Amen mchungaji na barikiwa sana na mafunzo haya...nimekua Moja wao nakasirika tuu na kujikosesha Amani moyoni mwangu...Bila kufahamu chembebchembe za furaha zatoka moyoni....nafanya gulf so wakati nafanya kazi zangu...nasikiza neno....Be blessed always 🙏🙏🙏
@waijuwandu5652 Жыл бұрын
Amina mtumishi tuombe Neema furaha siku zote
@gracekagoma32313 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji🎉🎉
@DoraMtui-v1c Жыл бұрын
Asante Mtumishi neno hili limekuja kwangu Kwa wakati Muafaka nashukuru Mungu alielituma neno hili kupitia Mtumishi wake❤
@ruthhamisi29026 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi,Mungu baba aliye mbinguni akulinde ningekuwa nasali hapo ningelala madhabahuni maaana ni raha, kuwa nyumbani kwa baba
@rahyanadam83285 ай бұрын
Amen 🙏
@claratemba447 ай бұрын
Thanks
@lindamaglan982911 ай бұрын
Jamn mtumishi ubarikiwe San kwa hili neno la furaha
@sylviachikwindo726311 ай бұрын
Aaameen, asante sana mtumishi wa mungu
@elizachama1229 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi, neno hili limenitakasa, sijawahi kujusikiliza hapo nyuma leo nimekusikiliza maneno yako yanahekima na maarifa ya Mungu, nataman pia kuwa mhubiri, mwalimu mzur kama wewe
@ruckyaarabi4030 Жыл бұрын
Asante mtumishi imenitachi,nitasimama kwenye furaha
@agnesnnko8872 Жыл бұрын
Aminaaa furaha ya Bwana ndiyo nguvu zangu.🖐🖐🖐
@oliviakalegeya8030 Жыл бұрын
❤
@zenamakwesa4707 Жыл бұрын
Amen mtumishi unanibariki Sana
@rehemasuleman6720 Жыл бұрын
Ameeeeeeen Ameeeeen
@IbrahimHadu Жыл бұрын
Nikweli Yesu nisaidie kuitengeneza hasira yangu!!
@pallangyomirisho2845 Жыл бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe ili utuombee nasi Baraka za Mungu na amani yake ipitayo ajili za watu wote zitufikie
@amenaameeena3317 Жыл бұрын
Amen mchg somo zuri mungu tusaidie kuachilia Mimi naomba furaha