tujuane tunao fatilia toka mwanzo hadi ssa ep ya30🎉🎉
@Sideboycomedy2 ай бұрын
Tupo hapa😂
@AngelaYala-t7z2 ай бұрын
Tup 😂
@esterkimalio88462 ай бұрын
Tupo
@CareenAkida2 ай бұрын
Tupo
@EfremuMwasumbi2 ай бұрын
Nipo
@LazarusMalya-f4b2 ай бұрын
Nimependa. Tamthilia hii. Na mashabikizake. Wako powa. Sana. Hawaombi like. Wana hadithia. Story. Ilivo. Na. Inaendaje. ❤❤nawapenda Sana. Mna akili sana
@sarapiaernesti49212 ай бұрын
😅😅😅
@sifamugwaneza87742 ай бұрын
#Lulu kipenz uwege basi unaturushia hata vipande vi 10 vi 10 jmn kazi hii ninzuri hadi mwenzenu sipati usingiz kwa kusubiliz hii kazi🥰🔥🔥🔥🔥
@cheiknamouna20582 ай бұрын
Dhahabu amekuwa msaliti Qunto amekuwa mwizi Joseph amezidisha unafiki Mama naomi kapata kazi yani yajayo yanafurahisha👌😂
@AishaRashid-z8k2 ай бұрын
😂😂😂
@stellanyamuhogota18322 ай бұрын
Yaan wanaonifurahisha humu ni nina,nick,dhahabu na familia ya Joseph najikuta nacheka peke angu duu kaz nzuri hongera mtunzi🎉🎉
@DianeManirakiza-vt5bl2 ай бұрын
Munatuburudisha hakika ,ebu pokeya mauwa yako Eliza tunaku love ,team nzima munaweza ongereni 🌺🌷🌸♥️👍🇺🇸
@GrolyMlawa2 ай бұрын
Usichokijuw sawa na usiku wagizaa🎉❤Ungejuwa unaenda kufanya kazi yakuuguza mwanao naomi
@SunnahAmry2 ай бұрын
Ndio nazitakaga comeent kama izi sio nataka Lik like wa shamba wa moja ok 😊 tuendelee na naomi ajui kama anaenda kuuguza mtoto wake na naomi sijui itakuaje maana ndio kama Sili yake inaenda kuvunjika 😅 ila naomi mjanja anaweza kumpanga mama yake ijifanye amjui 😅
@itsolly1102 ай бұрын
Hapo pa mama angenichapa pamenichekesha sana
@Maria-l4h3q2 ай бұрын
Huyu mix wa hapa club ananimaliza na mix ❤❤❤❤❤❤
@shes_cee2 күн бұрын
Uyu dhababu jamani 😢 I real like this drama 😊❤
@ZaleoFilmGroup2 ай бұрын
KIZAAAZAAA KINAIBUKA HAAHAAH MAMA KAMLEE MWANA NYUMBA YA BOSS
@Metrofx_182 ай бұрын
Leo tunazisubiri kama nini an😂😂😂all in all this series is hot🔥🔥
@MaryLyimo-z1x2 ай бұрын
zinatoka lini jmni tena dar
@hawasaid71512 ай бұрын
Yan mm sio jambaz lakin nimecheka eti "mama alisema nisipomuonesha atanichapa" ila jalome 😂😂😂
@mariamagenda1492 ай бұрын
Napenda Nick alipocheka nilimsubir nicheke nae😂😂😂😂
@khadijahhussan1822 ай бұрын
😂😂😂Uyo baba Naomi na gubu lake ngoja aamke uone io kazi kama utaenda Bola usimwambie
@Jdshhd-rr3zy2 ай бұрын
Weeee kazi ipo congratulations kwa wote waigizaji
@AishaModi-eg2vq2 ай бұрын
Kazi nzuri sana aki❤❤❤❤
@AlimaSalumu-o3f2 ай бұрын
Eti mama atanipiga 😂😂😂😂 nimecheka mpaka naliya uyu kaka yake naomi atanipasuwa mbavu mm 😂😂😂
@happymosses82872 ай бұрын
Sema eliza unamakusudi😂😂tukomeshe mama😂hapa hadi wiki tena daah
@Nailaty5642 ай бұрын
Mama anakuja kumuguza mwanae😂😂😂
