EX WA NIFFER AONGEA KWA UCHUNGU, ALIYOFANYIWA HADI KUACHANA NI MAZITO😭, VUNJA BEI ATAJWA

  Рет қаралды 136,215

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

EX WA NIFFER AONGEA KWA UCHUNGU, ALIYOFANYIWA HADI KUACHANA NI MAZITO😭, VUNJA BEI ATAJWA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 308
@charlesmasele6327
@charlesmasele6327 Жыл бұрын
Mwana unajielewa sana chukua hii 👊👊 huwezi shindana na mwanamke. ✅✅
@ibrahjr5210
@ibrahjr5210 Жыл бұрын
Nilichojifunza ni kwamba, ukiachana na mtu hakuna sababu ya kumuongelea vibaya..kwa 7bu mnajuana madhaifu yenu pamoj na Siri zenu zote ,so it's better Kam kuendelea na maisha mengine at the same time mko peace na bado mnaweza suppotiana kweny angle nyingine ya maisha
@dijahmriri523
@dijahmriri523 Жыл бұрын
Dah umeongea point sana
@michaelelia7058
@michaelelia7058 Жыл бұрын
Umeongea point
@queenmarymakweta5499
@queenmarymakweta5499 Жыл бұрын
Ni sawa ila ni wapi wengine tutajifunza, sio lazima kila linalokukuta useme ila kama unaona its better kutaka kufanya jamii nini ijufunze unasema
@theresiajames7574
@theresiajames7574 Жыл бұрын
Ishi nayo hiyo..
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
Kweli kbs
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Usiombee uachwe na Demu alafu akupite kimaendeleo weeeee Chibabaaaa utamia maish yako yooote km huyu mwamba🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️Alafu kwenye interview Niffah aligoma kabisa kumuongelea ukiwa km x...na unamaisha yakoo...Wewe na vunja bei wako woote oya oyaaa...Goooo Niffaah
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
wauza kuma lazima msapotiane hua iko ivo huyo dem malaya mbwa kiba mwenyewe kasha mtomba afu kapita vile unaona tena heka heka kwa kiba? sasaivi itakua kapata danga wasafi nako atombeke ad kuma itoke sugu 😷😷
@ahmedkhatibu5387
@ahmedkhatibu5387 Жыл бұрын
Mtoto anataka hela yule ,,pole sana brother
@salmaathman7634
@salmaathman7634 Жыл бұрын
Huyu kaka kajitambua mapema yupo sahih wanawake wengne pasua kichwa ila ndio mama zenu mtafanyaje tuvumilien tu😄😄😄😄
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Жыл бұрын
Akikutana na mwanamke anaendesha nyumba sistuki kanichekwsha sana yaani nimecheka kwanguvu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭paka nimelia 😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂
@kdloon2030
@kdloon2030 Жыл бұрын
Huyo dada yaelekea ana something special,ambayo watu wanamfuatilia sana life yake Em mpeni amani binti wa watu.
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Damu yangu kabisa naniwakawaida kabisa
@careeninnocent738
@careeninnocent738 Жыл бұрын
Wanamuonea wivu ni mpambanaji
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
kitu gani malaya huyo anajiuza afu anakuja kwa motivet wajinga kama nyie eti nimepambana labdda kwenye godoro ndio aliko pambana
@jan6703
@jan6703 Жыл бұрын
@@careeninnocent738 hivi wewe dada waelewa upambanaji ni kitu gani. Maana naona hata wanaojiuza waziwazi wajiita wapambanaji .
@its_khalidy_46
@its_khalidy_46 Жыл бұрын
@@jan6703 ndo wale wale uyo wanapenda sana kujitetea,,,
@abdallahnassoro2460
@abdallahnassoro2460 Жыл бұрын
Yani bro bro brooooo mkasa wako Hauna tofauti na wangu umenigusa pabaya Yani usiombe likakukuta sio wote kweli lkn ktk kumi ni mmoja ndo utapta
@thomashudson1083
@thomashudson1083 Жыл бұрын
Huyu mshikaji kwa jinsi anavyoongea anaonekana alipgwa tukio na huyo demu ambalo lilimuachia maumiv makali mpaka kesho.
