🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR SEHEMU YA 10 - JUNE 21

  Рет қаралды 11,312

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@marialaurent7144
@marialaurent7144 3 ай бұрын
Mungu atuepushe na watu wabaya jamani. Edgar ni mfano wa watu wengi tunaishi na watu bila kujua kua ndio wabaya wetu. Tupo hai sababu Mungu anapigana vita kwa niaba yetu
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Tunaishi Kwa neema ya Mungu tu
@ScholarPeter
@ScholarPeter 3 ай бұрын
Kabisaa mpenz yaan dunia ihi ni ngum sana kwakweli 😢😢
@RahmaOmar-c2d
@RahmaOmar-c2d 3 ай бұрын
😢😢ya Allah tunakuomba utupiganie sisi hatuna wajomba wakutupambania na tuna maaduwi kwa dhahiri ila tunae ww Allah ambaye hulali husinziii wala hushindwi na kitu chochote tunaomba utulinde na kila mabaya wanayotufanyiaga 😢😢😢😢na kutuwazia🙏
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Amina. Mungu ni mwema siku zote
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 3 ай бұрын
Aamiiina yarab lalamina
@fora2009
@fora2009 3 ай бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@MaimunaSimon-n3n
@MaimunaSimon-n3n 3 ай бұрын
Amina
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 3 ай бұрын
Amiiin Thumma Amiiin Inshaallah
@fora2009
@fora2009 3 ай бұрын
Mungu tulinde vizazi vyetu
@florakomba5522
@florakomba5522 3 ай бұрын
Vero simulizi hizi zinstugusa sana na maisha ambayo tunayo kwenye familia zetu unakuja familia hatuelewani kwa sababu ya watu wamama you wanaoingia kwenye familia kwa kuoa au kuolewa
@yusterwilliam6048
@yusterwilliam6048 3 ай бұрын
Hii issue ya ulevi aisee ni ukweli kabisa pumzika kwa amani mdogo wangu kipenzi 😢hii simulizi imenikumbusha mbali sana Mungu atupe macho ya rohoni pumzika Mpoki wangu
@WariankiraMathayo
@WariankiraMathayo 3 ай бұрын
Mungu aepushe watoto wetu na mabayaa, Na watoto wawe wanasikiaaa wazaziiiii
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 3 ай бұрын
Dah inatisha sana Mungu atujalie mwisho mwema 😭😢
@ataamansi8941
@ataamansi8941 2 ай бұрын
Loo badala ya kumtegemea Mungu, umepotoka, Mungu amekatza kutegemea mwanadamu, pia kuamini wachawi
@MinaeliMbonea
@MinaeliMbonea 3 ай бұрын
Nimeipenda hiyo wanaweza kusimamisha juw kikasimama
@JanethJaneth-b5f
@JanethJaneth-b5f 3 ай бұрын
💔💔💔💔MUNGU ATUSAIDIE🙏
@pendorobert3552
@pendorobert3552 3 ай бұрын
Hii ndio maana halisi ya mjomba ni mama yaan mambo anayofanya mjomba ni mama kabisa ndo angefanya..alafu hii ya kuonekana mzee hata mm watu Huwa nikiwaambia Nina miaka31 hawaamini kabisa wanasema ni kama nmezaliwa miaka ya80 huko ee MUNGU nitolee uso wa kizee kwa jina la YESU 🙏
@racherkijugu14
@racherkijugu14 3 ай бұрын
Pole pendo
@عايشةتنزانيا
@عايشةتنزانيا 3 ай бұрын
Pendo,Pole kipenz yaan hata me ndo hali niko nayo yaan watu hawaamin kile unachowaambia wanadhan ni uongo na Mungu atusaidie kwa hili haki 😢
@maryamChumas
@maryamChumas 3 ай бұрын
Ila hii dunia jaman ya Allah atusaidue , sisi tunasumbuliwa na bb mzaa mama tena kamtoa mama sijui msukule kwa sasa sijui walimla nyama tunasukuiwa mambo balaa dada yetu aliugua jaman humtamqn alibadilika alikonda hakuweza kuona vizur ,ila sasa alihamndulillah jitihada za mama mkwe na sasa amekuwa mtu wakusali pqmoja na familia yake ila hata sisi tu nasukumiwa vitu balaaa sasa kaka yetu mkubwa yy ndo bas na alikuwa mtt mzur sana mwenye akili anapata dili za kaz pesa anapata ila wap zinaenda hatujui akili yake haiko sawa miaka nenda miaka rudi hana chochote si watt wala mke jaman ni yupoyupo tu kaka haishi matukio mara amepelekwa mahakaman , police ila anakuwa anatoka ni mungu anamrinda ila shida hatujawah kujua ila huyu bb si mtu mzur yarabby atunusuru amin
@EvelynIsaya-k2w
@EvelynIsaya-k2w 3 ай бұрын
EDGAR stori yako himenigusa sana na pia himekusa mdogo wangu pia alikuwa na akili sana lakini sasa anakunywa pombe kuliko kawaida
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Mpelekeni akaombewe au apate visomo, hatuna macho ya rohoni maadui wanatufanyi vitu vibaya sana. Mtoto WA mjomba angu yatima hana mzazi hata mmoja ana degree hapati kazi, mlevi anafanana na chokolaa wa mtaani. Dunia hii si mchezo.
