Mungu akubariki na kukutunza da,pilli nna ushuhuda wa moyo wako mzuri tangu ukiwa shule,,nakupenda kila siku,mungu akutunze
@janethandendekisye26812 ай бұрын
Mdada mzuri jaman Ila wauz madawa Mungu anawaona
@HadijamasudiTanotano2 ай бұрын
Daah poleni sana duuh kazi ni ngumu kweli inaitaji moyo Sana mungu akujalie kila la heri
@MaryamJuma-q3r2 ай бұрын
Allah akuhifazi mdogo wangu umejua km unappealing na ukaamua kurudi Allah akusimamie uweze kuacha na umlee mwanao vizuri tu
@HamisMghuna-fj3vz2 ай бұрын
Mashaaalah hicho kijizungu chako,kitakua,
@ukhutfatumah11542 ай бұрын
Mashaallah jamn mdada mzuli eee m/mungu tuepushe na Hili janga la madawa ya kulevya😢😢
@YousraSalimMohamad2 ай бұрын
Subuaanallah Allah Pole sana dada Mungu akufanyie wepesi
@ivyroses90192 ай бұрын
Pamoja na Uraibu,anajieleza vizuri, bado hajachelewa anajielewa ni vile tu changamoto za maisha na watu tunaokutana nao.
@mirnababy50122 ай бұрын
Huzuni sana unga mbaya mungu awajaalie vijawetu
@dianazambi24472 ай бұрын
Eeh mungu msaidie uyu mtoto mchanga akue katika mikono salama..umpe afya njema..umpe uelewa mama ake wakujua kama ni mama aache kuvuta madawa ya kulevya..umkumbushe baba mtoto katika ulezi wa mtoto na mama.na awe na moyo wa kusamehe na kusahau!!
@evelynemugeni23692 ай бұрын
Ameen
@salmahamisi17172 ай бұрын
😭😭Nimelia jamani,Mungu awape adhabu Kali wauza madawa ya kulevya,wao na familia zao wanaishi maisha mazuri kwa kuharibu maisha ya wenzao😭
@ivyroses90192 ай бұрын
Ameeen.
@toniomega3890Ай бұрын
Pili asante sana kwa kumoka mama na mtoto. Kazi yako njema Mungu atakuipa
@SalumJohn-h2s2 ай бұрын
Huyu dada ni genius,ndo maan Thomas Muller alimwelewa,pa1 na kuvut cocaine lakin bado yupo fit😢
@AnatoliMayot2 ай бұрын
Mungu akulinde dada WA soba uendeleevkusaidiavwatanzania
@FloraMbuya2 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwakweli...Mungu afanye jambo juu yenu🙏🙏🙏
@gracekagoma32312 ай бұрын
Dada nenda ubalozi wa Kijeremani haraka sana.Huyo mtoto anahaki zote.Acha unga haraka vinginevyo mtoto anaweza kupatikana na matatizo
@merrynancesimon15622 ай бұрын
Mmh atachukuliwa mtoto mama basi ulaya pasikie tu ukitumia madawa unapokonywa watoto
@FatimaAli-of4gh2 ай бұрын
Msibiri apoe hivo alivo ubalozi watatafuta baba mtoto wa mpeleke mtt kwa baba juu mama mlaibu wazungu wapo shapu na watt ukiwa mama hueleweki😢😢😢atamkosa mwanawe bure
@fifo2622 ай бұрын
😢
@corrolesscps2 ай бұрын
Wewe atamkosa kabisaaa huyooo mtoto hivi hujui Mataifa ya Wazungu na haki za Watoto, akidai tu ni prosess ya kumsaidia mtoto hata akifika huko sijui hata Baba kama atapewa, analelewa na Serikali mpka anakuwa mkubwa, kwa hiyo Mama atakuwa anasema tu nilikwa na mtoto alichukuliwa na kupelekwa ulayaaaa!!!!!!
