Jamani.mchungaji Kimario Mungu nakubariki sana napenda namna unavyoifafanua Biblia hakika i mwalimu mkuu Bwana awe nawe daima endelea kutuimarisha kiimani 🙏🙏
@EdinaChepkemboi2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu maneno yako yamenitoa mbali..❤
@shegamagdalena97806 ай бұрын
Nakuelewa saaana Mtumishi.Godbress you
@godlovemrosso59736 ай бұрын
Amina Hakika neno hili likawe funzo katika Maisha yetu
@jophuley64877 ай бұрын
Mungu akujalie uzima mtumishi unahuduma ya kipee hakika unatugusa moyo baba
@aloycekilaga78657 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri yanayo tusii tusiwasikilize manabii wachonganishi barikiwa mtu wa Mungu
@marcelinamtalo28956 ай бұрын
Mungu amtunze mchungaji Kimaro. Huduma yakeimeniponya na kunifundisha mengi
@EK-kp2np6 ай бұрын
Leo nimethibitisha wewe ni mtumishi wa kweli wa Mungu, ni kweli wale wanaoenda kwenye maji ya upako, mafuta ya upako na kadhalika, background yao ni kushiriki kwa waganga wa kienyeji, 100% TRUE👌🏼
@HILDAJOSEPHAT7 ай бұрын
Nashukuru sana mahubiri ni mazuri. Naumia sana ikiwa napenda furaha na amani kwenye familia lakini ndo natuhumiwa uchawi na kutengwa nifanyeje
@tracychesoli29007 ай бұрын
Nashukuru mungu nimelelewa na bibi ingawa marehemu bali naendelea kutunza dadazake
@WillyMwanri7 ай бұрын
Ahsante kwa chakula cha kiroho
@makyeintiro10236 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏
@josephmuthoka49927 ай бұрын
Nabirikiwa sanaa mchugaji nikiwa Kenya na mafundisho Yako. Barikiwa sanaa. Umenifungua macho kuhusu tabiri chonganishi
@aivanntomi94847 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@irakazaeriekim47537 ай бұрын
Namie nipone magonywa yoote katika jina la yesu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@aivanntomi94847 ай бұрын
Ubarikiwe saaana mtumishi wa Mungu
@olephilemon17737 ай бұрын
Amen
@josephmkina7 ай бұрын
Baba, Iko sahihi kabisa, MTOTO wangu wa chuo kikuu, Kila mwezi bibi yake huwa anatumiwa pocket money na bibi yake.
@EvansMasuwe7 ай бұрын
Mungu akutunze baba umefanyika baraka kwa wengi
@AbelMwakilembembwate7 ай бұрын
Kweli somo nimelielewa ubarikiwe mtumisshi
@aivanntomi94847 ай бұрын
Mungu akubariki saaana kwa mafundisho Amen 🙏🙏
@babas14527 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji Kimaro kwa mahubiri yenye uhai ndani yake.
@forminaformina76947 ай бұрын
Amina.MUNGU.akubariki.mchungaji.nimebarikiwa.sana
@aivanntomi94847 ай бұрын
Amen Amen 🙏🙏
@naeema81557 ай бұрын
Amen 🙏 🙏
@paulinarichard81077 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako pastor
@QeenRose-y4z7 ай бұрын
Amen nimebarikiwa nikiwa🇸🇦
@witnesssamwely88127 ай бұрын
Nimebalikiwa sana mtumishi
@ombenkallenge19247 ай бұрын
Amen 😊
@deborakasambula74317 ай бұрын
Amee
@MsangoDiesel7 ай бұрын
Mchungaji umeongea kwa hisia huku mtaani ninayaona Sana unakuta mtu ana tabia mbaya harafu anaenda kwenye hayo makanisa yao akiludi anaanza kusema analodwa kajazwa upepo wa sumu ya maneno najiuliza mtu anapata wapi kusema Mimi nabii
@rahabnkya82767 ай бұрын
Baaba! DR ELIONA KIMARO UMEFUNDISHA VIZURI MNOO JAMBO HILI LA KAZI NA AFYA, UBARIKIWE SAANA. 1971 KCMC ILIZINDULIWA, NAMI NATIBIWA PALE! NA FAMILIA YANGU, JUZI NILIINGIA KANISANI HAPO KUOMBA UPONYAJI.😊