ELIE MPANZU V/S SERGE POKOU NANI ANAFAA ZAIDI KWA SIMBA/UBORA WAO/POKOU MKALI ZAIDI

  Рет қаралды 33,981

SIMBA PRO

SIMBA PRO

Ай бұрын

Simba Pro tunakuletea uchambuzi wa kiufundi baina ya wachezaji wawili Serge Pokou anaecheza Asec Mimosas pamoja na Elie Mpanzu anaekipiga Katika kikosi cha AS Vita Club,
Kupitia tathmini hii utapata nafasi ya kujua nani bora zaidi na anaefaa kujiunga na Simba kuelekea msimu ujao
Kwa wale wenye kuhitaji kujiunga na Group letu la Simba Pro tuma ujumbe kwa namba 0626629644 ili uweze kujumuishwa na wanasimba wengine katika group letu

Пікірлер: 39
@KHALIDMULILO
@KHALIDMULILO Ай бұрын
Binafsi hapa na sagest aletwe Serge Pokou anaweza kutufikisha nchi ya ahadi❤
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 Ай бұрын
Huyu mwamba ni mtu wa maana kabisa. Clip zake zinatisha😅
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma Ай бұрын
Eli mpanzu
@benjaminnelson4834
@benjaminnelson4834 Ай бұрын
Nataka kujiunga group la Simba pro
@BakariHamisi-ke6zv
@BakariHamisi-ke6zv Ай бұрын
naomba kuugwa kwenye gurupu la Simba
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Ай бұрын
Simba wawachukue wote wawili
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 20 күн бұрын
Ninaomba kuungwa ktk group la Simba pro❤❤
@TonyJaBillclintony
@TonyJaBillclintony Ай бұрын
Wote wawil big deal
@MariamJuma-rf8ph
@MariamJuma-rf8ph Ай бұрын
Nataka kujiunga na group la simba
@user-kn1mr2em5i
@user-kn1mr2em5i Ай бұрын
Napenda sana comparison yenu mkiweza bas na ya valentine Nouma vs chadrack Boka
@SualemansulManhema
@SualemansulManhema Ай бұрын
Nataka kujiunga grupo la Simba pro
@gasparmarwa4689
@gasparmarwa4689 16 күн бұрын
Uyu mwamba anajua azam media watazamee
@charleslinhege690
@charleslinhege690 Ай бұрын
Walete wote hao
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 14 күн бұрын
Yuko vizuri
@abeljohn9685
@abeljohn9685 22 күн бұрын
Naomba niungwe kwenye group
@winfridabeargemalima3089
@winfridabeargemalima3089 16 күн бұрын
Naomba kuungwa
@mlungumasaba1786
@mlungumasaba1786 5 күн бұрын
Tuleteeni panza huyo wakimchukua simba watavuna pesandefu sana baadae kwahuyompazu umliwake nimdogo unanswerable uzapesandefu sana
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 Ай бұрын
Chukua wote cc simba hatuna winga asilia ndoo maana Shabalala naKapombe wanafanya sana makosa sababu wanalazimika kucheza kama mawinga huku wakiacha nafasi za beki zikiwa wazi wasipopanda juu basi huduma ya winga inakosekana kwa hiyo winga wawili ni muhimu sana
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV Ай бұрын
Sawa
@Muhammadshekivul
@Muhammadshekivul Ай бұрын
Chukua wot muamed xhabalala akae kwenye nafax yake na kapomb akae kwenye nafax yake simba na wawchukue wot
@user-kn1mr2em5i
@user-kn1mr2em5i Ай бұрын
Simba mnawinga asilia kabisa Kibu, Miquissone,Onana na makosa wafanyayo shabalala na kapombe ni kawaida tuh kwasababu wote wanapenda sana kushambulia kama ilivyo Kwa kibabage, lomalissa yanga hivyo kocha ndiyoo abadilishe kupunguza makosa
@yassirammar9680
@yassirammar9680 Ай бұрын
Niunge kwenya group
@robertsongola6034
@robertsongola6034 13 күн бұрын
Poku ni tatizo jipya bhana hauwez mfananisha namtu
@TonyJaBillclintony
@TonyJaBillclintony Ай бұрын
yamkin winga mbadala😮 wanatakiwa kuwasaidia T shabalala na Baba ester show me the way
@ThomasMatale-d3q
@ThomasMatale-d3q 5 күн бұрын
Kama bank inaruhusu tunawataka wote wawli make mabeki wetu tshabalala vs wanafanya kazi nzito kwa kua hakuna mawinga wa kuwasaidia
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp Ай бұрын
Hawa wote ni wazuri
@jerrykawogo5656
@jerrykawogo5656 18 күн бұрын
Niunge kwenye group
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 17 күн бұрын
Watuletee wote watatupeleka kwenye nchi yaahadi
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Ай бұрын
Na vp kubusu aubin cramo
@franccoz94
@franccoz94 Ай бұрын
WACHUKUE WOTE WAWILI
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 17 күн бұрын
Wamba kwerkwer watuletee wanatufaa smba pale
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s Ай бұрын
wote waje😢😮😮
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Ай бұрын
Mangungu na try again watuachie timu yetu
@innocentdisimas8987
@innocentdisimas8987 13 күн бұрын
Niunge
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 Ай бұрын
Hawa jamaa ni hatali ukiweka nyuma yao Fei toto sitreka Mayele inakua shida kubwa sana
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV Ай бұрын
Lakini isitegemee hao kina FEI Toto na Mayele kusajiliwa Simba SC
@Oscar-zs2vl
@Oscar-zs2vl Ай бұрын
Waretwe wote Hao jamaa ni shida
@ElishaBernard-ih2vw
@ElishaBernard-ih2vw Ай бұрын
Elie
@zephaniachaula127
@zephaniachaula127 Ай бұрын
Niunge
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 101 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 58 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,6 МЛН
Elie MPANZU, the CATALYST (skills, goals & more)
5:31
11leopards
Рет қаралды 102 М.
NOUMA Valentin
5:51
mamadou konate
Рет қаралды 29 М.
ELIE MPANZU
10:23
Evrard Zady
Рет қаралды 10 М.
When Left Footies Win International Titles 🍼🐐
0:19
DeBall
Рет қаралды 3,2 МЛН
❌🔴🟡 WHO DID WIN!? | SPEED CHALLENGE💨
0:13
ag_soccer team
Рет қаралды 135 МЛН
Испания - лучшая команда Европы!
1:00
Губиньо
Рет қаралды 231 М.