@FatimaAli-of4gh2 ай бұрын
@@corrolesscps Baba wakati ni mzima haumwi wala sio mla madawa atapewa mtt wake juu hakai pamoja na mama mlaibu nipo ulaya mwaka wa 23 huu baba akitoa ushirikiano anataka kulea mwanawe atapewa tu hana shida yoyote mwenye shida ni mama labda baba awe teja
@Siasia2092 ай бұрын
Allah amjaalie uyu binti atulie asirudie tena kuvuta hayo madude jmn
@BeatriceMtuy2 ай бұрын
Amina dada mungu akutie nguvu Kwa kuwa na upeo wakuwasaidia ndg zetu😱😭
@merrynancesimon15622 ай бұрын
Usimpe mtoto mtu wa aina yeyote zuwena endelea kukaza usitumie madawa utakaa Sawa tu Kazana bado hujawa Teja kaza mwaya Mungu kusaidie jamani
@munaomar17552 ай бұрын
Katoto kachuna❤❤❤mungu akuondolee huo uraibu Dada pili mungu akubariki
@arthurmwabulambo12012 ай бұрын
Uraibu ni spirit ni muhimu apate pia spiritual deliverance pamoja na hizo tiba zingine.
@loner_wolf2 ай бұрын
Mchungaji nawewe unawaza yko tu😅😅😅😅
@rithersospeterkati33552 ай бұрын
Pole sana. Acha madawa.
@jacquelinhenry11062 ай бұрын
Germany mtoto akizaliwa kila mwezi anapatiwa €250 ni sawa na laki 7 kila mwezi na baba mtoto naye anatakiwa kumlipa mama kulingana na kipato chake cha kazi,yaani roho inaniuma sanaa kumuona huyo malikia anapata shida ivyo wakati haki yake anayo kwa baba.pigana my dear uweze kuwasiliana na mzazi mwenzio aweze kumlea binti yake.🙏
@StefanGleixner-mg6ej29 күн бұрын
I am the father of this child. I have contacted the German embassy, the Kenyan authorities and the Tanzanian embassy. No one could help me or support me, as this child is registered in Tanzania and is therefore outside of German law. All my support has been converted into drugs without supporting the child, which is why I stopped supporting it. I have another child with Zuena, this child lives with me. It was not possible for me to help the second child if the mother and the Tanzanian state are working against me. I hope that Zuena has now understood that drugs only destroy her world and that she will become clean. For this purpose I will provide all the necessary means and support her. However, it is not possible to support a drug addict AGAINST their will, as they also have a negative impact on those around them.
@samiramawby12572 ай бұрын
Innalillah wa Inna illah rajiun🙏🙏🙏Nikupe pole dada duniani kuna majanga mengi,,sisi tulioolwa na wazungu tuna mitihani sana,,Bora wewe umekula unga kwa raha zaako,,sisi TUMEENDEWA KWA WAGANGA NA WACHAwi😀tumerogwa hadi kurogewa wame zetu kuchukuliwa misukure😀😀pole namshukuru Mungu jaribu hakuumbiwa mbuzi,,,niombe tu wakusaidie baba apatikane achukue mtoto,,Ila akikosekana mimi ni Mama wa wazungu woote ulimwenguni nipeni huyo mtoto nimlee mpaka utakapokuwa sawa wewe au aje baba mtoto kumchukua🙏🙏🙏Nitamlea na Kumlinda kwa Kadiri ya Allah alivyomlea na kumlinda na kumtunza YESU 🙏🙏mkiwa tayari mtoto alelewe na mtu baki mtanitext namba yenu tuwasiliane
@StefanGleixner-mg6ej29 күн бұрын
I am the father of this child. I have contacted the German embassy, the Kenyan authorities and the Tanzanian embassy. No one could help me or support me, as this child is registered in Tanzania and is therefore outside of German law. All my support has been converted into drugs without supporting the child, which is why I stopped supporting it. I have another child with Zuena, this child lives with me. It was not possible for me to help the second child if the mother and the Tanzanian state are working against me. I hope that Zuena has now understood that drugs only destroy her world and that she will become clean. For this purpose I will provide all the necessary means and support her. However, it is not possible to support a drug addict AGAINST their will, as they also have a negative impact on those around them.
