Essence Of Worship - Sitaona Haya ( Official Live Music Video )

  Рет қаралды 689,970

Essence Of Worship Ministries

Essence Of Worship Ministries

Күн бұрын

#essenceofworship #myworship #livemusic
Warumi 1:16
Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia. For I am not ashamed of the gospel of Christ: for it is the power of God unto salvation to every one that believeth; to the Jew first, and also to the Greek.
Credits
Mixing and Mastering @SamuelMboya @choosenRecords
Video Director and Editor ‪@amigojohnson6201‬ Amijoji Company LTD
Venue ‪@Thesuperdometz‬
Executive producer ‪@essenceofworshipministries‬

Пікірлер: 563
@PraiseGodall
@PraiseGodall Жыл бұрын
I was born in a Muslim family ...but the love that I have in my heart for Jesus Christ is huge ..I can proudly say that I am a Christian now and GOD has shown that he loves me too... God bless you! Have a blessed day!
@ianwhite1604
@ianwhite1604 Жыл бұрын
wow,,,glory to God
@lwimikomwakibete6693
@lwimikomwakibete6693 Жыл бұрын
Blessed more dear.
@PraiseGodall
@PraiseGodall Жыл бұрын
Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you very much. Wishing you health, luck and happiness, God bless you 🙏 @@lwimikomwakibete6693
@PraiseGodall
@PraiseGodall Жыл бұрын
Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you very much. Wishing you health, luck and happiness, God bless you 🙏 @@ianwhite1604
@PraiseGodall
@PraiseGodall Жыл бұрын
Amen 🙏 God bless you! Have a blessed day! Thank you very much! 👍🏽🙋🏾‍♀💯✌🏾💓💓💓 @@lwimikomwakibete6693
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Sitaona Haya Kukusifu Mungu wangu God Bless you Essence team
@PetroMbugi
@PetroMbugi 3 ай бұрын
Ndo mana nakupendaga kaka boaz una roho zuri sana
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 2 ай бұрын
YEHOVAH AKUBARIKI MTUMISHI KWA KUONYESHA UPENDO KWA WATUMISHI WENZAKO.HUU NI UPENDO WA AJABU
@rachelchabandi4376
@rachelchabandi4376 5 күн бұрын
SITAONA HAYA KUKUSIFU YESU WANGU🙏🙌
@juliasgidion
@juliasgidion Жыл бұрын
Tanzania imependelewa sana na kuwa na watumishi ambao MUNGU anawatumia tuzidi kuwaombea na kuiombea nchi Yetu Tanzania hongera sana Brother Gwamaka and Team 🙏🙏
@bahatisanga2186
@bahatisanga2186 10 ай бұрын
Eeeh YESU YESU YESU NINI NI NANI BASI NIACHE KUKUPENDA. AFYA,KIBALI, AMANI UMENIPA BURE HUJANIPIMIA MUNGU MIMI NI NANI YESU YESU UUUUUUUMALI YANGU😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@SuzanaNyanda
@SuzanaNyanda 8 ай бұрын
Amen
@jamesmelack9634
@jamesmelack9634 Жыл бұрын
Gwamaka nakuombea maisha marefu sana bado dunia yote inahitaji huduma ya team yako huu wimbo i can't remember how times nimeurudia rudia ,na mwimbishaji aliutendea haki kwakwel nimeamini mlimwomba Mungu NIMEBADILISHWA😢
@TuseNtekigwa-dx3xh
@TuseNtekigwa-dx3xh Жыл бұрын
Dah ..huu wimbo kila ninapousikiliza Kuna namna moyo wangu unakuwa..barikiwa gwama na team yako🙏🙏🤭
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 Жыл бұрын
barikiwa sana katika jina la yesu
@neemampamba1578
@neemampamba1578 11 ай бұрын
Eeeeh Yesu !! U mali yangu
@DeboraMpologomyi
@DeboraMpologomyi 11 ай бұрын
❤nasema tena natena nakupenda umali yangu
@NjambiNjeri
@NjambiNjeri 6 ай бұрын
Amen..amen mungu aliituumba kumwabudu.b all blessed hallelluyah!
