Hawa jamaa wanaongea ukwel sana, wanafurahisha na pia nimegundua wanatia huzuni muda huo huo. Ila yote kwa yote hongeren sana ndg zangu, Allah awabarik katika kaz zenu.❤❤❤
@ebengapierre882611 ай бұрын
Ebwana kazi nzuri ❤❤❤❤❤ nawapa ongera 🇨🇩nawafuata kutoka kongo
@AliMahmoud-p7o10 ай бұрын
Mupo vzr sana vjana mnaelimisha sana
@jamesmusyoka144711 ай бұрын
mimi ni mkenya lakini napenda hawa watu nliwaona mwaka jana nikiwa apo chalinze
@CLINTONMAGETO-do4ce10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ati ndizi😂😂😂😂 waaaah, kazi safi
@Chum.user-di7jg2rn2q11 ай бұрын
Ukweli tupu❤❤❤❤❤❤❤❤!! Wanawake moto wa kuotea mbali
@ValenjiEnock11 ай бұрын
Dah noma nyie ni wakali sana.
@misifaskills74511 ай бұрын
Sawa nmeelewa hapo kwa Kazimoto tabata segerea
@yunisluvanga4211 Жыл бұрын
Wapo vzuuri saaaana Hawa watu barahaaa mnachekesha saaaana
@imanuelnguya9277 Жыл бұрын
😂😂😂😂 daaah mbaka naulizwa na mwenzangu unacheka nini 😂😂😂 sensa kaesabiwa
@emmanuelkaindo989911 ай бұрын
Hongeren sana
@labionmtinginji4281 Жыл бұрын
Anabandika nywere juuu ya nywere kucha juu ya kucha kope juu ya kope😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@YoungsHilary-xd2ml11 ай бұрын
Kweli kabsa kupambana ,ni kusonga mbele
@Mojabo-l8u11 ай бұрын
Kazi nzuli 😂😂😂😂
@RamadhaniKaholi-os3tn11 ай бұрын
Mpo vizuri mtafika mbali ,,,mnatoa stress
@AbdallaMwagora-sm1rj11 ай бұрын
Hawa jamaa mm nawakubali saana .na wanafaa tuwaunge mkono ,ili waendelee kutupa barudani.
@SaimonBishanga-uq7qz11 ай бұрын
Bana bana nimekutana nao ndo wenyewe
@rahmamamy403411 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂mnaniacha hoi
@riverjoshua814111 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nimewapta sasa
@aminaomary556711 ай бұрын
Mko juu ndugu zangu❤❤❤
@sadinimtinangi-zt4pv11 ай бұрын
Yaan lazima ucheke kishamba 😅😅😅😅😅
@kamtafuteTena0111 ай бұрын
Nouma sana hawa jamaaa❤❤❤😂😂😂😂
@JumanneKAHAMBANSHASHA3 ай бұрын
Elimu bure endeleeni kuwapa erm wasio na erim nawashukuru sana 😅
@batoolmwajuma3000 Жыл бұрын
😂😂😂😂,ety tukaweke wapi rooh zetu uwiiiiiii
@KulekatsengeHaruni-sb6qc Жыл бұрын
😂😂😂😂😂heee iyi nikali
@StaphodKassim-t7i Жыл бұрын
Nakubali sana mungu awazidishie
@uwezawamungumkuu.amaniafrika11 ай бұрын
Balaa tupu. Weka mbali na moyo wako uishi kwa amani kamanda.. poleni.
@AmliHamdani11 ай бұрын
Vizuri sana wazee mkovizuri munguawatangulie sana
@JumanneKAHAMBANSHASHA3 ай бұрын
Mna gusa penyewe ❤
@tmbashujaaosama381011 ай бұрын
Kweli u Cuba ni muhimu eti tulia njia nyembamba mara anakamiza GIA box kumbe kichwa Cha mkewe anamwambia tulia Niko MLA ndizi kuna mlima hahaaa. Kwa nn MLA ndizi?
@xaverykihwili57711 ай бұрын
😅kikubwa kukubaliwa na watu
@emmanuelmichael9764 Жыл бұрын
naomba namba ya hawa ndugu
@johndionice28996 ай бұрын
Andrea
@salumsalumrobert Жыл бұрын
Hatari sana the brack
@BraitonMwavali2 ай бұрын
😂 aaaa!
@jumannecharles-p3b16 күн бұрын
Sana
@eliamtinda722211 ай бұрын
Big up!
@charlesmakuri792 Жыл бұрын
Hii collaboration nzuri
@faudhiasaidi366911 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣pyende kyukyu
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
Safi Sana 🎉🎉
@aimableassumani234011 ай бұрын
Hawa jamaa wamenifurahisha 😂
@DonMooSTUDIO_Express11 ай бұрын
Kwani hawa ndio wale DOKTA MJUSI na PROFESA KAZI !?. Walisumbua sana enzi zetu tukiwa watoto 😂😂😂
@officialdinaize11 ай бұрын
Sio
@DonMooSTUDIO_Express11 ай бұрын
@@officialdinaize kama siyo wenyewe basi wamewaiga wale jamaa ndio waanzilishi
@saidAlfani-c2m Жыл бұрын
Kongole brothers
@jovinmancomedytz11 ай бұрын
Tanzania tunavipaji wengi sana jamani Mungu awabariki mnaweza
@RashidKamana11 ай бұрын
Mnawenz 😂
@Mojabo-l8u11 ай бұрын
😂😂❤❤❤🎉🎉
@isackkidaso9030 Жыл бұрын
Ssfi sana
@RujainahOmary-bq2ru Жыл бұрын
Ety mimi sio mgonjwa mimi mwizi niweke ndani Unahisi bonge angemfanya nn
@OmaryMwaropa-dy3no Жыл бұрын
Angeenda mla
@Mc_Chabala Жыл бұрын
Mafuta
@sawackoswald9322 Жыл бұрын
Tanzania tuna talent kibao nivile hazijitokezi hadharan
@mbwelamedia3469 Жыл бұрын
Kuna vipaji vimejificha mtaani shida wenye nafasi hawataki warithi
@jamesmusyoka144711 ай бұрын
kama kuna mtu ako apo chalinze kwa petrol station yenye inaitwa (ngamila station) tafathali nijulishe nikutume salam nimerudi niko kwetu kenya
@peternyambo143911 ай бұрын
97 SHULE YA UHURU, BADO WADOGO NOW DAYS WAMEZEKA AISEE
@SamoraDavid11 ай бұрын
Hawamiliki account za mtandaoni niwe nawasikiliza nawapenda❤❤
@SurprisedDachshund-rc2fw11 ай бұрын
Tunataka mapya sio yayare
@peteromukule50127 ай бұрын
Wazee ni wajasiri sana hao
@RizikiMwinami8 ай бұрын
TikTok wanatumia jinagani hawajamaa
@GodianBuliba11 ай бұрын
Asante
@PiliMikole Жыл бұрын
😂😅😂
@HassaniMahamudi-k6w Жыл бұрын
😅😅😅😅
@GWIJIGWIJISELLA-tt2it Жыл бұрын
😁😁🤣🤣🤣
@salama1113 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@MuhammedSinga Жыл бұрын
🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
@donkaloza6985 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@matembatony928711 ай бұрын
Mende wingi twende maana yake twende tutarudi tena siku nyingine!
@SaimonBishanga-uq7qz11 ай бұрын
Kakaeee Hawa ndo wenyewe
@damianmcba952511 ай бұрын
Turia mlandizi kuna mlima,,,,laziwe uwe wa Cuba ndio uelewe