Amina baba Mungu akupe maisha marefu uendelee kutubariki
@jeremiaisowe44435 ай бұрын
Adabu inabeba maisha yenye utukufu🙏🙏🙏🙏
@evaomondi82182 ай бұрын
Usichonge kucha, chonga tabia! Safi sana!✅
@Irene-b3k Жыл бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu na kipawa Zaid baba mchungaji
@atuganile08 Жыл бұрын
Amen
@neemalaurent9836 Жыл бұрын
Mungu nijalie kiwango cha self discipline,kiwango cha financial discipline and economic discipline,amen
@Melissashiner2 ай бұрын
Very facts
@perpetuaishika2574 Жыл бұрын
Mungu naomba unijalie adabu kwenye maisha yangu 😢😢🙏🙏
@danielmuzanye181 Жыл бұрын
Somo jema sana. Ubarikiwe Mtumishi ili uzidi kuigusa Mioyo ya Wengi. Ni somo tunahitaji kulisikia kila mara.
@abelntahorutaba9322 Жыл бұрын
Barikiwa saana Baba Mch kwa Somo lako hili. Hakika nimebariliwa saaana na ninaendelea kubarikiwa. Kweli watu wengi tunaqngamia kwa kukosa Adabu. Adabu Adabu Adabu Adabu. Barikiwa saaana mtumishi WA Mungu.
@JohnMbise-go7we Жыл бұрын
Mungu akubariki sana baba Kwa huu ujumbe
@wazirimahenge1458 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@SilviaSamsonshakilyoma Жыл бұрын
Baraka zikufuate popote kwa kutengeneza maisha yetu
@ericknicodemudaniel15 Жыл бұрын
Thanks pastor kwa mafundisho
@jardinemwasi8123 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu. Asante kwa mafundisho mazuri leo nimejifunza mambo mengi sana. Nabarikiwa sana na mafundisho yako. Natoka Kenya.
@sophiashirima6691 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa mafundisho mazuri
@deborakasambula7431 Жыл бұрын
Ameeen
@jeskamgudule6905 Жыл бұрын
Amen Baba wanivusha sana afu pia umekua mwalimu wangu wa kingereza kila ninapo sikiliza mahubili yako najifunza pia kingereza hadi rahaa 😂 Ahsante sana Baba Mungu azidi kukupa Afya
@tsisprojectmanagementconsultan Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ praise Jesus Christ of Nazareth
@tsisprojectmanagementconsultan Жыл бұрын
Thanks 👍 Dr
@EdnesUisso Жыл бұрын
Maisha ni adabu. Amen
@josephlukumaya4223 Жыл бұрын
Ameni barikiwa na bwana
@edinamwanasenga1584 Жыл бұрын
Amina ubarikiwe 🙏🙏🙏
@jackswallo4318 Жыл бұрын
Ameni Baba!!
@VivianPiniel Жыл бұрын
000
@reginardtibishubwamu1522 Жыл бұрын
I will forever respect and love my dad pastor Eliona kimaro. May almight God continue keeping up your peace and happiness
@zawadimweta Жыл бұрын
Mungu tusaidie,Baba Mungu akuinue zaidi
@roviykamage5423 Жыл бұрын
Baba tumsifu yesu kristu baba kimaro. Unatutenga sna sisi tuliombali kwakutoposti mafundisho yako mazuri na ya miujiza kwetu mikubwa
@hopespringforlife Жыл бұрын
Powerful baba Mchungaji
@collinslyimo448 Жыл бұрын
Ameeen barikiwa 🙏
@annamasalu981 Жыл бұрын
Baba sijawahi pata mafundisho makali kama haya.Leo nimebadili mtazamo wangu.