Maana ya wimbo (sio neno kwa neno) JPM ni mtu Bora na Moyo wake ni mwema tukamchague awe kiongozi. Uchaguzi umewadia Magufuli tukamchague pia CCM Ana Moyo wa kulea watu twendeni tukamchague. Kumbe ni ndugu yetu tumpeni kura mwana wa Suzana. WATANZANIA sisi tunsipigia kura CCM barabara zenye taa tunaziona jamani tumchagueni kwani ni jembe pamoja na wenzake Samia, Majaliwa, Mangula, Bashiru, Polepole ni majembe tuchagueni CCM inaleta maendeleo.
@ramadhanbm73564 жыл бұрын
Elizabeth Maliganya oyeeeee,kazi nzuri sana
@rosenamilia41404 жыл бұрын
Wimbo wa mwaka kampeni 2020 ni fire fire kweli Hongera sana msani uliyetunga huo wimbo. Ni hamasa tosha kwa kampeni, japo lugha iliyotumika baadhi ya maneno ni ya kilugha. Big up sana.
@nshomamayungu23264 жыл бұрын
Jamani tulioelewa ujumbe mzito wa Dada yetu Elizabeth ngonga like.nimeludia Mara mia huu wimbo hakuna aliyemfikia huyu Dada kwa ujumbe mzito kwa rais wetu.shinyanga,tabora,simiyu,mwanza,bariadi na wote tulioelewa wimbo huu tuseme ccm oyeeeeeeee kwa mwana Susana yaani magufuli oyeeeeeee.
@nyamkamawanjara294 жыл бұрын
Ccm oyeeeeee kula zote za ndio
@makulileboniface79624 жыл бұрын
Nimejikuta nimeamia Ccm jameni toka leo Niko Ccm ,CCM oyeeeeeeee magufuli Oyeeeeeee
@maryhaule56254 жыл бұрын
Ooyeeeeeeeeeeeeeeeeee
@happykimaya27624 жыл бұрын
Oyeeeeeeee
@lucystella96124 жыл бұрын
Safi oyeeeee
@zaysaj69614 жыл бұрын
🤣🤣🤣Kariiiibu nyumbani
@rosemarycharles4814 жыл бұрын
Kalibuuuuuuu ccm oyeeeeeweeee
@mako3314 жыл бұрын
Sio msukuma lakini napenda nyimbo za kisukuma
@lucassospeter89054 жыл бұрын
Kwa huu wimbo hata Kama zilikua mageuzi unaweza ukajikuta unahamia ccm bila kujua
@joycekelvin54344 жыл бұрын
😀😀😀😀
@jokhaali91874 жыл бұрын
😂😂😂Mimi naona nishaingia na kila kitu changu kwa mapenzi makubwa nilionayo na mh.magufuli
@maryhaule56254 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂umeona eeeh
@rosemarycharles4814 жыл бұрын
Ccm oyeeeeeeweeeeeee
@salambalukali2164 жыл бұрын
Sana sana
@goodluckmasige52764 жыл бұрын
Hawa nduguzetu wenyeulemavu wa ngozi walikuwa nawasiwasi mkubwa haswa katika vipindi kama hivi vya kuelekea uchaguzi lakini sasa mambo nitofauti, hii inatupatia picha yakuwa vilivyokuwa halamu vilipita nasasa Mungu yu upande wetu,all the blessing from Algeria.
@mossymtwana64224 жыл бұрын
Yaani kweli kabisa sio siri watu wana dhambi watajibu na wataanzia kujibu hapa Dunuani kesho kwa Mungu hesabu itatimilika kwa dhambi zao sasa walifanikiwa Nini kama sio majuto tumshukuru Mwenyeezimungu huyu Baba mtu wa Mungu amani imepatikana kwa hawa watu Albino jamani waliuawa jamani yaani yamepita Mungu Mkubwa Magufuli Mungu aazidi kumuinua na watanzania woote tumpe Kura za kishindo na wasaidizi wake woote.
@frankjoseph66094 жыл бұрын
Well said brother your message touched me a lot but with strong leadership of magufuri they are now happy to me magufuri is the leader to remember 5 tena
@romanambelle63564 жыл бұрын
Mungu mwema kaleta wa kuwalinda nikikumbuka walivyokuwa wanakatwa viungo na kuuwawa bila huruma inaumiza moyo. Leo wapo hadi kwenye kampeni wakiwa na amani na matumaini tele ya kuishi kwa amani. Mungu endelea kumlinda Magufuli
@lukaslukaskidava76804 жыл бұрын
Kazi nzur mwana dada kwa kumwimbia nyimbo nzuri rais wet wa Ccm magufuri oyeeeeeeeeee
@lukaslukaskidava76804 жыл бұрын
Magufuri Safi flyover oyeeeeeeeeee
@phillkaseko39264 жыл бұрын
Safi san wasukuma juu
@najlahayat56754 жыл бұрын
Tanzania masha Allah rais mpenda aman mwenye kujali wanyonge ..mungu amuongoze kwa kweli all frm kenya🇰🇪🇰🇪
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Ndio nachopendea Watanzania. Lugha 120 bado tunaelewana, kuheshimiana na kudhaminiana. Viva mwl Nyerere Viva!!!💪💪💪
@maryhaule56254 жыл бұрын
Vivaaaaa 💪🏽💪🏽
@asiaokelay84214 жыл бұрын
Vivaaaa
@godfreybikukana88544 жыл бұрын
Mungu awe nawe ubarikiwe nimeipenda sana wasukuma juu
@amanimanase57944 жыл бұрын
Sasa huu ndo wimbo halisi wa kampeni za CCM kuliko hizi za wasanii wa bongo fleva kama unakubali hili tia like hapa twende sambamba
@kelvinnzilano61534 жыл бұрын
Viva Elisa for the well composed song with Sukuma traditionally flavored....! Viva Magufuli.....!
@azaliansanga50724 жыл бұрын
Waooo, kaimba vizuri sana, kapangilia maneno yanatiririka vizurii sana .. ni wimbo unaoshawishi sana sana,
@serianjamal82544 жыл бұрын
Si mchezo very beautiful language Imependeza it's sounds wonderful
@refrayndamaning51694 жыл бұрын
Sielew kisukuma. Ila napenda sana nyimbo za kuluga. Yaan hapa najikuta nipo south Africa. Napendaga sana nyimbo zao za makabila
Unajua Dada umepata sana itabidi mnene kgwa lugha ili. Atu wajue magufuli ndie aliyetumwa na Mungu kuikomboa tz alafu yashati is maneno aliyo Nena jpm nitachaguliwa na kila kitu hembu ona watoto Hao waliyofurahi EE jamani mungu atujalie amani siku kwa siku tz
@tafadhalisubscribe37144 жыл бұрын
Sanaaaa
@jonaskilomba40944 жыл бұрын
Ni kwelii kbsaa huu Moto huwezi zimaaa kbsa
@jokhaali91874 жыл бұрын
Amin
@isayamlaki47674 жыл бұрын
Hivi ndivyo chaguo la mungu lilivyo mpaka ndege porini wanashangilia mungu akutunze Dr John pombe magufuli wewe mbele sisi nyuma yako baba
@dottocharles16364 жыл бұрын
Wasukuma wote tujuane
@ednamanji4 жыл бұрын
Magufuli yuko kwao sasa. Kwenu ni kwenu tu . Mungu Ibariki Tanzania Yetu .
@trophainamagogwa99914 жыл бұрын
Halafu mtu aseme asijenge uwanja wa ndege kwao asikilize wimbo waliotungia
@dinatalib27034 жыл бұрын
Walorejea kama kutazama video wanipe like zangu sifaham ila nyimbo inaingia mpka moyon kwautam
@trophainamagogwa99914 жыл бұрын
Pole saana wanamsifia Magufuli kuleta ufalme kwa wasukuma
@emmanuelkaburu78664 жыл бұрын
Ntemi
@beneditomassingue29934 жыл бұрын
. .
@renahtesha71214 жыл бұрын
Sielewi lakini inaniingia nasikia tu tumpe kura
@dinatalib27034 жыл бұрын
@@renahtesha7121 hahahhahaha ww ipende ivoo tu
@mohamedmubarak82963 жыл бұрын
Hatunaye tena Raisi wetu,kipenzi chetu
@salmaathuman91564 жыл бұрын
Magufuli jembeeeeee💪❤️
@gloryfidelis8514 жыл бұрын
Wasukuma tumchague magufuli jamani wanyumbani kabisa
@erodeshayo86724 жыл бұрын
Aliyeweza kuirudia zaidi ya maramoja kama mm nikuone
@msafirinyambasi18944 жыл бұрын
Jaman mbona kawimbo kazuli sna
@simonmagila72594 жыл бұрын
Saf
@AlAl-sd9pl4 жыл бұрын
Tupo wengi xana tunairudia
@godlistenmaridadi7544 жыл бұрын
Mi nimeu download kabisa Kila wakati nausikiliza
@erodeshayo86724 жыл бұрын
Noma Sana ndg zang watanzania tuwe wamoja tutafika mbali Sana
@fatmapanaguiton97834 жыл бұрын
Nimejikuta nacheza bila kujuwa na nimejawa furaha teleeeee
@denislyaruu29284 жыл бұрын
Uligembe maguful
@jumaissa4414 жыл бұрын
Hakuna tena magu anachukua zote kura
@agreyjackson73534 жыл бұрын
hahahahahaha aya bwana
@agreyjackson73534 жыл бұрын
mimi mwenyewe jaman
@husnamahadhi74374 жыл бұрын
Hahaa
@noelsimon33204 жыл бұрын
Dada unajua kweli ongera
@bellbell92944 жыл бұрын
Hongera bi Dada mambo ya nyumbani hayo wasukuma oyeeee
@eggysulle79884 жыл бұрын
Natongwa Sana agakeema omo kalembaa😍Magufuli
@lucassospeter89054 жыл бұрын
Safiii Sana nimejikuta namiss nymbn bila kujua
@arafaally28954 жыл бұрын
Wasukuma ooyeeee .najivunia kuwa msukuma 💃💃
@twahamustafa9474 жыл бұрын
Najisikia kama Niko nyumbani kwa wimbo huo
@maureenclai66494 жыл бұрын
Yani wimbo mzur.. Ccm yamkaya
@gracelevi63394 жыл бұрын
Mageuz shokagi kaya omagufuli ke mtomwenja nyimbo nzur sana 🔥🔥🔥🔥🔥
@mariamdominicko38164 жыл бұрын
Well done my tribe😍😍 im proud to be sukuma, no worries
Siifaham kiundani lakini ni nzr kuliko nyimbo za wasanii maarufu ni kelele tu lakini hii ikitokea zawadi kwa nyimbo Bora za uhamasishajibna kusherehesha kampeni bc inastahili 👍
@maureenclai66494 жыл бұрын
Kweli kabisa
@marcomayunga388Ай бұрын
Kweli
@elimborandewario89224 жыл бұрын
Dada hongera, wimbo mtamu sana, japo hatujui lugha lakini tumetikisa mwili, magufuli oyeeeeeee
@MoonMoon-pe1nx4 жыл бұрын
Sielewi lakini goma liko juu ccm hoyeee I'm from Kenya
@abdoulkarim11964 жыл бұрын
Sio magufuli tu hapa namimi yani kanitoa machozi
@jenyyusuph49734 жыл бұрын
Daah Sina chakusema
@zenobiakapere5854 жыл бұрын
Hakika wimbo unagusa sana huu
@romanambelle63564 жыл бұрын
Jamani inagusa moyo na inaliza sasa sijui ni furaha au ni utukufu kwa Mungu
@maryhaule56254 жыл бұрын
Hata mie machozi yamanitoka jamani,
@joshuanyonyi88204 жыл бұрын
Nimetokwa na Machozi kwa fraha
@moshiomarymnyeda89074 жыл бұрын
Nzuri sanaaaa hiii 😍
@mamani64114 жыл бұрын
Duh Mtu anaimbaa mpaka akili za Watu zinachanganya Kiukweli nimeupenda huu Wimbo Hongera Dada wee ni Kiboko
@douglaskomba23044 жыл бұрын
Safi sana kawimbo kazuri
@azaliansanga50724 жыл бұрын
Wanyumbani tumchague , amamoyo mzuri wakuongoza watu vizuri ... 👍👍👍👍👍
@happykimaya27624 жыл бұрын
Hayo magembe ya ccm. Safi,rais anajisikia yuko nyumban nimependa Sana japo sielew vzr
@presseg.63624 жыл бұрын
Mungu akutunze Rais wetu mpendwa
@leonardmtemi91254 жыл бұрын
safiiii geteeeeee w omukayaaaa geeteeeee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇸🇦🇸🇦tulihamoooooo uligembee sanaaa Eliza maligaya
@masungadwasi8474 жыл бұрын
Du ngoma imetulia kinyamaa Huyu Mwimbaji amenifanya nihamie ccm
@MASUKI1234 жыл бұрын
Hahaha amakweli anatisha
@MASUKI1234 жыл бұрын
Hahaha amakweli anatisha
@agathathobias86904 жыл бұрын
😄😄😄karibu sana chama la wana
@happykimaya27624 жыл бұрын
Karibu Sana ccm
@emmanuelpaulbhoke34894 жыл бұрын
Kwani ulikuwa wapi?
@laurencemalila1574 жыл бұрын
Jamani sierew kisukuma lakini nimecheza like zanguuuuuuu🙏🙏🙏
@elizabethnjeri97994 жыл бұрын
am a kenyan and like that song CCM yamkaya magufuli he will win
@saluwonderscotto98834 жыл бұрын
Daaah, simiyu kwetuuu gete
@berniemponeja67464 жыл бұрын
E mu ntuzu getee 💪
@aminamohamed99554 жыл бұрын
Ww mama ufunika ote cjui vizur kisukuma Ila nimefurahi Sana my hicho kigelegele umwnikimbuaha sikuku za Saba Saba na nane du nimemiss tabora kwetu du ❣️❣️❣️❣️❤️
@madosasanga94244 жыл бұрын
Nimekuelewa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@mariavianeypeter29914 жыл бұрын
Safi sana, Maguu safi sana baba ona wanavyokupenda kwa upendo wako KWA Watanzania.
@giftmush52974 жыл бұрын
Bila unafiki huyu dada kaamsha shangweee la kutoshaaa big up
@asanatvitalis45904 жыл бұрын
Kweli kabisa Ccm oyeeeeee
@mercynelly76814 жыл бұрын
Makufuli abarikiwe milele,nampenda kwa kazi anayoifanya kule Tanzania,ningelikuwa mTanzania ningelimpa kura yangu,heko kwake
@rewaatesh48774 жыл бұрын
Kawimbo kazuri sana.. Niko hapa Siha-Kilimanjaro narudia kila mara kusikiliza na hivi naelewa, Mpaka Mh. Rais, Mzee Enocka,Polepole,Heri jamani
@emmanuelzakaria24354 жыл бұрын
Sasa unaludia unasikia babu
@rewaatesh48774 жыл бұрын
@@emmanuelzakaria2435 Sio kusikia tuu ninaelewa
@joycesamweli12193 жыл бұрын
Leo imebaki historia jamani RIP Mr President we will always remember you you died fighting for your country
@viviangoodluck40814 жыл бұрын
Ukwel siy siri huyu rais binafs m nampenda n mt mmj wa pekee tuweken pemben siasa kaz zak t ni jibu tosha kura za ndio kwak
@ayoubchacha90904 жыл бұрын
Dada umeimba vzr sana
@obedlema36764 жыл бұрын
Japo sijaelewa yote yaliyo kwenye wimbo yana maanisha nini, ila uu ndiyo wimbo wangu bora katika kampeni za mwaka uu. Hongera sana mama una kipaji kikubwa
@AlAl-sd9pl4 жыл бұрын
🌹🌹🌹❤️❤️😜Jaman hii nyimbo ni nzur Sana mungu akubarik Sana dada
@rehemamaduhu56424 жыл бұрын
Kawimbo tu nimependa kana beat nzuri
@sabinamwashi40753 жыл бұрын
Mh sijui kama tutapata tena mtu anayependwa kama huyu ila bado tunamuombea apumuzike kwa amani
@miriammolley31074 жыл бұрын
Wooow sielewi anasema nini lakini nimeiipenda
@linusmpatrick81844 жыл бұрын
Huu wimbo unaweza kuwa bora kwa kampeni za mwaka huu maana mimi nikitulia tu natafuta hii video naangalia
@estercasbeth80364 жыл бұрын
Jamani nijikuta natokwa na machozi ya furaha Jarmani wimbo mtam,mpaka mb zimeisha kwakurudia rudia
@masoudkipara50534 жыл бұрын
Hongeren wasukuma kwajidongi la maana
@mecktildakazinduki53604 жыл бұрын
Asante sana mama waooooo. Kisukuma napenda
@presseg.63624 жыл бұрын
Uwiiiiiiiiiiiii, hadi raha Jamani
@sarahamos85244 жыл бұрын
Kama mmemuelewa Msanii womkaya twende sawa kwa like kama zote
@jemmimahagesa68404 жыл бұрын
Who else is there smiling and dancing to the beats even though we don't understand,Magufuli hoyeeeeeee
@trophainamagogwa99914 жыл бұрын
So sorry for you
@gosbertireneus555811 ай бұрын
the song tries to appreciate and acknowledge magufuli of the time
@goldchannel48664 жыл бұрын
Elizabeth 🔥🔥🔥🔥🔥 una balaa
@christowajanakei16224 жыл бұрын
Sijaelewa yote ila nimepanda sana huo wimbo big up mamy
@saluwonderscotto98834 жыл бұрын
Huu wimbo nimeupenda naomba jina lake jaman
@marthapaulo46514 жыл бұрын
Elizabeth
@mungupamojanasi9384 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana...Hongera mwimbaji!
@agnessbatholomeo35434 жыл бұрын
Shokagi kukaya like zenu wanaoelewa
@tafadhalisubscribe37144 жыл бұрын
@neno Elimu tv kzbin.info/door/XRnzYKmyWcRNSPqyB3T65g
@makulileboniface79624 жыл бұрын
Wimbo mzr sana
@georgejohn3364 жыл бұрын
@neno Elimu tv 2²222²²²12
@georgejohn3364 жыл бұрын
À access as q
@victoriastephano40754 жыл бұрын
Nakupta vizur mno
@jokhaali91874 жыл бұрын
Katika nyimbo za chama hii nyimbo Kali sana
@joshuanaibei71644 жыл бұрын
I love the song! It's so sweet to my ears 😘😘
@loycep77854 жыл бұрын
Waaaaaao Mungu awabariki sana wananchi wa Baridi na wasukuma wote kwa wimbo mzuri Tanzania oyeeeeeee Changua jembe Msgufuli J 👏👏👏👏👏👏👏🖐🖐🖐🖐🖐
@nehemiaallen58714 жыл бұрын
Ni balaaaa nimejikuta natamani kuingia kwenye simu nafurahi kuzaliwa msukuma
@mariamuseifu30654 жыл бұрын
Ccm oyeeeeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥
@lameckmichaelmagazi63454 жыл бұрын
Shenegete CCM yamkaya
@japhetdaudmaneno84402 жыл бұрын
Haitatokeaaaaaa lala JPM mzalendo mwana wa Africa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪👍
@ludobudege16624 жыл бұрын
Hayo majembe ya mkaya,john pombe omkaya baraaaaaa zitoooooooooooo hii kali sana tatizo nyota kampeni imefana sana kwa mwendo huu kazi ipo kwenye uchaguzi huu yaaani ni shiiiidaaaa! Hapa hakuna matusi ni sera na burudani unaachaje xaxa kumuunga mkono uncle magu.
@azizauledi41084 жыл бұрын
Nice one safiiii sana mama💪💪
@pascalmstaarabu43724 жыл бұрын
Huwiiiiiiiii bana baryadi monitogishaaaaaa jpm juuuuu. Sebene lyangw' a bujiku hahaaaaa
@maryhaule56254 жыл бұрын
Uwiiiiiiii yaani nimechanganyikiwa jamani wimbo huu ni mwishooo JOHN POMBE NI JEMBEEEEEE
@luganomwasiba58044 жыл бұрын
Unajua dada nimependa sana wimbo huu
@perpetuasamwel90894 жыл бұрын
Hongera dada yake nakuelewa
@madamloveness72744 жыл бұрын
Hongera kwa aloimba Ni uzalendo kwa mkoa wako
@sospetermigera6854 жыл бұрын
Sisikii anachoimba hasa maneno anayotamka ila beat safi na wimbo pia dahh safi hatari ,mwanamuziki mzuri sana
@victoriastephano40754 жыл бұрын
Nawapata vizur wasukum wezangu
@cobbymajisu89434 жыл бұрын
Kwa kweli dada umefunika wimbo mzuri sana
@Elizabethmwanga-y5e Жыл бұрын
Mungu alikupenda zaidi nikishukur ila inauma pumzika kwa aman🙏🙏🙏
@noahmwasambulika49614 жыл бұрын
Safi sana ilumbu lwani, kazi nzur
@zaibonge78674 жыл бұрын
Hawa wamam waliovaa viremba na matisheti ya ccm nimewaangalia .hadi machozi yamenitoka aisee wamekomaa.maskini kutuhangaikia watoto wao .mwallah walaaniwe watoto ambao hawawasaidii wazazi wao wakati uwezo.wanao🙏😭 kwa waliofiwa na mama zao Allah awape.pepo ya juu insha Allah
@lippinesshaule23343 жыл бұрын
Tamu sana
@juniorsmart24834 жыл бұрын
Woyooooooo!Kwa wasukuma kumenogaa!Mpaka nywele zimesisimkaa kwa rahaaa!👏👏👏
@pessakapale1274 жыл бұрын
Oh! Waoooh! Mtu kwao bhana had rahaaa ad nmejkuta na mic om ghafla!!!
@salhamrishoaish92924 жыл бұрын
Ndio kabila gani
@pessakapale1274 жыл бұрын
Sukuma!!!
@gastonpetulo26894 жыл бұрын
Pesa kapale CCM hoyeee.Mtoto wa nzega ndogo hapa Sunday tuwasiliane pls 0756654088
@edwardbalele65834 жыл бұрын
Bado nairudiarudia hii nyimbo aisee,, Elizabeth Malinganya asante sana