Emanuel Mgogo Ft. Ezekiel Makililo--: NENO LAKO NI KWELI...SMS SKIZA 5969143 to 811

  Рет қаралды 1,517,062

EMMANUEL MGOGO Official Tz

EMMANUEL MGOGO Official Tz

3 жыл бұрын

#Mwaka 2021 Tumejipanga kukuhudumia kwa Viwango vikubwa!!
#.Hakikisha una Subscribe kwenye channel yetu nakuhakikishia hutajutia kujiambatanisha na huduma you.
#.Anza Mwaka 2021 kwa Kuliamini NENO LA KRISTO 100%.
#ACHA KULIA ANZA KUAMINI
#ACHA KUWAZA TU ANZA KUTENDA.
ACHA KUONGEA SANA NA WATU ANZA KUONGEA SANA NA MUNGU.
#. Mimi na mdogo wangu Ezekiel Makililo tunakutakia mwaka 2021 uwe mwaka wa NURU NA KUSTAWI.
#. Tunahitaji Saport yako: Hakikisha una SUBSCRIBE kwenye Channel zetu yaani ya Emmanuel Mgogo na ya Ezekiel Makililo ili uendelee kupata huduma ya kiroho kupitia nyimbo.
#. Ukihitaji kuwasiliana nasi piga simu no. +255769 50 55 37 au Email:
(emanuelmgogo150@gmail.com).

Пікірлер: 637
@harrieths.n3963
@harrieths.n3963 3 жыл бұрын
Neno Lake Ni Kweli, Anaweza Ni kweli, Anafanya Ni kweli, Anaokoa Ni kweli, Anatenda Ni kweli, Anaponya Ni kweli, Anainua Ni kweli, Anabariki n kweli, wala Sina mashaka NIMETHIBITISHA Neno lako Ni kweli. Umetenda Kwangu, my life is a testimony. Ayubu akasema katka Ayubu 42:5 nimekuwa nkizisikia habari zako Wala sikuelewa,lakini Sasa nimeona kwa macho. NIMETHIBITISHA NI KWELI.
@mpelwamanyama3972
@mpelwamanyama3972 4 ай бұрын
@LindaPeres-wj7ey
@LindaPeres-wj7ey Жыл бұрын
Hakika huu wimbo Ni Tiba ya waliokata tamaa, naupenda Sana huu wimbo
@ElizabethMasanjaBaluhye-hu2me
@ElizabethMasanjaBaluhye-hu2me Жыл бұрын
Mungu awe pamoja nanyii watumishi, Ikawe khery Wapendwa wa bwana yatangazeni yaliyo Mema .
@victoriafovo8126
@victoriafovo8126 Жыл бұрын
Pale ambapo ujuzi na maarifa vimeshindwa, Neno lako ni kweli!!!
@robinkiplagat4052
@robinkiplagat4052 Жыл бұрын
Nimeskia kibao hiki kwenye radio limenibariki. Mungu akubariki mtumishi
@esterlukiza1894
@esterlukiza1894 Жыл бұрын
Yaani mgongo jaman uishi milele kakaangu cjawahi kusikiliz wimbo wako wowote usio na nguvu ya Mungu ndani yake.
@noelaedward3503
@noelaedward3503 2 жыл бұрын
Wakitanga mauti wewe mungu unatangaza uzima, hakika neno lako ni kweri. Kaka Emma ubarikiwe mtumishi wa mungu.
@user-jf6wj5vt2g
@user-jf6wj5vt2g 7 ай бұрын
Neno lako nikweli baba umenitendea kweli neno lako nikweli amina sana
@user-my7gw2qz2d
@user-my7gw2qz2d Жыл бұрын
Amen and amen 🙏🙏wimbo unaonibariki sana Mungu awabariki mno wakitakaza mauti unatangaza uzima hakika neno la Mungu ni la kweli❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@kalovaobedi1946
@kalovaobedi1946 3 жыл бұрын
wapi wana kigoma gonga like kama unamuombea huyu kijana wetu Ezekiel makililo
@jacklineonesmo8637
@jacklineonesmo8637 3 жыл бұрын
Tupo bro Mungu amfikishe mbali zaidi
@victoriaeugene357
@victoriaeugene357 9 ай бұрын
Kwa neno lako na simama imara hakika Mungu am blessed with this song mpaka na lia kwa furaha juu ya Ukuu wa Mungu
@gaudensianjile1729
@gaudensianjile1729 2 жыл бұрын
Wewe waona taifa kubwa ndani yake aliye tasa😭ulimuita Ibrahim baba wa mataifa akiwa hana mwana ulilithibitisha neno lako kwa mwanamke tasa akapata wtt😭😭 nijambo gani mm linipate hata nisiamini neno lako😭😍 bless my brother maneno makali sana haya jmn Kila nikatapo tamaa nikiyakumbuka unipa nguvu ya kupambana upya💪
@lucymapunda4653
@lucymapunda4653 2 жыл бұрын
Katikati ya giza nene Elimu na ujuzi vinaposhindwa Neno lako ni taa ingaayo gizani.
