Aziz Ki amfanyia surprise Rais wa Yanga, Hersi Said

  Рет қаралды 26,828

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

“Surprise” ya Stephane Aziz Ki kwa Rais wa Yanga, Hersi Said ambaye jana alikuwa anasherehekea kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa.
Wananchi leo wapo katika dimba la Toyota kumenyana na Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Toyota Cup.
#YangaSC #KaizerChiefsVsYangaSC #KaizerChiefs #YangaSC

Пікірлер: 39
@dullysmartershoes576
@dullysmartershoes576 Ай бұрын
AZIZI KI is discipline Man
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt Ай бұрын
Happy birthday party kwake Rais Wa Boliii More life more successful 🎊🧧🎂🎁⚽🏆🎖️🥇🥇🥉
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy Ай бұрын
Timu nnayoipenda kutoka moyoni💛💚💛
@killingmleke1810
@killingmleke1810 Ай бұрын
This is young African
@MonicaSimon-py3nx
@MonicaSimon-py3nx Ай бұрын
🎉 maisha malefu raisi wetu wanainchii tunakupenda mashabiki wote ❤❤❤
@VaiEliass
@VaiEliass Ай бұрын
Happy birthday rais wetu mungu akupe maisha marefu
@user-np4om6hz4m
@user-np4om6hz4m Ай бұрын
Kila lakheri rais wetu
@rogathonesmo3753
@rogathonesmo3753 Ай бұрын
🎂🎂🎂 happy birthday to you engener hers
@esaworldveg1607
@esaworldveg1607 Ай бұрын
Ama kwa hakika yanga kuna raha wachezaji wanaenjoy no stress, hawajutii kuwa yanga
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Ай бұрын
Yanga ni moja ya DUBWANA furaha muda wote 😂😂
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw Ай бұрын
Happy to you to you, happy to you to you🎉🎉🎉
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
Happy birthday to you ENG HERS SAID 🎂🎂🎁🎁🎊🎈
@user-qm5un9yc8r
@user-qm5un9yc8r Ай бұрын
Nice
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Ай бұрын
Hapy birthdaynmy fellow Eng Hers.said
@user-dc6um1wm1q
@user-dc6um1wm1q Ай бұрын
Kiongozi makini sana aise dar nitakuona kaka
@ArnoldRwegasira-hp9gt
@ArnoldRwegasira-hp9gt Ай бұрын
Aziz anamuonea sana Raisi
@IbrahimuRamadhani-nc4mr
@IbrahimuRamadhani-nc4mr Ай бұрын
Yanga bi🔥🔥🔥🤩🔥ngwaa
@ShabaniSanane
@ShabaniSanane Ай бұрын
mapema mno nakubali😮😮😮
@ZulfatyHashim
@ZulfatyHashim Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ happy birthday to you 🎂🧁🍰🍜
@mrsab303
@mrsab303 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@MTUMZIMADAWA
@MTUMZIMADAWA Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@user-lp7uq9ql2p
@user-lp7uq9ql2p Ай бұрын
Jaman na wale wamfanyie mngng
@islamicstudywithradhiya8371
@islamicstudywithradhiya8371 Ай бұрын
🎂🎂🎂🎉🎉🎉
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Ай бұрын
Yanga ushua mwingi sana mpka natamn muda urudi nyuma
@LeylaSaria
@LeylaSaria Ай бұрын
😂😂😂😂raaah2
@Prince-rafael
@Prince-rafael Ай бұрын
Amna mpare ashawai penda maendeleo ya mtu Hawa watu wanawivu Sana na nilishaliona mapema Sana kuwa urejeo wa manara utompendeza Ali kamwe dogo ako na roho ndogo sana huyuu😏😏
@alitante4279
@alitante4279 Ай бұрын
Bwana ake😂
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi Ай бұрын
Nawe bwanaako nani
@alitante4279
@alitante4279 Ай бұрын
@@Abuu-gs1yi mama ako
@fatmakhalid1399
@fatmakhalid1399 Ай бұрын
Unamuonea wivu ulitaka kuolewa wewe🤔😠
@alitante4279
@alitante4279 Ай бұрын
@@fatmakhalid1399 natk nikuowe ww mnuka chup
@fatmakhalid1399
@fatmakhalid1399 Ай бұрын
@@alitante4279 Wee mi nataka mwanaune anaejielewa sio wewe kibamia 😅😅😅😅 shoo Zang za kibabe kama young Africans pumzi unayo shoga yangu🤫
@AlawiSharifu
@AlawiSharifu Ай бұрын
Nguvu moja
@user-hb2nn6ud2d
@user-hb2nn6ud2d Ай бұрын
Timu yenye furaha milele
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 Ай бұрын
Kwan haya na wa wenzetu yapo? 😂😂
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m Ай бұрын
Wanaiga kila kitu daah😂
@user-kp7em6zt1g
@user-kp7em6zt1g Ай бұрын
Aziz k punguza masiara kidogo kwa president
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Ай бұрын
Hiyo ni birhday inatakiwa.furaha kama zote
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
Liverpool's Unbelievable Comeback - Under Klopp
10:33
Reds Comps
Рет қаралды 1,6 МЛН
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
ENG. HERSI SAID, RAIS BISHOO ALIYELIFUATA KOMBE MSIMBAZI
5:32
Sportvia Media
Рет қаралды 6 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН