Mungu wangu, uliyembadilisha mtumishi wako huyu kupitia ushuhuda huu naomba umbadilishe kaka yangu samson aokolewe na roho ya ulevi inayomtesa,ni kaka yangu. wa kipekee.Amen
@rahabnkya82762 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu, Dr kimaro, ninalo tatizo sugu la mwanangu peke na binti peekee, Dua yako iwaangazie, wazinduke ktk njia potovu, wakutane nuru ya Yesu, iwamulike peke watoke wamechafuka, wasafishike kama mwanao mcj silvanus Msuya anayesimama madhabahu zetu .hakika nimelia leo. Mnoo mniombee.. Ameen 😊
Mchg Kimaro, Mungu akutunze, aubariki uzao wako na leo tena nasema libarikiwe tumbo lililokubeba, unatuvusha wengi, asante Mungu kwa kufinyanga kilicho chema, hakika Mungu kazi ya mikono yako ni ushuhuda kila wakati
@johnkimambo3Ай бұрын
Huwa ninabarikiwa sana ma mafundisho haya. Mungu akuinue zaidi
@catherinegimbika15452 ай бұрын
Wote hatustahili, Kristo pekee anatusitahilisha, na Jina lake lihimidiwe. Mungu alinde mtumishi wake Mpya na Mchungaji Kimaro, Kabisa na mm naendelea kujichonga, kujipiga tindo Amina.
@RoshiMorris-d7v2 ай бұрын
Am very happy kwa ajili ya Mchungaji Silvanus namkubali sana maana ushuhuda wake unaponya wengi sana
@emmatryphone692122 күн бұрын
Nimecheka sana lakini Mungu akikuhitaji hauwezi kukimbia. Hongera sana
@upendoshirima17042 ай бұрын
Naomba ukombozi juu ya mwanangu Issack ngomuo amejikatia tamaa Yesu ya maisha wachungaji mkiomba mumkumbuke afunguliwe
@ElizabethFesto-fv2kuАй бұрын
Niombee mtumishi wa mungu
@elizajorrojick95182 ай бұрын
Mungu akubariki mch kimaro uendelee na huo moyo
@estherlemburismollel59012 ай бұрын
Anavyoongea machozi yananitoka😭😭, asante Yesu kwa wokovu huu mkuu kwa mtoto wako, umetenda Yesu❤️
@brightmollel66982 ай бұрын
Mungu Akubariki sn Rev Silvanus
@GetruderMfinanga2 ай бұрын
Barikiwa sana sana, najua historia yake, alishashuhudia Pugu kkkt, na jinsi mama yake alivyokuwa hamkatio tamaa, na alivyokuwa anamuibia kuku mama yake nk. barikiwa
@estherlemburismollel59012 ай бұрын
Hakika nami nilimuona Morogoro alipokuwa mwanafunzi wa shule ya uchungaji akitoa ushuhuda huu na jinsi mama alivyosimama naye na abarikiwe pia Mchg Kimaro aliyeibua kipaji hiki na nyota hii iliyokua imezima ikang'aa tena
@cincreareuben14442 ай бұрын
Wow. Mch Hananja Kampala mwenzake !
@MaryYunga-z4e2 ай бұрын
Kweli hakuna lisilowezekana Kwa Mungu . Mungu akutunze mchungaji.
@endrumtweve45592 ай бұрын
barikiwa sana mchungani kimaro huo ndio utume
@leahmollel65892 ай бұрын
Hakika Mungu anatenda! Wazazi wake hawakumkatia tamaa🙏🙏🙏
@JoshuaHilgath2 ай бұрын
Amina hongera sana Baba mchungaji kwa marezi
@hadijajuma3773Ай бұрын
Ameen,
@speciozakaloli2 ай бұрын
Hongera kwa kujichonga
@naturelle1097Ай бұрын
God is Good❤
@bupengunule86022 ай бұрын
Mungu anaweza yotee Amin
@vivianmshomi99752 ай бұрын
Amen and Amen! Sifa kwa Yesu.
@ElizabethMmary-h6i2 ай бұрын
MUNGU NI MWEMA SANA
@cincreareuben14442 ай бұрын
😭😭😭😭HUYU MUNGU
@davidpapoi47552 ай бұрын
Our God is faithful mchungaji
@cincreareuben14442 ай бұрын
MuNGU AMEMSTAHILISHA
@bettymvanga32732 ай бұрын
Amen hata wakwetu watafaa na kusimama kama huyu Mungu yupo ponya na wakwetu
@nyakatongongo42922 ай бұрын
Mungu wangu uliyembadilisha huyu mchungaji usimuache kijana wangu age of 22 ameacha wokovu na kusema Mungu yuko wapi baba uachagi kondoo wako apotee mrudishe kwako mwanangu akutumikie kama ahadi yake alisema atakuaga ahubiri mitaani ha south africa arudishe kondoo wapotevu ila anapotea yeye sina amani kama mama,
@adeladaudi20472 ай бұрын
Pole Sana mama, muombee Sana Rehema😭😭😭
@aderanderwa76232 ай бұрын
Sifa na utukufu kwa YESU KRISTO milele hata milele Shaloom
@ElizabethMmary-h6i2 ай бұрын
AAMEEN
@ClaraStephen-qo7lp2 ай бұрын
Ameeen
@MARYTEMU-ri9dz2 ай бұрын
Amen 😊
@GetruderMfinanga2 ай бұрын
Mungu akubariki sana sana, mch Kimaro, unanibariki sana. Unavyowasaidia watu , Na wewe pia ulichawahi kuelezea jinsi ulivyodoma kwa shida, hadi ukadanganya kuwa mtoto wa bwana Afya nk. barikiwa sana mtumishi, kila ck huwa nasikiliza , shuhuda zako🤣
@GetruderMfinanga2 ай бұрын
Mahubiri nk
@GetruderMfinanga2 ай бұрын
hiyo picha imejituma kimakosa.
@JacklineDamianMpalanzi2 ай бұрын
Aminna nimeelewa, nini maana ya neno kujichonga kukupiga tindo
@FurahiniJ2 ай бұрын
Daah, what then can God not change!!!!
@estherlemburismollel59012 ай бұрын
Nothing friend, God is able, He can bring down mountains
@teddykombe86552 ай бұрын
Ameen
@godfreyandrew-k9m2 ай бұрын
testimony
@magretmush76462 ай бұрын
Jamani naomba nipate mamma yakuwasiliana na huyomchungaji
@miriamalute15402 ай бұрын
Mtafute mchungaji kimaro utampata au nenda kijitonyama
@Adelinakangozi2 ай бұрын
Kijitonyama KKT. Utampata
@naomikatharinaandrewmnkai67602 ай бұрын
Pst .Msuya Collegemate Tumaini University Makumira. Tukutane Nov 2024
@linojastinemariki52772 ай бұрын
Mchungaji mimi nimemkatia tamaa kaka yangu. Sio mimi tu. Baba na wadogo zangu pia
@JoyceHaule-o8c2 ай бұрын
Tuendelee kumtegemea Mungu
@estherlemburismollel59012 ай бұрын
Tubu kwa ajilii ya mioyo iliyokata tamaa na muombee yeye toba ukimaanisha, hakuna linalomshinda Mungu, amini tu atatenda
@vaikaayagadiel5202 ай бұрын
Yesu anaweza kumbadilisha mwanangu Lewic
@tedyjoseph13942 ай бұрын
Ameen na iwe ivyoo
@OdinaLujaji2 ай бұрын
Pasta kimario naomba namba yako ya simu niko nje ya DSM
@amonpeter33782 ай бұрын
Amina
@vaikaayagadiel5202 ай бұрын
Tunaomba contact za Mchg Msuya
@fleviahella98182 ай бұрын
Accepting the situation is the best way to move on believe in yourselfJoy ameanza na 20 coins akafika 500 coins. Wewe utafika ngapi? Crash the wheel and find out.❤