@SylviaSyombua-hd9lg
@SylviaSyombua-hd9lg 6 ай бұрын
Kwa kweli huu wimbo umenigusa nimejipata nadodokwa na machozi, moyo wangu ukishuhudia ni kweli,mbarikiwe sana
@angelurio6778
@angelurio6778 2 жыл бұрын
Nataman hata kulike Mara 10000 lkn haiwezekani Kaka zangu Mungu awabariki muende mbele zaidi
@glorymunisi2479
@glorymunisi2479 Жыл бұрын
Huu wimbo una nguvu ya ajabu sana. Kila siku napenda kuusikiliza. Lakini pia umeimbwa kwa utaalam na sauti nzuri. Hongereni sana
@ezekielnyongesa9091
@ezekielnyongesa9091 Жыл бұрын
Baba wewe no mwaminifu na neno lako ni kweli indeed ,, nashukuru kwa watumishi wako hawa wanaotuhimiza na ujumbe huu ,,barikiweni wateule
@nelsonachaga3999
@nelsonachaga3999 9 ай бұрын
can't get enough of neno lako ni kweli aaaah hii imeweza kudos bros
@nicolekakeranya2042
@nicolekakeranya2042 Жыл бұрын
Ni kweli unaweza kwa Imani nimezibitisha wala sina mashaka.....watu wa MUNGU mubarikiwe sana kuwa nime barikiwa sana kwa kazi nzuri iyii
@isaacisavwa92
@isaacisavwa92 3 жыл бұрын
Team Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Wimbo umepangwa ukapangika
@lindashadrack7470
@lindashadrack7470 3 жыл бұрын
Neno lako bwana ni kweli, barikiwa sana mtumishi, wapi likes za Emma from Kenya
@japhethdauson9816
@japhethdauson9816 Жыл бұрын
Naomba uniunganishe na Magrop ya Waimbaji Injili, Niko Lindi Mjini.
@mafikirigaluga6680
@mafikirigaluga6680 2 жыл бұрын
Jambo nduguzagu nashukurusana jisimunavyoimba kwakweli munaimbamuzuri Mungu awabariki
@ericmetta7883
@ericmetta7883 3 жыл бұрын
Zaburi 16:6 Kamba zangu zimeniangukia mahali pema, Naam, nimepata urithi mzuri. Ni kweli.. neno lako ni Kweli ..🙏
@jemadanieli7153
@jemadanieli7153 3 жыл бұрын
Amen
@imbali_janeachy
@imbali_janeachy 2 жыл бұрын
'' Na hata kama wengi wameshindwa, na hata cv yangu haieleweki, kwa neno lako mimi ni mshindi"" haleluyah..AMEEN.IL come back with a testimony of what the Lord has done through this song.
@linuskapesa8569
@linuskapesa8569 3 жыл бұрын
Uko vzr brothe emanuel
@suleamberforreal7401
@suleamberforreal7401 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu anisamehe kwa makosa yangu nlotenda niwe kwa kujua ama laa Amen
@nemaafrikano9213
@nemaafrikano9213 3 жыл бұрын
Nikweli neno lako ni kweli huu wimbo nimeusikiliza umenipa nguvu ya ajabu saana nadaiwa deni la million moja nimeamini Mungu hana ashindwalo nitamaliza kulipa deni kwa uwezo wa Mungu nikweli neno lako ni kweli
@glorytoglory4503
@glorytoglory4503 3 жыл бұрын
Mungu na aithibitishe IMANI na NENO LAKE kuwa halisi kwako dear Neema.