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
Niffer unatuwakilisha vizuri safiiii wANAUME WA KIACHWA WANAUMIA ILA SISI MBONI KILA LEO MNATUUMIZA KENGE NYIEEE.JAMAA BADO UNAMPENDA.PAMBANA NA MKEO.NIFFER LEVEL YA JUU.tafuta pesa kesho watatuheshmu hawa
@mishiomarhassan7115
@mishiomarhassan7115 Жыл бұрын
Gigy 😂😂😂kasema kwely 😂😂😂 sasa nimelewa
@kimambo_photographer5291
@kimambo_photographer5291 Жыл бұрын
Leo nimekuwa wa Kwanzaa 😍
@latiphamohammed9900
@latiphamohammed9900 Жыл бұрын
Kaka kaongea pwet sanaaa kunywa peps ya bariiiiiidi nakuja kukulipia nipo njian🥰
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k Жыл бұрын
He is wise man
@hashimlowela294
@hashimlowela294 Жыл бұрын
Hapo mwisho kafunga vizuri kipindi🙌💪
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb Жыл бұрын
Vijana wanateseka kwa kukosa ela. Fursa hakuna daaah 😢
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l Жыл бұрын
Kwa kweli
@joycemenrad9746
@joycemenrad9746 Жыл бұрын
Gigy money atakua alikua sahihi aka ka niff oo jimetoka mbali kumbe kupanganisha wanaume kama makontenda ya mizigo 😉
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Mwanamke ni wamambo mengi kwa mujibu wa mwanaume anavojieleza mtu wa matukio lkn anajificha gigy yupo sahihi maneno yake .
@starpammy6020
@starpammy6020 Жыл бұрын
Hahaha 🤣 nyieee
@enjoomaliya1399
@enjoomaliya1399 Жыл бұрын
Mkomeni mtoto wa mwanamke mwenzenu , semeni uzazi wenu watoto wenu , stupid.
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Жыл бұрын
I'm learning alot from this dude and what he's talking about is real and painful
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 Жыл бұрын
Yeah for sure he have something makes him painful..but hajataka kuelezea
@zafarmohamedy3013
@zafarmohamedy3013 Жыл бұрын
Huyu jamaa yupo perfect san
@justerissaya9165
@justerissaya9165 Жыл бұрын
Nampenda Sana mke wangu !! Uku namuelezea nifeer kwa uchungu!😭😭😭 Pole Sana kaka angu moyo unapendaga mara moja tu
@allanothuman2941
@allanothuman2941 Жыл бұрын
Unajua kun upend n mapenz usifananish hay mamb kabisa
@brightmmbando4406
@brightmmbando4406 Жыл бұрын
😅😅 Nimecheka aisee, umeusema ukweli
@johnkyara8655
@johnkyara8655 Жыл бұрын
Mwanamke ni mtu anabadilika since from bustani ya edeni utamjua mwanamke ni mtu wainagani demu kapata jina town ameshabadilika
@Bise270
@Bise270 Жыл бұрын
Huyu msenge nae qnaelekea bado anamtaka ex wake,mbonq linajiongelesha kwa uchungu hivi alafu mwishoni linajidai nampenda mke wangu,kichefchef😏
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema Ай бұрын
Wewe ni mshenzi hounding anaulizwa maswali au huoni
@sharifaomenda1535
@sharifaomenda1535 Жыл бұрын
Ndio maisha yalivyo wanawake baadhi yao ndivyo walivyo akipata kipya cha zamani hakina faida. Ila wanasahau kipya hakinyemi
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Tatizo watu tunashindwa kutofautisha mwanamke wa kupenda na wa kupiga ukatembea, kuna iana ya wanawke hawaitaki kuwaweka rohni ni kuchapa tu alaf mwisho untafuta kitoto kiziuur kishambashamba unakivuta ndani
