Mama Gee mama umekawia mbona jaman kutuma mwendelezo😢😢😢😢😢😢😢😢
@ChristineKesi-k9r4 ай бұрын
Hongera Sarah -the script writter,itso nice,uko genius
@marthalangia4 ай бұрын
Aaah movie imechachuka hii balaa yaan wee Naomi unachowafanyia wenzio yaan wao na ss hatujui unawataka nn pole Mr Joseph
@naomikisaba57854 ай бұрын
Sema pinto anafanana na ally kamwe
@mamasalhat4 ай бұрын
Mie nilizani yeye
@AmyMpogazzi-ei3ou4 ай бұрын
Uongo pinto anamuzudi uzuli bwaans
@manirambonajeanne38764 ай бұрын
Wanafanana juu Huy bad kijana mudogo@@AmyMpogazzi-ei3ou
@sarapiaernesti49213 ай бұрын
😅😅😅😅
@naomimeshack831927 күн бұрын
na kwel😅😅
@esterkimalio88464 ай бұрын
Ahaaa lulu,,,asubuhi kabisa
@PaschaziaFesto4 ай бұрын
Mama Steve tangu nikujue hujawah niangusha tangia kwenye uhuru na gharama zake
@BEATRICEMASEKE-x5i4 ай бұрын
HV alikuwepo kwl! Aliigiza kama nani?
@AmyMpogazzi-ei3ou4 ай бұрын
Yaani mpaka Raha huko uhulu unagarama
@PaschaziaFesto4 ай бұрын
@@BEATRICEMASEKE-x5i alikuwa ni mke wa babaake mdogo na jasmin
@BEATRICEMASEKE-x5i4 ай бұрын
@@PaschaziaFesto ooooh mekumbk
@fatmaathumani71164 ай бұрын
Nikikumbuka mama tulikua tunamuita simba jike baba tulikua tunamuita paka chongo😂😂 yani ukikosea baba anapiga jicho flani hv lenye onyo na kipigo ndani yake alafu mama yeye akikushika utaomba ardhi ipasuke uingie alkua na staili yake ya kifinyo kwenye mapaja 😂😂😂 hzi dady dady hzi 🙌
@danielaugustino7054 ай бұрын
Bdoooo tupooo xnaaaaaa humu.......😂😂😂😂😂
@agnessbahamu39314 ай бұрын
Steve siku ukikamatwa na nicky utaita maji umma😂😂😂😂
@VeronicaRugoyi4 ай бұрын
😂😂😂😂
@KassimKhalaid4 ай бұрын
Nancy mmpole sanaa na rangi yake nziri I reel like I do
@hutahuta11704 ай бұрын
Mhh kazi pambe😂
@chunaabdullah13334 ай бұрын
Sitivu si umeona unamkomoa mzee wako🤣🤣🤣🤣jamaa mwehu kweli
@MahaSaeed-hf3gs4 ай бұрын
Good job guys❤❤❤❤❤ all the best❤❤❤❤
@RuthKoko-mj1yc4 ай бұрын
Kitu ✨✨
@LaureineNiyonyishuАй бұрын
Hio action nimesikia mii mwenyewe ao😂
@Teddy9004-p5f4 ай бұрын
Steve kama tivuuuuuuuuuuuz😂😂😂😂😂😂 in Livermore
@ErickBeba-y5z3 ай бұрын
Jamaniii mnachelewa episode zinazofuata
@GyBh-f7h2 ай бұрын
Nilijua tuh naomi anahusika kwa pinto na mercy kujuana😅😂
@DorcusKissia4 ай бұрын
❤❤❤❤naenjoy sana🎉🎉🎉
@magdalinemwikwabe865527 күн бұрын
Kuna viumbe huwa vinajitafutia razi tuu Steve!!!!!