@AmazingJoy-v2m
@AmazingJoy-v2m Жыл бұрын
Stanley Desmond from Nairobi Kenya any one listening to this song i pray that God may give you strength to spread the gospel ❤❤❤
@gospelmediaafrica9801
@gospelmediaafrica9801 18 күн бұрын
Mungu ni mwaminifu nyieee😭💓💓
@isackmashishanga.6067
@isackmashishanga.6067 Жыл бұрын
need likes from Tanzanians here🇹🇿🇹🇿🇹🇿 the one blessed 😇
@ireneChosen8193
@ireneChosen8193 Жыл бұрын
Yaaani mimi najua Shetani anauguaga sana na tumbo la kuharaaa😂anapoona Watu wa Mungu wanafanya vizuri.Na badoooo…..😂! Mbarikiwe sana wapenzi wangu,yaani mmejua kujidai na Yesu wenuuu….💃💃🥳🥳🥳💋💋🔥🔥🔥🥂🥂🥂….ila huyu leader amenikosha sanaaa…style yake ya uimbaji yaani nimeona Mahaba hapoo…kwa Yesu wake…Chaiii…good job brother,very beautiful and Unique!Tena ulisema “ Nasema tenaa na teena “hatareeee 🎉👏👏. I am a worshipper too so I know what am saying 😁. Hongereni sana guys ❤
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 ай бұрын
Yan huu wimbo huiwa naupiga kwa redio yangu nafungulia hadi mwisho hahahaa yan napendaga pale Yesu nakupenda tena na tena na tena ... Majirani wananunajeee hahahahaha
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Жыл бұрын
Huu wimbo nimelia hadi unaisha aiseee nikakumbuka namna ni mdada nnavyoshikaga mic kumsifu Bwana YESU natukanwa lakini siachi kuhubiri wala kumsifu ..... Eeeeeeh Yesu eeeh nakupenda UMALI YANGU........ AISEE SITAONA HAYA KAMWE
@GraciousAmon
@GraciousAmon 11 ай бұрын
Hii nyimbo n kama ile ebenezer ya spirit of praise🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@jacksonmwalimo9275
@jacksonmwalimo9275 10 ай бұрын
True
@elenzianjk5543
@elenzianjk5543 9 ай бұрын
Yaani nilikua najiuliza hii melody nimeisikia wapi!! U mfuatiliaji mzuri sana. Same melody different tastes, so blessed! Thanks😊
@nancysnelima2960
@nancysnelima2960 5 ай бұрын
Yes true
@alanpierrers
@alanpierrers 2 ай бұрын
​@@elenzianjk5543tunawaza same. Yaani comment ya huyu dada imenifungua macho
@rebeccacheyo
@rebeccacheyo Жыл бұрын
Song Lyrics🔥👇🏽 Chorus Sitaona haya Kukusifu kweli Sitaona aibu Kukutaja Refrain Eh Yesu eh Eh Yesu eh Eh Yesu eh Nakupenda, u mali yangu Verse: Si fedha wala, si mali wala Si magari ya kifahari Maana nitapata vyote Kwa mwenye vyote Maana nakuamini Bwana we ni wangu na Mimi ni wako U mali yangu Bwana Mimi ni mali yako Maana nakuamini… Chorus…. Refrain… Kipenzi cha moyo wangu Mfalme wa nchi yangu Mungu wa dunia yangu Mimi nakuamini Tangu nikuamini Sijawahi kua nilivyo Tangu nikuamini Wewe umenibadilisha Maisha yangu ni wewe Huduma yangu ni wewe Amani yangu ni wewe Yesu nakuamini Nasema tena na tena Na tena Bwana nakuamini Chorus…. Refrain….. Nakupenda, U mali yangu…. Refrain…. ❤
@MariaEnock
@MariaEnock 5 ай бұрын
Nice
@witnessjuma9157
@witnessjuma9157 Жыл бұрын
South Africans lets gather here🎉🎉❤❤
@josephallamano4753
@josephallamano4753 Жыл бұрын
More grace to that Drummer uwa ana nibariki sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@marymonari
@marymonari Жыл бұрын
Sitaona haya kumsifu Yesu!! Mwokozi wa maisha yangu 😭
@barakantimba
@barakantimba Жыл бұрын
😊i really want to join
@HighlyFavoured2014
@HighlyFavoured2014 Жыл бұрын
I fell in love with this song when you performed it at ICC Nairobi, last year. Since then I've searched for it in all platforms, with no success, untill now. 🥳🥳🥳 Now I get to listen to it limitlessly. From Kenya, Icc Nairobi, with Love!!!