@Maria-l4h3q2 ай бұрын
Yaani nimecheka kama Nick vile 😂😂😂😂😂😂😂😂 ety mama atanichapa duuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mariethachitema2 ай бұрын
Kwahy Mama Naomi ndo ataenda kumuuguza mwanae,yajayo🙌🙌
@esterkimalio88462 ай бұрын
We Side umezinguq,,,,mama atakuchapa 😂😂😂😂,,,side msalimie wifi yangu Tausi
@neykidoti1022 ай бұрын
Masikini mama Naomi angejua kazi yake ni Naomi asingefurahi, hapo pa mama atanichapa 🤣🤣🤣
@UpendoMwinuka-o8h2 ай бұрын
Jamani ni zuri sanaa❤❤
@LucyKiboha-xm9lb2 ай бұрын
Khaa huyu Dhahabu anakera jmn ila ni mfano halisi wa marafiki
@@jenipherangelo1740anakula ela tu kama ni uhalisia unauliwa 😂😂😂
@AishaRashid-z8k2 ай бұрын
Anaboaaaa yan😂😂
@thumalove18862 ай бұрын
Brayan kaa ukijua babako ndie adui mkubwa hata unako fanya kazi😂😂😂
@LucieGolden2 ай бұрын
Nakubaliana naww aisee
@PrincessHellen-pg1oy2 ай бұрын
Mara glory ndo anaishi humo ndani na ndo aliepika chakula
@jenipherangelo17402 ай бұрын
😂😂😂😂 jelome kakaa Kiswahili swahili san
@calvingeorge68482 ай бұрын
Jamn eliza tupe ata kumi au kumi na tano af ndoukae kimyaaa🙆♀️
@mariamagenda1492 ай бұрын
Mdogo ake Naomi kanichekesha ety alisema atanxhapa 😂😂😂😂😂😂
@lastonemwenda50832 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Bintabubakar-id2so2 ай бұрын
Lulu upone jaman tusha miss heka heka zako❤❤❤❤
@KingNamber2 ай бұрын
mbon inazidi kunog ivi Naomi akija kuzinduk akakuta musaidizi wake ni mama yake storyy itakuwa ipi 🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yenu
@dorcasmueni22902 ай бұрын
Nzuri sana
@RoselyneKhavere2 ай бұрын
Baba Steve,utakamuliwa hdi ukue bankrupt 😂😂 shopping, gari,now million moja 😮😮
@Daniella2492 ай бұрын
Mpaka nikacheka na huku 😅😅😅😅😅 eti mama alisema nisipo muonyesha atanichapa kama litoto vile
@SleepyOutdoors-zm2ys2 ай бұрын
Mwendelezo tafadhali..
@ZulfaAlly-sq7fn2 ай бұрын
Jamani tunaomba muendelezoooo 31
@DeliphinaCosmas2 ай бұрын
Yaaan Kuna kabet kananikumbusha tamthilia ya Sanam ya sopanga
@VictoriaManuellucasАй бұрын
Ni kweli jamani❤❤❤❤
@Chk802 ай бұрын
🥳🥳🔥 episode Kali sana inayofata
@upendommbaga70702 ай бұрын
Mama alisema nisipomuonyesha atanichapa hahaaaha
@merveilleumutoni65672 ай бұрын
Maman naomiiiiiii🥹kwenda ku muuguza mwanae😭maskiniiiii
@hutahuta11702 ай бұрын
Mhh huyo baba sitivu jingakwer linaoteza pesa bule
@ConsolataIsdory2 ай бұрын
Proud of you God bless your tallent
@NaomiMichael-lr2ny2 ай бұрын
Hakuna kupoteza mda 🎉🎉🎉
@sarahmwasenga80062 ай бұрын
Watu hawalali❤🎉
@Esperance-uw7lf2 ай бұрын
Nimependa huyumuchezo wenu
@GrolyMlawa2 ай бұрын
😂Vivian nawe uliyatimba kwa nick vinywele bandidu muda wote ukikaa na wewe unamume ?unamajanga? Any way! Kazi ni nzuriiof cause🎉🎉🎉
@RayaSafari2 ай бұрын
Loooo Naomi mamako yuwaja😂😂😂😂😂😂
@Maria-l4h3q2 ай бұрын
Jaman mwendelezo 😢😢😢😢😢
@Sideboycomedy2 ай бұрын
Kila muda napita kuchungulia hakuna kulala😂
@manirambonajeanne38762 ай бұрын
Hata mimi😂😂😂niliamuka sasaba mucana nikapata 2 nikatulia jioni Tena nikaona 2 😂😂😂Saii Tena 1 😂😂😂nainjoy
@Sideboycomedy2 ай бұрын
@@manirambonajeanne3876 😂😂😂
@mwakaathuman56372 ай бұрын
Baba Naomi mke kapats kazi
@BeatriceKalulu2 ай бұрын
Yaaaaaan bora kuwa mwenyewe maaaana🤨
@mwanaally31902 ай бұрын
Mi mvivu kuangalia tamthilia ila hiii ime nivutia sana
@cristaezekiel10362 ай бұрын
😂😂😂😂😂Bryan 😂😂😂mzee wa maadili 😂😂😂😂
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
Kwn hii milango ilijengwaje,inalia sana kufunguliwa iffcni kwa joseph nyumbani kwa kina Brian etc
@munamamaj96222 ай бұрын
Mama atanichapa😂😂😂😂
@asiaisaka28982 ай бұрын
Imeishia patamu😂😂
@AshaSaidmrish2 ай бұрын
Mtafarukuu
@GrolyMlawa2 ай бұрын
Baba steve🎉(Joseph) acha unafiki khaaa
@shantellemwanakombo37032 ай бұрын
Mama naomi anaenda kumuuguza mwanae bila kujua
@AshuraKigoma-vf7wb2 ай бұрын
😂😂😂Jerome jmn😂😂🎉
@gracedapary45682 ай бұрын
Tupooooo🎉
@tunuyaomar50172 ай бұрын
Lawama nyingi zitamrudia dhahabu ila kiubinaadamu dhahabu amechoka wenzie wanaingiza pesa huku wanalipa visasi ila yeye hana anachoingiza ni rahisi kubadilika..
@AishaRashid-z8k2 ай бұрын
Aaah roho mbaya tuh bnaa amna lolot🙌
@roseafrael752 ай бұрын
Hata kama ni mm kwakweli siwezi kuvumilia mtu anitumie kwa masilai yake binafsi huku mm sioni faida yoyote yenye tija kwa upande wangu never ever,,.
@AlmasiShabani2 ай бұрын
Kilicho mbadilisha zahabu sio pesa nimapenzi ndivyo wanawake wengi walivyo wanajitoa kwajili ya upendo TU wanaamini hvyo ata awe mkeo uchume nae Mali usote nae yee ajali ila ukimdisi love yupo teali kukufanyia chochote
@NeemaKikome2 ай бұрын
Alhamis mbali
@marthalangia2 ай бұрын
Sanaaa😢😢
@mariachuri71232 ай бұрын
Tumwambie mama Naomi anaenda kumuuguza mwanae ama tumwache😂
@pur-ple-girll-3042 ай бұрын
Tumuache tukimwambia ata yazagaza
@olicej78372 ай бұрын
@@pur-ple-girll-304😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@PraxedaJustinian2 ай бұрын
Atayakuta uko bhana muache2
@BerthaModest2 ай бұрын
💔🙌dhahabu kiboko
@BrendaJimmie-hj1lf2 ай бұрын
Ila dhahabu anatak kuharibu kote kotee jmn tamaa hiz ni mbaya san me ndo maan sina marafiki
@AngelaYala-t7z2 ай бұрын
Umisha una Kumbe 😂
@manirambonajeanne38762 ай бұрын
Kalianza vizuli katamalizia vibaa sana nimeanza kukacukia
@cristaezekiel10362 ай бұрын