@danielaugustino7054 ай бұрын
Dogo litakukutaaa jamboooo....😂😂😂
@Teddy9004-p5f4 ай бұрын
Lizabeth thank u❤❤ tommorrow again bibiie ❤❤❤❤❤
@CarolineDominic-c8d4 ай бұрын
Mtoto wangu Wa kumzaa halafu ashindane na mim aisee sijui vile nitafanya duh steve amenishangazA sana
@BerthaModest4 ай бұрын
Muombe mungu carolie
@mathildemwangaza1092 ай бұрын
Joseph nakupenda sana
@stellajoseph14054 ай бұрын
Naomi kapanga kuvuruga kabisa familia😂😂😂😂adi pinto jaman
@Sideboycomedy4 ай бұрын
Daah ila naomi🙌unamuua hadi mama ako we kweli kiboko😂
@MaryTesha-le2ql4 ай бұрын
😅😅😅😅 aisee mama kafa afu mzee makelele alienda nje ya nchi🤣🤣
@Daniella2494 ай бұрын
Stive sikio la kufa jamani 😅😅
@estherkeba244 ай бұрын
Eliza acha manyanyaso👌😭 tunaomba 16... kwendelea
@OfficialElishamaMulokozi4 ай бұрын
Ila @elizabeth michael aongea kuhusu mngeluta kama nyingine @i am khizzer kabisa 😮😮😮
@SharonEliseba4 ай бұрын
Much appreciate but Steve maamuzi anayo chukua kitamramba i see Steve
@marryofficial91434 ай бұрын
Mapema tuuuu😊😊
@ConsolataIsdory4 ай бұрын
Very nice ❤
@JohnJekela-n8y4 ай бұрын
Mbn kam Pinto na Naomi...mmh there is something😂😮
@PrincessHellen-pg1oy4 ай бұрын
Tuliaaaaa 😂😂😂
@mwanaidikingazi42224 ай бұрын
Wanajuana yaaani ndio ameamua kushambulia familia ya Joseph
@manirambonajeanne38764 ай бұрын
Wanajuwana Naomi anatoka asambalatishe hiyofamilia vizuli kamushika sitven na hakokasishana Sasa anataka pinto amushike huyomusichana mwingine
@rahimaaaaa56824 ай бұрын
😂😂😂😂😂@@PrincessHellen-pg1oy
@agnessbahamu39314 ай бұрын
@@manirambonajeanne3876sio poa lkn kulipiza kisasi na watu wasio na hatia😂😂😂Naomi mhuni sana
@heavenmakulila20284 ай бұрын
Jmn baba kama baba 😂😂 protect 😅
@nancyg86644 ай бұрын
😂😂yan very protective
@cristaezekiel10364 ай бұрын
Ila naomi 😂😂😂😂😂
@zahararamadhan29614 ай бұрын
Hatimae❤
@LilianNgonya4 ай бұрын
Asanten kwa move nzur
@nancyg86644 ай бұрын
😂😂mzee anasikiliza mpk arufu ya chooni
@zaynababdullah30614 ай бұрын
😂😂😂😂ila Naomi jamani
@aysherkhamis33384 ай бұрын
Naomi kaona bora amuue mzee wake😂😂😂
@irenejane42133 ай бұрын
Naomi seketa ya umalaya sikuwezi😅😅😅
@chunaabdullah13334 ай бұрын
Kwa iyo ukaamua kuuwa mamako Naomi surely 🙄🙄yuko na ajenda gani Naomi na hii familiar
@Emily-k984 ай бұрын
Steve utajuta😂😂😂
@PapiaDeogratiusMpangaje4 ай бұрын
Samahani naomba kuuliza hivi duniani kuna watoto kama sitiv
@TUNUMBWANAMZAMO4 ай бұрын
Lakin ipo cku stive utamjua vizur naomi❤❤❤❤
@Maria-l4h3q3 ай бұрын
Hata baada ya kujua Naomi vizur Naomi atamueleza navyo chukiwa na babake na umaskini pia Steve ataendelea na naomi
@VeronicaRugoyi4 ай бұрын
Wee naomi mungu anakuona
@EliainenyiMosha4 ай бұрын
Kuna siku mtamuelewa Joseph ❤
@rehemahassan74754 ай бұрын
Jamani mama G tunataka muendelezo wa mimi kama mimi 😢
@EsterMsigwa-kd5pr4 ай бұрын
Mtoto hana adabu kabisa
@UmmyJumaa4 ай бұрын
Nzuri jamani
@ireneevaristo55524 ай бұрын
Ila Naomi😂😂😂😂😂anavyojiliza sasa mweeee
@cristaezekiel10364 ай бұрын
😂😂😂😂😂Joseph 😂😂😂😂😂😂
@JamalKivambe4 ай бұрын
Jaman naom ni muongo na nusu
@NasmaJuma-g8w4 ай бұрын
Jamani tunaomba muendelezo please
@VeronicaVitalice3 ай бұрын
Mwanamke mpumbavu huaribu yumba yake Kwa mikono yake yy mwenyewe..,. Mama steve take care
@MalkaNinik3 ай бұрын
Tena sana maana yuwatetea sana uchafu bilakuzingatia
@HappyNhonya-i3e4 ай бұрын
Jaman brian mbn kafanana. Na Asagwile❤
@dellahmonie79694 ай бұрын
Nilijua ni mimi peke angu..😊
@gloryjimson98314 ай бұрын
Bora hata wewe umeona
@AmyMpogazzi-ei3ou4 ай бұрын
Hapana jamani 😅
@mathildemwangaza1092 ай бұрын
Joseph you are right
@faithkaganda-k3s4 ай бұрын
Naomi kumbe unamjua hadi pinto😅😅🙌
@KidotiTwiga4 ай бұрын
Tena ukute yy ndio kamtuma amuharibu nancy😂
@iamanoutstanding_creation4 ай бұрын
@@KidotiTwiganilivyo ona kicheko nikahisi tu
@faithkaganda-k3s4 ай бұрын
@@KidotiTwigakabsaa😂😂
@IRENEKOMANYA4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅yaaan aisee kaivagaa familia
@julianamalanyingi4 ай бұрын
Jamani ep 16 basi dear
@EstheurWabenga4 ай бұрын
Naomi atamufanya Steven mpumbavu kwakweli🤣🤣🤣🤣
@Etienne-zs5wt6ht3m4 ай бұрын
Ivi naomi anatafuta nini kwenye familia ya Steve mwenye anajambo karibu atwambiye😮
@auntmakochela42024 ай бұрын
😂😂😂😂 urud asubuhi mtoto wa kike na unajifanya ujali kitu unapita mbele ya wazazi bila woga saa ngapi sijakulamba mbapa la maana ukalale nalo
@JacklinePaul-p2z4 ай бұрын
Watu wengine wanahisi kama wakiwachapa watoto eti hawawapendi mi sina ujinga huo nakubutua ukikimbia nakurushia Hata sufuria
@auntmakochela42024 ай бұрын
@@JacklinePaul-p2z 😂😂😂😂 akina Dady na mumy ndio wenye haya malezi
@pechiealcon11324 ай бұрын
😅@@JacklinePaul-p2z
@MauaNassor4 ай бұрын
Nani ameona kma huyu kijana ambae ashaanza kupendana na msomi😅 na naomi kma wanajuana
@wemaallen38672 ай бұрын
Ila Naomi 😂
@nipaelkinkoro31692 ай бұрын
Natamani niwe kma mama steve nikija kuwa Mama
@FaustaKessa4 ай бұрын
Naomi shikamoo 😊
@mariamkimati58574 ай бұрын
Naomi weeee😂😂😂😂😂😂😂
@PraxedaJustinian3 ай бұрын
Naomi we nikiboko. Hakika unayaweza mambo yote ongera
@violethaloice2124 ай бұрын
Jamani kila siku nachungulia nakuta bado ujapost muendelezo unatuonea ujue