@charlesdavidmrema
@charlesdavidmrema Жыл бұрын
We love you
@sarahmutsami7MHA
@sarahmutsami7MHA Жыл бұрын
@Liz same here. They really blessed me then it was no where to be found
@margaretchausiku7794
@margaretchausiku7794 8 ай бұрын
God bless you
@royalprinceke6337
@royalprinceke6337 Жыл бұрын
Ebenezer oh ebenezer ebenezer usihole wasewala 💯🤗🙏🙏👐👐Amen it's a vibe for the kingdom ❤
@drsewe2507
@drsewe2507 Жыл бұрын
Right
@adesh-j1n
@adesh-j1n Жыл бұрын
yes
@barakasteven5481
@barakasteven5481 Жыл бұрын
Gwamaka and the team were really serious about this project. I mean everything has been perfect in the entire production. Tanzanian gospel music is surely going places 🔥
@rulebudodo2301
@rulebudodo2301 3 ай бұрын
Excellent Essence of worship. Napenda sana Sollo la Andrew
@ananemaemanuel8751
@ananemaemanuel8751 4 ай бұрын
MATHAYO 10:33 Ninakiri kwa kinywa Changu na kwa Moyo wangu naamini kuwa Sitaona haya Kulisifu Jina tamu la Yesu❤❤❤
@nasrioriginele588
@nasrioriginele588 Жыл бұрын
Sitaona aibu kukutaja yesu weeeeee umekuwa mwavuli wangu kila siku.wengi wanarudi kwenye jeneza bali umeniweka salama.ahsante yesu .team gulf nipe likes
@queenmushi9804
@queenmushi9804 Жыл бұрын
Huu wimbo ni Ibada kamili kabisa .....ukimaanisha unajikuta umeingia kwenye maombiii yasiyokoma na yaliuojaa machozii mbarikiwe mno 🙏🙏🙏🙏
@TuseNtekigwa-dx3xh
@TuseNtekigwa-dx3xh Жыл бұрын
Amen😢
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 2 ай бұрын
AMINA.NIMELIA KWA KWELI NIKIKUMBUKA ALIPONITOA NASEMA SITAONA HAYA KUKUSIFU,,,KWELI SITAONA AIBU KUKUTAJA
@philemonkageleja3858
@philemonkageleja3858 10 ай бұрын
Huu wimbo ni favorite kwangu sana! Aliyeimbisha namfurahia sana! God bless Gwamaka group!. ❤
@mwanaidimwanga21
@mwanaidimwanga21 2 ай бұрын
Hii nyimbo imeimbwaa🙏I can’t get enough of this Song. Glory to God.Yesu nakupenda……ahsante kwa kunipenda kwanza.
@HappinessSafari-o6u
@HappinessSafari-o6u 2 ай бұрын
This song deserves More than 1M views,
@princeshafeen-official
@princeshafeen-official Жыл бұрын
Kenya🇰🇪 appreciates you Brethren❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@joshuamwasuluka1469
@joshuamwasuluka1469 Жыл бұрын
My fav song in 2023/24. This is the most praising song I have mostly repeated hearing 2023. Thank you Godwin, thank you Gwamaka and team. Ila hao wapiga saxophone na solo gitaa wana viti vyao mbinguni aisee. They are unto next levels
@IbrahimSukwa-dq1zs
@IbrahimSukwa-dq1zs 8 ай бұрын
fantastic song ever
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 2 ай бұрын
KWA KWELI WAMEUTENDEA KAZI HUU WIMBO.YEHOVAH AZIDI KUWAINUA
@jesusforlife.5072
@jesusforlife.5072 5 ай бұрын
Siku imekuwa njema saaaana kwangu kuupata huu wimbo, nimekuwa nikisearch jina 'ee Yesu we nakupenda umali yangu' n.k tangu mwaka jana Nov bila mafanikio, ghafla nimeupata kumbe ni huu, naupita kila mara😢..Asante Yesu.
