EPISODE; 66 WATU WALOKAA PANGONI (ASWHAB KAHF) WALIKAA MIAKA MINGAPI

  Рет қаралды 7,454

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 жыл бұрын
Mashallah tunajifunza Alhamdulilah
@barwani890
@barwani890 Жыл бұрын
Waaleikum salaam tabarak rahman shekh ismail itabidi nikija tz nikutafute kwa kutufurahisha Allah akutilieni barka pamoja natim nzima yaraab
@sh4138
@sh4138 2 жыл бұрын
Mansh Allah Tabarakallah 🧕🧕🇧🇮🇧🇮
@fatmakassim8604
@fatmakassim8604 2 жыл бұрын
Waalykum salam warahmatullah wabarakatuh
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Masha Allah ahsant nime ona Clorox simge tu onyesha vizuri hiyo sehem ya vitu vyakusafisha majumbani 🤗🙊
@wahidawahida6767
@wahidawahida6767 Жыл бұрын
Unajuwa kutanganza Ismail mfundishe vizur na Yahya.
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Walyem mssalam warrahmathuallah wabarakathu sheikh ismail
@hasnahasna7872
@hasnahasna7872 2 жыл бұрын
Waalykum salaam warahmatullah wabarakatuh.
@aishakinia4957
@aishakinia4957 2 жыл бұрын
Streets Daawa'h mpaka supermarket Mashaallah Sheikh Ismaily kwa kuvamia tuu 😂😂 mpaka wafungiwa milango
@barwani890
@barwani890 Жыл бұрын
Unanichekesha aisha
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 жыл бұрын
Ma sha allah kipindi kizuri Sheikh ismaili Allah akuhifadhi
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Shukran sheikh inshaallah
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
@sakinat2527
@sakinat2527 2 жыл бұрын
TAKBIIIIIR, ...........🥰
@Lailal-bg8di
@Lailal-bg8di 2 жыл бұрын
AllahuAkibar
@rayhanrashid3928
@rayhanrashid3928 2 жыл бұрын
Allahu Akbar
@zeitunkassim9352
@zeitunkassim9352 2 жыл бұрын
ALLAHU Akbaar
@dottohami
@dottohami Жыл бұрын
Masha Allha kipindi changu pendwa😍🔥
@mamuoman7849
@mamuoman7849 2 жыл бұрын
Me nauliza moja ndan ya sura hiyo hiyo Al-Kahf walikuwa ni wangapi pangoni manake katika Ayah kila mmoja anasema walikuwa watatu na wanne mbwa wao wengine walikuwa walikuwa watano na wasita mbwa wao na wengine saba wanane mbwa wao na kunasehem ndani ya Ayah hiyohiyo Mungu ndio anajua hesabu yao... Alafu akisema hawajui ila wachache hapa inamaanisha kuna wachache wanaojua idadi yao na kama hamtoajli mtuambie idadi yao walikua wangapi
@aminaalmazrui9785
@aminaalmazrui9785 2 жыл бұрын
Subhannallah me najua saba Na mbwa wao ,Allah anisamehe kama nimekosea
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
Allah mwenyewe amesema Haina umuhimu katika kubishana juu ya idadi yake,Allah ndie mjuzi
@mamuoman7849
@mamuoman7849 2 жыл бұрын
@@aminaalmazrui9785 naam katika hiyo Ayah imeongea ivo kutoka tatu mpaka saba na akasema wanaropoka ovyo... Na hiyo Aya haijamalizia hapo
@mamuoman7849
@mamuoman7849 2 жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 Amesema wachache tu ndio wanajua na hii ni dini hivyo kujifunza sio mbaya kwa wanaojua ili na sie tusiomiongon mwa waropokaji km hayo makundi
@msafiridiary
@msafiridiary 2 жыл бұрын
Shekhe, aya imeeleza vizuri wapo wanasema watatu na mmbwa wao - saba na mmbwa wao, ila riwaya nyingi na wanazuoni wengi wa mekubaliana kwa idadi ya saba na mbwa wao wa8.. ila mwisho aya ikamalizia kwa onyo juu ya wale wanao ropoka ropoka jambo kwa utashi wao. M'mungu ndie mjuzi wa hili jambo. Allah yalam.
@HusseinMohamed-jq7hu
@HusseinMohamed-jq7hu Жыл бұрын
Njooon na pemba jaman
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 2 жыл бұрын
Waalykum salaam warhamatullah wabarakatuh MashaAllah🥰 Alhamdulilah🙏🌹
@sakinat2527
@sakinat2527 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@aishakinia4957
@aishakinia4957 2 жыл бұрын
Mashaallah thabarakaallah 🌹
@azeezabdallaofficial5983
@azeezabdallaofficial5983 2 жыл бұрын
Acheni urumbwapa he social media inaleta usenge hapo mnafagilia hio supermarket upuzi mtupu
@machetebogota4218
@machetebogota4218 2 жыл бұрын
Uyo Ally kaskia jibu🤣nmecheka eti takbir naye takbir dah
@maessadakil1383
@maessadakil1383 2 жыл бұрын
Mashallh
@nyatya199
@nyatya199 2 жыл бұрын
Maashaallah
@wahidawahida6767
@wahidawahida6767 Жыл бұрын
Walayku msalam
@a.856
@a.856 2 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@aminaalmazrui9785
@aminaalmazrui9785 2 жыл бұрын
جزاك الله خير
@a.856
@a.856 2 жыл бұрын
@@aminaalmazrui9785 Allahumma amin waiyyaki dear🥰
@aminaalmazrui9785
@aminaalmazrui9785 2 жыл бұрын
@@a.856 شكرا حبيبتي
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 2 жыл бұрын
Jibu amelisikiahuyo
EPISODE; 86 JE, TAQBIR YA KUHIRIMIA SWALA NI SUNA AU WAJIBU
28:46
Kishki Online TV
Рет қаралды 7 М.
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 111 МЛН
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,9 МЛН
Disrespect or Respect 💔❤️
00:27
Thiago Productions
Рет қаралды 43 МЛН
SIRI NZITO YA QUR’AN YAFICHULIWA CHINI YA MTI NA MTOTO ASIYEONA
8:34
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
EPISODE; 78 MSAFIRI ANARUHUSIWA KUACHA SWALAH GANI?
33:01
Kishki Online TV
Рет қаралды 9 М.
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33