Mimi S01Ep11 (TV Series)

  Рет қаралды 26,666

Elizabeth Michael

Elizabeth Michael

Күн бұрын

Пікірлер: 110
@rosemlokozi8826
@rosemlokozi8826 3 ай бұрын
Napenda baba Steve anavyo ita sweetheart
@AshaJuma-dz6hq
@AshaJuma-dz6hq 3 ай бұрын
Yaan nilikua naisubri kwa hamu mmmh❤
@monicaalute3143
@monicaalute3143 3 ай бұрын
Mwenyekit wa jua kali anapenda hela, wizo hatunae tena, Naomi Kwa Joseph Mungu ndyo anajua
@Sajdayusuf
@Sajdayusuf 3 ай бұрын
😂😂😂
@Sajdayusuf
@Sajdayusuf 3 ай бұрын
Wanasheria wanakula mema ya nchi jqman😅😅😅milion 10 kesi anauziwa kapuku akafie mbele😅😅😅
@zawadiphilemon2450
@zawadiphilemon2450 3 ай бұрын
Utamu tenaa umekuja like kama zotee jaman
@NasmaJuma-g8w
@NasmaJuma-g8w 3 ай бұрын
Daah unazidi kunoga jaman❤❤❤❤
@FRANKIssa-qy5pg
@FRANKIssa-qy5pg 3 ай бұрын
huu mama wanyumba hafai kuleya familiya
@MuhindoFabrice-n8k
@MuhindoFabrice-n8k 3 ай бұрын
Nimeshelewa😢😢
@TUNUMBWANAMZAMO
@TUNUMBWANAMZAMO 3 ай бұрын
Maskin brayan jikaze baba ndo maisha❤❤❤
@zuwenahassan3624
@zuwenahassan3624 2 ай бұрын
😂😂
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 3 ай бұрын
Jaman blian anapitia changamoto nzito
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 3 ай бұрын
Sana yani 😢
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml 3 ай бұрын
Wapenzi mwajua mpaka basi 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@LoyceWambo
@LoyceWambo 3 ай бұрын
Wa sita apa 🎉🎉
@neykidoti102
@neykidoti102 3 ай бұрын
😂😂😂Wizoo kama wizoo
@ZahraKigwinya-r1x
@ZahraKigwinya-r1x 6 күн бұрын
Jmn so kwa ubaya hii move ni yahivi karibuni au
@RoselyneKhavere
@RoselyneKhavere 3 ай бұрын
😂😂 Naomi uko funny....kamwambia Joseph itabidi ufe....❤
@ireneevaristo5552
@ireneevaristo5552 3 ай бұрын
My wizo umeingia kwenye mfumo😂😂😂😂😂
@NadiaAlladin
@NadiaAlladin 3 ай бұрын
😂😂😂ila kinge cha lawyer wa Mr Joseph bana🙌🏻😂
@neemamkambwahamisi4718
@neemamkambwahamisi4718 3 ай бұрын
Nimechelewa jamani nipe like jamani.😂
@danielaugustino705
@danielaugustino705 3 ай бұрын
Huyu mwakubusi kashindwa kesi kabisaaa😂😂😂😂😂
@hutahuta1170
@hutahuta1170 3 ай бұрын
Kazi nzr❤❤🎉
@gloryjimson9831
@gloryjimson9831 3 ай бұрын
Woooow🎉🎉🎉🎉🎉🎉yenu
@AkimanaDomie
@AkimanaDomie 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nzuriii
@agathamartine
@agathamartine 3 ай бұрын
Huyu Baba Joseph anajua kuigizaa jmniii
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Wakongwe ao wa bongo movie
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 3 ай бұрын
Nimkongwe huyo alianza kabla hata JB
@EliufooMassawe
@EliufooMassawe 2 ай бұрын
Uyo ni mkongwe wa enzi ndio.aliomfundisha jb
@agathamartine
@agathamartine 2 ай бұрын
@@EliufooMassawe ile nyimbo yake unaijua
@VestarProjest
@VestarProjest 3 ай бұрын
Jamn uwe unapost 2 kwa siku ❤❤
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 3 ай бұрын
Utaweza naweee Uwe unapost 2?
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 ай бұрын
Wow Nancy wangu karembo jmn I like her soo
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 3 ай бұрын
Sio ww tu Brian hata mimi nikikutana na Nicky natoa nyanya chungu zake 😢 nikiwa km dada wa Brian 😂😂😂 Nicky mamae sana huyu
@naomiribson4615
@naomiribson4615 3 ай бұрын
Dada lulu unatuweka sana please 😢tuonee huruma
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 3 ай бұрын
😂😂😂😂Ila joseph jamani 😂😂😂😂ni naomi ,naomi ,naomi
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 2 ай бұрын
Naumi!! Huyu wizo wako atakusema tu!!
@ritarama2116
@ritarama2116 3 ай бұрын
Ni mimi ,mimi ,mimiiiiii
@SubiraLuhanga
@SubiraLuhanga 3 ай бұрын
Nakupenda brayan
@HamisaAmani
@HamisaAmani 3 ай бұрын
Msomi kaanza kuleta wahuni tena nyumbni 🤦🏽‍♀️+ mabusu Hii scene hapan 💔
@AnastaziaViatory
@AnastaziaViatory 3 ай бұрын
uzuri mkitoa mnatoa episod nying
@BimkubwaMohamed
@BimkubwaMohamed 3 ай бұрын
Brian jmn yp ktk kipind kigum kweli na Naomi wizo ushampoteza
@irakozediane-fv5cl
@irakozediane-fv5cl 3 ай бұрын
Ukii fwatilia Kwa umakini mupo funzo kubwa Sana 👌 Courage Ila tu isiishie kati plz
@hawasaid7151
@hawasaid7151 3 ай бұрын
Kwa anayefahamu anifahamishe kuhusu please Nick, Brian na huyu dada sijawaelewa scene yao yan sijajua kuna nn kat yao mana Nick akikutana na brian, Brian anakuwa mpole shida nn😢
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 3 ай бұрын
Hyo mke wa Brian alikuwa dem wa nick ndo akaolewa na Brian ila nick bado anafuatilia na hadi akambaka ndo ugomvi wao ulipo hapo
@Giftypmushi
@Giftypmushi 3 ай бұрын
@@fettiemaganza1484 na mimba itakuwa ya nick or Brian
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 3 ай бұрын
@@Giftypmushi hapo ndo sijui
@jemakamoga6259
@jemakamoga6259 3 ай бұрын
Ya Nick
@hilalimohammed9396
@hilalimohammed9396 2 ай бұрын
Nick na Brian. Kwa nilivofahamu. Zamani Vivian alikuwa na mahusiano na Nick. Baada ya Vivian kugundua kuwa nick ni mtu hatari. Akaamua kuachana nae. Sasa Vivian now yupo na Brian. Mke na mume. Alichokifanya nick ni kuja kum baka Vivian nyumbani kwake. Na Brian hilo alikishuhudia. Ndio maana anakuwa mpole Brian kwa kudhalilishwa mkewe. Na hivi Sasa Vivian ana uja uzito wa Nick. Na Nick akimuona Brian anajigamba kwa hilo
@JoyceWazir
@JoyceWazir 3 ай бұрын
Baba Steve mpk ufilisik 😅
@PaschaziaFesto
@PaschaziaFesto 3 ай бұрын
Mmeamua kuleta kipande kimoja tu jaman after all days kweli 😭😭😭
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 3 ай бұрын
Simulizhike nahico amewawekea
@SimaCharles-c4o
@SimaCharles-c4o 3 ай бұрын
Maskini Brian😢
@KingNamber
@KingNamber 3 ай бұрын
Wauuuu i liké you❤️❤️💋
@OfficialElishamaMulokozi
@OfficialElishamaMulokozi 3 ай бұрын
Ukiwa uchanganye sio hawezi @elizabeth michael official
@candidacornely9464
@candidacornely9464 3 ай бұрын
Yaani Kila mda I have to check kama Kuna a new episode😢😢😢 usituweke hvoo jamanii.😂
@Giftypmushi
@Giftypmushi 3 ай бұрын
Yan kama ile aliyoweka majuma yaliopita aliweka kuanzia5mpk10
@GeorginaIvan-yp3sl
@GeorginaIvan-yp3sl 3 ай бұрын
Hujanifikia dear
@rehemasamwel7785
@rehemasamwel7785 3 ай бұрын
Kweli bana asitufanyie hivyooo
@saraphinamalyi3506
@saraphinamalyi3506 3 ай бұрын
Wew uko kama mim☺
@naomiribson4615
@naomiribson4615 3 ай бұрын
Kwakweli
@khadijahhussan182
@khadijahhussan182 3 ай бұрын
😂😂😂Mtt mnapigia makelele😅
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 Ай бұрын
Wizo
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 3 ай бұрын
Sasa Brayan kashajua kama ni mjazito ana muacha mke wake muda mwingine bora usiujue ukweli 😢😢
@nelsonmataba1426
@nelsonmataba1426 3 ай бұрын
Bi mkubwa ni maza house ambaye anajisahau kwa kuwadekeza watoto wakati familia inateketea
@KemiProsper
@KemiProsper 3 ай бұрын
Naomba like zanguu wakwanzaa leo
@gloryjimson9831
@gloryjimson9831 3 ай бұрын
Kwani huyu Nick ni nani jamani mbona anamkosesha amani Bryan wetu eti tuambieni please😢😢😢
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 3 ай бұрын
Mi ananikwaza hujui tu 😂😂
@KituRu
@KituRu 3 ай бұрын
Good work
@Atikaally
@Atikaally 3 ай бұрын
❤❤
@rebeccazagabe
@rebeccazagabe 3 ай бұрын
Naomi kakuja vuruga familia ya watu 😢
@olicej7837
@olicej7837 3 ай бұрын
Ata mimi namshangaa apo kwa huyo Binti kamvuruga aswa na ni anasoma
@gracealex8712
@gracealex8712 3 ай бұрын
Huyo baba pia alivuruga maisha yake so ni Kama nae analipa kisasi😂😂😂😂😂
@ZenaKambi-d6n
@ZenaKambi-d6n 3 ай бұрын
𝐡𝐮𝐲𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐡𝐮𝐲𝐨 𝐦𝐭𝐭 𝐧𝐝𝐲 𝐚𝐥𝐢𝐨𝐯𝐮𝐫𝐮𝐠𝐚 𝐦𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐧𝐚𝐨𝐦𝐢 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐞𝐬𝐢 𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐡𝐮𝐲𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐚𝐣𝐮𝐢 𝐤𝐦 𝐤𝐞𝐬𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐢 𝐲𝐲 𝐧𝐚 𝐧𝐚𝐨𝐦𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐬𝐚𝐬𝐢 𝐧𝐠𝐨𝐣𝐚 𝐭𝐮𝐨𝐧𝐞
@mamasalhat
@mamasalhat 3 ай бұрын
Heeh kumbe huyu Baba wanajuana na Naomi???​@@gracealex8712
@fatmaameer5333
@fatmaameer5333 3 ай бұрын
Brayani anatia huruma duu
@sophiaazizingaiwa3857
@sophiaazizingaiwa3857 3 ай бұрын
Mimi bado nipo na brian😢
@AmeirhajjRamadhan-e1h
@AmeirhajjRamadhan-e1h 3 ай бұрын
Ndo pana masomaji apo😂😂😂😂😂😂
@MuniAli-t1j
@MuniAli-t1j 3 ай бұрын
Nahis katumwa na naomi uyu kaka
@AmeirhajjRamadhan-e1h
@AmeirhajjRamadhan-e1h 3 ай бұрын
@@MuniAli-t1j Eeeee s kashasema anataka kumpa maumivu makali
@hajijuma5162
@hajijuma5162 3 ай бұрын
Nicky😂😂😂
@BimkubwaMohamed
@BimkubwaMohamed 3 ай бұрын
Mbona Leo kipand kimoja
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 3 ай бұрын
Kingingine suweke wee
@halimamtamila8181
@halimamtamila8181 3 ай бұрын
Elizabeth Michael unajua bhanaa❤
@zahararamadhan2961
@zahararamadhan2961 3 ай бұрын
Msomi tushamkosa😅😂
@ireneevaristo5552
@ireneevaristo5552 3 ай бұрын
Yaan nyumba ya Joseph imekua kama dangulo😅😅😅😅
@TumainKamendu
@TumainKamendu 3 ай бұрын
Brayan na vivian toeni hiyo mimba ili mbaki na amani
@EmyAbdallah-x6p
@EmyAbdallah-x6p 3 ай бұрын
Jman mbn kam mnatucheleweshea huu utam
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
kwa wale walioangalia snake boy, wakili kafanana na mfaume
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 3 ай бұрын
Awajafanana mbona
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
@@CharifaRachidi ukimuangalia vizuri utagundua wamefanana sauti na eneo la mdomoni achana na uo upara kama mkapa
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 3 ай бұрын
@@nancyg8664 😄😄😄😄
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
@@CharifaRachidi 🤣🤣🤣🤣
@SunnahAmry
@SunnahAmry 3 ай бұрын
Naomi ni nani ?? 😅
@nelsonmataba1426
@nelsonmataba1426 3 ай бұрын
Si atoe hiyo mimba umeshajua ni jau ya nini
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 3 ай бұрын
Mi mwenyewe ningeitoa 😂😂😂 potelea pote
@calvingeorge6848
@calvingeorge6848 3 ай бұрын
Mbn umetup ya 11 t 😭
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 3 ай бұрын
Munataka aje ?
@Giftypmushi
@Giftypmushi 3 ай бұрын
Tuwwkee ya 12 please
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 3 ай бұрын
Hata akiwawekea hamutashukulu
@Giftypmushi
@Giftypmushi 3 ай бұрын
@@manirambonajeanne3876 kwanin lakin
@BimkubwaMohamed
@BimkubwaMohamed 3 ай бұрын
Hata akapost 5 Kwa ck ni Raha tu
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 3 ай бұрын
Nabado mutalalamika
@AshaSaidmrish
@AshaSaidmrish 3 ай бұрын
😘
@BasmaJuma
@BasmaJuma 3 ай бұрын
❤❤
@DorcusKissia
@DorcusKissia 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@omanbahla1511
@omanbahla1511 3 ай бұрын
❤❤
Mimi S01Ep012 (TV Series)
23:20
Elizabeth Michael
Рет қаралды 24 М.
Mimi S01Ep37 (TV Series)
26:55
Elizabeth Michael
Рет қаралды 12 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1
29:48
YahStoneTown
Рет қаралды 345 М.
Mimi S01Ep09 (TV Series)
25:11
Elizabeth Michael
Рет қаралды 27 М.
Huba jumatano hii ijayo
1:58
Gado Baden
Рет қаралды 1,9 М.
Mimi S01Ep13 (TV Series)
26:01
Elizabeth Michael
Рет қаралды 27 М.
MAJI YA SHINGO SE01 EP 22
24:57
empire lokoma series
Рет қаралды 14 М.
Mimi S01Ep05  (TV Series)
21:25
Elizabeth Michael
Рет қаралды 40 М.
SAMAHANI ASANTE | ep 19|
19:50
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 70 М.
Mimi S01Ep36 (TV Series)
25:56
Elizabeth Michael
Рет қаралды 25 М.