@katherinefred2738
@katherinefred2738 Жыл бұрын
Vijana wa Agape Lutheran Seminary apo nawaona @ patrick @Jonas and Kephas. Mungu awabariki katika utumishi wenu ninyi na team yenu nzim. The song is owsome🥰
@neemamsuya238
@neemamsuya238 Жыл бұрын
Aisee Mch Mwakapi ametoa products🎉🎉
@taestudioz
@taestudioz Жыл бұрын
Kabsa Mungu mwema ALJS 🎉🎉❤
@petermgawe8530
@petermgawe8530 7 ай бұрын
Mwakapi hakuepo the time hawa wakubwa wakiwepo, Pastor Lyimo and wengine ndio wamehudumu na hawa mabwana, mbali na yote these guys are great​@@neemamsuya238
@elisantemushi249
@elisantemushi249 7 ай бұрын
❤❤
@roziedamakeupartist.7717
@roziedamakeupartist.7717 4 ай бұрын
4.30 am am on this song.Thank you Lord 🙏. So blessing so touching lives ❤
@gracyusoy9435
@gracyusoy9435 Ай бұрын
Its a hit song....Mungu awabariki Essence team
@hellenmodash2444
@hellenmodash2444 5 ай бұрын
Maisha yangu ni wewe...huduma yangu ni wewe...kipenzi cha moyo wangu...I love you Jesus with everything in me...🎉❤
@mbulaja
@mbulaja Жыл бұрын
Sitaona haya Wala aibu ntakusifu popote yesu Wangu mwokozi wa maisha yangu😭🎤
@gracemassawe3670
@gracemassawe3670 Ай бұрын
Wimbo mzuri
@Dorcusmosha
@Dorcusmosha Ай бұрын
Wooow! Mungu azid kuwatunza kwa ajili ya kazi yake
@pallangyodaniel8918
@pallangyodaniel8918 12 күн бұрын
GOD BLESS TANZANIA AND AFRICA WE DEPEND ON YOU MORE AND YOUR PEACE RULES JEHOVAH HIRE ❤
@consolatachikoti316
@consolatachikoti316 6 ай бұрын
Bila Mungu sijui maisha yangu yangekuwaje., Asante Bwana Yesu.
@mkapandwanga54
@mkapandwanga54 5 ай бұрын
"I will not feel embarrassed to praise you Ooooh! Lord"
@happymmasi6480
@happymmasi6480 4 ай бұрын
Amen Yesu sitakuonea aibu sitaona haya kukusifu 🙌🏾wimbo unanibariki ❤
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl Жыл бұрын
Hakika sitaona haya au aibu kutaja jina Yesu kwan nijina amblo ukitaj na ukmuamini barak zinafurika maishan mwako🙏🙏
@BwikemoMwamgunda
@BwikemoMwamgunda 4 ай бұрын
Nakupenda umali yangu, Nakupenda Yesu umali yangu
@DeborahMwalubalile
@DeborahMwalubalile 2 ай бұрын
Namna navyosikia raha sasa nikimtaja huyu Yesu eeee u mali yangu mimi hapa
@magudogodfrey
@magudogodfrey 24 күн бұрын
Be blessed essence team I ave been singing this song through out the whole day. JESUS IS KING JESUS IS LORD HE LIVES FOREVER AND EVER
@winniejokakuu1551
@winniejokakuu1551 6 ай бұрын
NIMEFURAHI SANA NYIE WATU WA MUNGU KUWAONA KAMACHUMU KARIBUNI TENA NA TENA
@janeth_ntandu
@janeth_ntandu Жыл бұрын
Kuna mwanamke hapo mwisho anapiga kigelegele.... Yuko gifted na hiko kitu.... Yaaan kigelegele
@JACKLINESELELI
@JACKLINESELELI 5 ай бұрын
Mungu akubariki Sana kwa wimbo mzuri
@AGATHALEKEY-q7e
@AGATHALEKEY-q7e 5 ай бұрын
wooow🎉🎉nimebarikiwa mno na wimbo huu ,, Mungu azidi kuwasaidia ili mzidi kufanya vizuri sanaaa🥰🥰
@wambuamatheka216
@wambuamatheka216 Жыл бұрын
Romans 1 [SWA] [ 16] Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.
@enocksirya9460
@enocksirya9460 Жыл бұрын
Whoever came up with the whole music arrangement, the production and the entire team, this is what we mean by growth, a true inspiration on how essence has grown..God bless the leader, the instrumentalists, the whole team..going greater heights🎉
@Sounds-of-Heaven.
@Sounds-of-Heaven. Жыл бұрын
Praise should go to spirit of Praise South Africa@ siyabonga
@nicoleatieno3083
@nicoleatieno3083 11 ай бұрын
?@@Sounds-of-Heaven.🙄
@joshuandaki-g9s
@joshuandaki-g9s Ай бұрын
Amen🎉👏👏
@meshakimsacky4746
@meshakimsacky4746 Жыл бұрын
@Amigo Johnson, what you did in 04:05 and 06:17 was amazing. Keep it up brother
@drewgithinji
@drewgithinji Жыл бұрын
Amazing work
@nyashangoloma
@nyashangoloma Жыл бұрын
This has taken me back to that room🥹🥹🥹💓💓💓!!! I love you Jesus🙌🏼🙌🏼!!
@christinembuya4637
@christinembuya4637 7 ай бұрын
May you exceed as you spread the Gospel of truth until the day of Jesus Christ..Sending you love from England 🇬🇧
@isayacosmas6026
@isayacosmas6026 4 ай бұрын
Wimbo bora wa Essence wa miaka yote.
@nguombagalarang3jfashioncl524
@nguombagalarang3jfashioncl524 Жыл бұрын
una jua, Afu una Mungu, Afu una Fundisha Vijana kumujua Mungu zaid, Mungu aendelee kua na ww Pia Family yako, Mwambie Mke wako akuombeee sana, Gwamaka
@bensolo8313
@bensolo8313 Жыл бұрын
Nakubali sana watumishi wa Mungu🎤🥁🎹🎹🎹🎸🎸🎸🪘🎷🎺🎷🎷,Kaka Steve Bassistee🎸🔥Cephas Mndeme🎹🔥Joel🥁🔥Na ndugu yangu Andrew Michaelkan🎸🔥🎶Yesu awatunze sana
@BettyGeorge-el1gb
@BettyGeorge-el1gb Жыл бұрын
Woowoow niliusubiria sana huu wimbo 🔥🔥🔥💕 Mungu awabariki sana essence of worship
@annawilhelm300
@annawilhelm300 7 ай бұрын
Sitaona haya mkukutaja wewe yesu Nakupenda uumali yangu
@BahatiKyabona
@BahatiKyabona 6 ай бұрын
Nakupenda u Mali yangu Yesuu🙌🙌🙌🙌
@amanikataraia8541
@amanikataraia8541 Жыл бұрын
3:13 😮Nakuamini wewe ,hujaacha kunishangaza na sitaacha kukutaja🎉
@elipidiussaimon1777
@elipidiussaimon1777 Жыл бұрын
Nakuombea kaka angu gwamaka lkn ombi langu ni usiukose ufalme wa mbingu nakupenda sana
@beatricejuma3609
@beatricejuma3609 7 ай бұрын
Wimbo wangu wa wakati wote❤.
@matimfuko641
@matimfuko641 5 ай бұрын
Proudly Tanzanian🇹🇿💪💪
@christsflowe.r
@christsflowe.r 5 ай бұрын
NAKUPENDA YESU ❤
@loyceyahya2622
@loyceyahya2622 11 ай бұрын
Sitaona haya kukusifu MUNGU wangu ni wewe pekee yako wasimama namimi katika nyakati zote sitaacha kulisifu Jina lako wewe uliye Mwaminifu.....Essence be blessed
@mossesmungure
@mossesmungure Жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah Utukufu Kwa Yesu Aliye Hai. Nmebarikiwa Mno family 🔥🔥🙏💪💪🙇🙌🙇💪🙏🔥🔥🌎
@stevenlevittt
@stevenlevittt Жыл бұрын
Blessed Tanzania! Oh how I love my beautiful country.
@EvahKyando-rl6ty
@EvahKyando-rl6ty Жыл бұрын
Yaan Mungu azidi kuwahudumia na kuwainua, kila mara nausikiliza wimbo huu yaan najikuta nko uwepon, Mungu azidi kuwabarki Team work
@JuliethNkya-nn9ms
@JuliethNkya-nn9ms 6 ай бұрын
Can you imagine how I am blessed for this song oohh Lord you are the one to be praised my God♥️🙏
@JoyceS.Lutambi
@JoyceS.Lutambi 6 ай бұрын
So wonderful Song, it's bless my heart, I love Jesus , my King
@dottokabogolo2867
@dottokabogolo2867 Жыл бұрын
Malibongwe from Spirit of praise 6 by Neyi & Omega. Good work on the message and improvisation, God bless you Brethren.
@ErickSimeonkahiga
@ErickSimeonkahiga Жыл бұрын
it is this not malibongwe Spirit Of Praise 7 ft. Sipho Ngwenya - Ebenezer - Gospel Praise & Worship Song
@barakamawi
@barakamawi 5 ай бұрын
My song 🎉 Unanibariki sana hakika
@YohanaBaraza-ll2tl
@YohanaBaraza-ll2tl Жыл бұрын
MUNGU angu awatunzee..... sitaona haya kumtaja huyu YESU
@evakatani636
@evakatani636 Жыл бұрын
"Sitaona haya kukusifu kweli , sitaona aibu kukutaja" Mungu Kwa matendo makubwa unayonifanyia katika maisha yangu 🙏🙌
@blandinasilas
@blandinasilas Жыл бұрын
MBARIKIWE mno Essence mnachofanya ni baraka sababu Mungu anahitaji waabuduo halisi wamwabudu ktk roho na kweli
@miriambethuel8892
@miriambethuel8892 Жыл бұрын
Hatuoni haya leo wala milele...kumtaja Yesu Kristo Bwana na Mwokozi wetu.... Sialikufa kwa ajili yetu😂😊
@lilianjoseph1144
@lilianjoseph1144 7 ай бұрын
Yesu nakupenda umenibariki
@rachelmanasseh6942
@rachelmanasseh6942 6 ай бұрын
A love song to my sweet Jesus every now and then❤
@VanessaDia-h3s
@VanessaDia-h3s 11 ай бұрын
Kwa kweli mungu aibariki hii team essence worship mmenifanya nimjue huyu yesu na nimuelewa na anaishi ndani yangu
@officialYvaH3232
@officialYvaH3232 Жыл бұрын
Hilo solo la Andrew limepenetrate hadi kwenye moyo duhhhh I'm really blessed jmn cjui nisemaji
@AshaJuma-lu4od
@AshaJuma-lu4od Жыл бұрын
Ee Yesu nakupenda u Mali yangu nimebarikiwa na huu wimbo Mubarikiwe waimbaji
@neemamabele8451
@neemamabele8451 Жыл бұрын
Spirt of praise melody lakin kaz n nzuri nimepata wimbo wa harusi yang😂
@ElizabethElsa-gi8nf
@ElizabethElsa-gi8nf 8 ай бұрын
Wow🎉🎉🎉 It's sweet like Joyous Celebration 😊. God bless you 🙏 so much ❤
@adelynamushi8747
@adelynamushi8747 Жыл бұрын
maisha yangu ni ww Yesu na kila nilicho nacho ni ww my Lord my Jesus nakupenda u mali yangu❤
@ImmanS991
@ImmanS991 Жыл бұрын
This whole arrangement is amazing... That chorus sounds like a song ya spirit of praise
@stephenochieng2672
@stephenochieng2672 Жыл бұрын
I thought so too. Ebenezer
@sharonluvembe8605
@sharonluvembe8605 Жыл бұрын
Same here...Ebenezer,,spirit of praise ft Sipho
@ImmanS991
@ImmanS991 Жыл бұрын
​@@sharonluvembe8605 Yess that one... It's beautiful though
@godblesshappiness7641
@godblesshappiness7641 Жыл бұрын
Ebenezer
@BGHaule
@BGHaule Жыл бұрын
Hakuna jambo jipya chini ya mbingu,Kila kitu kilikuwepo,Cha msingi unakiboreshaje kikaleta maana
@graceedward8154
@graceedward8154 Жыл бұрын
Gwamaka and the team Mungu wa mbinguni azidi kuwainua kwa viwango vingine
@marthakihade6200
@marthakihade6200 10 ай бұрын
amen,be blessed Gwamaka &your team🙏🙏🙏
@kombakomba7922
@kombakomba7922 Жыл бұрын
4:51 nabarikiwa sana tena zaidi ya sana, Bwana Yesu nakuamini na nakupenda ❤❤❤, hongera sana muongoza nyimbo na team nzima, Upendo wa Mungu wetu aliye hai uwe pamoja nanyi nyote, Amen.
