EXCLUSIVE: AZIZ KI: AFURAHI KUBEBA KOMBE LA TOYOTA | AANIKA MALENGO YA MSIMU UJAO | KAIZER 0-4 YANGA

  Рет қаралды 19,717

Ayoma Media

Ayoma Media

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@NyamongoLife
@NyamongoLife Ай бұрын
Dada fanya hivi, kwanza hongera unajitahidi sana. Ongezea hii... Andika list ya maswali ambayo hutumika mara nyingi kwa wachezaji halafu meza vizuri. Meza mpaka namna mneno yanavyotamkwa. Mwambie rafiki anayeongea vizuri kiasi ayasome, mrekodi kwenye simu, kafanye mazoezi. Mfano 1) Congratulations for the win how do you feel abou your perfomance Today? 2) Can you describe the feeling after you score twice Today? And other questions ambazo utazihitaji. Unajituma sana muda sio muda utakua na uwezo wa kuchapa stori za wachezaji. Keep moving
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 Ай бұрын
Saf sana! achana na wapondaji kama wanajua kila ktu
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu Ай бұрын
Wao wenyewe hawajui kingerza wanamcheka dada wa watu eti hajui kufanya interview ya kingerza,kiingereza nini ni lugha zilikuja nameli acheni habari hizo eboo
@gregoryndanu3541
@gregoryndanu3541 Ай бұрын
Nice ❤
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy Ай бұрын
It's amazing this team💛💚💯
@frankntetema6856
@frankntetema6856 Ай бұрын
Safi
@abubakarkarsan31
@abubakarkarsan31 Ай бұрын
dada anapambana sana kuongea ni kwa njia hiyo ndio atafanikiwa
@azizamussa3416
@azizamussa3416 Ай бұрын
🎉🎉
@tenstar9261
@tenstar9261 Ай бұрын
We know they are hard team
@rasakakaombwe
@rasakakaombwe Ай бұрын
🎉🎉🎉
@gabriel-dh3qn
@gabriel-dh3qn Ай бұрын
Eti high team. Huyu mwandishi
@issahpaul4510
@issahpaul4510 Ай бұрын
Ivi vyuo vya hawa waandishi wanafundisha ngeli kweli..😢
@eliusdiocres
@eliusdiocres Ай бұрын
😂😂😂😂
@PeragiaJames
@PeragiaJames Ай бұрын
Mi naona ni tatizo la mtu binafsi kwa nini yeye asipambane na anajua kazi yake inataka kiingerza?
@issahpaul4510
@issahpaul4510 Ай бұрын
@@PeragiaJames afu ni vigezo gani hawa waajiri wanatumia kuajiri waandishi. Ninachojua media zinatakiwa kuzingatia mtu anayeweza kuandika, kusoma na kuzungumza fluent English na kiswahili of course including their qualifications na oral presentation. I think kutumia hii criteria nadhani waandishi wengi wangejituma na kuwa professional na kazi Yao. Ila Kwa mwendo huu acha wakenya waendelee kutucheka
@AzizihFarijala
@AzizihFarijala Ай бұрын
Kwani wakenya na waganda kiingereza Chao mbona sisi tunawacheka kiswahili wewe unaonaje​@@issahpaul4510
@Zpauljr994
@Zpauljr994 Ай бұрын
Yan dah Ni shida
@MaxwellAlex30
@MaxwellAlex30 Ай бұрын
Ila kingereza.
@RashidMuhunzi-pr5xj
@RashidMuhunzi-pr5xj Ай бұрын
Lazima kigombe, maana Hawa wa-borkina FASSO, Mali,Ivory coast,Senegal,Tunisia,Algeria,Morocco wote HUWAGA ni Franco-phones,Yani wanaongea sana kifaransa kuliko kingereza.
@titobernard383
@titobernard383 Ай бұрын
😂😂
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 Ай бұрын
Suala zuri ni kwamba wameelewana na mawasilianoo yamefanyika nimepanda ujasiri wake dada ndio kitu kizuri. Wenye kingereza kizuri kinawasaidia nini?
@iddmohammed1086
@iddmohammed1086 Ай бұрын
Hii clip wasije wakaiona Wakenya
@omaraonasir4361
@omaraonasir4361 Ай бұрын
Zai kizungu chako kinachekesha,cha mbambanyo
@user-is6xv5ex5q
@user-is6xv5ex5q Ай бұрын
Unahela kwanza mpaka unafatilia maisha ya watu na kiingereza Cha watu... Unaonekana unaufivyu wa akili
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu Ай бұрын
Ila watu bwana kwani kuongea kingereza ni ujanja? Lugha za watu ni lugha za watu!,haya mbona wanzungu nao mbona huwa wanashindwa kuongea kiswahili kwa ufasaha ,cha ajabu nini kwa dada kukosea hizo
@user-qw9jc2cz9o
@user-qw9jc2cz9o Ай бұрын
Daaaa hicho kimombo jaman.Kinatia aibu...
@mbarakasijaona7638
@mbarakasijaona7638 Ай бұрын
Finish the league's with so many trophies 😂😂😂😂😂😂😂 nimeipenda hiyo
@joaquimmasengwa1283
@joaquimmasengwa1283 Ай бұрын
Rudi shuleni dada.... piga tu hata kozi ya miezi 3
@titobernard383
@titobernard383 Ай бұрын
😅😅
@user-qy3zr3bt5y
@user-qy3zr3bt5y Ай бұрын
Jifunze kingereza wewe Dada
@JayCinemaHD
@JayCinemaHD Ай бұрын
Weeee jamaa😂😂
@daudmpemba8019
@daudmpemba8019 Ай бұрын
😂😂
@lionofjudahtv8796
@lionofjudahtv8796 Ай бұрын
Cha Nini na ww?
@ceciliadaudi1632
@ceciliadaudi1632 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Wee huogopi
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
Aziz Ki amfanyia surprise Rais wa Yanga, Hersi Said
2:25
Azam TV
Рет қаралды 26 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН
KIMENUKA: HANS RAFAEL vs JEMEDARI SAID/ HII NI BALAA
21:57
Crown Media
Рет қаралды 82 М.
Kaizer Chiefs vs Young africans Toyota Cup Highlights (0-4)
9:21
HOME OF DISKI
Рет қаралды 370 М.
Kaizer Chiefs 0-4 Young Africans | It's Just A Friendly!
4:56
Ama FANS Wethu TV
Рет қаралды 37 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН