Mashallah wewe shehe una hekima subira Mwenyezi mungu akujalie kheli hapa duniani na kesho akhela. Tunaomba namba walahu nasi tuchangia.
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu ( Namba hiyo ni ya huyo Sheikh msimamizi wa kituo ) CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu ( Namba hiyo ni ya huyo Sheikh msimamizi wa kituo ) CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@KhamisHaji-pw4joАй бұрын
Allah atawezesha kila kitu kitakua kizuri lnsha Allah,,,,, Allahu-akbar
@MasterOil-qm6vwАй бұрын
Allaah akuhifadhi sheikh abu muhammad kwa jitihada zako allaah atajaalia vijana wetu watarejea kuendelea na?masomo
@zainabumartin9520Ай бұрын
Subhanllah
@SalimZahor-y1jАй бұрын
Pimeni miaka 2 walioyoikaa hapo na na miezi 6 ya mitaani wapi watoto wapo Salam?
@muhammadalibhaz1390Ай бұрын
nashanga tz Kuna waislamu matajiri sana mbona wasichagiye hiyo ujenzi ikamilike ma watoto wastiririke Kuna bakhressa/camel oil/lake oil/Rustam Aziz /mo Dewji/GSM/nida textile
@ndukulusudikucho_Ай бұрын
Kutoa ni ibada
@Jokha1JokhaАй бұрын
Kutoa ni moyo SI utajir
@hassanmfaume4522Ай бұрын
Hata ww unawajibika ktk ujenzi wa uislamu si hao tu uliowataja
@HamidJuma-h8wАй бұрын
Wanakhiari kufadhili timu za mpira kuliko dini yao
@Salsabiil12Ай бұрын
Allah atufanyie wepec
@KoleYasiniАй бұрын
Innalillah wainnahirajiun..
@MohammedyKhadijaАй бұрын
Jaman kumbe bado hakijafunguliwa😢
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tupunguze lawama lengo la sisi KHIDMA TV kufanya kipindi hiki ili waislam na watanzania wote muone hali ilivyo na mchangie ili ujenzi ukamilike na wanafunzi warudi Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@hamzakimaro3764Ай бұрын
miskini uislam hauna wenyewe!!wenyewe wapo ktk kuwekeza kwenye laghawi za kidunia,wamezama kwenye mipra ya miguu!!! Na kudhamini mabinti kuvaa vimini na kucheza mbele za wanaume!!eti ni mpira wa miguu wa akina dada!!
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tupunguze lawama lengo la sisi KHIDMA TV kufanya kipindi hiki ili waislam na watanzania wote muone hali ilivyo na mchangie ili ujenzi ukamilike na wanafunzi warudi Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@JumaOmar-ku6crАй бұрын
Yaani uongozi wanashindwa kuelewa wakati mwengine wazee tunsbadilisha mbinu za malezi watoto kuwsbadilisha mazingira mimi binafsi mwanangu nimempeleka mahadi nyumbsni alikuwa anasumbua sasa amekuja likizo amebadilika vibaya mashalla kawa mtiifu vibaya kila wakati yuko na kurani
@MsNajma-j7eАй бұрын
Samia anachangia mipila tu,, lkn kutoa izo mirion tano au ishirin kwenye msikinti hahaha,, wamekaha kmy viongozi wa hovyo sana mejariwa utajiri.. na mari mnashindwa kujitorea ssi wengine hata kura yetu tunabangaiza tu.. lkn tunatamani kujenga msikinti na madarasa na kuchangia kama hiv warai matajiri wapo kibao lkn wapo kwenyehanasa tu
@MasterOil-qm6vwАй бұрын
Sie waisilamu kwenye kuisoma dini hata iwe kwenye mazingira magumu kiasi gani tunapiga kitabu nashangaa wasio kaa hayo maisha ndio wanaotusemea kwamba tuko kwenye maisha magumu kwakua wao dini zao hazihitaji elimu wakti mashoga na wasagaji wanatokea huko kwenye mahostel lakin hawendi kuyafunga
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tupunguze lawama lengo la sisi KHIDMA TV kufanya kipindi hiki ili waislam muone hali ilivyo na mchangie ili ujenzi ukamilike na wanafunzi warudi Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@shabanimadewa1525Ай бұрын
Nia ni kuudidimiz uislam
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tupunguze lawama lengo la sisi KHIDMA TV kufanya kipindi hiki ili waislam na watanzania wote muone hali ilivyo na mchangie ili ujenzi ukamilike na wanafunzi warudi Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@TwalibMohamed-r8fАй бұрын
Kinachoumiza ni kwamba kuna misaada hutolewa lakini haijawafika walengwa
@SuleymanMadahaАй бұрын
Swa aliwapa lakini havijakidhi mahitaji nduguyangu
@ramamakelo3780Ай бұрын
Huyu D.C kwa sababu ni kafiri, je kanisani angeweza kufanya vitu kama vile, mara anamchimba mikwara Sheilkh,
@hawahussein137Ай бұрын
Wekeni namba tuchangie
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu ( Namba hiyo ni ya huyo Sheikh msimamizi wa kituo ) CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@msongojumbe486Ай бұрын
D.C. magoti usiingilie mambo ya dini
@ramamakelo3780Ай бұрын
Huyu D.C si kafiri ndio maana kaja kumtisha sheilkh ile siku
@DeogratiusAndrew-zi7zvАй бұрын
Mbona mwandishi una sema waislamu wachangie kwani hata wasio waislam hawawezi kuchangia?
@HAMISIISSA-rz1hpАй бұрын
Changia hapana neno
@DeogratiusAndrew-zi7zvАй бұрын
Nitachangia kwani jambo hili limenigusa mno ,kuwa vurugia masomo watoto wanajifunza kuhusu mwenyezi Mungu ,sasa ukomtaani watakuwa wa aina gani sasa nahii ni hila yamtu kaamua kufanya hivyo
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu ( Namba hiyo ni ya huyo Sheikh msimamizi wa kituo ) CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@muridundhikriАй бұрын
Dah, lengo limefanikiwa na sasa watoto hawasomi..!!!
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tupunguze lawama lengo la sisi KHIDMA TV kufanya kipindi hiki ili waislam muone hali ilivyo na mchangie ili ujenzi ukamilike na wanafunzi warudi Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@adiaygo8546Ай бұрын
Tusimlaumu magoti tulaumu mgawanyiko wetu usalafy na ubakwata ndiyo tatizo hapo
@nassor6333Ай бұрын
Unaumia sana ukisikia Salafi? Maana nakuona umesimamia hapo kwenye neno salafi, hujalazimiahwa kuchangia acha.
Tupunguze lawama lengo la sisi KHIDMA TV kufanya kipindi hiki ili waislam muone hali ilivyo na mchangie ili ujenzi ukamilike na wanafunzi warudi Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@UmmuJauzanАй бұрын
Huyo kiwete alowafungia kaishia wapi?
@FredMwamgogwa-td6niАй бұрын
Acha zalau
@abuushawkaan2443Ай бұрын
Chunga kauli yako kwani hali aliyokuwa nayo ni makadirio yake ALLAAH ewe ndugu yangu.
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tupunguze lawama lengo la sisi KHIDMA TV kufanya kipindi hiki ili waislam na watanzania wote muone hali ilivyo na mchangie ili ujenzi ukamilike na wanafunzi warudi Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@christinainnocent3184Ай бұрын
Mbona mkuu wa wilaya Magoti keshawapa sadaka ya ujenzi huo
@fatmafatu1128Ай бұрын
Kwahiyo
@muridundhikriАй бұрын
Mifuko 150 imetosha?
@hamidmussa838Ай бұрын
Walio leta majungu hao hao wenzenu.
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tupunguze lawama lengo la sisi KHIDMA TV kufanya kipindi hiki ili waislam na watanzania wote muone hali ilivyo na mchangie ili ujenzi ukamilike na wanafunzi warudi Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@nassorabdallahomar8526Ай бұрын
H
@Burange666Ай бұрын
Huyu kibyongo mkuu wilaya anafaa asomewe dua ya nguvu kila akiamka kwenda ofisini awe anakunya moto umuunguze mpaka afe.
@adiaygo8546Ай бұрын
Kosa lake Nini kachangia mifuko ya cemetery unamtukana uliyaona Yale mazingira waislam kutoa wagumu Hilo ndio tatizo hapo pameshaitwa sarafy itakuwa ngumu kuchangiwa SEMA Allah atawafanyia upesi
@adiaygo8546Ай бұрын
@@FredMwamgogwa-td6ni 💯🌈
@abuushawkaan2443Ай бұрын
Sisi tunamuombea kheri mkuu wa Wilaya ALLAAH amuongoze katika haki
@adiaygo8546Ай бұрын
@@abuushawkaan2443 Ameen 🤲
@KHIDMAONLINETV350Ай бұрын
Tupunguze lawama lengo la sisi KHIDMA TV kufanya kipindi hiki ili waislam na watanzania wote muone hali ilivyo na mchangie ili ujenzi ukamilike na wanafunzi warudi Tuma mchango wako kwa namba 0719 380 268 Jina Abdallah Samudu CRDB BANK ACCOUNT NO 0133950511000 jina Masjid Salaf Kiluvya.
@tanzanite9944Ай бұрын
Masheik scheni kucheza na watoto wa watu. Kwanza siku hizi Masheik hamuaminiki maana Watoto wa lkiume wanalawitiwa huko huko Madrassa na Misikitini na nyie mpo.
@huyu1993Ай бұрын
Wewe kafiri mkubwa
@mbwanarajab7238Ай бұрын
Chuki za baadhi ya watu kama huyu ambao maaskofu wanawatuma kuwatukana viongozi wa kiislam Hayo ni makosa makubwa kwani waislm hawataweza kamwe kuingia kwenye ukiristo Cha msingi kila mtu atulie chuki hiz wenzenu maaskofu hawa wanaishi kwa kulipwa fedha nyingi sana za miradi na nyingine za propaganda za kupambana na uislamu na kuhiniza ushoga na uchafu mwingine Hivi uislamu na waislm wanavaa vizur na mavazi ya heshima lkn nyie mnavaa uchi na hawawakemei wala kuzuia uovu kwa kuwa waovu ndio wafadhili wa wakiristo
@MtailwaHamisi-u1oАй бұрын
MBONA KUNA KASHFA NYINGI TU ZA MAPADRII KUWALAWITI WATOTO MBONA NASARI ZAO HAZIFUNGIWI???/MSIUCHAFUE UWIAILAMU WATOTO WAMEKAA MIAKA MIWILI WAKIWA WANAPATA ELIMU YA DINI SASA MIEZI SITA TUNAAMBIWA WAENGINE WAMESHAANZA KUWA WALEVI KWELI ALLAH ALISEMA NDANI YA QURANI KAFIRI HAWEZI KUWAPENDA WAISILAMU ABADANI MTU ANA ANDIKA ETI MAAHEIKH HAWAAMINIKI!!! SAKATA LA MASHOGA LILI TRENDIBSANA NA MASHULE KIBAA YA CHEKECHEA ASILIMIANKUBWA YANAMILIKIWA NA WAKIRISTO YALIKUTWA NA VITABU VINAVYOFUNDISHA USHOGA LAKINI HAMUACHI KUWAPELEKA WATOTO TENA WAKIWA NA MIAKA 2 MPAKA 1 1/2 ACHA ROHO MBAYA UWISILAMU NI TAA KAMANUNAVYOLIONA JUWA HUWEi KULIZIMA HATA UNAPOONA JUWA LIMEZAMA SIO KWAMBA LIMEZIMA BADO LINAWAKA JAPO HULIONI .NAMUOMBA PIA ALLAH AKUONYESHE NJIA YA HAKI UIFATE.
@abuushawkaan2443Ай бұрын
😊unashauri au unshimu?