Pole sana yaani kumbe wewe yatima mungu atakupa furaha ya moyo wako sio rahisi kupoteza wazazi wote wawili 😭
@lydiaakimana79882 жыл бұрын
Woow msichana mrembo anajitambua na anajithamini congratulations Angel na imani utafika mbali saana kwa juhudi zako bila kutegemea wanaume
@davidmbwilo49542 жыл бұрын
Dada unajitambua sana fanya kazi mpendwa
@zedekiasamara17832 жыл бұрын
The background music is too loud and rather distracting
@joycekunyanja10272 жыл бұрын
Nyigu huu ukoo ni watu wa njombe Kijiji Cha nundu,ni kwel wapo weng mama tofautitofauti,kaza Buti mdogo wangu Kaz yako naipenda
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Pole kwa sote Angel, hata mimi niliondokewa na wazazi nikiwa na miaka 7
@gwamakangwala64682 жыл бұрын
Swali zuri sana hilo, maana D anaitwa Simba.
@alhamdullilla51082 жыл бұрын
Pole dear 😭😭😭😭
@nilykishiapinkshizya66062 жыл бұрын
Background jameni
@shawn-the-first.16432 жыл бұрын
Am in great
@georgemassebu2083 Жыл бұрын
Nimewahi kumtumia email huu Binti baada ya kutafuta contacts zake ambazo aliziweka yeye mwenyewe, cha ajabu alinijibu tu short tena kwa dharau, nikasema isiwe shida, maana mtu akinidharau mimi hua namuona ni choo
@habibarashdi2250 Жыл бұрын
Unamuhoji huku mnaweka miziki inakua kelele
@generallylee11662 жыл бұрын
Bonge la interview
@lemeboyofficial2 жыл бұрын
Angel nyigu wewe Fundi cheki hii deo. kzbin.info/www/bejne/f36nhYmKgKmdaNU