Kwani si hawa wakandarasi walio mchangia mama Billion 1😢
@Optionxll_Playz114 күн бұрын
Hata hao wa inje walianza kufanya kazi kwao lazima tupende wataramu wetu waziri wa feza anazarau sana .
@barnabaslushenshe52313 күн бұрын
MWIZI ANAJITETEA NA WAGONGA MEZA NYUMA) MIRADI MIBOVU @ MAHALI
@sebastiansalamba31314 күн бұрын
Spika siku zote yuko upande wa pili ,rejea bunge la marehemu samwel sitta
@zobakazizi763714 күн бұрын
Mwingulu umekwepa swali.....hoja ilikuwa kucheleweshewa malipo bila riba....
@ImaculathaMasuka14 күн бұрын
Wakandalas wa ndani wanateseka sana. Kulipwa mpaka wanaomba kana kwamba pesa sio yao
@user-tg7vq3ty8p14 күн бұрын
BUNGE LETU KILA SIKU HUWA LINAANZA KWA SALA INGEPENDEZA WAWE WANAMALIZIA KWA SALA HIVYO HIVYO.
@Worldunite15 күн бұрын
Anzisheni sacrosanct itakayoweza kukopesha makandarasi wa ndani
@sebastiansalamba31314 күн бұрын
Mwigulu mtaalam wa it w KUIBA
@markoshem-ij6cf14 күн бұрын
Mbona viti vyeupe kwani niwakati wa korona au ndoo utoro kazini
@aganolamotoeliya202715 күн бұрын
Spika hawa kabisa, hoja ilitakiwa iongelewe wewe unazuiya, huyo waziri wa fedha anaongea bila evidence na wewe spika inakiri hujui sasa kwa nini msijadili hapo ili mambo yawekwe sawa?
@Omarjumanne-zm9zh15 күн бұрын
Spika hana uzarendo
@TimotoyoSaipi14 күн бұрын
Wewe umekwepa swali
@dismasmariananga477615 күн бұрын
Unawabebaje wewe umekuwa mungu we moe haki yake kwa wakat,,, hata hao wa nje ni viongoz wakubwa wanakampuni zao
@Nedjadist15 күн бұрын
Yaani hiki Kiswahili cha Tanzania hakina R kabisa? Halafu mwataka kuifundisha dunia Kiswahili! Someni nyie wenyewe kwanza. Mbunge mzima hajui 'mkandarasi, riba, waziri, taratibu..... Kichwa hewa kabisa. Watu namna hiyo hata sisikizi hoja zao!
@Worldunite15 күн бұрын
Ndio, ni sawa na watu siku hizi herufi "r" hutamka "rw", mfano kutamka "Arwusha" badala ya "Arusha" "Rwejesha" badala ya "Rejesha" "Mkandarwasi" badala ya "Mkandarasi" "Vizwuri" badala ya "Vizuri", nk 9:32