@magdalenashayo1256
@magdalenashayo1256 3 ай бұрын
Mpeleke kwenye maombi atakuwa sawa
@MariagraceIshengoma
@MariagraceIshengoma 3 ай бұрын
​@@MsAggie5nendeni kwenye maombi na aokoke ampokee Yesu atapona kabisa
@yusterwilliam6048
@yusterwilliam6048 3 ай бұрын
Hata Mimi mdogo wangu alikuwa na akili sana akaanza kunywa pombe mwaka 2020 February akafariki Kwa pombe Kali zinazotoka Zambia (veve) pumzika Kwa Amani mdogo wangu nakukumbuka sana Nakumbuka alipokuwa mdogo darasa la Tatum hivi 2005 kuna Bibi alimwambia mama mbona huyu mtoto wako walishamchukua muda mrefu sana hangaika mtoto apone lkn mama yangu hakufanya chochote
@VeledianaKalolo
@VeledianaKalolo 3 ай бұрын
Dui dunia inamengi jamani
@bettygervas2042
@bettygervas2042 3 ай бұрын
Na mm leo nimewahi sana
@AbdallahYassin-ky5ic
@AbdallahYassin-ky5ic 3 ай бұрын
Hello vero
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 3 ай бұрын
Mambo mazito haya mmmmh
@fatumayusufu2924
@fatumayusufu2924 3 ай бұрын
Bila kuchelewa
@Martha-gs3in
@Martha-gs3in 3 ай бұрын
Duuuu hii ni ngumu jmniii😢
@FridaWilliam-z2m
@FridaWilliam-z2m 3 ай бұрын
Duuh inaogopesha
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Mno
@MariagraceIshengoma
@MariagraceIshengoma 3 ай бұрын
Jamani kuna na wakaka wachawi haswaaa!anajifanya anakupenda ili akuue apate mali zako kama unazo
@MariagraceIshengoma
@MariagraceIshengoma 3 ай бұрын
Kuna mmoja alijifanya kumpenda dada yangu,kumbe ni lichawi hilo likaka na kazi yake kutapeli mali kiuchawi,mpaka dada yangu alipoteza maisha kimazingara,,,yaani siwezi kusahau na hilo lichawi lipo linaendelea kulaghai wanawake wengine wenye pesa,kazi nzuri na mali.😢😢
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR SEHEMU YA 12 - JUNE  25
54:27
🔴LIVE  :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR SEHEMU YA 13   -  JUNE  26
50:49
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
🔴LIVE  : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR SEHEMU YA 12  -  JUNE  27
54:55
SHILOLE AKIRI "NITAOLEWA HATA NDOA 30, KWANI KUNA UBAYA?
23:13
Millard Ayo
Рет қаралды 52 М.
🔴LIVE: SIMULIZI  YA ELIBARIKI SEHEMU YA KWANZA JULAI 1 - 2024
53:34
🔴LIVE : RIPOTI YA LEO  SIMULIZI EDGAR 05 - JUNE 14
52:29
EFM TANZANIA
Рет қаралды 7 М.
MALEZI YA WATOTO NYAKATI HIZI- PR. DAVID MMBAGA
1:01:49
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 11 М.