ERDOGAN WA UTURUKI AMUUNGA MKONO PUTIN KUONDOA WAASI SYRIA

  Рет қаралды 4,463

THE WORLD NEWS

THE WORLD NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@RUKIARUKIA-b9r
@RUKIARUKIA-b9r 11 сағат бұрын
hapo Allah ameleta nusra yke ss makafiri tafuteni mbinu zingine😊
@azizmiraji2610
@azizmiraji2610 7 сағат бұрын
Huyu mturuki ni wakumuangalia sana yupo kama bendera
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 5 сағат бұрын
Kuna jamaa mmoja humu aliwahi kusema anamjua Edorgan ni mtu wa kukwepa vita sana na kweli leo nimekubali.
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 7 сағат бұрын
Endergo ni mnafiki huyu
@mustaphambonde8121
@mustaphambonde8121 Сағат бұрын
I don't trust this president..never..!!!😢
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 12 сағат бұрын
hiiii saf sana ❤❤❤❤❤
@josepheriah5977
@josepheriah5977 9 сағат бұрын
Uwongoakti waasi wa edogan
@ABDIMUSSA-y4w
@ABDIMUSSA-y4w 9 сағат бұрын
Erdogan wa uturuki kakubali kaona kumbe hayo magaidi wametumwa na hao wamalekan yes good sasa ngoja wayaone majeshi ya uturub mungu ibaliki syria
@AmaniMathod
@AmaniMathod 8 сағат бұрын
WALE WAPINGAJI WA URUSSI WATA ELEWA KIDOGO KIDOGO
@ABDIMUSSA-y4w
@ABDIMUSSA-y4w 9 сағат бұрын
Hapo sawa Erdogan kaukubali Yan mrusi ni mtu wa huruma ata gaza atanisaidia kuliko Hawa walabu wasenge badae wamuunge mkono muilan na urusi wanawaunga mkono mashoga wez wa mafuta eti ndio maraisi wa Dunia majitu majizi mnalana tululah mi naonaga raisi wa Dunia ni Putin na mwenye uruma na muilan
@MohdSalum-y5i
@MohdSalum-y5i 11 сағат бұрын
Safi
@MaduuAthumani
@MaduuAthumani 3 сағат бұрын
Jamani lazima tufaham ukweli nikwambwa uturuki kujiunga nanato nikama malukituu maana anajuwa ukweli upowapi ndomana anaomba kujiuna bricsi naakijiunga kule huku anatoka nato itaanguka kabisaa
@happygombe1969
@happygombe1969 6 сағат бұрын
Mturuki sio waku mwamini nimnafki mno
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 5 сағат бұрын
Uturuki Hana msimamo yeye ni ndumila kuwili anauma huku na huko.
@mustaphaabbasihassani6519
@mustaphaabbasihassani6519 11 сағат бұрын
Uturuki haeleweki kabisa, yupo kama Malaya tu.
@MohdSalum-y5i
@MohdSalum-y5i 11 сағат бұрын
Ana unafik
@benjaminngutta3529
@benjaminngutta3529 9 сағат бұрын
Kweli kabisa haeleweki
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 9 сағат бұрын
Yaani kaona Ukraine imenyolewa kwa chupa na yeye abishe hapo ni kuunga mkono Tu. Urusi itawale Syria wale Mali Bila vita sio watu wanyonyaji wananyonya na roho za watu .
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 6 сағат бұрын
Rafiki muda wa matatizo,wazee wazamani wanasema.urusi awezi kumuacha mtu wake wakaribu ndio mshirika bora,mzuri.
@نجمهجمعه-غ8ق
@نجمهجمعه-غ8ق 10 сағат бұрын
Asitudanganye huyu mjinga mwengine ameona ngoma imenoga na jukwaa ni didogo hakuna nafasi ndio amegeuka sasa
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 9 сағат бұрын
😂😂😂
@abalkaram786
@abalkaram786 11 сағат бұрын
na niliwaambia nusra front haiyendeshwi na narekani wala Israeli
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 6 сағат бұрын
Uturuki kibaraka mkubwa urusi awe makini na uturuki
@SekkaHassan-q9u
@SekkaHassan-q9u 11 сағат бұрын
Muda utaongea
@Beckam254
@Beckam254 Сағат бұрын
Erdoğan ni snitch but hawezi kutoboa mbele ya uncle Putin
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 12 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 11 сағат бұрын
Kaona Russia hatani, yupo kazini
@JafariNyallu
@JafariNyallu 10 сағат бұрын
edogan anamwogopa Putin kwa sababu nyuklia ikianza Russia ataipiga uturi mapema sana, sababu yupojiran sana
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 Сағат бұрын
Naongelea nyukilia icbc hsizuiliki hapo😅😅😅
@musasefu6092
@musasefu6092 12 сағат бұрын
mbona uturuki haeleweki
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 11 сағат бұрын
usalama wa nchi kaka ni muhimu sana sio kama alikua aeleweki
@MaduuAthumani
@MaduuAthumani 3 сағат бұрын
Upo sahihi sana kaka
@IsmailNsengiyumvaa
@IsmailNsengiyumvaa 11 сағат бұрын
Vp
@DAVIDKISWAGA
@DAVIDKISWAGA 11 сағат бұрын
Haipo hiyo yaani utruki aache masirahi yake kisa urusi
@SalumMmaka-o6w
@SalumMmaka-o6w 11 сағат бұрын
Hakuna maslah yoyote anayo yapata pale zaidi yakuuwa Wana jeshi waketu Wala hakumuunga mkono putini Kama anamuogopa maana uturuki nayo iko sawa Sanaa kivita
@DAVIDKISWAGA
@DAVIDKISWAGA 9 сағат бұрын
@SalumMmaka-o6w ya nikweli ila utruki ni mnafiki sana anajua sirya ikipata utulivu na uwezo mzuri wa kijeshi atanyang'anywa miji aliiiba sirya ndo sababu kubwa la kuwavuluga
@SultanAlly-nz4mz
@SultanAlly-nz4mz 11 сағат бұрын
Mh vit ya Urus he aiwez unadhan atafanyaje
@josepheriah5977
@josepheriah5977 9 сағат бұрын
Urusi zaif
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 9 сағат бұрын
Kwahiyo 🦍🦍🦍 ?
@josepheriah5977
@josepheriah5977 9 сағат бұрын
Kambi za urus zatekwa sria
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 9 сағат бұрын
Kwahiyo 🦍🦍🦍 ?
@abalkaram786
@abalkaram786 12 сағат бұрын
SASA MIMI NILIWAAMBIA VIBARAKA WA KIMAGHARIBI WOTE WAPO UPANDE WA BASHAR. HAWAWEZI KUUNGA MKONO KUNDI LA NUSRA FRONT ATA SIKU MOJA:
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 9 сағат бұрын
NANI alikwambia kuwa upande wa Magharibi Wote wapo upande wa Syria? Mbona na wewe umekuwa Mnafiki?
@abalkaram786
@abalkaram786 9 сағат бұрын
@nasseralhatmi1762 Na wewe Nani kakwambia Amerika na Uk na Vibaraka wao WAPO UPANDE WA NUSRA FRONT. NANI ALIKUAMBIA?.
@abalkaram786
@abalkaram786 9 сағат бұрын
qabqq qa
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 8 сағат бұрын
@@abalkaram786 😂😂😂 Naona wewe hujui chochote kuhusu Hii Vita na pia hujui Siasa Hapo Hapo hujui lolote kuhusu Geography kwahiyo bora uende Chooni kwanza ukahare uharoooooo usioutegemea kwa kujiona wewe ni Mpumbavu na Mjinga uliopokuwa unasoma Shule pia Endelea kuangalia Channel zako za Uongo na Unafiki na Wivu na Mashoga usikae kunipotezea Muda wangu kwa mjinga Kama wewe
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 63 МЛН
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 21 МЛН
Новости дня | 4 декабря - вечерний выпуск
11:43
Euronews по-русски
Рет қаралды 4,5 М.
FILM ACTION terbaru jetli yang sangat keren
1:43:26
GUDANG OPERA
Рет қаралды 7 МЛН
HAWAONGEI KIINGEREZA Mozambique (MSUMBIJI) - KIRENO NDIO LUGHA
16:53
Boy From Tanzania 🇹🇿
Рет қаралды 2,7 М.
Top U.S. & World Headlines - December 2, 2024
14:44
Democracy Now!
Рет қаралды 208 М.
Syrian troops withdraw from the city of Aleppo | BBC News
8:47
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 63 МЛН