Sasa 😅😅😅 chupi ya Naomi inaingiajr hapo 😂😂😂😂😂 akili za rafiki wa Naomy kiboko
@NaifinMohamed3 ай бұрын
Sikataka ajue vitu vya ndan ndio akajibu huvu 😂😂😂😂😂
@MagrethLucas-i6p3 ай бұрын
Duh lafiki wanaomi kiboko😮😮😮
@olicej78373 ай бұрын
Ni kigeu geu tuwe makini na marafiki kwa kweli
@FatmaAlly-w7p3 ай бұрын
Umejuwa kunifurahisha lulu jmn hadi raha
@HappyMtongwa-kp7hg3 ай бұрын
Hahaha duh rafiki wa Naombi jmn ni kiboko
@danielaugustino7053 ай бұрын
Mhhhhh.. dokoooo😂😂😂
@PraxedaJustinian3 ай бұрын
Dhahabu natamani nikunongoneze ili uwe makini umlinde best yako.
@mwanahizahamadi80293 ай бұрын
Dhahabuuuuu 😂😂
@OmarJaffar-fw4lt3 ай бұрын
Kwaiyo huyu zahabu anawasariti kina Naomi kweli jaman pesa
@olicej78373 ай бұрын
Yaani pesa inaweza kumgeuza mtu muda wowote
@PrincessHellen-pg1oy3 ай бұрын
Ninaaa Ana akili kama za Naomi 😊❤
@UmmyJumaa3 ай бұрын
Hadi raha doubledouble
@RehemaYakuti3 ай бұрын
Leo wa 6 naombeni like zangu🎉
@RoselyneKhavere3 ай бұрын
Matokea ni kwmba ana mjumba😢😢 sorry for that Nicky
@cristaezekiel10363 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Ila dhahabu 😂😂😂😂😂😂
@EddaKennedy3 ай бұрын
Big jiii jamani 😅
@SelinaNgumbao3 ай бұрын
Wa pili jamani
@rosemarymgimba36033 ай бұрын
Jamani Naomi amka nimemisi vicheko vyako
@pur-ple-girll-3043 ай бұрын
Dhahabu nin unatutendaaa ww 😢😢
@KingNamber3 ай бұрын
dhahabu alivyo mujibu Joseph nipend kl Ila kam dhaabu anata kumugeuk Rafik yake
@Mwanah-cg3ie3 ай бұрын
Anamgeuka😂😂 anaropoka
@shakilasharifa93 ай бұрын
Rafiki yake Naomi kiboko 😅😅😅
@ZuleykhaIsmail-rc5ly3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nmekuwa almasi na ww si umekuwa chupa cku hz 😂😂😂😂😂😂😂
@PrincessHellen-pg1oy3 ай бұрын
Nina anataka pesa kwa kaka yake kwishaaa
@DinahNish-bm9sr3 ай бұрын
Rafiki rafiki rafiki 😢😢😢😢
@lilianjohn60163 ай бұрын
Don't forget to put thumbs up guys❤🎉
@stephanosilinu37673 ай бұрын
Itakua poa kama kesho pia ataachia mawe tena
@SunnahAmry3 ай бұрын
Rafiki wa naomi mbona simuelewi 😢
@PrincessHellen-pg1oy3 ай бұрын
Card ipo kwa pintooooooo
@thumalove18863 ай бұрын
Yani naomi kamsababishia Steve matatizo bake brayan anamuwinda Steve kisa naomi Nick nae alkadhalika najee babake brayan akijua kua Nick pia anatembea na huyo naumi itakuaje 😂😂
@RoseKedmon3 ай бұрын
pinto amepita na hela zote...ni huzuni
@VERENICEMICHAELY3 ай бұрын
Alafu nadhani pinto ni mtt wa Naomi na Joseph haleluya move ni kali mno...
@danielaugustino7053 ай бұрын
Tupooooooooooo❤❤❤
@MaimunaNangabo3 ай бұрын
Baba jerome jamani mbona unamchukia mwanao naomi ivo 😢😢rudisha moyo nyuma mpende mwanao maana anakujali sana 🎉🎉❤❤😊
@FatmaAlly-d5v3 ай бұрын
Pinto kapita nahela
@GraciousEston3 ай бұрын
Nick stress mbaya
@SamilahMethod3 ай бұрын
Asante lulu
@PrincessHellen-pg1oy3 ай бұрын
Kwani baba Naomi mbona anamchukia sana naomi
@rosemaryegnatus69333 ай бұрын
Alibeba mimba akiwa shule
@UpendoAyubu-b5r3 ай бұрын
Alisababisha huyo baba kuwa kwenye wheelchair baada ya kuanguka alipokuja na mimba
Nkimwangalia dhahabu nazidi kukosa imani na marafiki kabisa
@SunnahAmry3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ata mimi dhahabu simuelewi 😢 @@ChangaJisava
@ChangaJisava3 ай бұрын
@@SunnahAmry hii ndo inatufanya tuwafiche marafiki zetu siri za maana
@SunnahAmry3 ай бұрын
@@ChangaJisava akuna rafiki duniani ukitaka uwe na maadui kua na marafiki yani rafiki anakuja kua adui mkubwa kuliko wale ambao sio marafiki zako yani mimi asaivi sina rafiki isipokuwa nina watu ambao naongea nao vizuri kila mtu naongea nae vizuri sio magombano kila mtu nampa eshia yake kama ataiitaj lakini sina mtu eti rafiki langu lake lake langu wa kumpa mafanikio yangu eti mwenzio mwakani nataka ninunue gali no sina
@Dissadissa-43 ай бұрын
Dah watu wanachukulia poa tu ila maumiv anayoptia Nicky waun tunayajuwa😓