@uchebetz7284
@uchebetz7284 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Uso wa Nifa ukimwangalia akifanyiwa itavyuu unajuwa tu kama muongo gigy alivyosema wengiwao wanadanga walipaniki wote wadanga
@jan6703
@jan6703 Жыл бұрын
Kweli Aziza. Inaudhi mwanamke asimama macho makavu na kujidai eti mpambanaji au special kumbe akiuza mwili . Chefu sana hasa msiwape air time waharibu jamii 😠
@filbeteromary3153
@filbeteromary3153 Жыл бұрын
🥺Wangap wamegundua kakaa anajtahid asimzungumzie vbaya ila maumivu yanamzid😥
@Pro_Hacker99
@Pro_Hacker99 Жыл бұрын
Demu akipata sponsor tu wahun tunaachwa😂😂
@Dira-90
@Dira-90 Жыл бұрын
Mademu wakipata sponsor tu wahuni tunaachwa 🤣😂
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 Жыл бұрын
@@Dira-90 wahuni wanapigwa kibuti but tusimind wahuni italipa 🤣🤣🤣🤣🤣
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Жыл бұрын
😀😀😀😀
@venerandamwalimu16
@venerandamwalimu16 Жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀wahuniiiiii
@hopemusictz9353
@hopemusictz9353 Жыл бұрын
Huyu mwamba sijui ana degree ya maisha...😂😂😂
@hassanstoch7607
@hassanstoch7607 Жыл бұрын
😂😂😂
@its_khalidy_46
@its_khalidy_46 Жыл бұрын
Ukikutana na challenge flani katika maisha aidha ya mahusiano au kitu chochote,,,,autamatic utakua na uwezo mkubwa sana wa kufafanua ilo tatizo kuliko unavyozania,,,,
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
Ila kaka unaonekana bado unampenda sana niffa na alikuumiza
@Mimy_keys
@Mimy_keys Жыл бұрын
Weye waapi si kashaowa tayari
@estermathias8354
@estermathias8354 Жыл бұрын
@@Mimy_keys kuoa sio tatizo.watu wanaoa Sana lkn kumkumbuka mtu ni jambo lingine
@masoudmsomal8774
@masoudmsomal8774 Жыл бұрын
@@Mimy_keys me nimeoa tyr na mpk leo nampenda ex wang
@allanothuman2941
@allanothuman2941 Жыл бұрын
@@masoudmsomal8774 ttz n kumb kumb zinakuendesh vibay
@hawasaid6625
@hawasaid6625 21 күн бұрын
Humjuwi huyu mtu nyamaza
@emmanueljuvieh4316
@emmanueljuvieh4316 Жыл бұрын
Date na muhaya ni wazuri sikatai ila please n please uko in troubles! If you know you know 😞😞😞😞😞😞
@sarahkimaro75
@sarahkimaro75 Жыл бұрын
Kabisaa
@UMMAHWASATIYYAH
@UMMAHWASATIYYAH Жыл бұрын
Ttz sio kabila ni mtu mwenyewe wacheni vijichambo 😂
@pamelaouma6400
@pamelaouma6400 Жыл бұрын
MUNGU amesema ishini na sisi kwa akili Sana.
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 Жыл бұрын
Eeeeeh
@kariakooagrei2167
@kariakooagrei2167 Жыл бұрын
Sawa dada 🤣🤣🤣🤣...akili zetu zisizidi ty
@alfredycarrentals7357
@alfredycarrentals7357 Жыл бұрын
Atafute pea tu
@hortensiamushi
@hortensiamushi Жыл бұрын
😂😂
@sophiayusuph6008
@sophiayusuph6008 10 ай бұрын
Waishi nasis Kwa akili wakati wanatupa sehem z sir😂😂😂
@wardaridhwankassim4774
@wardaridhwankassim4774 Жыл бұрын
😂😂😂 kuna mwanamke mwenzetu kashatuwakilisha vzur huk..! @niffer unazawad ako..!
@givenjackson5449
@givenjackson5449 Жыл бұрын
Yaan warda upo kama mm yaan m mwanaume akiumizwa nasikia Raha jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 asante sana niffer
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Hahhahah
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 Жыл бұрын
@@givenjackson5449 Ndotabiaa yenu
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Wakituacha wao inakuwa poa ila wakiachwa wao sasa 🙌😂😂
@jescaalfred3410
@jescaalfred3410 Жыл бұрын
Hakuna Cha kumpenda mke wake..huyu Kaka moyo wake bado upo kwa niffer
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema Ай бұрын
Ur delusional he loves his wife wakudanga wadange wengine kaheshimishwa kawekwa kwa Nyumba kihalali
@hidayakisensi2747
@hidayakisensi2747 Жыл бұрын
Kwel mafanikio yana siri kubwa, kila mtu anahistoria yake yamafanikio
@just.elhadji__7148
@just.elhadji__7148 Жыл бұрын
Agreed nakubalii hiii👊🙌
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Жыл бұрын
Niffa alkua baya tunaokaa Sinza Madukan tunamjua sjui kwanin anamkana kaka wa watu enzi hizo shilla ananyoa pemben ya Galito restaurant
@hawaneneko4793
@hawaneneko4793 Жыл бұрын
Big up broo unajielewa mnoo
@reneeisaya733
@reneeisaya733 Жыл бұрын
Huyu kaka mstaarabu sana ila akisema amvue nguo huy dada angeaibika sana ,wanawake tuna fake sana maisha jamani
@mpalestinatz8265
@mpalestinatz8265 Жыл бұрын
Mwana smart talker sana👊
@hawasaid6625
@hawasaid6625 21 күн бұрын
Ashirafu sisi watu WA sinza ndio tunajuwa mpaka malipo kuwa mnaishi Na alivyo kuwa anashinda saloon kutwa anakuchunga 😅😅😅😅😅😅😅 sisi tunajuwa Ila tunamuangaliaga tu😅
@abdilahijuma3373
@abdilahijuma3373 Жыл бұрын
Pole sanaaah mkuuu
@mspwjjjso6261
@mspwjjjso6261 Жыл бұрын
Nifa hana akili kumbe kaacha mwanaume anaejielewa
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Жыл бұрын
Alitaka ma star
@paschalmushilu1485
@paschalmushilu1485 Жыл бұрын
Good interview
@aminahassan4214
@aminahassan4214 Жыл бұрын
Huyo niffer mwenyewe anaongelewa yuastiriwa na hyo make up bila make up ni balaa mana hilo sura
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Nishaenda dukani kwake mtoto wwtu wala sio mbaya Masha'Allah
@eliachacky7562
@eliachacky7562 Жыл бұрын
Kweli mwamba unauchungu moyoni, ila wanawake ni viumbe waajabu sn hapa duniani
@bahatiponera7165
@bahatiponera7165 Жыл бұрын
Umeliwa sana
@idayamataifakey7813
@idayamataifakey7813 Жыл бұрын
Huyu kaka naona bado ana mpenda
@keifatuke99
@keifatuke99 Жыл бұрын
KUWA NA MWANAMKE WA "KIHAYA" NI MTIHANI,HAWATOSHEKI.