@treasurerussel34222 ай бұрын
Daaaah dada umepotezaaa bahatiiii
@JohnRossan-pk5cl2 ай бұрын
Anajua kujieleza sana mungu amsimamie aondoke kwenye hili janga
@ruqaiamohammed3452 ай бұрын
Ila usilaumu ndugu inawezekana ulivyokuwa unaanza kutumia madawa ndg walikukataza sana lkn hukuckia pia inawezekana ulivyokuwa na maisha yako ya mzungu uliwadharau hukuwathamin
@neemamasimba29812 ай бұрын
Shetani mpumbavu sana, Sasa anamtoa kwenye Maisha mazuri anampeleka kwenye mateso , ee Mungu waepushe waja wako
@ngwacahnyagwaswa99792 ай бұрын
Yaan Dada mzuri black beauty ❤ ila umechezea bahati huyo Baba mtoto bila madawa ungekua Germany sa hivi
@nilastephen8265Ай бұрын
Mungu amsaidie baba mtoto wake asi bebwe na mkenya
Daah aisee 😢😢huyu dada alichezea shiling choon mzungu akisha kuona sio muelewa bac harud nyuma 😢pili fatilia gar ya huyo dada alipwe pesa zake zilizobakia
@esthermachangu49702 ай бұрын
Hongera sana dada pili
@aminamwivita7690Ай бұрын
Mashaallah tabaraka Allah Akbar
@judithkirenga99772 ай бұрын
Dada Pili Mungu akujalie hekima na upendo wako uzidi kwenye jamii yetu
@bestpriceafricaАй бұрын
Nipenda kauli ya dada ( john tutakufuatilia )
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Umemtesa sana mtoto bora umpeleke kwa Baba yake. Ukiwa huna uwezo wa kumtizama. Wanawake mnayatafuta mabalaa wenyewe. Mungu amsaidiye huyu mtoto Malaika wa Mungu.
@mymuhnabdallahshaban77632 ай бұрын
Ssa ampeleke wapi na mzungu kakimbia bora alee mtoto wake
I am the father of this child. I have contacted the German embassy, the Kenyan authorities and the Tanzanian embassy. No one could help me or support me, as this child is registered in Tanzania and is therefore outside of German law. All my support has been converted into drugs without supporting the child, which is why I stopped supporting it. I have another child with Zuena, this child lives with me. It was not possible for me to help the second child if the mother and the Tanzanian state are working against me. I hope that Zuena has now understood that drugs only destroy her world and that she will become clean. For this purpose I will provide all the necessary means and support her. However, it is not possible to support a drug addict AGAINST their will, as they also have a negative impact on those around them.
@StefanGleixner-mg6ej29 күн бұрын
@@mymuhnabdallahshaban7763 i was not running. You goverment have maked it impossible to stand longer in tanzania. Now i stand in kenya and im happy with it. If you lissen this speak exactly, have i done everything what is possible, but you can not fight agains a stupid state and a drug addicted mother at the same time.
@merrynancesimon15622 ай бұрын
Yaani marafiki wabaya sanaaa
@shyfettymtunda46192 ай бұрын
Duh!!Unga mbaya jamani.Dada mzuri ila kachakaa.😢
@HatibuHatibu-cd7hs2 ай бұрын
Hahahaha
@faithjonathan38452 ай бұрын
So yuko radhi mtoto akae kwense mazingira magumu kuliko baba kumchukua? Kina mama tuna uoumbavu wa kutumia watoto kukomoa wanaume bila kujali maisha ya watoto. Na hapo anakatalia mtoto ili.atumiwe pesa kwa kumtumia huyo mtoto.. upumbavu tu na kutumia madawa huwezi kulaumu marafiki, kwani wewe huna akili ya kujua kuwa madawa mabaya???
@devothasimbi64952 ай бұрын
Hivi uko Sawa kweli? Unamlaumu mwanamke kiasi hiki ? Ni bora ahangaike Naye mwenyewe hapo ndipo uharisia wa mwanamke unanijidhihirisha.mtoto atakua n'a yéyé atapona n'a atapona haraka akiwa anamuona moto wake
@waukweelinikkon65552 ай бұрын
Jamani wazungu huwa wana huruma sana na watoto wao,sema amekasirika na harafu yuko mbali na kukupa pesa mkononi anaogopa sababu ya uraibu ulionao,angekuwa karibu naimani angekupa msaada tuu
@StefanGleixner-mg6ej29 күн бұрын
I am the father of this child. I have contacted the German embassy, the Kenyan authorities and the Tanzanian embassy. No one could help me or support me, as this child is registered in Tanzania and is therefore outside of German law. All my support has been converted into drugs without supporting the child, which is why I stopped supporting it. I have another child with Zuena, this child lives with me. It was not possible for me to help the second child if the mother and the Tanzanian state are working against me. I hope that Zuena has now understood that drugs only destroy her world and that she will become clean. For this purpose I will provide all the necessary means and support her. However, it is not possible to support a drug addict AGAINST their will, as they also have a negative impact on those around them.