@@manirambonajeanne3876😂😂😂😂Dhahabu ni mfano wa marafiki zetu ,kwakweli inatakiwa kua makin na marafk zetu Kutunza siri ya mtu mbele ya pesa nyingi ni ngumu sana 😂😂😂😂😂😂
@maijakipingu-yn8uj2 ай бұрын
Dhahabu ni halisi kabsa wa marafiki zetu. Mimi ni friendless coz nishasalitiawa sana na hizo ng'ombe tunazoona ni kila kitu kwetu
@AishaRashid-z8k2 ай бұрын
@@manirambonajeanne3876yan simpendiiii😂😂
@CharifaRachidi2 ай бұрын
Uyu dhahabu anataka kutuharibia
@gracerichard81452 ай бұрын
Mi nikisemaga kuacha pombe mpaka mtama uache kulimwa wananishangaa ona brython sasa alivyochangamka na usingizi utapatikana😂😂
@nahyahya73492 ай бұрын
Mwanamke mwanamke unakua mlevi mmmh
@GraceRoman-xw7xm2 ай бұрын
Jmn yn tunakaa jtano kwa jtano duuuh
@TracyDumba2 ай бұрын
Lizahabu linaanza kunikera😖😑💔
@mariamjoseph78362 ай бұрын
milango ya humu ndan inapiga makelele
@Teddy9004-p5f2 ай бұрын
Sa itakuweje mama naomi 😢😢😢
@danielaugustino7052 ай бұрын
Hilaaa dhahabu kama mtt kautakaaaaa
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
Pesa ndio sumu ya kila kitu simlaumu dhahabu
@EfremuMwasumbi2 ай бұрын
Stiv ukijuwa ukweli wanaomi atamkumbuka grol
@GrolyMlawa2 ай бұрын
Brayan🎉🎉mpe baba Ako ukweli umwingie akilini mwako et umekuwa Mzee wa maadili humu ndani?😂😂😂😂❤
@GladysTimothy-v3uАй бұрын
Kwaiyo dhahabu anamzunguka tena naomi
@AnnaAgustino-d4bАй бұрын
Yani😢😢
@BebydalyusDalyus-j9r2 ай бұрын
Nyie utamu uu aurezek
@MamaAshraq2 ай бұрын
Yeah noma sana
@Tiktokvideo84-d3u2 ай бұрын
Jaman tuekee bc muendelezo😢
@echikyabu61542 ай бұрын
Nick hana zuri😂 ye muda wote makasiriko dah😢
@BerthaModest2 ай бұрын
Aliumizwa ivo alivyo na ajapona bado plus akipenda tena wanazingua ndo kabisa
@Mercy-pq4ye2 ай бұрын
😂😂😂😂 Nickie❤
@meckraudndelwa-jv8co2 ай бұрын
Nyamlawa kma chizi ila wahuni wotee 🫡
@ChristineRobi-y6u2 ай бұрын
Nawapenda jamn mbona mnatuchelewesha
@MuhammadLapadula2 ай бұрын
Nikijua mambo yameisha
@olicej78372 ай бұрын
Huyu nyaurawa ni dili moja la kumuua steve nini mbona anajua adi siraha imechukuliwa asubuhi 😢😢afu zahabu sikuelewi ujue na hiyo makekis😂😂😂😂😂
@francistadayo15692 ай бұрын
Sahihi
@Yourfinearts3602 ай бұрын
Lulu hulali jamani😂
@GloryMaiko-yz6bq2 ай бұрын
Jaman episde31 mbona haitumwi kila mda nachungulia😢
@SleepyOutdoors-zm2ys2 ай бұрын
Hii ni Zaidi ya tamthilia❤🙏🙏🙏🙏🙏
@FedhaLuhunde2 ай бұрын
Niwe tu mkweli dhahabu namchkia now kwa ajiri ya tamaa zake za kipumbvu anawachomesha wenzake😢😢
@AishaRashid-z8k2 ай бұрын
Yan nahic we haumchukiii me simpend kisengeee😂😂😂
@rebeccazagabe2 ай бұрын
huyo rafiki wa Naomi mbone simuelewi
@LucieGolden2 ай бұрын
Hivi kuna mtu anahangaika akikosa bando jtano au alhamisi?maana mi nachanganyikiwaga kabisaaa