Wananifurahisha sana familia ya mumy na Dady 😂😂😂😂 Mwenyezi Mungu akinipa utajir anipe na akili na kujitambua watoto wangu siwezi kulea hivi labd tu waumbwe hivyo
@RoselyneKhavere3 ай бұрын
Mama Steve uko sawa..❤❤tangu lini baba aombe Naomi msamaha😂😂.ata mm ni mzazi siwezi kubali Hilo...
Dah Brayn kumbe alizngua mwenyewe alafu anakuja kuzngua tena kwa muuni nck dah 😢
@Misanyahidaya3 ай бұрын
Tathilia nzuri sana nainjoi kwakweli
@lailalaila62973 ай бұрын
Nimo ndan🤗
@ChristineKesi-k9r3 ай бұрын
Oohk sio msamaha he was just fooling him😂
@brendachibura60403 ай бұрын
Au Mwiba ndo mtoto wa ma Brian wa kwanza??????. Alafu tofauti kati ya mwanaume na mwanamke ndo hii ya Brian na Nicky ona walivyosolve kwa akili sio hisia jmn kuna kitu cha kujifunza wanawake
@maseleenaesleen81493 ай бұрын
Hiyo ya Brian kumuua Nick ndio solution nzuri ama
@SalvinJastin3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣pinto hajaja mazoezini 😅😅😅
@AngelRichard-q6r3 ай бұрын
😂😂😂😂 hii inaitwa adui usimpe nafasi
@AliceSidi-d3n3 ай бұрын
Hatimaeeee❤
@NuwayraGinger3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂pinto hajaja mazoezi 😢
@NuruOmary-nc2xh3 ай бұрын
Naa ni mwehuu😂😂
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Awa awatoto wanataka kumuua mamao na nawazo
@BeneSimeo3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 kaz ipo kwel so kwa mapenz hayo ety daah has kama huyo bint anae jiliza liza kijinga jinga
@monicaalute31433 ай бұрын
Mama stive hao watoto watakuuua
@BerthaModest3 ай бұрын
Afu uyo pinto katumwa na naomi
@SalvinJastin3 ай бұрын
Wee mbn umeamua kutufungua macho mapema hivyo😅😅
@EfremuMwasumbi3 ай бұрын
Namuonea huruma mama stiv akijua Naomi aliwahi kuwa mpenzi wa mume wake
@mamuumoses95473 ай бұрын
naomi aliingia mahusiano na baba stev kulipiza kisasi maana naomi alibakwa na baba steve huku awali
@olicej78373 ай бұрын
@@mamuumoses9547kumbe 😢
@rizikiMwafungo-ge7fh3 ай бұрын
Mbona mnamuuwa ruka
@stellajoseph14053 ай бұрын
Wooow
@lydiajuma013 ай бұрын
ETI STEVE KUMBE NI MWANANGU 😅😅😅😅😅😅
@ZenaKambi-d6n3 ай бұрын
𝐇𝐞𝐰𝐚𝐚𝐚𝐚𝐚 𝐰𝐚𝐠𝐢𝐝𝐢 𝐡𝐞𝐥𝐮𝐮𝐮 😂😂😂😂
@ZuleykhaIsmail-rc5ly3 ай бұрын
Mbna heluuuu 😂
@SalvinJastin3 ай бұрын
@@ZuleykhaIsmail-rc5ly🤣🤣🤣🤣nimecheka kama falaa
@EfremuMwasumbi3 ай бұрын
Namuonea huruma stiv angelijua kuwa baba yake aliwakuwa mpenzi Naomi asingemwambia baba yake amuombe msamaha naomi
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Hatimaye brian na nick wameyamaliza
@MwanswidaSwida3 ай бұрын
Weeeh so kwa vile bhana😂
@allybin083 ай бұрын
❤❤❤
@Tomthoya-f7f3 ай бұрын
Nipo Kenya 🇰🇪
@fatmaathumani71163 ай бұрын
Brayan unaingia kwenye vita mpya 😢 na muhuni
@DinahNish-bm9sr3 ай бұрын
Mama steve una kazi kwa wanao😂😂
@VeronicaRugoyi3 ай бұрын
Naomi hurmia hii familia😢😢
@Tomthoya-f7f3 ай бұрын
Naomba nafasi ya kuakity muvi
@estherpaul38643 ай бұрын
Nan mwingine kaona mwendelezo wa disappointment 😅
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
😂😂😂😂
@NadiaAlladin3 ай бұрын
Mimi apaa nauona muendelezo..... tena hizo disappointment zinakuja kasii balaa😢😂😂
@olicej78373 ай бұрын
Afu mimi nahisi pinto wanafahamiana na Naomi 😂😂😂😂😂😂hii mission ilimradi tu naomi avuruge family ya kina steve😂😂😂
@azzaalmalki413 ай бұрын
Ndio wanafahaniana
@julianamaganga48033 ай бұрын
Sijui imemfanya Nini hi familia
@esperancekamikazi54793 ай бұрын
Uyo baba stv samwambiye kijana wake ukweli ajuwe
@OmarJaffar-fw4lt3 ай бұрын
Pinto 😂😂😂😂
@Prishnakdrama3 ай бұрын
Wakwanzaa
@ChristineKesi-k9r3 ай бұрын
Brian aomba Nicky msamaha wa nni,kvp,na yy ndiye aliyekosewa au😮
@MalkaNinik3 ай бұрын
Sialimchukuwa Vivian kwaiyo ame Kiri makosa kama yeye nimkosaji
@UnrulyHope-e9j3 ай бұрын
Brian umemfanyia nn tena Nicky😢
@EfremuMwasumbi3 ай бұрын
Baba stiv hawezi kukubali hata siku moja stiv Aishi na Naomi ukweli anaujua
@rahmabakari76953 ай бұрын
Steve akija kujua anatumika tu itakuwa too late
@SwalehBakthir3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@silvahalfred11793 ай бұрын
Bryan naye bwege,,nkuombe msamaha how now
@hajijuma51623 ай бұрын
🎉🎉🎉
@Saripa234-u7g3 ай бұрын
Nendeni mkapime DNA
@GraceRoman-xw7xm3 ай бұрын
Hii familia kiboko
@HijiuwesuHaji3 ай бұрын
Nicky na brayoo ni ndugu
@antoniakimario78672 ай бұрын
Hapana secretary wa kiume wa Joseph( Mubah) na brian ndo ndugu
@joycestanslaus1793 ай бұрын
Mwiba ndio kaka wa brian
@nelsonmataba14263 ай бұрын
Asa upara noni stop ndio nini?
@francistadayo15693 ай бұрын
😂😂
@SharonAron-x2s3 ай бұрын
Hahahaha
@ChristineKesi-k9r3 ай бұрын
Ths is against mila na desturi za kiAfrica eti wanadiscuss uja uzito wa Vivian na Baba mkweo,....aai not right at all🤔
@jemimajerome39713 ай бұрын
Kumbe😂
@SalmaNguzo-h6h3 ай бұрын
😂
@LovenessJames-i2s3 ай бұрын
Nawe umo😊
@BEATRICEMASEKE-x5i3 ай бұрын
Mi cjamuona vivian tangia nimekuja kwko nikaa.....😂 Nicky bhn ungemalizia tu