Rapcha dude of nare will one day kill us with laughter 😂😂😂😂😂😂
@IkoNini Жыл бұрын
Yes he will 😂😂
@antonynyaga3304 Жыл бұрын
This will go down as the best weekend update in history! Nimecheka yangu yote😂
@IkoNini Жыл бұрын
Asante Anto
@cerarocks9512 Жыл бұрын
Dude of nare got me with that story ya msee wa kuzoza kwa radio 😂😂 Nimeenjoy hii episode. Iko nini 🔥🔥
@amosodhiambo5605 Жыл бұрын
grace part gat me,,,radio call,....kali sana
@raymondmuhanji172 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 probably the best weekend update ever done.
@IkoNini Жыл бұрын
Na vile wasee wameilenga 😬😬
@antonynyaga3304 Жыл бұрын
Kuna jamaa beshte yangu found me watching iko nini! Weekend update. Akapata nikicheka and he said "hii kitu imenichizisha sana" since then he knew why i watch iko Nini! Mimi hupata akicheka everytime. Therapeutic
@IkoNini Жыл бұрын
Mwambie Iko Nini!!
@domi2155 Жыл бұрын
iko nini 💯💯 The Weekend Update is always 🔥🔥
@ArnoldWafula Жыл бұрын
Ndio naanza kuwatch na naona comments za this will go down as the funniest Weekend Update to date. Anyway, Iko Nini, always expecting to laugh kama kawaida 😂😂😂
@samu.elkigo Жыл бұрын
rapture jooh wachanga izo 😂😂😂 , good show #ikonini
@IkoNini Жыл бұрын
Iko Nini!!
@anthonyageyo2839 Жыл бұрын
Dude of nare🔥🔥.....na mbogi yote salute you guys🔥
@salomewainaina3728 Жыл бұрын
Today ni kicheko tupu... Therapists of the week.. Iko Nini 🔥🔥🔥
@IkoNini Жыл бұрын
Iko Nini!! 😂😂
@allexysteve5967 Жыл бұрын
❤❤❤ iko nini kama kawa on tyme
@winniesafi Жыл бұрын
After u experience comedy ya rapcha u see why he is THE D.O.N 🔥🔥. Weekend updated iko nini 🫶🏾
@tiganAKinyi33 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@IkoNini Жыл бұрын
🙏🏿
@felix_wakiuru Жыл бұрын
Dude of nareeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@michaelrading3871 Жыл бұрын
Kuliwa kabisaa!!🤣🤣🤣
@edwinogutu60 Жыл бұрын
Sceintist ni mbuzi buana! Nimefurahia!
@cassdyndereba3265 Жыл бұрын
since 2012 nimekuwa fan ya dude of naree
@Ram_Mulinge Жыл бұрын
IKO NINI 🔥
@xasancenbaceyn6905 Жыл бұрын
iko nini
@alfredmasaku8904 Жыл бұрын
Iko nini🔥🔥🔥🔥
@amosodhiambo5605 Жыл бұрын
show iko lit
@iddwangway9403 Жыл бұрын
Down in a kayole 😂😂😂😂
@IkoNini Жыл бұрын
😂😂😂
@keelandante.7240 Жыл бұрын
Iko nini.Big up unuhsielf💪🔥
@stevolul1956 Жыл бұрын
King Shango Bredrins of fire 🔥
@keelandante.7240 Жыл бұрын
This trio maks my day mazee.💥💥@@stevolul1956
@Mathenge_ Жыл бұрын
Iko nini is iko niniing💯
@IkoNini Жыл бұрын
Yeah!!!