@ibraoman27452 ай бұрын
Daaaa uyu dada ulikua ushatoboa masikin pole san
@treasurerussel34222 ай бұрын
Lakini bado anaonekana mraibu sana msaidieni sanaaaaa
@adammjomba58142 ай бұрын
Unga ni Haramu hairuhusiwi kutumika, muuzaji na mnunuzi wote wana hatia, yupo kijana alikua hapa European akiamua kurudi TZ iliakauze unga bahati nzuti au mbaya alisafiri kwenda Brazilian akapark unga vizuri sana lakini kabla afike TZ akatiwa Nguvuni Nchi ya Angola , kana sio kutiwa nguvuni angesha tua TZ kuumiza vijana na watoro nk nk (
@irenemwakalinga4350Ай бұрын
Dah pole Sana my dear maisha haya 😢 namuonea huruma tuu huyo malaika
@saidsidaz2 ай бұрын
Mtihani, Allah akuepushie ww mm na jamii yote
@CostaAntino2 ай бұрын
Mungu yupo atakuponya
@AngelaLyimo-d7xАй бұрын
Tunakupenda Dazlucas❤
@julianazegera8727Ай бұрын
Pole sana
@chikujuma182 ай бұрын
Mtihan kwakweli madaya ni mabaya pole dada achana na hayo madawa pambania mtoto wako
@fatmaabeid96682 ай бұрын
Huyu dada black beauty yaani beautiful unga shkamoo
Jamani mtihani mkubwa huo, Mungu atuongoze njia za kheir inshaallah. Amin 🤲🤲
@neyshayo13512 ай бұрын
Eeh Mwenyezi Mungu mjaalie huwa Dada
@aminamareta92972 ай бұрын
Amakweri kwenye miti akuna ujenzi umepata mtu anakusaidiya madawa yanini nwewe kimekuponza kumvuta madawa usingekuwa na maisha magumu
@HalimaKassim-yz3we2 ай бұрын
Kimemrangaa aliona madam ni madam kuliko mzungu😂😂pole njoo ukuu tuoshe voodoo va warabu hiyo bahati hairudi tenaa mama
@aysherkitoi55072 ай бұрын
Nenda ubalozi wa ujerman uwaelezee na uwape no za huyo bwana au ndugu zake lkn hakikisha umeacha unga ili usaidike
@ivyroses90192 ай бұрын
Watamchukua mtoto na wala hatomuona tena ,Kinondoni manyanya wadada wengi wamepokonywa watoto wao na Wazungu walio zaa nao, bila taratibu zozote za kisheria au Kiserikali.
@storytime1204Ай бұрын
@@ivyroses9019wanamchukua alafu wanapeleka for adoption 😂😂😂wanapiga pesa😂😂
@StefanGleixner-mg6ej29 күн бұрын
I am the father of this child. I have contacted the German embassy, the Kenyan authorities and the Tanzanian embassy. No one could help me or support me, as this child is registered in Tanzania and is therefore outside of German law. All my support has been converted into drugs without supporting the child, which is why I stopped supporting it. I have another child with Zuena, this child lives with me. It was not possible for me to help the second child if the mother and the Tanzanian state are working against me. I hope that Zuena has now understood that drugs only destroy her world and that she will become clean. For this purpose I will provide all the necessary means and support her. However, it is not possible to support a drug addict AGAINST their will, as they also have a negative impact on those around them.
@storytime120429 күн бұрын
@@StefanGleixner-mg6ej nah stop lying
@StefanGleixner-mg6ej29 күн бұрын
@@storytime1204 were is there a lay???