@sialema8500
@sialema8500 10 ай бұрын
For heaven is filled with praises and worship than this... thus, I don't want to miss the chance to be there.🙌🙌🙌🙌
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 ай бұрын
Mungu naomba Jicho la tatu ... Au sio wewe ..? Hongera Sana kwa kumtumikia Mungu aliye HAI
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 ай бұрын
Msasani KKKT nilikuona ...
@heriethsabugo140
@heriethsabugo140 Жыл бұрын
Eeh Yesu nakupenda u mali yangu,sitaona haya kukusifu, sitaona aibu kukutaja.
@emmahebron6898
@emmahebron6898 Жыл бұрын
Muimbishaji kautendea wimbo haki kupita kawaida barikiwa sana
@henryquefestobrown5843
@henryquefestobrown5843 Жыл бұрын
Neema ya Mungu izidi kuwa nanyi Team Essence , na Ulinzi wa Kimbingu kwenu, AMEN 🙏🏾such a Godly and Powerful Song with Holly Spirit on it. Mungu apewe Hizi Sifa maana nizake Pekee aliyebaki dunia hii ya Leo.
@SiahMacha
@SiahMacha 11 ай бұрын
Wow wow mmefanya vizuri sana ....well done God.
@TapuwaAlishdamba
@TapuwaAlishdamba 11 ай бұрын
favourite song❤
@EmmanuelMwalembe-is4ln
@EmmanuelMwalembe-is4ln Жыл бұрын
Barikiwa sana, Mungu azidi kuwainua my best worship team in the world
@Judith-b2o
@Judith-b2o 4 ай бұрын
NAKUPENDA SANA WEWE YESU U MALI YANGU SITAKUJA KUONA AIBU KULITAJA JINA LAKO
@christinekakai3903
@christinekakai3903 Жыл бұрын
Am Ugandan but I enjoy your songs so much ur doing a great job in ma life may da lord continue blessing u 🙏
@neematvafrica
@neematvafrica Жыл бұрын
Mungu ni mwema siku sote.sitaona haya kwa ajili yake
Ninasababu|Mwanaume kama Yesu(Cover)|Praise Medley|Essence of Worship
11:34
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 2,3 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 9 МЛН
Essence of Worship - Bwana Unatawala (Official Video)
18:46
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 1 МЛН
Sina Wa Kutegemea - Essence Of Worship FT Boaz Danken
7:47
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 506 М.
Zoravo Ft Takie Ndou - Uko Mwenyewe | Elohim (Official Live Video)
10:19
Zoravo Official
Рет қаралды 176 М.
Umestahili Yesu  - Tafes Aru Praise & Worship |  Live Music Video
13:18
Tafes Aru official
Рет қаралды 3,8 МЛН
Essence of Worship - Ninapenda Nikuabudu (Official Video) skiza Codes (7636499)
19:28
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 6 МЛН
Essence of Worship - Shangilia (Official Music Video)
10:11
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 8 МЛН
AIC Chang'ombe Choir (CVC)  - ELOHIM (Official Live Video)
7:29
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 2,5 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН