Ninasababu|Mwanaume kama Yesu(Cover)|Praise Medley|Essence of Worship

  Рет қаралды 595,903

Essence Of Worship Ministries

Essence Of Worship Ministries

2 ай бұрын

#Essenceofworship #liverecording #kijitonyamaUinjilisti
Big Up to Kijitonyama Uinjilisti ambao ndio wenye umiliki wa Nyimbo tuliyounganisha(Mwanaume kama Yesu).Tulifanya mawasiliano nao kabla ya kufanya Cover.
Hizi ni nyimbo za sifa kwa Mungu wetu,atukuzwe Mungu peke yake kwa Ibada hii.
Video Director Amijoj Company(Amigo)
Audio production Choosen records(Sam Mboya)
Lights Daniel Malle
FOH and Monitor Mixing. Jeddy Audio

Пікірлер: 633
@Maureen967
@Maureen967 Ай бұрын
Wakenya Wapi like za essence of worship 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josianenana7114
@josianenana7114 Ай бұрын
Tuko hapa kabisa seben kali sana
@DennisMurithi-jd3oh
@DennisMurithi-jd3oh Ай бұрын
Hawa waangwana wakuje huku jameni @essence of worship Mungu azidi kuwabariki
@keigi_sospeter
@keigi_sospeter Ай бұрын
❤❤❤🎉🎉 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@user-nl8os7lr5q
@user-nl8os7lr5q 13 күн бұрын
8iiidcuirru3​@@josianenana7114
@Alpro-yz2es
@Alpro-yz2es 10 күн бұрын
Jiachie wueh 🔥🔥kali sana ❤️❤️❤️
@BarakaPaul-li6pt
@BarakaPaul-li6pt Ай бұрын
Naomba wapiga vyombo waongezewe ulinzi na serikali
@LenicksonDerickson-ky6kd
@LenicksonDerickson-ky6kd Ай бұрын
😂😂😂😂
@mercychepngeno3840
@mercychepngeno3840 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@jephthahalvan9404
@jephthahalvan9404 Ай бұрын
😂😂😂😂
@ruthshango4791
@ruthshango4791 Ай бұрын
😂😂
@mwamvitamhongole9320
@mwamvitamhongole9320 Ай бұрын
😂😂😂jmn
@GoodPraiseSongs
@GoodPraiseSongs Ай бұрын
Today I gave my life to Jesus while listening to this song. I am saved, AMEN! God bless whoever is watching this video! I am Turkish and I believe in Jesus. I ask you to pray for my country. Let the kingdom of Jesus come to my country As a person dealing with severe depression and anxiety, it’s nice to know this type of music still calms me to this day.🍀🍀 Thank you Jesus for giving me the strength to keep fighting on -
@kelvinmusyimi1608
@kelvinmusyimi1608 Ай бұрын
Welcome to the family
@JosephShuma-qi5st
@JosephShuma-qi5st Ай бұрын
DONT WORRYING JESUS IS IN CONTROLLING
@shekinahnjoroge3840
@shekinahnjoroge3840 Ай бұрын
Glory to God
@tumaininicodem1906
@tumaininicodem1906 Ай бұрын
Glory to Lord
@evekiswii3780
@evekiswii3780 Ай бұрын
Welcome to the kingdom and may God keep you and sustain you till his time.
@faithkatondo7141
@faithkatondo7141 Ай бұрын
Wapi likes za watanzania. Beautiful track,powerful & wonderful melody ❤
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 21 күн бұрын
Ameeen Ameeen!
@joshdrummer7465
@joshdrummer7465 Ай бұрын
Mimi ni Daktari nasemaje Seben ni Dawa ya Mifupa 😂😂😂😂❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✅
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Hahahahahahaa nnavyopenda sebene umenikosha haswaa na kauli hii wapenda sebene kama mm gonga like zenu hapa ...
@dignamallya8394
@dignamallya8394 Ай бұрын
@@joycehaule9717😅😅😅
@jeremybabji6935
@jeremybabji6935 Ай бұрын
😂😂
@happyallan508
@happyallan508 Ай бұрын
Haswaaa nakubaliana na wewe 😊
@billyvosenwa6614
@billyvosenwa6614 Ай бұрын
😂😂 I say nipe tiba daktari...
@Listen_To_Hillsong_2
@Listen_To_Hillsong_2 Ай бұрын
God didn't let me get AIDS when in my mother's womb. She had AIDS but I didn't get it. God protected me from that. He let me survive when getting hit by a pickup truck at age 12. I don't have fetal alcohol syndrome despite the fact that my mom drank when pregnant. It's ALL because of God. Praise the Lord. Nothing is impossible with him and he protects us!
@carolyneadero4037
@carolyneadero4037 Ай бұрын
Be kept of the Lord always in Jesus name, God has given you life for a purpose
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 21 күн бұрын
Ameeeeen
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Gwamaka nakuombea sana usiku na mchana wewe ni mshindi uzae mapacha mapacha kaka yangu mtumishi wa Mungu aliye Hai
@happykaiza4797
@happykaiza4797 Ай бұрын
Hapo kwenye humu duniani nimepita sijaona mwanaume kama Yesu naweza parudia hata mara 100,, hakika hakuna kama Yesu
@itsfelana
@itsfelana Ай бұрын
Napenda sana
@user-ge9dr5gq8m
@user-ge9dr5gq8m Ай бұрын
Umebarikiwa ww na waimbaji wako na Wana muziki noumaaah sanaaaa❤❤❤❤❤❤
@elimelamerii2342
@elimelamerii2342 17 күн бұрын
Ist na solo list nimewaelewa.... Ebu kama na wewe umewaelewa, gonga like hapo.
@nashamiwangara
@nashamiwangara Ай бұрын
Eiiiiiiiiiiiiiish!!!!! Huu ni mziki umeenda group of schools nani! Siku haiwezi isha bila mimi kusikiliza wimbo huu na kudance.... Infact imekuwa part of my aerobics session. Ah, kumjua Yesu ni kitu bora sanaaa! Ombi langu ni kwamba wengi watkutana na huyu Mungu tunaemuimbia. Asante sana Essence of Worship... nyinyi ni wa baraka!!!!!!!!!!
@davidmwandalima2389
@davidmwandalima2389 16 күн бұрын
I love the way Kenyan support every good music from our loved continent Africa 🇹🇿🇹🇿
@bonkenmusiq
@bonkenmusiq Ай бұрын
Kenyans gather here❤❤
@faithkisiangani5702
@faithkisiangani5702 Ай бұрын
❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤🇰🇪
@hollyben1053
@hollyben1053 Ай бұрын
Guitarist tunampa zawadi gani Jamani?? 😂😂❤❤❤.. well done familia yetu
@user-gg8mj5qq5i
@user-gg8mj5qq5i 6 күн бұрын
I love the base guitar,,!!!!
@princepeterke2644
@princepeterke2644 Ай бұрын
I like the support Kenyans are giving ❤ Kenya to the world 🇰🇪🇰🇪
@essenceofworshipministries
@essenceofworshipministries Ай бұрын
Half an hour to go
@NikolasJoseph-fz8cr
@NikolasJoseph-fz8cr Ай бұрын
Hii ngoma alitakiwa akae baraka ngowi kwenye sebene
@mpoleentertainment1677
@mpoleentertainment1677 Ай бұрын
I remember when Minister Dunsin oyekan prophesied over gwamaka in last years Rhema fest... indeed the spirit of David is upon essence of worship... May the Lord increase you...draw many to Him
@liznganga7957
@liznganga7957 27 күн бұрын
Ukuu wako Matendo yako Ni sababu ya kukusifu wewe Bwana Matendo yako Uaminifu wako Ni sababu ya kukusifu wewe Bwana Yale umefanya yananishangaza Yale umetenda ni makuu sana Nina sababu
@francyrussel454
@francyrussel454 Ай бұрын
Kindly please serikali hii band ipewe ulinzi ,, heish music ewooo igweeee✔️💪💪
@thebonfyfamily2152
@thebonfyfamily2152 Ай бұрын