@ommie_nyzer
@ommie_nyzer Жыл бұрын
Salute sana bruda👊🏾🏁
@nersonjoseph5369
@nersonjoseph5369 Жыл бұрын
Jamaa kajibu vizuri mno ma ex asa ulio kaa nao zaidi ya miaka 2 kupanda ndo uwa maadui wakubwa
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 Жыл бұрын
Sio mwanamke tuu hata nyie wanaumme mna mambo ya kishenzi sanaaaaa
@linarchristian4960
@linarchristian4960 Жыл бұрын
Wakiguswa kidogo tu walalamika balaa
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 Жыл бұрын
Hivi mtu mshaachana unakuja mediq kujitangaza kuwa wewe ni ex wake. Unataka pension au???ukuachwa move on na acha kumuongelea ex wako kabisa
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l Жыл бұрын
Kwa kwel anamtaka bado
@mariamphilipo5789
@mariamphilipo5789 Жыл бұрын
Huyo Kaka anaongea kwauchungu Sana jamani Wana wake tubadilike ukipata akupendae nawewe mpende hivi vitu nivyo kupita tu jamni
@fahmitumu8620
@fahmitumu8620 Жыл бұрын
km mtu hatk kufunguka wanini kufanya nae interview kupotez muda tu
@hasnaybyser1972
@hasnaybyser1972 Жыл бұрын
kazi kweli kweli
@fatumajeremiha6349
@fatumajeremiha6349 Жыл бұрын
Huyu kaka namjuwa na nifa namjuwa kipindi huyu kaka alikuwa ananyoa ndy kipidi hicho huyu nifa alikuwa kawaida huyu kaka anasema ukweri halafu nifa alikuwa kama tom boy saluni ya huyu kaka ilikuwa sinza madukani 2019
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Жыл бұрын
Kabisa sinza madukan pemben ya restaurant..nifa alkua anafuga manywele anavaa kitom boy😀
@irenewilfred7767
@irenewilfred7767 Жыл бұрын
Hahahahah
@eamsatellite2077
@eamsatellite2077 Жыл бұрын
Niffer mnampa credit sana na airtime alafu demu mwenyewe wa kawaida tu dar pisi zipo za kwenda kuliko yeye. Pia ana force umaarufu sana
@salmatwalib145
@salmatwalib145 Жыл бұрын
Linalowababaisha ni hilo tako
@zailethomary4093
@zailethomary4093 Жыл бұрын
@@salmatwalib145 kwnn Kun uby
@johasaeed391
@johasaeed391 Жыл бұрын
Hata wanaume kaka wanadam wamebadirika sana japo siyo wote
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 Жыл бұрын
Uyu kaka anajielewa sana niffa kamuacha mwanaume kafuata maigizo ngoja kitamkuta kitu
@stylistofficial1405
@stylistofficial1405 Жыл бұрын
Kwaiyo ww chawa au hahahahaha 😆
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Huyo mwanamke katokea kwenye shida kapata kdg kaona kapata
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 Жыл бұрын
@@kennethbenjamin275 mbona pole yake maana uko aliko ss sio salama ngoja achunwe akistuka kamalizwa
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
@@wardamunguakuzidishew9399 Na lazima yule mbongo movie amchune vya kutosha
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 Жыл бұрын
@@vickydan2869 kabisa kiduka kife🤣🤣🤣
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Жыл бұрын
Huyu kaka bado anampenda niffer Sana woi ongea yake tu inaonyesha jmn
@shabanimbugi8372
@shabanimbugi8372 Жыл бұрын
Ila kademu kazuri broo una haki ya kulalamika
@bahatmushi9571
@bahatmushi9571 Жыл бұрын
Huyu kaka ana kigugumiz alaf watu Kama hawa wanakuaga na hasira ila itakua niffer alimtenda
@mwajabukaseke8710
@mwajabukaseke8710 Жыл бұрын
Yan mnapendaa wadada wenye makalio sasa ndo matokeo yake hayooooo😆😁
@sawasuleimanmwambungo9706
@sawasuleimanmwambungo9706 Жыл бұрын
Ukiumiza mwenzio jua nawe utkja umizwa maisha ni mzunguuko
@yusuphmalonja
@yusuphmalonja Жыл бұрын
Kabisa brooo
@ednagodson7540
@ednagodson7540 Жыл бұрын
Mwanamke wa huyu kaka ana kaziii ameoa kupunguza stress🤣🤣🤣niffer duka limekuachanisha n mpenz
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Umeonaeee
@jonessalum6325
@jonessalum6325 Жыл бұрын
😀😀😀 et tuishi nao KWA akili noma sana
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Жыл бұрын
Nifa mdagaji tu😂😂 afu ukikahona kanajifanya ka toto ka mjini wakati akana lolote 😂😂😂 kama siyo mdagaji ha post boyfriend wake kama hana jihamini 😂😂😢
@josephmatembo1938
@josephmatembo1938 Жыл бұрын
Sema umemucharukia
@ismahanymahamoud9721
@ismahanymahamoud9721 Жыл бұрын
Huyu Mkaka Bado Anampenda Sana Niffer
@mozahsalum8882
@mozahsalum8882 Жыл бұрын
Yesss
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior Жыл бұрын
SIYO KUMPENDA ILA AAMINI ALICHOFANYIWA.