@alphamgimba71252 ай бұрын
Hello sober house tv hivi dada pam anaendeleaje hamjatupa mrejesho two yrs now
@MONICAIFUJA2 ай бұрын
Hata pombe ni adui😮😢😊😊😊😊
@AshuuuBakari2 ай бұрын
Bado hajachoka saha ni bora aache mara moja
@stephaniabenjamini28482 ай бұрын
Hivi unapata mtu kanunua vitu ili muishi,madawa ya nini tena?ungeacha maisha mazuri Gharama
@upendomumba48272 ай бұрын
Mtoto mzuri anataabika na upepo wa Bongo wakati baba mshua Germany
@MasouMrisho-kx9in2 ай бұрын
😂😂
@shifaaal-baity45032 ай бұрын
Hata huko Germany wako wanaoteseka
@upendomumba48272 ай бұрын
@@shifaaal-baity4503 Lkn tunazungumzia baba wa huyo mtoto kwa story yake yupo vzr hao wengine sijui
@StefanGleixner-mg6ej29 күн бұрын
I am the father of this child. I have contacted the German embassy, the Kenyan authorities and the Tanzanian embassy. No one could help me or support me, as this child is registered in Tanzania and is therefore outside of German law. All my support has been converted into drugs without supporting the child, which is why I stopped supporting it. I have another child with Zuena, this child lives with me. It was not possible for me to help the second child if the mother and the Tanzanian state are working against me. I hope that Zuena has now understood that drugs only destroy her world and that she will become clean. For this purpose I will provide all the necessary means and support her. However, it is not possible to support a drug addict AGAINST their will, as they also have a negative impact on those around them.
@JohaDomi-bg5yh16 күн бұрын
@@StefanGleixner-mg6ejplease contact soba House to get help
@AhadiGhumbo2 ай бұрын
Najua alikuwep mtu wakwanza kukuonya kipind punde tu unaanza kutumia madawa naukamuona mbaya namaneno machaf ukamp, nawengi wapo kama ww kbur kinawaponza
@rosiehayatta26192 ай бұрын
Amina dada una roho ya huruma kwa malaika huyo huyo mzungu nae hafai saidia kiumbe huyo huyo ni wa kwako one day mtoto atakuwa mtu fulani hatakupenda maisha
@DarKopo2 ай бұрын
Kwnn huyu mtt usimpeleke kituon cha kulea watoto dada
@AwaziRajab2 ай бұрын
Dawa Za Kukevywa Ni Sumu Hatari Mdada Mrembo Angalia Alivoalibika Jamani Hi Ni Hatari Kubwa
@lailafakhihaji2 ай бұрын
Msichana mzuri jamani
@ZulfaZulfa-yr7ndАй бұрын
Mungu awao kwani amerazimishwa avite
@peacemwesiga2 ай бұрын
Kweli. Maish hayata Biliki
@HajratHajrat05012 ай бұрын
Nipeni uyo mtoto nimlee jaman daah
@gladnessfrank3972 ай бұрын
Yaan uyu mtt hadeserve chchte jmn so sad😩
@OmarySamata2 ай бұрын
Yani kunawatu uwa wanaalibu maisha Yao wenyewe kwa ujingatu daaah
@cessyshadrack9822 ай бұрын
Afu Mzuri tu maskini
@anitajacob36412 ай бұрын
mdada mzuri jamani dhu!
@vailethpauloPaulo2 ай бұрын
Msilaumu shitani,,,yupo kazin pole sana dada mungu akutanguliye ,,,ktk hilo mtangulize mungu
@nicebatare2737Ай бұрын
Ana bahati anakutana na watu wakubwa
@DanielSamike2 ай бұрын
Alafu we dada mwandishi huna akili unafyonza kua hutaki mzungu achukue mtoto wakati unaona kabisa huyo dada kwasasa ni zombiii hapo alipo anaweza kuua mtoto mda wowote
@datty.wozaah8652 ай бұрын
Ila wewe zombie 😂😂😂
@victoriagasper4478Ай бұрын
Mtoto akalelewe kwenye kituo hapa hapa tz
@SalamaNauthar2 ай бұрын
Mdada Mzuri sana Mashaallah
@ndeshukurwamoses20772 ай бұрын
Jamaani kama hatojali niko mkoani aje niishi nae na huyo malaika wa Mungu. Hakuna kinachoshindikana hata mimi sijafika nilipo kwa nguvu zangu!!
