EUNICE na Kazi zake! "Zaidi unavyofikiri"

  Рет қаралды 2,589

Snashtz

Snashtz

Ай бұрын

EUNICE na Kazi zake! "Zaidi unavyofikiri"

Пікірлер: 28
@directorwizard7310
@directorwizard7310 Ай бұрын
Kaka samahani sana nimekuelewa sana na nakukubali sana ila Bro kama na ww umeusika kufanya ile kazi basi Bro Mmeferi sana na unavyo zidi kumuongelea ndo unazidi kuoneasha kuwa Eunice ni Mbovu zaidi na Kaka kama umeshiliki kutumia hela ya kodi zetu kumtengeneza Eunice basi Kaka Mungu anawaona mtailipa tu
@user-cb7jq9ti7p
@user-cb7jq9ti7p Ай бұрын
Hahahahah
@JumanneDastan
@JumanneDastan Ай бұрын
Nimetazama Comment za watu hapa nimegundua ni watu Wachache sana ndio tunaweza kuelewa hili suala kaka tena sisi ambao tumejizatiti zaidi kwenye Technology ila hawa wachimba chumvi inahitaji muda sana Kaka lakini Keep it up bro 😎 sio kila somo unaloweka hapa ni lazima wote tukuelewe naamini hawa wanaoponda kama wangeijua historia ya Technology hapa nchini ilivyo basi naamini wasingeponda hili la Robot Eunice au kukudhihaki hapa 😢 Kaka endelea kutoa Elimu wewe ni TUNU ya taifa hili, mbaya zaidi nimeona mpaka mbunge kasimama ndani ya bunge letu tukufu anaponda kilichofanywa kwenye Robot Eunice kiukweli nimeumia sana na nimeionea sana huruma nchi yangu. Keep it up Brother ✌🏽 nakuona mbali sana.
@elvisernest3280
@elvisernest3280 Ай бұрын
Watu Wana msema uyo Robot vibaya kwasababu ni wa serekali na watu wengi Hawa ipendi hii serekali yetu Wana chuki na viongozi ndio maana ata uyo Robot ata taftiwa visa tuu wamseme vibaya
@AfricaIntelligencee
@AfricaIntelligencee Ай бұрын
Eunice she sound completely like Rehema Ai
@halimsaidi9567
@halimsaidi9567 Ай бұрын
Tunataka uende ukamhoji bro
@YunusHassan-dl2md
@YunusHassan-dl2md Ай бұрын
Kaka snashtz umetisha kinoma noma tufanye riviyu ya movie ya. VENOM LAST DANCE utakua umetisha kinoma noma kaka Fanya ivoo
@ndimizarohomtakatifurichar9802
@ndimizarohomtakatifurichar9802 Ай бұрын
Sasa unaelekea kwenye uchawa na utakuharibia sana ACHA bro Fanya kazi yako
@directorwizard7310
@directorwizard7310 Ай бұрын
Kaka naomba uwache kumuongelea Eunice hafu nyie Bongo hamna AI wenu sema tumechukua AI wa Elon alafu Eunice hawezi kufanya kazi yoyote mana ata Kiswahili tu hajui Eunice ata Kuzima hiyo Tv 📺 tu hawezi kuzima wala kuwasha Unazingua sana Kaka
@voicdesition897
@voicdesition897 Ай бұрын
Nikimsikia unice kichwan inakuja blothuth connected
@Denis_prudence
@Denis_prudence Ай бұрын
Snash ee mbona kale kabackground music umekatoa sasa kaka...video zako za zamani zilikua zinanoga kwel
@LouisianaRiri
@LouisianaRiri 28 күн бұрын
Huyo robot hana kitu chochote wamekopy tu ,, apo ndani wameweka chatGPT
@EliahAlex-vm7go
@EliahAlex-vm7go Ай бұрын
Wajitahid wamtengenezee program nzur ya sauti
@user-od8tg1yt3g
@user-od8tg1yt3g Ай бұрын
snash sasa hivi unazingua bola uwe una reviw magari2
@godfreymsemwa
@godfreymsemwa Ай бұрын
@snashtz ...hapo nmekuelewa vzuri ...tuletee na ile midoli ya Elon musk
@B_Myko
@B_Myko Ай бұрын
Snash unajitahidi kuelekeza watu walio lisha vitu vya inje wanashidwa kukubali vyakwetu 🫡🫡💪💪
@joshuamweta5550
@joshuamweta5550 Ай бұрын
Snash mdogo wangu nakufautilia sana ila hapa njaa ulipewa pesa ubush hii kitu usiwe mtu wa ku support kitu Cha ujinga ata uso wako unajua unachofanya
@elvisernest3280
@elvisernest3280 Ай бұрын
Oya snash uyo robot anasemwa vibaya kwasababu ni wa serekali. ndio maana anatia watu vichefu chefu
@michaelofficial2382
@michaelofficial2382 Ай бұрын
Uka muoji uyo unice
@voicdesition897
@voicdesition897 Ай бұрын
Afu ka ai wetu mbona hana rafudhi hata ya kizaramo snash
@DenisJohn-bh6cj
@DenisJohn-bh6cj Ай бұрын
😂 Eunice anawasha hata fegi
@julianmsele3880
@julianmsele3880 Ай бұрын
Eunice ni ree tu hana ramaniii
@joebinarysignals
@joebinarysignals Ай бұрын
Bro hamna kitu hapo
@talentsmo1864
@talentsmo1864 Ай бұрын
Nani kamtengeneza uyo yuni selikali .nikamuibe
@mwalamimtoro7938
@mwalamimtoro7938 Ай бұрын
Yaani mwamba unaongea uku rohoni unaumia 😂😂😂 yaani unajutahidi kutupanga harafu unaona dah Raia hawataelewa unatafuta neno lengine unaona mmmh hili nalo sio 😂😂😂
@directorwizard7310
@directorwizard7310 Ай бұрын
EUNICE HAKUNA KAZI YENYEWE ANAWEZA FANYA 🤣🤣😂😂😆😆
@jimmyrama248
@jimmyrama248 Ай бұрын
NAWEW UMESHIRIKI HUMU KIONGOZ
@B_Myko
@B_Myko Ай бұрын
Snash unajitahidi kuelekeza watu walio lisha vitu vya inje wanashidwa kukubali vyakwetu 🫡🫡💪💪
Youtube sio Mama Yetu!
17:13
Snashtz
Рет қаралды 8 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
We Have A Ghost Movie Review
11:57
Snashtz
Рет қаралды 6 М.
TECHNOLOGY Imeenda wapi ? FAN ya 1980 Bado Inafanya KAZI !
3:59
iPhone zote za bei rahisi za kumiliki kwa sasa
15:33
SimuNzuri
Рет қаралды 199
Kazi Ambazo Zimechukuliwa na Technology ! HUJUI
8:34
Snashtz
Рет қаралды 3,9 М.
БАТЯ ПОМОГАЕТ МНЕ СБЕЖАТЬ в Schoolboy Runaway
29:05
ИГРАЮ ЗА ОТЦА 😱 В SchoolBoy | SchoolBoy Runaway
19:56
ЛИГЛЕЙЧИК
Рет қаралды 1,3 МЛН