@user-fw6fb6zp9v
@user-fw6fb6zp9v 9 ай бұрын
God bless you huwa sichoki kusikiza huu wimbo hata mara kumi❤❤ mungu wangu unaweza
@michaelbenjaminsambua5349
@michaelbenjaminsambua5349 Жыл бұрын
Oooohhh nahic uwepo wa MUNGU mbarikiwe sana watumishi wa BWANA,,,
@modestambingo1152
@modestambingo1152 5 ай бұрын
Elimu na ujuzi vunaposhindwa neno lako ni nuru❤❤
@elisonchongolo6894
@elisonchongolo6894 Жыл бұрын
Mim binafsi nmebarikiwa sana MUNGU je, mbarikiwe sanaa wapendwa
@koyassa4509
@koyassa4509 3 жыл бұрын
yooooooooooooooo😢🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️Mungu akutumikishe kama apendavyo sio upendavyo wewe 🙏🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻
@catherinenyawira1542
@catherinenyawira1542 Жыл бұрын
Neno lako BWANA nilakuaminika...asante kwa kumbusho hili
@quickyupdates880
@quickyupdates880 3 жыл бұрын
Hakika wimbo huu umenigusa.pakubwa sana nami nimethibitisha.hata.cna mashaka.juu yake
@majabamagana4149
@majabamagana4149 3 жыл бұрын
Bila shaka Mungu amefurahishwa sana na wimbo huu. Wimbo huu unatenga wana wa Nuru dhidi ya wana wa giza maana siyo rahisi kufurahiwa na wana wa giza. Nawaombea mfanywe kama kinywa cha Mungu kwa watoto wake hapa duniani, kuwakumbusha ukuu wake Mungu na jinsi tusivyo wa ulimwengu huu. Naliona tumaini jipya likichipuka tena. Barikiwa sana Mgogo, na barikiwa mno Ezekiel. Mungu azidi kuwatumia kwa pamoja. Ameeen
@esternkulikiye9893
@esternkulikiye9893 3 жыл бұрын
Mubalikiwe sana watumishi wa Mungu kwani Kwaneno lake tukoivi nenolake nikweli kaka mgogo nabalikiwa sana nayimbo zako
@esterlukiza1894
@esterlukiza1894 Жыл бұрын
Kabsa ndugu yangu
@sakwavincent
@sakwavincent Жыл бұрын
Amen
@mercyetago4020
@mercyetago4020 Жыл бұрын
Kweli kabisaa. Kwanza mavazi Sawa kabisaa. Mitindo ya dance Sawa,sio hao watu wa kisasa kurukaruka kama Wenda wazimu na kunengua viuno na eti wanamwimbia Mungu. Mgogo ameweza. KAZI Safi. Sauti Safi.
@annemoraa7356
@annemoraa7356 Жыл бұрын
Amen..neno lako ni kweli
@annemueni4521
@annemueni4521 3 жыл бұрын
Nimetezama leo ni wimbo mzuri kutoka Nairobi
@emmanueldpaul9501
@emmanueldpaul9501 3 жыл бұрын
Mungu zaidi kukuinua @ezekiel makililo.good song
@Lamax254
@Lamax254 3 жыл бұрын
Nina ngoja mungu athibidishe neno lake ni fahulu mtiani
@felixmarejehe2974
@felixmarejehe2974 3 жыл бұрын
Ikumbukwe ile soku ya mwisho wapo watakao mshuhudia yesu akirudi ulimwenguni Basi na nyie mmpendae mungu mkawepo
@adijamwampulule6947
@adijamwampulule6947 2 жыл бұрын
Nimethibitusha wala sina mashaka nenolako nikweliii,, nabarikiwa saana
@carolinewanyama6990
@carolinewanyama6990 3 жыл бұрын
Naimba wimbo huu usiku na mchana,(wakitangaza mauti unatangaza uzima)💪❤️ mungu akubariki
@carolmunyivapeter7499
@carolmunyivapeter7499 Жыл бұрын
Huu wimbo wanibariki kila dakika.ni kweli neno neno la Mungu ni kweli😍...mbarikiwe sana aki.every morning my son akienda shule lazima nimuekee,,,he loves it too 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@floramshana6082
@floramshana6082 3 жыл бұрын
Wimbo mzur Sana naupenda kutoka moyoni wimbo huu umebeba maneno mazito Sana kwa wale tunaosikiliza wimbo kwa undan zaidi na kutafakari maneno yaliyo ndani ya wimbo hakika lazima tubarikiwe nao .mzidi kubarikiwa waimbaji 🥰😍
@rusilumona3903
@rusilumona3903 2 жыл бұрын
Mubarikiwe sana watumishi wa Mungu wimbo huu unanibariki sana is very wonderful
@aikamichael5945
@aikamichael5945 Ай бұрын
2024 hakika neno lako Bwana ni kweli,mbarikiwe sana watumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
@joshuangwale3571
@joshuangwale3571 3 жыл бұрын
Amina mtumishi unanibariki Sana kwa nyimbo zako mungu akupe mafumnuo zaidi
@cecylee7478
@cecylee7478 Жыл бұрын
The way I love this song, kwanza leo nimeshinda kuimba huu wimbo, ni kweli ni kweli neno Lako ni Kweli🎶🎶🎶🎶
@ndayisengagregoire627
@ndayisengagregoire627 5 ай бұрын
nyimbo zako safi sana kabisa.Mungu akubariki
@ridanduad773
@ridanduad773 3 жыл бұрын
Sijui niseme nn Emanuel siyo kawaida hiyo ni neema ya kipekee Mungu amekupendelea sana kaka
@njavikeofficial5959
@njavikeofficial5959 3 жыл бұрын
Hakika neno lake yesu kristo nikwer,barikiwa mtumishi wa mungu aliehai
@rahelmbeyale8073
@rahelmbeyale8073 3 жыл бұрын
Kila moyo wangu ukishuka najikumbusha ahadi zake na huu wimbo...Ubarikiwe brother, beats, scene sutii👌👌
@victoriangalama666
@victoriangalama666 3 жыл бұрын
Katikati ka giza nene when everything fails, God you are Able
@heavenlyprincess1122
@heavenlyprincess1122 3 жыл бұрын
Kila neno na ahadi za BWANA ni Amina na kweli, tunaomngojea MUNGU alithibitishe neno lake maishani mwetu natuseme hapa Amina👍🇰🇪🇰🇪
@theopistermaximilian2634
@theopistermaximilian2634 3 жыл бұрын
Amina
@annab9243
@annab9243 3 жыл бұрын
Amina.
@jemadanieli7153
@jemadanieli7153 3 жыл бұрын
Amen
@aminaflorida902
@aminaflorida902 3 жыл бұрын
Tuna sema Amina ni kweli maana nimengine anayo tutendea na kila neno la ahadi kwetu yeye hutenda kwa haki. 🇺🇸
@mgogosinger
@mgogosinger 3 жыл бұрын
Jamani huyu mtu anayejiita Rev.Emanuel Mgogo ni tapeli , mm simfahamu, amekuwa akitapeli watu kwa kuwatabiria na kuwaomba hela akitumia jina langu. Chukua tahadhari ni Tapeli.
@user-yb8tg7tp7p
@user-yb8tg7tp7p Жыл бұрын
Wakisema siwezi wewe ukisema naweza inatosha❤❤❤ni kweli neno lake
@ShallyneTerik
@ShallyneTerik 3 жыл бұрын
Asante kwa kunibariki na wimbo huu pia napenda sauti zenu nzuri
@benjaminemanueli1650
@benjaminemanueli1650 2 жыл бұрын
Kazi nzur sanaaaa watumishi ila tumewamis sumbawanga tz
@MagrethElias-ip3md
@MagrethElias-ip3md Ай бұрын
Nikweli nimethibitisha neno lako nikweli hakika Nikweli Mungu anajibu nanimkuu sana
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 3 жыл бұрын
Cjawah kuuchoka huu wimbo jmn🙏🙏kweli umeutendea haki mungu na akawe jibu kwako♥️♥️🙏🙏🙏
@isakamaiko9594
@isakamaiko9594 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana blo huduma yako ninjema hakika Mungu azidi kukuinua
@lizyberty1435
@lizyberty1435 3 жыл бұрын
Amina maneno yatokayo ktk kinywa chako yabarkarkiwe
@thecklamveyange5159
@thecklamveyange5159 Жыл бұрын
Wimbo umenibariki sana huu… ubarikiwe sana mtumishi Emmanuel, mwalemi saaanaaa
@venicharles9836
@venicharles9836 2 жыл бұрын
Nabarkiwa sanaaaaa,neno la mungu ni kwel👌👌👌👌
@niceisack2806
@niceisack2806 3 жыл бұрын
Jamn jamn hakuna nyimbo iliyo nibariki kama hii hakika Mungu amewatumia ipasavyoo good bless kwenu
@neemageorge2726
@neemageorge2726 Жыл бұрын
Nabarikiwa mno jaman ubarikiwe emanueli mungu azid kukupa maono
@mercyjepkogei1030
@mercyjepkogei1030 Жыл бұрын
From citizen TV skiza advert....a blessing song
@pamelachepchirchir6744
@pamelachepchirchir6744 3 жыл бұрын
waaau tamu sana Sina mashaka neno lako ni kweli
@balifana9078
@balifana9078 Жыл бұрын
Wimbo huu umegusa moyo wangu. Neno la Mungu ni kweli. Naliamini.
