kuna binti natamaani asikie hii simulizi, ana ukwasi wa kutosha na PhD juu but kashikwa akili na watumishi wakola wa aina hii katengana na nduguze na wazazi wake eti wachawi yaani elimu haijamsaidia kupambanua mambo😢 Binafsi siamini km huyu mtumishi anatumiwa na Mungu huyu ninayemjua atakuwa na miungu mingine inayomuwezesha kufanya miujiza ya kuaminika. Ndio maana tukaaswa tuchunguze kila jambo si yote ni ya Mungu.....😢
@joycemmari5843
@joycemmari5843 Ай бұрын
Wale mliokua mnaomba no ya mtumishi ninayo😅😅😅
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly Ай бұрын
😂😂😂
@GloriaDon-dp9xg
@GloriaDon-dp9xg Ай бұрын
😂😂
@user-ct8om8jw3l
@user-ct8om8jw3l Ай бұрын
Naomba bas uwape
@maryammaryam444
@maryammaryam444 Ай бұрын
😂😂😂 wape
@bintimrope
@bintimrope Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@anyangograce1465
@anyangograce1465 Ай бұрын
Dah! nimejifunza sn ktk hili watumishi wanaogopesha sn jmn uyu dada mt.mbaya sn Mungu amlani kabisa jn
@sweetlady-xs5vo
@sweetlady-xs5vo Ай бұрын
Sarah.... Jamani . Mungu akutie nguvu
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k Ай бұрын
SARAH USINGEMUULIZA YANI UNGEMFATA UKO UKO KWAKE MCH FEKI HUYOOO
@mozasalim7725
@mozasalim7725 Ай бұрын
Sara mwehu Hapo ungekaa ukatulia ungemkamata vizuri
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 Ай бұрын
Yaan Sarah jaman duuu skio la kufa haliskii dawa😂😂
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
Aisee pole sana sara mambo ayo yapo sana
@AbediHanzuruni
@AbediHanzuruni Ай бұрын
Kila siku nawambiahizi kapisa na misikiti imekuja kutupeleka pabaya sababu hawa waliotuletea hit elimu walikuja kwa marengo ya wizi: wazungu na warabu
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Ай бұрын
Mmmmmh hatari pole sana sara
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 Ай бұрын
Yaaani yule mwanamke aliyempeleka Sarah kwenye MAOMBI ndo mbaya aliujua mchongo wote.., na Hy ndo kazi yao.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
Nikweli hata mimi naamini hivo
@dorisjulius2630
@dorisjulius2630 Ай бұрын
Daah nimeumia sana binadamu kazi
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo Ай бұрын
Hi inatukumbusha usimwamini usiye mjua Ila salh pole San man umepitia mitihni mingi😢😢
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 Ай бұрын
Daaaah c kila mtu au mtumishi wa kumuamini
@DixonCassian-ey2ll
@DixonCassian-ey2ll Ай бұрын
kwenye kutapeliwa kiwanja ayo ni makosa kibinadamu siwez kumlaumu bibie sara, ila kukopa M80 na kumpa huyo mpuuzi kudadeki apo alifungwa kiakili nadhani She was brainwashed yani hakuwa na ufahamu wa kawaida wakati anatoa iyo ela kabisa yani
@dotoomary6889
@dotoomary6889 Ай бұрын
Sehem ya mwish mbona siion
@user-kl6zb6so3i
@user-kl6zb6so3i Ай бұрын
Hawa ndo watumishi wa siku za mwisho.
@JohnB-ws3ib
@JohnB-ws3ib Ай бұрын
Vero nimechokaa kucheza si shindiii tyu
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f Ай бұрын
Yaani hizi ni kama kamali tuu tunacheza wengiii wakupata ni wachache sn tuendelee kupambana
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Ай бұрын
Jamani Sarah ndio umekwisha tapeliwa 🇰🇪
@beatricemganga8285
@beatricemganga8285 Ай бұрын
kwa wale wanahitaji no ya ntumishi nipo nayo ninae
@GloryKiongos
@GloryKiongos Ай бұрын
😅😅😅😅
@lydiajuma01
@lydiajuma01 Ай бұрын
Huyo alikiwa si ktumishi huyo ni mchawi
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Ай бұрын
Kweli kbs alikuwa mchawi
@sirajshelali6209
@sirajshelali6209 Ай бұрын
Umeanza kuwa muongo da vero, ijumaa tunaimaliza leo! J’tatu pia tunaikamilisha leo! Upo busy kweli na kuchezesha kamari! Utafika mbinguni umechoka sana.
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 Ай бұрын
Ss uongo wake ni upi jamanii
@aminakipande5645
@aminakipande5645 Ай бұрын
😂😂😂
@sirajshelali6209
@sirajshelali6209 Ай бұрын
@@winfridakaaya2758 ww humskii anasema kila siku leo tunakamilisha! Ni Mara ya ngap ameshasema hivyo?
@thuwaybarajab6099
@thuwaybarajab6099 Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@mariamlote2183
@mariamlote2183 Ай бұрын
😅😅😅😅
@user-nn5lv6nb6i
@user-nn5lv6nb6i Ай бұрын
Yn Sarah amekoma kbs mjng hyo
@user-do6ep2md2d
@user-do6ep2md2d Ай бұрын
Alishapata chake
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j Ай бұрын
Bado mnaitaji number ya mtumishi..?
@imanimussalacky3078
@imanimussalacky3078 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j Ай бұрын
@@imanimussalacky3078 😃😃😃niwape no mmi
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 Ай бұрын
Sijui mtumishi fake alimpa dawa gani huyu Sara.
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Ай бұрын
Alikuwa mtumishi mchawi
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
Hakumpa dawa maneno na vitendo vya mtumishi vilimuaminisha sara amuamini
@complex7582
@complex7582 Ай бұрын
Watu wanapigwa sana sana na watumishi
@hasnanadhiru2168
@hasnanadhiru2168 Ай бұрын
Naomba no ya mtumishi jaman anipe upako wa huo utapel jaman. Hee mtu unakula kilaini hivyooo
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
@@complex7582 mtumishi wa MUNGU hawezi kua ivo ao wamejificha kwene kinvuli cha watumishi tu niwachawi wanaotumia nguvu zagiza kulemaza akili za wa waumini wao
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO [SIMULIZI YA SARAH SEHEMU YA 8] - JUNE 4
49:35
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 198 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 26 МЛН
🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 5 SIMULIZI YA SARA - MAY 24/2024
55:28
🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA SARAH SEHEMU YA 8- JUNE 05
52:25
kuuweza wakati ujao by Pastor Tony Kapola
4:41
WORSHIP GOD FOREVER
Рет қаралды 2,6 М.
🔴LIVE: SIMULIZI  YA ELIBARIKI SEHEMU YA KWANZA JULAI 1 - 2024
53:34
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 198 МЛН