Ibraah Yuko vizuri sana Hongera sana mwanangu kwa akili iyo utafika Mbali Wangekuwa wengine wange tumia sababu ya mbosso kwenda na upepo ila kijana umetulia tu kwa kuwa unajiamini Hongera
@mrsinia30647 сағат бұрын
Kumbe ibra kaowa, hongera sana mwanang 🎉🎉🎉🎉
@KareemFadhil6 сағат бұрын
Ibrah kinacho kukwamisha ni nidhamu hauna ata hit song 3
@sultanjames939513 сағат бұрын
UKUTE KITOTO KAMA HIKI KINAMWAMBIA MOND NIAJE BRO AFU KINATAKA AITIKIE. KITOTO HAKINA NIDHAMU KINAWEZA HATA KUMWAMBIA PROF JIZE ZA SAA HIZI.
@zaikokingnil772713 сағат бұрын
Watoto wa 2k ni maku tu
@chizashungu836413 сағат бұрын
Kitoto hichi ni kijeuri sana,namshauri s2kizzy vitoto kama hivi vikiwepo studio viache kwanza vimalize vurugu zao.DIAMOND PLATNUMZ AJE WAKATI HIVI VITOTO HAVIPO.
@Peterchila-un2lx13 сағат бұрын
Upo sahihiiiii
@AnordJoseph-e2e12 сағат бұрын
Ndo Tanzania yetu mtu akianza kuonekana kwenye Media anajiona amekuwa
@Ason-c7x12 сағат бұрын
kwahiyo wewe unataka aseme shikamoo???
@StephenNzai-cx8vo9 сағат бұрын
Ibrah usijali yoote mapito❤
@NemesMasawe11 сағат бұрын
Ibraah anadharahuu sanaaa
@NGOSHA8 сағат бұрын
Sema ibraah anajua anajibu kwa hakili sanaaaa
@officialludahtz815214 сағат бұрын
Sema haka katoto kanavimba sana japo kanajua kiasi flan!
@mcholatz11 сағат бұрын
Interview zako chinga zinakuwa the best saaan let him keep shining
@MarcBoniphace-lj8lz12 сағат бұрын
Good ibrah keep going
@mosunday701410 сағат бұрын
Dogo yuko very talented na interview zake anajibu vzr sana
@ogdosho9312 сағат бұрын
We ibra hata ukikamuliwa kifuani unatoka maziwa ya mamaako! Sanaa io unayoifanya ina mambo mengi.. dili na unidhamu na ukimya itakusaidia!
@Q_lax2553 сағат бұрын
Album inaweza isihit hata kidogo
@johnbarasa99299 сағат бұрын
Konde music worldwide💥💥💥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SmartVicenzo12 сағат бұрын
2022 mbona Harmonize ali imbaga MWAKA na asemi 😅😮
@DieudonneMbazumutima8 сағат бұрын
Ibra mkali
@DavidKindole12 сағат бұрын
Ibrah anaongea Kwa Akili sana
@MbitsimanaBetuel12 сағат бұрын
Uyu mbona anajibu kwa akili kinoma
@Moona-gz3xe12 сағат бұрын
❤❤
@BissaAzoly12 сағат бұрын
Ibra ibra sikia Dharau aijawa kumfikisha m2 popote dogo hata kama una kipaji kiasi gani kama uamini muangalie baraka da prince bonge la mwimbaji Yuko wapi na ana Nini kisha ludi kwako muangalia, Boss wako Tembo anazidi kiwa still coz Tembo Hana dharau Kwa waliomtangulia yeye ana imba na kufanya show off zake binafsi 2 bila kum diss m2 mbaka umuanze"
@svt37 сағат бұрын
Aka katoto tangu kaanze mziki hawapataki show hata ya Buza, mauzo music platforms ziko chini saana kulingana na wasaanii wenginehajawai fika hata kenya kupiga show alafu kanajivimbishakakianza piga show au kuza vizuri music platforms mbona katauwa watu?
@GraceKasangu13 сағат бұрын
Kama nimetoroka milembe
@Joh-p9f11 сағат бұрын
Hiyo issue ya kuoa kafanya jambo la msingi sana ✊️
ibrah bado ten bado xan msanii atakaekuj wasfi unaonekn wew mdgo 😂
@muhsinbombay701713 сағат бұрын
Hapo na kenyewe kanajitutumua ili kutafuta ngazi ya kupanda kimuziki kupitia simba dah!! Yani kana force bifu wakati hata dvoice hakamfikii kimafanikio. Ila ni wamakonde walivyo
@Muddy_Muzungu13 сағат бұрын
Acha undezi we poyoyo... Umakonde unaingiaje hapo DADA? Kwa hiyo we unaji-term kama MJANJA???
@bekababylon605813 сағат бұрын
Et d voice anamafanikiyogani Jamani et afikihi Ibra wakati ata kinamba za mtandaoni apati sehemu zozote
@noelmtani149512 сағат бұрын
@@bekababylon6058 matako yako
@mancholotrasco83505 сағат бұрын
Huyu mtoto acheze mechi zake aachane na diamond atoe muziki mzuri sio Kila cku diamond diamond kenge huyu
@HASSANBAKARI-q9c9 сағат бұрын
kwa mdomo mnaochonga chonga nani awabusti?? vchaa kweli nyinyi,,,afu salamu yako itamsaidia nn,,,ukitoka apo we na bos wako mnaenda kumnanga,,,skilizeni nyie wasanii wote bongo huyo ndo bosi wenu,,,mpaka afe,,fulstop
@FrolenceWampinda5 сағат бұрын
Ibraah wambie hao wasio elew
@NGOSHA8 сағат бұрын
Kwenye IP ya ibraah zote kale ila Kuna ile ya leo sio pow kaka
@Peterchila-un2lx13 сағат бұрын
Hivi hiki ki ibra ni kinani mbona sikifahamuuuu
@ninjaisma79837 сағат бұрын
@@Peterchila-un2lx Acha chuki ww pita
@LEMBURIS9 сағат бұрын
👍👍👍👍
@linnerphilip42609 сағат бұрын
Haka nako kanaanzaambo ya willypaul😂😂😂 katapotea
@ninjaisma79837 сағат бұрын
@@linnerphilip4260 unachuki ww..ameongea ukweli na bado mnamlaumu
@FrolenceWampinda5 сағат бұрын
Utapotea ww ila sio ibra @"
@IMPANOTV11 сағат бұрын
Mbona mnamutukana sana...kitu kibaya amesema ni kitu gani'''
@issahpaul451010 сағат бұрын
Mi mwenyewe nashangaa Yani daaaa wabongo 😂
@Winnie-k8r8 сағат бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@nashnene63268 сағат бұрын
Kulikua na haja gan ya kumueka 💎 ktk caption yenyu? Hamuwezi kutrend bila yeye
@mzeebaba41999 сағат бұрын
Cc tulisha kataliwaga na watu tuliosomanao kisa wamefanikiwa na tukakaa kimya, piga moyo ukonde ungevunga tuu japokuwa inaumiza
@barakasamueli602212 сағат бұрын
HICHI KITOTO KIZENGE SANA
@VailethMwaikambo9 сағат бұрын
Kuitikiwa salami siyo lazima
@RabanChristopher-n7c8 сағат бұрын
Lakin hata akikuchunia we inakuuma nn make tiar we uko upande upinzan wake KO ulitaka akuchee ama?
Kuwa na heshima basi mbona kuna kila aina ya mitandao na kila mtandao unautaratibu wake mada ya hapa siyo hiyo ndugu jiheshimu uweshimiwe nando mana hutafanikiwa kwa mambo ayoo
Dogo anadharau naiona dharau aliyokuwaga anatoa harmo kwa mond dogo atakuja kumlipa harmonize nyie si mpo
@Fantastic.-gm1eo8 сағат бұрын
Je mimi mwenye miaka 18 nikikutana na mond nimsalimieje?😂
@kudewanaman6 сағат бұрын
🔏🔏🔏🔏🔏🔏
@allyabdullasaid54769 сағат бұрын
Unalazimisha dah baba yako msalimiye kila siku ukiamka acha shoobo
@ShukuruMakoko11 сағат бұрын
Mtoto mdogo sana usalimiwe kwakipi hunaadab hutofika mbali ukitegemea ujinga kamahuo pambana usitafte kiki zakijinga
@EmileClaver9 сағат бұрын
Kwaio wewe huwezikusalimia mutu kwasababu ni mudogo
@simbatv52036 сағат бұрын
Acha kuvimba dogo aooo wazeee katafute intavyuuu zao wakati wanakua kimziki uone walivyo kua wakiongea kijana .... Kazi unayo kijana bosi wako kafeli wewe itakuaje ss
@saadabakar77506 сағат бұрын
Na wewe hii Kiki itakurudisha zero.promoti ep yako sio kila siku na media umekataliwa salam ,hawakusaidii unafanya watu kukufatilia kwenye media badala ya kukufatilia kwenye nyimbo zako .
@Peterchila-un2lx13 сағат бұрын
Hichiii kiibra sikijui nasikifahamuuu alafu kinaonekana kina kibamiaaaa
@Moona-gz3xe12 сағат бұрын
Kama chako
@Fks85612 сағат бұрын
Punguza chuki we uliezaliwa Kwa ajalali
@abdulkarimabdallah953612 сағат бұрын
Hakijakufukasha nini mama mbona kama unakunya Humjui kua ndo huyo aliokua ananusa hiyo uchafu wko sa humfaham vp naulifika vp kwenye kufikiria Hilo kama hajakuchafua
@ericnzaro913811 сағат бұрын
Sasa ulivyo mjinga, unafikiri wewe kutomjua imempunguzia nini?
@abdulkarimabdallah953611 сағат бұрын
@@ericnzaro9138 ndo nawashangaa nyie wajinga wote
@Peterchila-un2lx13 сағат бұрын
Hivi hiki ki ibra ndiio kinani mbona sikifahamu na sikijuuiii