Niko Kenya lakini nikisikia hizi nyimbo najiona Niko nyumbani basukuma tole bachagamku
@edwinowino80402 жыл бұрын
Mie Mkenya ila huu wimbo sitausahau, ikicheza na kumbuka 25 mwezi wa Tatu mwaka wa ishirini na mbili nilipo enda kutoa mahari huko kabila wilaya ya magu kulee mwanza kwao mke Wangu mariamu, Akina mama walivyo imba na kucheza kwa furaha
@NeemaDaudi-do1rd Жыл бұрын
Hongera wasukuma wapo vizur
@marcolubinza6695 Жыл бұрын
Hii imekaa vyema xana
@mrsferuzi744311 ай бұрын
Hongera
@SalmaNdema9 ай бұрын
Hahahahaha❤❤❤❤
@abelmipwa98543 жыл бұрын
Najivunia Sana kuzaliwa usukumani maana Raha sana
@angeljosph75032 жыл бұрын
Hongera Sana wimbo mzuri najivunia kuwa msukuma
@veronicankuba943711 ай бұрын
Same
@wilonderby Жыл бұрын
Bhasukuma mle halee 🔥❤️👋
@jacksonmipango89843 жыл бұрын
Waskuma mpooo!😂
@leaherasto929Ай бұрын
tuleho
@neemamholu76583 жыл бұрын
Wasukuma ooooyeeeee 😁😀✋✋✋✋
@happysitina90933 жыл бұрын
Oooooooooooye
@ZaituniKhamis-p3y28 күн бұрын
nimependa sana nice
@mashekunolberth85153 жыл бұрын
Wasukuma tuko moto sana kwa vipaji piga kazi mama
@Nyasu8292 жыл бұрын
Ibu Magic afunguka nakusema kwamba hakuna mwana dada shupavu kama Eriza SIMIYU
@HilturdaOkwayenda10 ай бұрын
Napenda sana nyimbo zako❤
@NasraAlly-s8v9 ай бұрын
Eliza nakotogilwe❤️
@vanessajames21922 жыл бұрын
Naipenda sana hii nyimbo
@VumiliambangaMbanga6 ай бұрын
Niko dar nafurah sana kuona nyimbo ja kaya
@yahanamaganga1302 жыл бұрын
Bhebhe mbina jabhasukuma jawiza
@kalemelamazala7895 Жыл бұрын
Elizabeth kwa kuimba uko vizuli. mbina ya mwana one imenikamata
@winifridamagina52402 жыл бұрын
Jamani hii nyimbo Niko zanzibar naona kama nipo usukumani kwetu
@joycemoto88233 жыл бұрын
Dada unaimba hongera sanaa
@georgelusana23463 жыл бұрын
Hiiii nyimbo nmeisubili sana yaaaan niiliiissikiaa laini bariad nikaichukua kwa frash baaadae nikaipoteza asantee
@pilisungwa60723 жыл бұрын
Oooh ni nzuri mno
@elizabethmwandu69373 жыл бұрын
Wawooo wajina ,wasukuma oyeeeeeee!
@chollejr_3 жыл бұрын
Uyiiiiii uyiiiii naanzaje toka usukumani😂😂😂😂
@veronicapeter-m3x4 ай бұрын
Najivunia kuwa msukumaa ❤❤❤
@makungamapalala79826 ай бұрын
Maliganya nakukubali sana
@Maahjames-jm5lc Жыл бұрын
Www n fundi mama utakuja kweny ndoa yangu et
@Maahjames-jm5lc Жыл бұрын
Mama jmn xchok kuangalia wmbo huu nauludia ad mara kumi na duuh xukuma jmn unanifuraxha xana jmn kipaji nono
@josephpetro29682 жыл бұрын
Mbina ya bhusungu+duniya shimumu mukonitogishago no nakunimaji irundu.mwabeja noh mahavir jaana
@ImpressiveFacts2 жыл бұрын
Jaman nimeupenda wimbo lakini naombeni tafsiri
@helvetasswiss4638 Жыл бұрын
Unaokosha moyo wangu Eliza
@selemsigala47713 жыл бұрын
Pongezi nyingi sana kwako asante kwa kuendelea kutoa elimu na burudani nakutakia kila lakheri.
@henrykwiyeya67073 жыл бұрын
Hongera sana dada Elizabeth,uko vzr.ka wimbo katamu na kazuri
@serinakagambo823 жыл бұрын
Obeza mayo natogelwahobole
@gracejulius39662 жыл бұрын
Elizabeth unajua kuimba Hongera sana
@ashamwandu65723 жыл бұрын
Eliza unakioaji Sana Allah akusaudie, Nakupenda sana
@antonykariuki92513 жыл бұрын
Mimi ni mkenya sielewi hii lugha, natamani nijue anachosema kwasababu nime watch huu mziki zaidi ya mara tano wavutia umepangwa ukapangika na unapendeza sana
@madirishasimon96923 жыл бұрын
Karibu usukumani
@agaisjovinary61763 жыл бұрын
Maudhui nzima ya wimbo (mbina ya bhusungu)kamaanisha ngoma ya uchungu...so ngoma ya mwanaee hawezi acha kucheza
@sittabukuku56843 жыл бұрын
Huyu Dada nampenda bure kabisa anajuwa Sana
@zainabusaidi4542 Жыл бұрын
Hongera Dada nyimbo zako nzur Sana
@ChausikuSalum8 ай бұрын
naupenda sana
@philemonsayi77982 жыл бұрын
Nice video
@bahameseni49962 жыл бұрын
Mwananyanzara
@happymathias8942 жыл бұрын
Hongera sana🙏🙏
@gwabopeter Жыл бұрын
Jaman nimeupend mwimb
@JayHaruna7 ай бұрын
Mambo ni moto
@vanessajames21923 жыл бұрын
Najivunia usukuma
@emmanuelwasha22503 жыл бұрын
Hongera sana kwa wimbo
@felicianholle30103 жыл бұрын
Hongera sana dada kwa nyimbo nzuri
@gozbethreuben60013 жыл бұрын
Mambo
@JosephineSamsoni8 ай бұрын
Vizuri sana
@veronicapeter-m3x4 ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@JosephineSamsoni8 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@kidaysay76013 жыл бұрын
Ni Kama uko simiyu
@georgelusana23463 жыл бұрын
Mwa gishepo bado hujaieka
@pascalshiwa88763 жыл бұрын
Aseee nyimbo tamu sana
@pilijilala192 Жыл бұрын
Naipend sana hii nyimbo
@SAidMohmd-d2x11 ай бұрын
Nd la rakp
@rosabeth6062 жыл бұрын
Mamaushauli
@jacoblaiser76343 жыл бұрын
Pure traditional music. I realy like it.
@joycemoto88233 жыл бұрын
Hongera dadaangu kwanyimbo nzuri
@ashuramagumba67762 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥💪
@jeniphapaul12703 жыл бұрын
usukuma rahaaaaaaaaa jamaniii😜
@emmanuelmisalaba3203 жыл бұрын
Amani saana waskuma wananifrahisha na kunkumbsha kihome home