@hagarbills4023
@hagarbills4023 Жыл бұрын
Bro nimekwelewa sana
@al_hashamneymah1340
@al_hashamneymah1340 Жыл бұрын
Duh mwamba anakwmbia ht akimkuta mwanamke anaendesha nyumba hawez kushangaa
@mumaheza151
@mumaheza151 Жыл бұрын
Good sana boY
@mdzainb3722
@mdzainb3722 Жыл бұрын
Kaka kaa mbali na Muhaya 😂😂😂😂🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@aminanoor5637
@aminanoor5637 Жыл бұрын
aaaah et kaa mbl na muaya
@Gody360
@Gody360 Жыл бұрын
Ndio life
@kelvinp.mbwelwa7982
@kelvinp.mbwelwa7982 Жыл бұрын
I like bro nikwel kabisaaaaaa
@sipriandonko3848
@sipriandonko3848 Жыл бұрын
mzee wa minyoosho mikali🔥🔥🔥🔥
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Sema huyu ni mwanaume kweli anakifua kwanza halafu hako kenye kichwa kikubwa ndo maana hata interview zake siwez kumaliza kwasabb kaongo halafu kanajifanya kanajua kila kitu na ukichanganya na kabila ndo kabisaa shuzi limepata mjambaji
@zailethomary4093
@zailethomary4093 Жыл бұрын
Ss kwnn anmzngumzia
@khalidngwembele9075
@khalidngwembele9075 Жыл бұрын
Jamaa anajielewa kifala yan,, Nakubal✊
@evankya1955
@evankya1955 Жыл бұрын
kama umeshaoa hii interview ungeiweka kando maana mke wako duh sijui anachukuliaje, it seems like una machungu bado
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 Жыл бұрын
Maskini jama bado ana mpenda
@careeninnocent738
@careeninnocent738 Жыл бұрын
Ila wabongo mnawivu jamani ndio mana wengi masikini hatupendani hebu TUWE kama waarabu🙄
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
warabu hawauzi kuma so hatuwez kua sawa nao hata kwa mavaz yaan ni different kwa kila kitu
@user-xm2rm7wn6h
@user-xm2rm7wn6h 8 ай бұрын
Ety ana endesha nyumba😂😂😂😂
@janetahmed6948
@janetahmed6948 Жыл бұрын
niffer kama ni ex huwezi kana unakubali tu kwani shingapi
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 Жыл бұрын
.sikiya kwa mwenzako
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 Жыл бұрын
kwani huyu jamaa anashida gani kulalama kwingi mzee
@zafarmohamedy3013
@zafarmohamedy3013 Жыл бұрын
Weee huna akili, nin maan ya interview sasa
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 Жыл бұрын
@@zafarmohamedy3013 shukran mufti kwa kunifahamisha kuwa sina akili
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Wamemfuata wenyewe
@hanifaalmas4100
@hanifaalmas4100 Жыл бұрын
Kweli huna akili yy kwani kanawaita si wao
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 Жыл бұрын
@@hanifaalmas4100 sawa wewe mwenye akili
@dorcasaloyce2787
@dorcasaloyce2787 Жыл бұрын
Komaa na maisha yako acha kumuongelea mwanamke aliekataa kukuzungumzia
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l Жыл бұрын
Kwa kweli make yeye alikataa kabsa kukuzungumzia
@JOSKY-j8
@JOSKY-j8 Жыл бұрын
Jamaa mwenyewe huja muliza alikuwa katk hari gan mchk kwanza kama angekuwa mahakaman cmunge fungwa nyie
@josephjohnmagesa8256
@josephjohnmagesa8256 Жыл бұрын
Kwani uyo niffer ndo nani Mbona mnampa kiki🤣
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Neno female ni atom inayotakiwa iwekwe kwenye periodic table laleki aw
@haliyamwijaa6493
@haliyamwijaa6493 Жыл бұрын
Hahaha, mtuache jamani
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
@@haliyamwijaa6493 nyie noma...mi nawaogopaga tu hususani nyie weupe
@biggievandar254
@biggievandar254 Жыл бұрын
Nakukubali Sana Kaka umeongea
@ashrafmbonde8716
@ashrafmbonde8716 Жыл бұрын
Usishindane na mwanamke.... Fact
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 Жыл бұрын
Eti unamtaka, eeh unampenda!!!! Basi mtongoze 🙄,
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁🔥
@maryammwinyi932
@maryammwinyi932 Жыл бұрын
Me sijaon 7b y ww kijan kumzungumzia niffa wkt yy alikataa ww kukuzungumzia😏
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
malaya yule hana jipya muuza ukundu wenye uvundo 😷😷
@maryammwinyi932
@maryammwinyi932 Жыл бұрын
@@sifatiiman dah usipend kuhukum wat 👎 km unaon kaz y kuuz m*****k n kaz rahis n ww uza wko bax😏
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
@@maryammwinyi932 muuza mkundu yule siku zote wauza kuma lazima mteteane malaya utawajua tu
@zena6203
@zena6203 Жыл бұрын
Oya tembea kwamwendo wako ukiachwa achika unabwabwaja nini kwani unataka awenamwanaume umoja umekuwa babayake ao
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 Жыл бұрын
Sasa siumeachwa na umeowa endelea na kazi zako kamanda
@happnessndimbo1171
@happnessndimbo1171 Жыл бұрын
Sa si wamemfuata kumuuliza
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 Жыл бұрын
Mwamba nimekuelewa hawa viumbe nikuishi nao kwa akili
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Жыл бұрын
Hakuna mwanamke mkweli hata mmoja katika Dunia hii katika swala la mahusiano. Wote ni nyoko tu.
@rahmamollely5296
@rahmamollely5296 Жыл бұрын
Kwendraaaaaa cy wote
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
Kwahiyo hata Mama yako Hakuwa mkwl kwa baba yako!! So ndio?!!! Usutufanyie hivyo wote.
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
We dogo shika adabu yako
@mariamselemani1366
@mariamselemani1366 Жыл бұрын
Kaumbuka duu pole kaka
@filbeteromary3153
@filbeteromary3153 Жыл бұрын
Nafeel maumiv yake de way anaongea
@henrickmgombele2350
@henrickmgombele2350 Жыл бұрын
Vitoto vidogo vinawasumbua tatizo amuwatombi vizur
@jackyluns9413
@jackyluns9413 Жыл бұрын
Nimecheka sana kwahiyo unapenda umkeshee demu ama
@sadikabdallah8061
@sadikabdallah8061 5 ай бұрын
Ukiwachwa achika
@gorethkalembo8177
@gorethkalembo8177 Жыл бұрын
Mkaka anaongea kwa hisia saana Mpk hurumaa
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Mmmm sikia bro angalia maisha yako na achana na interview... Kitu chengine Bado unamtamanj huyo mwenye pua kubwa
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Afanye nae atoke sindio bongo
@ramanyamawi1568
@ramanyamawi1568 Жыл бұрын
Mchanga hii interview n ngumu sahii akili kichwani
@mariasanga5817
@mariasanga5817 Жыл бұрын
Jamaa anaonekan aliumizwa san na niffer dah na anaonekan bdo anampend
MKALI WAO AFUMWA SAITI KWAKE
12:23
MKALI WAO
Рет қаралды 18
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 33 МЛН
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
THE THIRD TV
Рет қаралды 605 М.
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН