EXCLUSIVE: BABA LEVO ATOA SIRI YA NAMNA YA KUWEZA KUISHI MAREKANI NA NAMNA YA KUPATA GREEN CARD

  Рет қаралды 18,462

Seven Media

Seven Media

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@eventelias3566
@eventelias3566 Ай бұрын
Baba Levo uko na levels za ukweli unatoa elimu ambayo wenye elimu hawaitoi much respect bro
@AgartonMheza-ul3ww
@AgartonMheza-ul3ww Ай бұрын
Hongera sana baba p,uko vizur sana❤❤❤❤
@richardkwayson7202
@richardkwayson7202 Ай бұрын
Baba lever upo na level yako aisee respect
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf Ай бұрын
Bongo atupendan kabisa respect baba lev kuna ndugu zangu wakienda huko wakirudi wanarudi na mandinga Wamejenga manyumba ..ila kila siku Wananiambia kule maisha magumu sasa nashindwa kuwaelewa ..aise..ni rohoo za kwa Nini tu
@Burner_Acc
@Burner_Acc Ай бұрын
wewe uliwapeleka? kazi kulia lia hatupendani upendwe kwa lipi? kupendanda ndo nini unataka wakulishe na kukuvisha wakupe na nauli ya kwenda. uvivu wako ndo umaskini wako usilalamikie watu wengine kwa uvivu wako.
@collinsnyoro1450
@collinsnyoro1450 Ай бұрын
Baba levo pitia Kenya ukirudi,nakukubali sana bro+254
@williammatata2611
@williammatata2611 Ай бұрын
Umeongea point sana
@vero57
@vero57 Ай бұрын
AFADHALI BABA LEVO ULIVYO FANYA KUSAIDIA WEZIO
@kashindijohn5145
@kashindijohn5145 Ай бұрын
You’re so cool man, jaman unaupendo kijana wewe kijana, kabla yakurudi home basi njoo nyumbani kwangu hapa Seattle,Washington state . 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩.
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz Ай бұрын
UTAJIRI HUU JAMANI: AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE, WALIFARIKI MIAKA MINGI MORO kzbin.info/www/bejne/mInPZJ-rm7-olbM
@deogratius8501
@deogratius8501 Ай бұрын
Nije mm kutoka Tz 😅😅😅
@JulesDior-zl6rq
@JulesDior-zl6rq Ай бұрын
Baba levo big up 🎉❤❤
@fadhilimbotela1049
@fadhilimbotela1049 Ай бұрын
Nimecheka sana leo😂😂🤣 kama ndo mara ya kwanza kuiona namba ya mganga wa mtoni 😂🤔 tumpe like huyu jamaa👍
@SafayaPlatnum-zz1dz
@SafayaPlatnum-zz1dz Ай бұрын
Hakika brother unatufunza mengi interview zako za uk zinatufunza na kutufungua ❤❤❤
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Ай бұрын
Meli dio imenipatia ujanja marekani nilichukua meli stowaway 🇺🇸
@mussanails_9724
@mussanails_9724 Ай бұрын
Nakukubali sana kaka
@danielkagola6332
@danielkagola6332 Ай бұрын
Nakubali
@clementpeter8280
@clementpeter8280 Ай бұрын
Brooo ume nyooka sanaa brooo unasema ukweliii kbs
@kibajaji12
@kibajaji12 Ай бұрын
Baba levo mie naomba uniunganishe na hiyo kazi ya kuwalea hao wazee huko marekani
@juniorndambalilo66
@juniorndambalilo66 Ай бұрын
Lakini hiyo pesa si kitu hapo marekani sababu matumizi ya maisha ni makubwa
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 Ай бұрын
Baba levo ukona mwili mbaya Fanya mazoezi jaman
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg Ай бұрын
Tatizo viza na mualiko b levo tunapenda san
@StevenKapugi-y7b
@StevenKapugi-y7b Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r Ай бұрын
Baba ake na levo ☕
@ezramhegele9460
@ezramhegele9460 Күн бұрын
Aisde wabongo beana kila anayeenda Marekan kwa mara ya kwanza tu anakuwa mshauri wa namna ya kuishi Marekani
@bokasa5150
@bokasa5150 Ай бұрын
Umeenda marekani au shamba
@ruthmukami7573
@ruthmukami7573 Ай бұрын
Wa Tanzania, please, please, please chezeni Green Card Lottery. Mda wake ni sasa hivi mpaka mwisho wa mwezi huu. Last year watu only 300 Tanzanians walishinda sio wengi ukilinganisha na wa Kenya elfu 4 yani 4000. Mtaftane dada Zawadi au brother Makulilo awasaidie. Baba Levo help people pay kujaza forms...only 20k t/s.. Tanzanians especially vijana tuamke na sisi tue kama inchi zingine. Tuache kulalamika, eti sisi masikini sana. LETS DO SOMETHING ABOUT IT!. Chance ya kucheza ni sasa hivi mpaka mwisho wa mwezi huu October.
@yusufabdulkarim7997
@yusufabdulkarim7997 Ай бұрын
Kwanini Kenya wameenda wengii kuliko Tz broo
@ruthmukami7573
@ruthmukami7573 Ай бұрын
Kwa sababu wamecheza wengi.. more people play, more chance to be selected, it's that simple. Sisi Watanzania hatuchezi wengi, tunatharau sana hiki kitu. By the way, si binadamu anae chagua washindi, ni computer.
@SalmaOmen
@SalmaOmen Ай бұрын
Huyo dada zawadi tunampataje mtusaidie
@deogratius8501
@deogratius8501 Ай бұрын
Weka mawasiliano yako tumpate huyo wa kutusaidia.
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 Ай бұрын
Nenda kamhoji P.Didyyyu kama.ni kweliii??????
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Baba levo safisha izo Chen baba levo zimeanza kuwa nyeusi
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 Ай бұрын
Baba levo ww nizaid ya mwinjaku
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 Ай бұрын
Mwijaku anatopoka tu na misifa ya kishamba yaani masifa mengi hana hata kitu chakufanya upate hamu yakumsikia.mala arukie watu kupiga nao picha ushamba mwingi
@Nickvenas
@Nickvenas Ай бұрын
Kwan lazima uwe na shingap kwenye account ndo uje
@abdulqadriabdallah9332
@abdulqadriabdallah9332 Ай бұрын
Tangazo la waganga wa kienyeji nayo yapo ad marekan
@JohnMsenga-t7o
@JohnMsenga-t7o Ай бұрын
Umetoa elim poa
@Haika28
@Haika28 Ай бұрын
Endelea kuwadaganya watu kuwa kazi za kulea wazee malipo ni dollar 100 hadi 250 kWa lisaa😂😂😂😂 umesikia wapi? We bhana Sema tu ukweli kuwa malipo ni dollar 15-22 kwa lisaa na sio huo uongo wako
@bestman3651
@bestman3651 Ай бұрын
Kila siku watu wanatumia nguvu nyingi kuelekeza nini cha kufanya tupate kuja USA. Nisipokuja Marekani napata hasara gani kwa mfano?
@mohamedathman3310
@mohamedathman3310 Ай бұрын
Wakina chimakeke😂😂
@IsaacMuhammed-g4q
@IsaacMuhammed-g4q 9 күн бұрын
Yeah
@seifmadulu184
@seifmadulu184 Ай бұрын
Tatizo la watanzania wengi ni lugha na kutojiamin😅
@SalehAlly-f6t
@SalehAlly-f6t Ай бұрын
Yani mfano hai ni mimi mama yangu mkubwa yupo huko miaka mingi lakini wanae tunateseka bongo 😂
@truppdizz7330
@truppdizz7330 Ай бұрын
Nenda na ww
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 Ай бұрын
B levo !
@DanielKigesa
@DanielKigesa Ай бұрын
Yule kichwa mvilingo yye alikuja huko kupiga video call na machoko
@safarimallya4536
@safarimallya4536 Ай бұрын
Unaongea vema acha Madongo kwa Roma kaka
@RashidAhamed-kq6pt
@RashidAhamed-kq6pt Ай бұрын
Mapenzi yanaanza nyumbani😅😅😅
@michaelnehemia4932
@michaelnehemia4932 Ай бұрын
We mwenye umepelekwa alafu unatufundisha
@kevinbwoyle16
@kevinbwoyle16 Ай бұрын
Wambie nipe mwaka mmoja
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 Ай бұрын
Mganga wa kienyeji hadi marekani 😂
@Adam-w6e7d
@Adam-w6e7d Ай бұрын
Milioni 15 kwa mwezi kwa kuosha wazee duh.
@BahatiDominick-zf3li
@BahatiDominick-zf3li Ай бұрын
Usimsahau roma mkatoliki
@bestman3651
@bestman3651 Ай бұрын
Ozuaki ba informations ya TRAA wapi? Tika lokuta
@khadijajumanne3324
@khadijajumanne3324 Ай бұрын
Hata kuokota kuokota chupa hapa hapa bongo hupata shs 5000 je wewe mbona hufsnyo halafu kumbu kuwa papa alikataza mambo ya kulinganisha pesa yanchi na nchi kwa maana hiyoiambili ya marekani haimtoshi raia wa marekani ataishia kula baga tusawasaw na mbongo kula ugari na mchicha na miguu ya kuku tu
@Haika28
@Haika28 Ай бұрын
Yaani anavyoongea utafikiri anayaelewa maisha ya huko. Maisha ya kule sio marahisi ki hivyo. Pia anavyosema malipo ya kazi za kulea wazee ni dollar 100-250 kwa lisaa huo ni uongo mtupu. Hiyo kazi malipo yake ni kuanzia dollar 15-30 kulingana na state aliyopo mtu. Adanganye wasiojua
@subiralema
@subiralema Ай бұрын
Bora na wewe mwinjaku alikuwa anapiga kelele tuu uko
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 Ай бұрын
Elimu Elimu .shule nenda hata ushamba na ullimbukena USA watu wana greeb Card na hutasikia hizo ujinga za Tandale mkeeeeee
@KudraMaganya
@KudraMaganya Ай бұрын
Unachuki mpaka matakoni
@geomangi6123
@geomangi6123 Ай бұрын
wewe acha ujinga
MASANJA KAMUUNGANISHA USALAMA WA TAIFA KWENYE GRUPU LA NGONO
6:03
Wakongwe Kazini
Рет қаралды 51 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 14 МЛН
HABARI HII YA PAUL MAKONDA MCHANA HUU YATIKISA DUNIA,,WENGI HAWAJAAMINI
8:18
BABA LEVO AFICHUA MAISHA YA ROMA AKIWA MAREKANI
17:49
Mbengo Tv
Рет қаралды 23 М.