Mungu ana mbinu na uwezo wa kulida watu wake,katika hali zote nyakati zote
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 Ай бұрын
Tanzania is blessed country 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jemalulenga4981
@jemalulenga4981 Ай бұрын
Ile kua Mtanzania tu naona Mungu kanipendelea.....❤
@missh7965
@missh7965 Ай бұрын
Ulinzi kwa wapiga vyombo na waimbaji This isn't a joke it's a grave from God 🎉🎉❤
@marianandisi1641
@marianandisi1641 Ай бұрын
i am proud to be Kenyan but Tanzania have taken it to another level
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
And it's not even national competition, you guys need to put this thing away for a minute
@user-xc3tz6hb6o
@user-xc3tz6hb6o Ай бұрын
Blessings. Thanks for your appreciation
@faithkisiangani5702
@faithkisiangani5702 Ай бұрын
Jamani but Bora it's Africa for Jesus
@nicolelove497
@nicolelove497 Ай бұрын
Wakenya roho ya mashindano itawacost sana mbele za Mungu
@blandinapeter7004
@blandinapeter7004 Ай бұрын
We are all the same Neighbour welcome ❤❤
@Alpro-yz2es
@Alpro-yz2es 10 күн бұрын
akh si KZbin wangekuwa na 100 times options za kulike ❤️❤️🔥🔥❤️🔥
@benjotravisndyikengurukiy5852
@benjotravisndyikengurukiy5852 Ай бұрын
Huo jama wa solo guitar big up 🇧🇮🇰🇪
@NikolasJoseph-fz8cr
@NikolasJoseph-fz8cr Ай бұрын
Ni kaka yetu tuiyepewa Tanzania anaitwa andrew
@yohanamichael5462
@yohanamichael5462 Ай бұрын
Aongezewe ulinzi
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 22 күн бұрын
Hicho kiswahili Cha wapi
@linda36416
@linda36416 Ай бұрын
All the way from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you. You bless us.
@PURITYNYAMBURA-rh9kx
@PURITYNYAMBURA-rh9kx Ай бұрын
Mkenya mwingine hapa 🇰🇪
@mercymuhoho4209
@mercymuhoho4209 Ай бұрын
Naweza kulike huu wimbo mara mia Moja ingewezekana,❤❤hakuna wa kufananishwa naye
@uzuri0012
@uzuri0012 Ай бұрын
Hi essence of worship. my name is Dr blessing Mutheu. I love you so much because, you create my heart in a peaceful way. Congrats essence of worship. Please can you come with your members and the praise medley at Berea Christian Church in Ruiru Prison for the first time. Will you please come. Please, please .we love you so much and I know you will come. We love you so much. ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@burutiamos2628
@burutiamos2628 Ай бұрын
Ikiwa hapa Dunia kwapendeza hivi ,seuze Mbiguni...Baraka kwa Huduma ya ibada ya Essence
@suzysam6002
@suzysam6002 Ай бұрын
Acha to ndugu yangu tujitahiidi iutenda mema ili tukaimbe na malaika mbinguni tukamsifuu yy aliye tuumba
@jenivakayanda6611
@jenivakayanda6611 27 күн бұрын
Wa baraka wa upendo ni Yesu weee😍😍 I love this 👏👏
@Melvinkalinga
@Melvinkalinga Ай бұрын
If you wanna Rock with music use 🎧, thanks me later 😅😅😅
@Gsimon923
@Gsimon923 Ай бұрын
💃🏻💃🏻
@Shiko_masha
@Shiko_masha 11 күн бұрын
True
@imeldahchepchirchir6831
@imeldahchepchirchir6831 Ай бұрын
Here on behalf of kingdom seekers fellowship, kenya 🇰🇪 More grace brothers and sisters 🙏
@jesusislord5045
@jesusislord5045 Ай бұрын
Hakika hakuna mwanaume kama Yesu. Ee Bwana tufanyie wepesi dhidi ya magumu tunayopitia.
@SuzanaNyanda
@SuzanaNyanda Ай бұрын
YESU NI MZURI SANA Kwa YESU KUNA RAHA SANA ❤
@stevenlevittt
@stevenlevittt Ай бұрын
Tanzania is blessed beyond measure... what amazing songs
@motonoarts984
@motonoarts984 Ай бұрын
The song i have been waiting for in a very long time is finally here😊😊😊 am happy now glory to God,, wapi likes zangu sasa
@jacintaWaithera-fo5dt
@jacintaWaithera-fo5dt Ай бұрын
Hallelujah 🎉❤❤💃💃💃🔥🔥🔥🔥🔥.. My favorite 🇰🇪🇰🇪
@magrethalego9061
@magrethalego9061 Ай бұрын
Musicians wa huu wimbo mbinguni mtakaa VIP na kupewa pinacolada baridi kabisa🎉🎉🎉🎉🎉 Glory to God.
@francyrussel454
@francyrussel454 Ай бұрын
Nimewqtch over 200 times ,,are they added to their views ,,,,this guys deserve it ,,,Respect 👏
@silvanoyoakim-lj8jy
@silvanoyoakim-lj8jy 17 күн бұрын
🎉🎉 Yesu ni mzuri sio kwa ladha hii ya vyombo hasa gitaa🎉🎉
@olivertadeo6991
@olivertadeo6991 Ай бұрын
Kwanza mmependeza na mnaimba vinzuri sana🥳🥳🥳❤️
@user-me1ql7cp5y
@user-me1ql7cp5y Ай бұрын
Mpiga gitaa apewe maua yake
@cheronojoy3055
@cheronojoy3055 Ай бұрын
True
@teresiahwanjiru6037
@teresiahwanjiru6037 Ай бұрын
Sure kwanza baze guitar 🎉🎉
@dorrypol9911
@dorrypol9911 Ай бұрын
Umeona eeeeeh .... sema cmjui tu❤❤❤ Uyu antafte...... au bas
@dorrypol9911
@dorrypol9911 Ай бұрын
Au wanambie jna lakee t ...... tuzid kumwombeaa🎉
@user-me1ql7cp5y
@user-me1ql7cp5y Ай бұрын
​@@dorrypol9911unataka jina lake
@MINISTER-EMMANUEL
@MINISTER-EMMANUEL Ай бұрын
And when the praises go high His glory comes down ❤
@francisefrahimu
@francisefrahimu Ай бұрын
Mungu azidi kukubariki munoo kaka Andrew Solo
@NeemaMzuri
@NeemaMzuri Ай бұрын
Essence mna sehemu yenu mbinguni❤
@belindahluyo2094
@belindahluyo2094 5 күн бұрын
Indeed Lord I have every reason to praise you Yahweh!
@isaacgara3528
@isaacgara3528 Ай бұрын
East Africa is blessed guys just cheki the essence of praise and worship
@emmymbwanga3215
@emmymbwanga3215 Ай бұрын
Watching from Nairobi hakuna mwaume kama yesu
@MinnahMtoo-cm8dr
@MinnahMtoo-cm8dr Ай бұрын
E bwanaaa weeee, hii ni balaaa.. Hapo kwenye mwanaume kama Yesu na kamata kakichwa pamenogajeeee..
@dorisngende9570
@dorisngende9570 Ай бұрын
🔥🔥🔥 mafuta yaongezeke na yasipungue kwenu.. Mnaubariki moyo wangu🙌
@marykigwiri3925
@marykigwiri3925 Ай бұрын
Wakenya njooni hapa
@user-nd1kr5ce7q
@user-nd1kr5ce7q Ай бұрын
Ewe Mungu wa mbinguni nina kila sababu ya kukusifu wewe pekee na ninakiri hakuna mwanaume kama Wewe Yesu..
@viviandavid9974
@viviandavid9974 20 күн бұрын
Sijui tutasingizia nini siku ya mwisho maana tumeubiliwa kila kona good song Marshall ❤
@joylela9794
@joylela9794 Ай бұрын
Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪 and feeling so blessed
@CeciliaKobelo
@CeciliaKobelo Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥MUNGU ANAKETI PENYE SIFA🙏🙏🙏
@josphatkitenge1170
@josphatkitenge1170 Ай бұрын
Essence of worship you're a blessing to me❤❤❤🇰🇪
@Abdulrazaqosimbo-pn5st
@Abdulrazaqosimbo-pn5st Ай бұрын
From kenya you guys are blessing, Wapi likes za kenya🎉
@queenmary2213
@queenmary2213 Ай бұрын
Those outfits🔥🔥🔥the voices ❤️❤️❤️the instruments 🎊🎊🎊
@kombakomba7922
@kombakomba7922 Ай бұрын
Safiiii, hakuna mwanaume kama Yesu.
@janekadoda9238
@janekadoda9238 24 күн бұрын
❤ hakika BWANA Mungu wewe ni Mwokozi
@danielaloyce4684
@danielaloyce4684 Ай бұрын
Wekaa mkono kwenye kitambi weweeee
@faithkisiangani5702
@faithkisiangani5702 Ай бұрын
Watu wako smart beautiful wanangaaa weeeee
@marthaGikuma-jc6rn
@marthaGikuma-jc6rn Ай бұрын
Wow a good song 😊😊💖
@atsachifamily4509
@atsachifamily4509 Ай бұрын
Densi ya Victor Maestro ingeeingia mahali jamanenii
@faithjoel8304
@faithjoel8304 Ай бұрын
Mimi ni nani nisikusifu Mungu wangu!! What a blessing you are my team
@florencewanjiru1207
@florencewanjiru1207 Ай бұрын
Just love the way tanzania praise the Lord....kudos
@lindakapesa2934
@lindakapesa2934 9 күн бұрын
Nina sababu Ya kukusifu wewe Yahwe. wow nice song, nice smiles, nice outfits..
@farajabaynit
@farajabaynit 25 күн бұрын
nawakubali San hawa kaka zangu nataman one day niwe nao kweny stage
@user-gg8mj5qq5i
@user-gg8mj5qq5i 9 күн бұрын
haki hizo vyomboooo,,moto sana,, baraka
@rosemarymwanitega7926
@rosemarymwanitega7926 Ай бұрын
Daaah wimbo wangu pendwaaaa mpiga gitaa noma,Asanteni mnoo Yesu Kristo Asifiwe
@christinabony3068
@christinabony3068 Ай бұрын
Mbarikiwe sana wapiga vyombo, so amazing. Jina la Yesu lipewe sifa
@jephthahalvan9404
@jephthahalvan9404 Ай бұрын
From Busia kenya ,it's now 4wks but kila time the song touches deeper
@sifuninhayo9104
@sifuninhayo9104 Ай бұрын
Aaaiiiii🔥🔥🔥mmefanya nimeikumbuka Backyard Praise pale KRC... Hakika mmebarikiwa sana Essence of Worship.. MUNGU azidi kuwatumia❤❤
@elijahmomanyi9748
@elijahmomanyi9748 28 күн бұрын
The drummer Jamani!!
@puritykingoku9907
@puritykingoku9907 Ай бұрын
Hallelujah Jesus, very powerful song
@abidjahkariuki3487
@abidjahkariuki3487 Ай бұрын
Praise Jesus. Moto kama pasi.
@frankelshivers2257
@frankelshivers2257 Ай бұрын
Hakuna mwanaume kama Yesu gwiji wa magwiji❤
@esterjob2587
@esterjob2587 Ай бұрын
Amen ninasababu yakukusifu ee Yahweh wewe ni Mwaminifu
@mwamvitamhongole9320
@mwamvitamhongole9320 Ай бұрын
Me nawapenda sana
@yaredbagambilana4184
@yaredbagambilana4184 Ай бұрын
Ahsante Essence of Worship kwa uimbaji wenye upako mkubwa ndani yake.
@pintymelodytz913
@pintymelodytz913 Ай бұрын
Gwamaka Unanibariki Sanaaaaa Mtumish Wa Mungu
@innocenciabinamungu8576
@innocenciabinamungu8576 21 күн бұрын
HAKUNA KAMA YESU WEE🙌🙌🙌🙌
@wilfridniyoyitungira2743
@wilfridniyoyitungira2743 Ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🙌🏻 Hallelujah!!mungu awabariki watumishi wa mungu
@May-hs2nx
@May-hs2nx Ай бұрын
To GOD be the Glory for our Gwamaka and the Essence of Worship Team❤🇹🇿 Tanzania 🇹🇿 nchi yangu
@samkulley4030
@samkulley4030 Ай бұрын
Sebene flan hivi la viwango.. ❤❤
@Igwetz
@Igwetz Ай бұрын
Mungu ws mbinguni awainue zaidi na zaifi 𝐍𝐈𝐍𝐀 𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔
@samuelAgustino-gg1vv
@samuelAgustino-gg1vv 29 күн бұрын
Amina baraka nyingi kwenuu🎉🎉🎉🎉
@philmonnem7294
@philmonnem7294 Ай бұрын
Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi katika kumtumikia.
@JanetMichael-dz3bp
@JanetMichael-dz3bp Ай бұрын
Nimebalikiwa sana wimbo mzuri sana jamani mungu aendelee kuwatumia tena na tena
@sellahapiyo5814
@sellahapiyo5814 17 күн бұрын
The joy of the Lord is my strength.... powerful praise
@jeanpierrenkunzimana7186
@jeanpierrenkunzimana7186 19 күн бұрын
Mungu awabaliki sana ❤nice worship team
@faithchebet8834
@faithchebet8834 Ай бұрын
Amina , kuna sababu ya kumsifu yesu
@philipkarisa3743
@philipkarisa3743 Ай бұрын
Tuna sababu ya kukusifu eeh Yahweh 🔥🔥
@ChristineNyanchera-ku8rk
@ChristineNyanchera-ku8rk Ай бұрын
I have all the reason to praise my God ❤❤❤
@GolDenAFRICANDancers
@GolDenAFRICANDancers 19 күн бұрын
🙌 utukufu kwa Mungu
@nelithamimwani4516
@nelithamimwani4516 Ай бұрын
MUNGU wa mbinguni awabariki sana wimbo huu nilisikia. Kwenye radio nilibarikiwa sana mpaka. Nimekuja kuangalia video ohoooo MUNGU wa mbinguni awatunze zaidi na zaidi ❤❤❤
@patrickmutheemuroki
@patrickmutheemuroki Ай бұрын
Nina sababu. Kenyan
@enockblessed1269
@enockblessed1269 Ай бұрын
Wasee wa grooooooove wameshikilia vibaya sana. Love them❤
@jamesjeremiah9416
@jamesjeremiah9416 20 күн бұрын
Kwa Mungu raha sana Jamani
@Naph1890
@Naph1890 Ай бұрын
Nina sababu ❤❤🎉
@hagaimanga3379
@hagaimanga3379 Ай бұрын
Hilii Base lilivyopigwa humuuu ndanii jamanii aiiiiiii weeee
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 2,1 МЛН
Essence Of Worship ft Gladness Siyame -Wewe ni Baba
9:55
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 10 МЛН
3 wheeler new bike fitting
00:19
Ruhul Shorts
Рет қаралды 48 МЛН
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 10 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 58 МЛН
Agape Gospel Band - Wazee 24 ( Official Music Video )
11:00
Agape Gospel Band
Рет қаралды 902 М.
Essence of Worship - Ninapenda Nikuabudu (Official Video) skiza Codes (7636499)
19:28
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 6 МЛН
Patrick Kubuya - Sitakuacha (Live Recording )
15:53
Patrick Kubuya
Рет қаралды 847 М.
Jiwe//Yesu Wangu//Zavuma | ICC Nairobi Worship Praise Medley
19:44
ICC Nairobi Worship
Рет қаралды 77 М.
Essence of Worship - Shangilia (Official Music Video)
10:11
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 6 МЛН
Dr. IPYANA  Suprise visit to Tuesday worship Moments
30:26
Worship Moments with Sarah K
Рет қаралды 407 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 20 МЛН
Agape Gospel Band  -   Nimeziona Baraka za Bwana ( Official Music Video )
13:49
3 wheeler new bike fitting
00:19
Ruhul Shorts
Рет қаралды 48 МЛН