@xasancenbaceyn6905 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@xasancenbaceyn6905 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nineclanculture Жыл бұрын
😂😂😂😂 siku zote
@engineeringtechnologycircle28 Жыл бұрын
😂😂😂😂iko niniii
@loicebaraza Жыл бұрын
Ian ati Kumbaff 😂😂😂
@Reed_______ Жыл бұрын
Rapcha maan 🤣🤣🤣🤣
@amosodhiambo5605 Жыл бұрын
we need short clips for this,,, imeweka
@campbellnyaolo Жыл бұрын
😂😂iko nini 😂😂🎉
@neema.ndeti_ Жыл бұрын
Jamaneni 🤣🤣.. takes me back to highschool.. a kilo of stones and a kilo of feathers, which is heavier?? 😂😂.. iko nini!
@IkoNini Жыл бұрын
We are talking about a mtungi of money vs a mtungi of water Not a kilo of money vs a kilo of water 😁😁
@neema.ndeti_ Жыл бұрын
@@IkoNini yeah.. I heard.. it just reminded me of that question and the determination of how much mass is occupied in a given volume😄 Absolutely loved the show 🔥
@bustrumondu6537 Жыл бұрын
Bana I used to fail that question Bana. Manze
@stormzydave6704 Жыл бұрын
Hii episode🔥. Iko nini!!!
@IkoNini Жыл бұрын
Wazi Stormzy!!
@fredrickombogo6295 Жыл бұрын
Iko nini🎉
@IkoNini Жыл бұрын
Iko Nini!!
@albinelangat997 Жыл бұрын
Rapcha😂😂😂😂😂
@evansomondi8097 Жыл бұрын
Iko Nini
@eDwin1991 Жыл бұрын
Kuliwa kapisa, kuliwa kapissaaaa....Rapcha, wewe ni nugu ya mtu
@xasancenbaceyn6905 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂2 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mercymwanika2727 Жыл бұрын
Lakini nyinyi hamko sawa😂😂😂😂
@IkoNini Жыл бұрын
😂😂😂 Ni kweli tu
@victorvector3880 Жыл бұрын
😂😂😂😂😅 good stuff
@IkoNini Жыл бұрын
Mr Vector niaje niaje
@victorvector3880 Жыл бұрын
Poa sana. Just cracking up here. Kazi safi ✊🏿
@SsKaySs Жыл бұрын
Ruto kupigia raiaa za kawaida na kupata positive answer ni uongo. Some years back akiwa DP alipigia Mwalim Churchill & in true Kenyan fashion Churchill told him off ati yeye ni scammer wa Kamiti, asipige simu tena! Hadi ikabidi some aides wa Ruto waende in person kwa Churchill ndio ajue it was true - later Mwalim Churchill apologised on Tv.
@KahareKiiru Жыл бұрын
Huwa na pick random calls but once umeniita na my official name, najua ni watu wa kudai na hang up.
@zackopiyo8857 Жыл бұрын
Rapcha😂😂😂😂😂hii dude ni funny
@IkoNini Жыл бұрын
😂😂😂. Iko Nini
@tedpotty Жыл бұрын
Mwaf umenimaliza, umesema 2k ya hustler fund unatumia kuchodo.
@itisjacinta Жыл бұрын
😂😂😂
@loicebaraza Жыл бұрын
Cliff Ombeta is the richest criminal lawyer in kenya
@jg001_ Жыл бұрын
IKO NINI😂🔥
@IkoNini Жыл бұрын
Iko Nini!!
@bustrumondu6537 Жыл бұрын
Only stupid pple don't pick random calls. Mimi simu nashikanga zote and am sure kuna wengine kama mimi
@ceejay2549 Жыл бұрын
Eey Mwaff unapewaje 2k hata mudavadi hakupewa hiyo yote buanaaaaa 😂😂😂
@EJay1418 Жыл бұрын
😂
@loicebaraza Жыл бұрын
Mi nikumpea za roho,na kumkumbusha vile yee ni muongo
@djxavi254 Жыл бұрын
Tuesday haiwezi anza kabla iko nini ionwe/skizwe!
@IkoNini Жыл бұрын
Wazi Xavi 😂😂
@bustrumondu6537 Жыл бұрын
Kuna time conman alinpigia nikaanza kucheka Tu, mfungwa akakata simu Bila mshurutisho
@bustrumondu6537 Жыл бұрын
Yaloan nishai pigiwa.. Jamaa Fulani anaitwa Dick alikopa 600 alfau interest ilikua daily,.. by the time walukua wananipigia it was a month later Debi imekua 1800 na SA iyo gaidi ishalipa 1400... aai mm nlijifanya nikona Dick apo "wee Dick usilipe iyo pesa wewe nimekukataza"... Jamaa wa deni alilata simu immediately. Mshenzi sana
@livisauti2420 Жыл бұрын
RAPCHA ZE GOAT APIGIE RUTO SASA
@agarjakendu Жыл бұрын
Nilikuwa najua Mwaf ni msee wa Olimo but Kumbe pia ni msee wa Sigoti village? My mom is from there - their homestead is just across the road from that awesome cliff from where you can see lake Victoria in the horizon. Niko sure unajua the Mumma family - they are my cousins!
@IkoNini Жыл бұрын
That name sounds familiar. I’ll ask my mum
@brianmwangi4826 Жыл бұрын
😂😂😂ati uyu ni Rais wako thie ukamie
@IkoNini Жыл бұрын
😂😂😂 Rais ashonde 😂😂
@brianmwangi4826 Жыл бұрын
@@IkoNini lazima hasira ionekane 🤣🤣ajue hatumueki
@simonkaraku Жыл бұрын
Raiya za kawaida weekend update iko nini
@IkoNini Жыл бұрын
Iko Nini!!
@vinnievince9547 Жыл бұрын
Kwani I'm the only one whose hustler fund limit is 5k? 🤔
@IkoNini Жыл бұрын
Umechukua mara ngapi?
@vinnievince9547 Жыл бұрын
Once only and I'm yet to pay.
@DonKhalifah Жыл бұрын
Itumbi alikuwa KIMC...ni msee wa madramaaa. Ruto anapiga vipindi
@antonynyaga3304 Жыл бұрын
Si ata hustler fund wangenipea limit ya thao mbili, 1500/= ya early bird ticket ya raiya isiyo ya kawaida na 500/= ya fare ya kuenda Nairobi cinema. Ama mwaaf unikopee?😂😅juu wewe wanakupea limit ya thao mbili😂 Iko Nini!!
@IkoNini Жыл бұрын
Wacha Tutacheki mambo yako 👊🏿👊🏿
@bustrumondu6537 Жыл бұрын
CRB walitoa watu walukua wamemaliza deni but hawajalipa 2k ya kutolewa Kwa CRB
@bustrumondu6537 Жыл бұрын
500 to 740k? Uyo ni wa wash wash.. anatumia hustler fund kusafisha pesa
@DonKhalifah Жыл бұрын
41:55 Rapcha the genius aliongea ukweli 😂😂😂 watashikwa na iwe ni doo kiasi iwe recovered.
@IkoNini Жыл бұрын
Yeah. Hakuna vile wange-recover all the money “officially”
@DonKhalifah Жыл бұрын
@@IkoNini yep. We have new millionaires in town. Alaf just like y'all said, every time a criminal is nabbed, we get to see a mugshot of them holding that DCI plaque...why not this time? Nanusa samaki buana!
@brianmwangi4826 Жыл бұрын
😂😂😂wasee wake wa PR bado hawafiki kwa scripting wanafaa kutafuta raiyaa za kawaida
@IkoNini Жыл бұрын
Wanafaa watulipe 😁😁
@brianmwangi4826 Жыл бұрын
@@IkoNini Nado uko na ile number ya Itumbi naona apo iko kazii
@ambrosekuloba5181 Жыл бұрын
Mwaf ukieza leta Dr muchile wa Health and wellness spot utakua umewesa @ikonini