No video

Emmanuel Mgogo - HATA UKICHELEWA (Official Music Video)

  Рет қаралды 303,767

EMMANUEL MGOGO Official Tz

EMMANUEL MGOGO Official Tz

Күн бұрын

Official Music Video ya "HATA UKICHELEWA" by Emmanuel Mgogo
Sikiliza Emmanuel Mgogo Songs: / @mgogosinger
www.boomplay.c...
audiomack.com/...
Follow Emmanuel Mgogo
INSTAGRAM: ...
FACEBOOK: / emmanuelmgogosinger
TIKTOK: www.tiktok.com...
Song: HATA UKICHELEWA
Artist: Emmanuel Mgogo
Audio: Jb Production
Video Directed by Aggrey
HATA UKICHELEWA kufikia maono Yako na ndoto zako, Haina maana kuwa Mungu amekukataa au amekuacha
#EmmanuelMgogo #HataUkichelewa #MunguNiMwaminifu

Пікірлер: 212
@neemakaywanga2526
@neemakaywanga2526 4 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwani mwaka juzi nikiwa Afrika ya kusini nlpatwa na jambo gumu sana nikiwa kwenye maomb ya sku 21 Mungu alisema nami na kunionesha mambo kadhaa lakini hk kpnd chote huu WIMBO ulikuwa faraja yangu kwan hakuna alienifarj kutoka TZ nikamwelewa ilbd Mungu asmame tu mwenyewe
@user-st6ve9ce5k
@user-st6ve9ce5k Жыл бұрын
❤hakika hakuna kama yeye mungu anastahili utukufu mpe mungu
@ArodiaIsdory
@ArodiaIsdory 4 ай бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako .Mwenyezi Mungu atukuzwe.
@user-xd9kw6nt8w
@user-xd9kw6nt8w Жыл бұрын
Wewe jitu la mbinguni mungu azidi kukuinua juu zaidi
@catherineprosper9520
@catherineprosper9520 Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwaminifu, 😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@albertbyendatv7436
@albertbyendatv7436 Жыл бұрын
Dhu na huyu jamaa alivyo tokelezea, ndo ana tupea uhalisia sasa. Like kwa bonge
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 Жыл бұрын
Wimbo umenipa faraja ya kuvumilia kusubili vile nilivyo omba kwa Mungu🙏
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe na kutiwa nguvu zaidi
@tasokwamichael2433
@tasokwamichael2433 Жыл бұрын
Mimi Kabsa na ninayoyapitia naona Kama nachelewa au nimeachwa na Mungu 😅
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 Жыл бұрын
@@tasokwamichael2433 Yaan tunapitia Mambo Hadi tunakufuru . Lakin Mungu mwema.
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 Жыл бұрын
@@mgogosinger Amen
@estermkabila7642
@estermkabila7642 2 ай бұрын
Huu wimbo toka mwaka jana nimekua nikiusikiliza ,,,ninahisi kumuona Mungu kupitia huu wimbo barikiwa Sana MTU wa Mungu
@celinepius8303
@celinepius8303 Жыл бұрын
Asifiwe yesu christo atupae kushinda Barikiwa mungu akujaze tena na tena
@KaburaNice-or7gj
@KaburaNice-or7gj Жыл бұрын
Kabisa
@rehemachamhingo6942
@rehemachamhingo6942 Жыл бұрын
MUNGU azidi kukuinua mahali pa juu wimbo unanigusa sana
@user-tx5pl3kc9l
@user-tx5pl3kc9l Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana napenda sana nyimbo zako
@WinnieLuanda
@WinnieLuanda 4 ай бұрын
Mungu akupe wimbo mwengine kama huu
@jonelronilo5424
@jonelronilo5424 Жыл бұрын
Ahsante sana kwa ujumbe kaka unanibariki sana, Mungu akuinue utukufu hadi utukufu kaka Elikana umejua kuuvaa uhalisia barikiwa ndugu yangu
@user-xd9kw6nt8w
@user-xd9kw6nt8w Жыл бұрын
Yaani mgogo nyimbo zako zinanibariki sana zote
@paulkiokovision
@paulkiokovision Жыл бұрын
Thanks man of God the message bless my heart.
@royalgoldenbeautyparlour1422
@royalgoldenbeautyparlour1422 Жыл бұрын
Pekee yake ni yeye anaweza Fanya Yale mwanandamu haezi kufanya
@charlesnzwalla3001
@charlesnzwalla3001 Жыл бұрын
Naomba no yako mtumishi wa Mungu au nieleweshe kanisa Lako lilipo basi tu nije huko
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
0769505537,
@leticialawi9569
@leticialawi9569 11 ай бұрын
Nabarikiwa sana na huduma hii siku zote barikiweni sana
@clovebaenishandwe1822
@clovebaenishandwe1822 Жыл бұрын
Minabarikiwa na nyimbo zako mina ishi congo
@lindahmbigura716
@lindahmbigura716 Жыл бұрын
Nimebarikiwa zaidi na wimbo huu...more grace and anointing servant of the most high God 🙏🙏
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! may God bless you so much
@alfayosauli-ls8uv
@alfayosauli-ls8uv Жыл бұрын
Amina
@mayamonabeatrice6823
@mayamonabeatrice6823 Жыл бұрын
Amen wimbo huu unanipa faraja ya kusubiri nillivyo aganiwa na Mungu
@danielmweta8716
@danielmweta8716 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana hii inaujumbe mzito
@princemuli592
@princemuli592 Жыл бұрын
Kweli Mungu hachelewi kabisa
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Kweli.mungu.mawazo.yake.niorijino.
@kendimutunga
@kendimutunga Жыл бұрын
God time the best always let wait apone him
@user-pw1pc1zm7f
@user-pw1pc1zm7f 9 ай бұрын
Amen amen be blessed mtumishi WA mungu nice song
@FelisterLigazio-mw3hh
@FelisterLigazio-mw3hh 9 ай бұрын
Wimbo huu nautafakari adi nalia
@YusufuPetro-bf2tp
@YusufuPetro-bf2tp Жыл бұрын
Ongela.kaka kwa.ujumbe muzili
@ibrahimuvyakuziwa3517
@ibrahimuvyakuziwa3517 Жыл бұрын
hakika
@CliffordSampa-go6od
@CliffordSampa-go6od 3 ай бұрын
Mungu abarikiwe
@KarenGitonga-lk2uu
@KarenGitonga-lk2uu 10 ай бұрын
😢you are blessed 😢... I'm at a verge of giving Up I needed this
@edwardrechard1896
@edwardrechard1896 Жыл бұрын
Wimbo mzur Sana nimetiwa nguvu ya kuwa na subira
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen, Mungu azidi kukuimarisha
@edwardrechard1896
@edwardrechard1896 Жыл бұрын
@@mgogosinger amina mtumish
@user-jl8sp9xb3g
@user-jl8sp9xb3g 9 ай бұрын
Mungu akulindi
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Muimbaji mungu anajivunia wewe, usiye na mawaa,wimbo huu naurudia na kurudia ,mungu baba wa mbinguni aikuze huduma yako njema
@shaluamagandi2184
@shaluamagandi2184 Жыл бұрын
Unique melody. God bless you MTUMISHI.
@navyoagrey7523
@navyoagrey7523 Жыл бұрын
Ishi tu Mtumishi unanibarik mnoo 😭😭
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe
@user-jl8sp9xb3g
@user-jl8sp9xb3g 9 ай бұрын
Safi Sana Kaka mungu akulinde
@paschalpius
@paschalpius 10 ай бұрын
Ashukuliwe mungu wa mbingin Kwa kukutumia mtumishi unanitoa machozi na nyimbo zako ubarikiwe sana aendelee kukutia nguvu baba wambingun ahsante bwana Emmanuel mgogo nakuona Kila Kona natamani sikumoja tuonane japo nipo mbali
@NiyukuriElhud
@NiyukuriElhud Ай бұрын
Kwaa sehemu tunduma
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Жыл бұрын
UNAIMBA KINABII, UWE IMARA TU KIFAMILIA NA UTUMISHI WAKO..
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen, Ubarikiwe
@imbali_janeachy
@imbali_janeachy 9 ай бұрын
Halleluyah! Asante Yesu.. nimepokea huu ujumbe na umekuja kwa wakati ninahitaji. 'ONLY HE CAN DO WAT NO MAN CAN DO🙏 God bless you pastor Mgogo.
@linetmalemba1229
@linetmalemba1229 Жыл бұрын
Nyimbo zako zinanibariki kila ukitoa wimbo mpya, hii ni kali , waache waje pia ni nzuri, only you pia ni nzuri..... we love you all the way from kenya❤️
@patrickmulongo5420
@patrickmulongo5420 4 ай бұрын
Ameeeeeeeen❤ yeye niyule yule
@doskalunguofficial3057
@doskalunguofficial3057 Жыл бұрын
Tunaisubiria
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe
@beritawambani5748
@beritawambani5748 Жыл бұрын
Ameen sitasahau aliko nitoa mungu hakika ameondoa aibu yangu na kunipa heshima🙏🙏
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe
@blancatumelo3958
@blancatumelo3958 Жыл бұрын
I don't understand Swahili, but I feel this song, let God fix what is broken.... 🇳🇦
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen, may God bless u in his way
@beatricelubida3480
@beatricelubida3480 Жыл бұрын
Hakika subira ya vuta heri na ukisubiri lazima utapokea hitaji lako maana Mungu wetu ni Mwaminifu na ahadi zake ni amina na kweli
@maikokipangula6860
@maikokipangula6860 Жыл бұрын
sasa mambo ndo haya ule wa yesu mwamba uliosema umewaimbia injili wapagani lakini hadi wapagani wanashangaa mimi ni shabiki yako namba 1 tanzania
@annamwaluko9249
@annamwaluko9249 5 ай бұрын
Amina
@robinodhiambo3977
@robinodhiambo3977 Жыл бұрын
Mungu ata ukichelewa najua utatenda maana neno lako ni kweli,naamini na kupokea
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe
@robinodhiambo3977
@robinodhiambo3977 Жыл бұрын
@@mgogosinger ubarikiwe nawe pia Mtumish wa Mungu
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Amen 🙏
@isakamsanganzila1591
@isakamsanganzila1591 Жыл бұрын
Mungu akupe miaka mingi ya kuishi mtumishi
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe
@marywamuge1618
@marywamuge1618 Жыл бұрын
my defender , comforter savior it's only u I acknowledge and lean unto,what a blessed song,may the Almighty God continues showering u with his blessings
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! be blessed
@veronicalameck6982
@veronicalameck6982 Жыл бұрын
Amen 🙏🙆😥 , naendelea kuvumilia siku moja atajibu yote baba 🤗
@gideonjuma6756
@gideonjuma6756 Жыл бұрын
Amen
@safirehema6262
@safirehema6262 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu n'a nguvu ili uwendeleshe kazi yakee nakupenda sana tena sana yani nasikiliza nyimbo zako zote ni zuri sana zote nazijua nakupenda sana tena 🥰🥰❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏 I'm from Australia nakupenda sana tena
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Aminaaaa
@brianotieno505
@brianotieno505 Жыл бұрын
Mungu akuongezee mafuta broo emmanuel uendelee hivyo usibadilike
@dotothomas
@dotothomas 3 ай бұрын
God bless you 🙏🙏
@lundimbekelu8866
@lundimbekelu8866 Жыл бұрын
Mungu akubariki.
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen, Ubarikiwe pia
@WilbaldirinaBenjamin-vw2ns
@WilbaldirinaBenjamin-vw2ns Жыл бұрын
Uishi ushibe miaka
@everlynemulumi2842
@everlynemulumi2842 Жыл бұрын
Emmanuel are yu brother to pastor mgogo? yu look alike from Kenya I like your songs
@simonmitalo6192
@simonmitalo6192 Жыл бұрын
True bro
@carolynesore4344
@carolynesore4344 Жыл бұрын
,amen 🙏🙏🙏
@irenepeter1746
@irenepeter1746 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa ujumbe unao Tia Moyo🙏🏼
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe pia
@jane-mx2fe
@jane-mx2fe Жыл бұрын
I saw a short clip of this song on tiktok and really searched it here but couldn't find it. I'm glad its finally out. I'm blessed!
@evalynenyarwai3057
@evalynenyarwai3057 Жыл бұрын
THIS IS WHAT NATIONS NEED TO HEAR ,PURE GOSPEL OF CHRIST💯💯
@israelisponsor8755
@israelisponsor8755 Жыл бұрын
Haswaa!
@lengashelaizer2481
@lengashelaizer2481 Жыл бұрын
blessed sana
@nsabimanaaimable3815
@nsabimanaaimable3815 Жыл бұрын
Emmanuel Mugogo ndagukunda cyane "I love You so much because Unanibariki sana mutumishi wa Mungu".
@edastinaelias3866
@edastinaelias3866 10 ай бұрын
Huu wimbo unanifariji sana Mungu azidi kukuongezea kipaji❤
@nectasilwimba3972
@nectasilwimba3972 Жыл бұрын
Kiukweli nimebarikiwa na wimbo huu naona macho yananitoka tuuuu!!
@HappyMlinga
@HappyMlinga Жыл бұрын
Haleluya
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen Amen
@sifamado3383
@sifamado3383 Жыл бұрын
MUNGU wewe unatisha sana baba asante mtumishi wa MUNGU kwa msg nzuri
@modesterruguzye6714
@modesterruguzye6714 Жыл бұрын
Yani mm nilikuwa sipendi kusikia nyimbo kabisa ilatoka nilipoanza kusikia nyimbo zako sasa nimebadilika sana namuona MUNGU katika moyo Wangu na maisha yangu yamebadikika kwakiasi kikubwa MUNGU akubariki sana nyimbo zako zinanifaliji sana
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Aminaaa
@lynnm7866
@lynnm7866 Жыл бұрын
Another one am being blessed by your songs be blessed too for sharing 🙏🙏🙏🙏
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Glad to hear that, be blessed too
@herimboya
@herimboya Жыл бұрын
Keep going my brother, another hit song from you again😊😋🔥
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe
@herimboya
@herimboya Жыл бұрын
@@mgogosinger amen🙏
@nicholasoginde5541
@nicholasoginde5541 Жыл бұрын
This song has really blessed my soul , it's never too late I will be a Victor May God bless you man of God for His ministry 🙏
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen Amen Amen, be blessed too
@rosemwambungu7102
@rosemwambungu7102 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana nanyi wapendwa 🥰💞🙏
@juliamwanje8623
@juliamwanje8623 Жыл бұрын
Naamini ni mungu tuu na mtegemea much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@lothmoses8439
@lothmoses8439 Жыл бұрын
Mungu ni mwema sana cha muhimu Sala Imani subira 🙏
@elizabethasani4685
@elizabethasani4685 Жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu kwa kukutumia mtumishi. good worship song
@stephenkimani662
@stephenkimani662 Жыл бұрын
Thanks en be blessed.
@michaelduwe4797
@michaelduwe4797 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa kazi nzuri ubarikiwe sanaa
@monicawanza9911
@monicawanza9911 Жыл бұрын
Uso wangu ndo ilifanya nkakujua your such a blessing mgogo🙏....me and your wife has same neck tutakonda kwingine but si shingo tukona original chains from God 😊
@frankkuboka6108
@frankkuboka6108 Жыл бұрын
Brother mgogo you have touched my life these morning by the power of the holyspirit am blessed
@elyudsaleh6044
@elyudsaleh6044 Жыл бұрын
atukuzwe sana MUNGU WA MBINGU NA NCHI, aliyeweka karama ndani yako kaka; nabarikiwa sana kukusikiliza na unani-inspire kumtumikia MUNGU.
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe na kutiwa nguvu zaidi
@shshygibb2236
@shshygibb2236 8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@faithnkirote6305
@faithnkirote6305 Жыл бұрын
Beutiful one! Asante Pastor, Nikuache niende kwa nani Bwana??? Nitakungoja, najua utakuja Baba 🙏
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Zidi kubarikiwa
@kashindisamyprosper4827
@kashindisamyprosper4827 Жыл бұрын
Amina sana, nimebarikiwa sana. Akuna kama wewe BWANA mutetezi ni wewe Baba. Amen amen 🙏
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen, Ubarikiwe sana
@zakariantangu8610
@zakariantangu8610 Жыл бұрын
Balikiw sana sana broo
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe
@devothatabura2244
@devothatabura2244 Жыл бұрын
Amina Amina.....Nimebarikiwa sana jaman.....Karibu tena mwz. Kwa Mtash
@mamatwins7742
@mamatwins7742 Жыл бұрын
Nice one
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 Жыл бұрын
Thanks so much ☺️ this song cure my ❤️ Be blessed 🙏❣️❣️
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe
@paschaljeremiah1001
@paschaljeremiah1001 Жыл бұрын
Nitavumilia maana nakuamini Bwana, utafanya hata zaidi ya Yale niombayo.🙏🙏🙏
@ivangean6743
@ivangean6743 Жыл бұрын
mgogo to the world 🌍. feel loved from Kenya.
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Be Blessed
@vagrant_tz
@vagrant_tz Жыл бұрын
Ndagha thatha mungu akubariki sana kaka nabarikiwa nikiwa paje zanzibar
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen, Ubarikiwe
@imansmwatete4953
@imansmwatete4953 Жыл бұрын
Good job
@user-mu8hi2pc8c
@user-mu8hi2pc8c Жыл бұрын
AMANAMAN
@florencekichindaflorenceki3564
@florencekichindaflorenceki3564 Жыл бұрын
Ijust have hope if i lisen to ure songs sir keep shining much love from kenya
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
🙏🙏
@royalgoldenbeautyparlour1422
@royalgoldenbeautyparlour1422 Жыл бұрын
I can't forget place umenitoa Bwana 😭🙌🙌🙌
@yonadaremo4276
@yonadaremo4276 Жыл бұрын
Mungu akupe kila kilicho jema Rev Emanuel Mgogo
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Oh hallelujah, ubarikiwe sana ndugu
@mikinayokenya8673
@mikinayokenya8673 Жыл бұрын
Nikweli Mungu wetu hachelewi🙏be blessed Man of God.
@mgogosinger
@mgogosinger Жыл бұрын
Amen, Ubarikiwe
@elizabethnamwinga3210
@elizabethnamwinga3210 Жыл бұрын
Anatuwazia mema siku zote .be blessed man of God
@Jord573
@Jord573 Жыл бұрын
Siwezi kusahau Bwana alikonitoa Kawa ngome yangu..!👏👏
KUTANA NA MUNGU KWANZA( Official video)  By Emmnuel Mgogo.
9:43
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 515 М.
Emmanuel Mgogo - NITAKUWA NAWE (Official Music Video)
8:54
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 215 М.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 34 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 15 МЛН
MWANAMKE USITAFUTE DADA WA KAZI MREMBO KULIKO WEWE UTAJUTA "PASTOR MGOGO
27:50
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 139 М.
NI HERI KUONA NDUGU - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 174
8:08
PaPi Clever & Dorcas Official
Рет қаралды 1,3 МЛН
Emmanuel Mgogo - NIMEKOMBOLEWA (Official Music Video) SKIZA Sms to 5965454.
10:58
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 503 М.
Emmanuel Mgogo - MOYO WANGU UKICHOKA KAA NAMI (Official Music video)
12:00
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 1,7 МЛН
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Zabron Singers
Рет қаралды 1 МЛН
UWE NAMI ( Official Video). ISACK PETER Ft. E.Mgogo
7:45
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 185 М.
Emmanuel Mgogo Nitayasimulia Official Video
10:22
Africha Entertainment
Рет қаралды 1,6 МЛН
Emmanuel Mgogo--:WEWE NI ALFA & OMEGA-- FOREVER MORE.(Official Video)
9:00
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 1,3 МЛН