@SalamaNauthar2 ай бұрын
@@ndeshukurwamoses2077 ubarikiwe ndugu 🙏
@joycekambuga62862 ай бұрын
Pole
@neemamasimba29812 ай бұрын
Ampe huyo mtoto mwanaume akamlee.
@fatmamuhammed97132 ай бұрын
Molla akujaalie uweze kuachana na unga muhurumie mwanao pls
@janesiwingwa31422 ай бұрын
Mungu amponye na amsaidie aondokane na hayo majanga
@charlesjoseph3100Ай бұрын
Na muomba huyo mtoto nisaidie kukulelea😢
@annetsway66502 ай бұрын
Wauza madawa ya kulevywa mungu anawaona.sad
@JoyceLuhasha2 ай бұрын
Dada mrembo sana jamani haya madawa
@irenebarakeli2 ай бұрын
Ni kweli hata mie nimeliona kashika kama kitambaa alichokikushanya Kwa kukikunja kunja hakuipa hadhi yake ktk kuishika
@mwaamwetahussain99472 ай бұрын
Mm mzungu pole jmn jirani
@happyjacline9882 ай бұрын
Anapatikana wapi napenda tuu kwenda kumsalimia jamani
Kwanini wauza madawa ya kulevya wasinyongwe?.wanaharibu sana vijana
@jackiefredrick5862 ай бұрын
Hata vijana wana makosa kwa sababu wanaamua wenyewe kutumia hayo madawa. Nao wangenyongwa tu
@umsulaiman74682 ай бұрын
Uliyataka mwenyewe mtoto mzuri hasara kula bang haikusaidi kitu toka umekula umepata faida gani na Mzungu kakukimbia Kwa tabia zko mbaya tulia ule mtoto wako tubu usali kuwa karibu na Allah amuondoshe kwenye dhulumat ila noor
@sleeprelaxation84312 ай бұрын
unajiona wewe mtakatifu, umekamilika, kwa sababu yeye aibu yake tuna iyona. kuwa na ahakiba ya maneno
@GraceMadondola2 ай бұрын
Roho mbaya tu
@annethgod664222 күн бұрын
Ovyoooo
@husseinmilao5789Ай бұрын
Weeee, Koma siulitaka mbegu na uonekane dada wa kileo
@HassanSaid-e1w2 ай бұрын
Pole sana kuvuta ajapendaa ila ndio kaandikiwaa ila methadon imesaidiaa asante nyandindindi mtu poaa sana
@TatuHaji-k8s2 ай бұрын
Mungu atakusaidia dada
@maarifanac2 ай бұрын
Kwa kifupi dada etu kachezea bahat ila naamin atakaa sawa
@kwisa48992 ай бұрын
uchawi upo
@YusuphMwangobola2 ай бұрын
Kabisa watu wanakuloga Kila ukipata unywe pombe tu .
@kwisa48992 ай бұрын
Huyu akiombewa akafatilia au akapelekwa kwa watalamu anaacha hii kitu kafungwa
@BeatusNgereza2 ай бұрын
Akikua kidogo amtume kwa baba yake, aende , kule uhakika
@handenitakuru66962 ай бұрын
@@BeatusNgereza😂😂😂😂😂😂😂😂
@StefanGleixner-mg6ej29 күн бұрын
@@BeatusNgereza I am the father of this child. I have contacted the German embassy, the Kenyan authorities and the Tanzanian embassy. No one could help me or support me, as this child is registered in Tanzania and is therefore outside of German law. All my support has been converted into drugs without supporting the child, which is why I stopped supporting it. I have another child with Zuena, this child lives with me. It was not possible for me to help the second child if the mother and the Tanzanian state are working against me. I hope that Zuena has now understood that drugs only destroy her world and that she will become clean. For this purpose I will provide all the necessary means and support her. However, it is not possible to support a drug addict AGAINST their will, as they also have a negative impact on those around them.
@AmaniManase-x1i2 ай бұрын
Duuh wanyumbani huyu jamani aisee Mungu amsaidieni