Mungu naombea roho ya magonjwa juu ya uzao wangu uondoke Kwa jina la yesu litokee
@neemalaurent98366 ай бұрын
Naombea biashara yangu iongezeke,ili nipate sadaka za gharama, nimtolee bwana, Amina,we roho yangu endelea mbele kwa nguvu,amina
@badendavid84566 ай бұрын
Sadaka hata ndogo ni vizuri
@ustawiwetu5 ай бұрын
Anza kusaidia watu wenye uhitaji Mungu atakubariki sio lazima utoe sadaka
@amenaameeena33176 ай бұрын
Amen mungu anikumbike na familia yangu mungu naomba toba unisamehe dhambi zangu zote
@dorisdoris9806 ай бұрын
Ameen
@user-wp5gc7yk8m6 ай бұрын
Amen
@WitnessMlay6 ай бұрын
Naombeaaa.halii yangu ya kiuchumi na maendeleo yangu yazidii kuongezekaa katika jina la yesu Ee bwana Yesu naomba uwabarikii watoto wangu shuleni katikaa jinaa la yesu Aminaa
@piliibrahim40575 ай бұрын
Asante Yesu
@josephtesha8725 ай бұрын
Barkiwa mchungaji somo la break chain limenisaidia Sana🙏
@Vestinagashagaza5 ай бұрын
Ee mwenyezi mungu Bariki family yangu
@marymalongo68556 ай бұрын
Amina. Mtumishi tunaomba mnapofikia mwishoni kwenye maombi mwishoni msiwe mnakatiza tunaomba mwendelew nasisi tunaosikiliza kwenye KZbin tuombe pamoja nanyi
@kitalinoel92946 ай бұрын
Amen
@emiltonndanshau87185 ай бұрын
AMEN
@neemalaurent98366 ай бұрын
Amina ,nakemea,naharibu,na kuondoa mbinu zote za ibirisi
@gracegesare53136 ай бұрын
Amina Kwa mafudisho mwema.
@kelvinkennedy69936 ай бұрын
Naombea kuondoka kwenye vifungo vya familia ukoo na roho za madeni amen