@margerthhyera3069
@margerthhyera3069 2 жыл бұрын
ukitaka kujua wimbo ulio pakwa mafuta sikiliza wimbo huu watumishi MUNGU Aliye hai azidi kuwapaka mafuta zaidi awazidshie miaka ili mwendelee kutuhudumia hii ni huduma na siyo zile za bihashara barikiwa Sana
@upendosanga6553
@upendosanga6553 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na uimbaji wako mtumishi Mungu abariki huduma yako
@jennifermuthonimwaniki4722
@jennifermuthonimwaniki4722 3 жыл бұрын
Nimedhibitisha neno lako ni kweli
@joanleting5222
@joanleting5222 Жыл бұрын
Indeed the message is mine, thanks God bless you and give you more and more
@leonarddimbwe9688
@leonarddimbwe9688 3 жыл бұрын
Kaka nataka nyimbo yako ya tuwapo dhaifu ndipo tunanguvu sipati naipenda mno kaka
@amanikataraia8541
@amanikataraia8541 Жыл бұрын
Nipo kuthibitisha neno lake ni kweli!
@paulinemumbi3192
@paulinemumbi3192 2 жыл бұрын
Sina mashaka neno lako ni kweli,,,,,,,,,,,,,,,
@thomasdunde1698
@thomasdunde1698 3 жыл бұрын
Hakika NENO la MUNGU ni KWELI, hata Mimi nimethibitisha ni kweli
@jennifermuthonimwaniki4722
@jennifermuthonimwaniki4722 3 жыл бұрын
Wewe unaona taifa kubwa juu ya maisha yangu,nakudhamini.
@daviscollegesecurityentran1815
@daviscollegesecurityentran1815 3 жыл бұрын
Nakubarikiya sana papa like u Amon ushizimpumu in Kigali
@GolsRest-we6uu
@GolsRest-we6uu Жыл бұрын
Nimethibitisha neno lako mungu nikweli pale ulipo nisomeshea watoto wangu nasikuwa n kazi isaya 54, 13 neno nikweli 254 nikiwa Saudi Arabia
@rosemarykisura1893
@rosemarykisura1893 24 күн бұрын
Hakika neno lako ni kweli. Kwa neno lako mimi ni mshindi ,nasimama imara Mbarikiwe watumishii wa Mungu.
@rachelmalimbwi1748
@rachelmalimbwi1748 3 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Emma nakupongeza kwa wimbo mzuri na haukinaishi kuutazama sio kama ule uliopita
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Жыл бұрын
Ni kweli umethibitisha neno lako ni kweli Asante Jehovah maana katika Giza Nene umetangaza Nuru
@hondwamathias
@hondwamathias 3 жыл бұрын
Hongera Sana my bro Wimbo mzuri Sana baba
@anitasanga9744
@anitasanga9744 3 жыл бұрын
Bakiwa mtumishi
@theopistermaximilian2634
@theopistermaximilian2634 3 жыл бұрын
Nice song Mungu awabariki azidi kiwainua
@FrankM384
@FrankM384 3 жыл бұрын
Makililo ubalikiwe sana ndugu Yangu hakika huu wimbo ni balaka tosha naombea na kazi napata kupitua huu huu wimbo
@odaseston
@odaseston 3 жыл бұрын
Nawaza mara mbili mbili dhidi ya ukuu wa Mungu hakika Neno lake Mungu ni kweli
@winfredchuhila8619
@winfredchuhila8619 3 жыл бұрын
Nakupendeni bure nawe dogo unasauti nzuri hongereni, bro nakupenda kazi yako si buree...hakika jagwani Bwana hupasua mwamba🥰
@rhodamwita3
@rhodamwita3 3 жыл бұрын
Mungu na azidi kuwainua
@emmanuelmwandumbya8616
@emmanuelmwandumbya8616 3 жыл бұрын
Hongera kwa huduma nzuri Wimbo wenye neno ndani
@selinaowano7030
@selinaowano7030 Ай бұрын
❤🎉 Amen. Ni kweli kabisa. May God receive all the Glory and honour, He lives in His word and tracks it to make sure it perfoms. Be blessed to continue encouraging the body of Christ. Iam encouraged to go on with this christian pilgrimage through this song. Am dancing and singing with you people. Keep it up! God Bless you all.❤❤
@nuhuelisha369
