ESHA BUHETI ATIMIZA MIAKA 41 - AFUNGUKA SABABU ya KUMPA TUZO MUMEWE...

  Рет қаралды 9,028

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 9 күн бұрын
Happy birthday dada mwenye eshimq zake ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aminahassanali1190
@aminahassanali1190 9 күн бұрын
Mashaallh esha mzur❤
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 8 күн бұрын
Usifungue Bar da Esha pombe ni haramu kuna Maisha baada ya Maisha ya Duniani..Fanya kwaajili ya Allah tafadhali
@FghgRyy
@FghgRyy 8 күн бұрын
Saheh kabisa
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 7 күн бұрын
Ni kweli kabisa angekaa mbali na hicho kitu.
@hamidahnassoro-12
@hamidahnassoro-12 9 күн бұрын
Apo kwenye baa ndio umezingua sasa baa bora ndio nn?
@MercyHamis
@MercyHamis 9 күн бұрын
Mashallah 🥰 wanapendana hadi raha
@UmmyBeauty
@UmmyBeauty 3 күн бұрын
Nakupenda sn
@Muna-en4yq
@Muna-en4yq 5 күн бұрын
Dada Esha nakupenda Sana Na nakuomba usifungue bar dada utasababisha dhambi nyingi kusabaa
@bennamush4616
@bennamush4616 9 күн бұрын
Sijui kama nitakuwa sawa ila nimetamani mngezaa mtoto wenu mmoja ili mzidi kuunganika zaid
@fatumambaga4004
@fatumambaga4004 9 күн бұрын
Dada esha umependeza sana
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 8 күн бұрын
MashaAllah nimependa hili wazo… kitu kizuri sana MashaAllah ❤❤
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 9 күн бұрын
Kapendez. Hongera sana. 41 kqmq 23
@dayana5513story
@dayana5513story 9 күн бұрын
Mashallah ❤❤
@angelabanzi8253
@angelabanzi8253 9 күн бұрын
Hongera kipenzi
@hanifa9153
@hanifa9153 8 күн бұрын
Mashaallah she's very cute🥰🥰🎉🎉🎉
@fora2009
@fora2009 9 күн бұрын
Mashaallah
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy 9 күн бұрын
Baa ndo mtihan kwa kwel
@ZeyanahamedRashid
@ZeyanahamedRashid 8 күн бұрын
Riski ya halali anatakiwa aachane na baaa hususan yy mwanmke wa kiislam lkn wanajisahau kutokana na mazingira
@monicamwainunu7908
@monicamwainunu7908 8 күн бұрын
Hongera kwakua mkweli wa umri
@julianapeason6254
@julianapeason6254 6 күн бұрын
unavyomwona kasema kweli?
@SwalehSelemani
@SwalehSelemani 9 күн бұрын
Staaa wa kwanza kutaja umri wake wa kweli
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z 8 күн бұрын
Unauhakiki kataja cheti chake apo au
@estherblessed6382
@estherblessed6382 9 күн бұрын
❤❤❤❤
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g 9 күн бұрын
Upendo wenu udumu zaidi nazaidi nimewapenda bule
@nyamizisalumu9238
@nyamizisalumu9238 7 күн бұрын
Sasa dada si ulisema ni wakati wa wewe kumludia mungu vipi tena kuhusu bar na pia hujihifandhi nywele
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 5 күн бұрын
Esha aacha kuuza bar Wakumbuka dida alivokufa gafla ulsemaje?chakula tu kitakuongezea zaid kuwa na khofu na MUNGU WAKO.nakuona esha umekufa tikiri kwa numewe vzuri ALLAH AWATUNZE.😂😂😂😂
@Nuru9568
@Nuru9568 9 күн бұрын
Bora ww umesema kweli mwenzio kila cku wapo 32😂😂😂
@rahemahassan3015
@rahemahassan3015 9 күн бұрын
😂😂😂Anajitambua
@nashnene6326
@nashnene6326 9 күн бұрын
Imagine bila kumtaja huyo mwengine hii isingenoga! Lazima atajwe ili kupata chapuo! Chezea watu wenye nyota zao ww
@Nuru9568
@Nuru9568 9 күн бұрын
@@nashnene6326 hapo ajamtaja mtu jaman sikilza interview vizur yy kasema umri wke halis tu
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 9 күн бұрын
​@@nashnene6326kamtaja naniii?
@MajiburaAlly
@MajiburaAlly 8 күн бұрын
Iyo 41 hajasema ukweli sio mdogo eshe buheti
@Sage-o4q
@Sage-o4q 7 күн бұрын
41 sio kweli😂😂😂😂😂😂 wewe ni wa 1979 tunakujua.
@FatmaMohammed-s3k
@FatmaMohammed-s3k 7 күн бұрын
Nilijua tu mtatokea wazazi wamtandaoni
@julianapeason6254
@julianapeason6254 6 күн бұрын
ni kweli kajipunguzia huyu dada ni mkubwa, kuna cku alisema alikiba ni mdogo wake na ali ni wa 1980.... so 78 or 79 sawa
@Sage-o4q
@Sage-o4q 6 күн бұрын
@@FatmaMohammed-s3k tunamjua bhana ni mkubwa sana tu.
@salomesalala
@salomesalala 9 күн бұрын
Mtangazaji nawe wewe mh
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 9 күн бұрын
shamgazi kama shangazi
@GraceLuvanda-g5r
@GraceLuvanda-g5r 9 күн бұрын
Hongera kwa kusema kweli.....eti shilole ana 36 nyie😂
@SwalehSelemani
@SwalehSelemani 9 күн бұрын
Na Irene uwoya nae 36 dunia Ina maajabu😂
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 9 күн бұрын
Na hamisa 30😂😂😂😂😂
@Dianamwansasudddw
@Dianamwansasudddw 9 күн бұрын
​@@RitbayRitbayna ant 32 jaman???
@SubiraJohn-v9s
@SubiraJohn-v9s 9 күн бұрын
41 au 51
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z 8 күн бұрын
88😋😋
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 7 күн бұрын
​@@MariamuJuma-t8zila watu
@julianapeason6254
@julianapeason6254 6 күн бұрын
51 sawa kabisa 🤣🤣🤣
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 9 күн бұрын
Kweli kumpa tuzo kwa mwanaume young kama uyo kuoa lizee kama wewe unahaki mama mpe tuzo ya gold kabisaa 😂😂😂😂
@wesalmobilejumabhalo196
@wesalmobilejumabhalo196 8 күн бұрын
Tafuta pesa wacha wivu
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 8 күн бұрын
@wesalmobilejumabhalo196 Unataka kiasi gani nikupe 😏 weka namba ya mpesa nikupe hela ya Xmas ukasuke huo mbichwa wako
@bahatikarume3203
@bahatikarume3203 7 күн бұрын
Haswa​@@wesalmobilejumabhalo196
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 7 күн бұрын
​@@wesalmobilejumabhalo196nimemshangaa esha ana uzee gani
@rachelcheyo-p5z
@rachelcheyo-p5z 9 күн бұрын
❤❤❤
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 161 М.
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН