45 noor. Na Mwenyezi Mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji. Wengine katika wao huenda kwa matumbo yao, na wengine huenda kwa miguu miwili, na wengine huenda kwa miguu mine. Mwenyezi Mungu huumba ayatakayo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu.
@khadijarashidy9304 Жыл бұрын
1.malaika wameumbwa kutokana na Nuru 2.Binadamu wameumbwa kutokana na Udongo 3.majini wameumbwa kutokana na Moto 4. Wanyama wameumbwa kutokana na Maji
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚💚. Pili INSHA ALLAH naomba ikiwapendeza mtutembele county ya EMBU tufaidike kwa maswali ya dini yetu chemsha bongo.
@nohagfgh-721 Жыл бұрын
Mashallah mpokenya hallah hawaongoze💖💖💖💖💖💖💖
@zainabmaulidi9846 Жыл бұрын
Yaan hicho kitab ndo nimekikosa sitaki kuamin🥺 ila INSHA ALLAH..
Hio Aya imeeleza sote,,,,hata sisi binaadam kutokana na maji,,, ,Nabii Adam ndio kutokamana na Udongo,,,,,from mombasa kenya,,# sisi tunatembea kwa miguu miwili
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Binaadamu si mnyama.
@iddyiddy1282 Жыл бұрын
Me mwenyewe siwezi tembea miguu chini kichwa juu😅😂