@nuhuelisha369 3 жыл бұрын
Nikweli neno lako nimethibitisha unaweza
@MsChrista6653
@MsChrista6653 3 жыл бұрын
Wakitangaza mauti, unatangaza Uzima.... Neno lako n kweli..... Kazi nzuri sana....! Neno lako n kweli 🙏🙏🙏
@bayyoakonaay1065
@bayyoakonaay1065 3 жыл бұрын
Hakika ni wimbo mzuri hauchoshi kuusikiliza Mungu akubariki na akulinde uendelee kuutangaza ukuu wa Mungu
@evanskyule619
@evanskyule619 3 жыл бұрын
Nimedhibitisha unaweza mungu wangu
@michaelmahega9033
@michaelmahega9033 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi like kwa Emmanuel
@sarahjanuary2875
@sarahjanuary2875 3 жыл бұрын
Nice
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 3 жыл бұрын
Mungu awabaliki Sana nyimbo zenu zinanitia moyo htaninapokuwa Sina Amani
@mestonsimzosha2899
@mestonsimzosha2899 3 жыл бұрын
IKOWAPI NJIA ILEE ILIYO NJE EMAA SANAA YAKO WAPII MAPITO YALE YAZAMANI ZAMANI ZILEE Bwana anasema simameni katika njia kuu mkaonee mkaulize hee kwa habari yamapito yazamanii zilee zileee.. Emmanuel mgogo -yakowapi mafuta ya kwanza,injiri ya kwanza,upako wa Kwanzaa,nguvu ya Mungu ya kwanzaaa,kibari cha kwanza?????
@samwelmoshi4054
@samwelmoshi4054 3 жыл бұрын
Kuna kitu kimepunguka Mungu mimina mafuta zaidi kwa Emmanuel
@winniekalekye5326
@winniekalekye5326 3 жыл бұрын
I really flow kwa maombi through this song.... nagoja kazi kutoka kwa Mungu .....na niukweli ntapata...
@ntevonamtaita8627
@ntevonamtaita8627 3 жыл бұрын
Wakitangaza mauti unatangaza uzima . am blessed by this song
@tabbywamtz501
@tabbywamtz501 3 жыл бұрын
Kwa hakika neno Lako bwana Yesu ni kweli, waaw Asanteni watumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri. Wa kwanza kutoka kenya kuusikiliza wimbo huu
@euchariakumbulu7938
@euchariakumbulu7938 3 жыл бұрын
Wimbo mzr sana unatia MOYO barikiwa saba
Emmanuel Mgogo--:JIPE MOYO..AMINI TU.(Official Video)SKIZA Tune Sms- 6382652.
8:43
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 845 М.
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 74 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,7 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 58 МЛН
Emmanuel Mgogo - WAACHE WAJE (Official Music Video)
8:43
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 1 МЛН
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 2,8 МЛН
Evangelist Ezekiel - Natamani Kuomba
41:37
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 699 М.
KUTANA NA MUNGU KWANZA( Official video)  By Emmnuel Mgogo.
9:43
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 189 М.
FANYA JAMBO BY PASTOR  MUSEMBI FT SIFAELI MWABUKA  SMS  SKIZA 6983057  TO 811
6:48
pastor anthony musembi
Рет қаралды 784 М.
WAZILI MAGUFULI KIBOKO
7:30
Ailes Tv
Рет қаралды 263 М.
Uso Wangu
9:52
Emmanuel Mgogo - Topic
Рет қаралды 70 М.
Emmanuel Mgogo--:NI WEWE TU.( Official Video)   SKIZA TUNE SMS-6382650.
8:05
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 2,5 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 22 МЛН
Толстый солдат всем отомстил #shorts
1:00
Приятного аппетита 🤣
0:15
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 8 МЛН
Дымок или Симбочка?? 🤔 #симба #симбочка #mydeerfriendnokotan
0:19
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 2,2 МЛН