Mungu mwenyezi azidi kukulinda kiongozi wetu upo kwa sababu ya taifa.
@alijuma99723 күн бұрын
Taifa lipi la kushadadia ushoga au na ww shoga
@KitokiSospeterАй бұрын
Tundu Lisu,anatufaa sana,kuliko Mbowe.Asante.
@MathewNathan-yb2bzАй бұрын
Usilete ubaguzi wako wa kijinga.wote wanatufaa cha msingi wanadi sera na wajumbe ndio watakaoamua.
@PrinceHendry-hp8vvАй бұрын
Mbowe inatosha la sivyo mtuambie chadema ni chama binafsi cha wachaga
@MathewNathan-yb2bzАй бұрын
@@PrinceHendry-hp8vv ushauri huo kampe lipumba au john cheyo ,mwache na mpe uhuru mzee agombee.
@RwechungulaBegumisa29 күн бұрын
Mungu akutunze Mhe, Lissu unafaa kuiongoza Chadema na utashinda!!!!!!❤❤❤❤❤
@maribaisack2097Ай бұрын
Mm naona mbowe huwa yupo kimaslahi yake binafsi, lakini lissu huwa yupo kimaslahi ya wananchi na ndio maana huwa anajihamini sana na ana kauli...Hongera mzee wangu, wewe ndo kiongozi!! Kiongozi haogopi....
@elishamkasu5191Ай бұрын
😂😂😂😂😂.jeshi la mtu mmoja...hili zee linafaaa sana
@lovenessvisent9408Ай бұрын
Kweli
@BIGCHENDREADLOCKSАй бұрын
Hakika❤
@leoncerobert6237Ай бұрын
😅😅❤
@ErnestLaiza-f3lАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉@@lovenessvisent9408
@BabaFarzan-ml4erАй бұрын
Sisiem mbele kwa mbele 😅😅😅 Amtaje huyo alompigia simu Mbona tunababaishana jamani Ashasema kuna mtu wa ndani kabisa mkongwe Atutajie Me ntajitolea kumlinda 😅😅😅
@RichardHologoАй бұрын
Hongera kwa kurudisha fom
@sittatungu5340Ай бұрын
Ni vyema Mhe. Mbowe safari hii asigombee ili tupate mwenyekiti mwingine aongoze tuone tofauti.
@albadrysadiq8884Ай бұрын
Good 100%
@lucianakweyunga8187Ай бұрын
Huyu ndiye kiongozi anayetakiwa Sasa , wise man
@AnociathaChuwa-cb5nkАй бұрын
Kiongozi wa maneno yaleyale tu ya risasi 16 kila wakati Huyu ni msemaji mlalamikaji mkosoaji lakini si mttendaji
@MathewNathan-yb2bzАй бұрын
@@AnociathaChuwa-cb5nkww mjinga nini ,hivi ingekuwa ww ndio umeshambuliwa idadi ya risasi hizo ungekaa kimya.yaani ukimsikia Lissu anataja kapigwa risasi 16 ww unateseka na kuumia kweli kweli.
@usembiphonedar5632Ай бұрын
Acha wakatae kukupa huo ulinzi wao wa Duniani! Tundulissu,wew ni muujiza unaotembea, Mungu aliyekuokoa na kukuponya na zile Risasi zote ulizopigwa! Mungu atakulinda kila hatua yako uendayo,Amina. Tundulissu usihofu-utalindwa na Munguĺ,Ameni.
@richardkirithaАй бұрын
This Guy have big heart for sure
@mwitamhono6499Ай бұрын
Tundu lisu anatufaa Sana hasa katika nyakati hiz,kuliko Mbowe
@KaraniBongeАй бұрын
Tatizo hatupgi kura
@brunomirambi8792Ай бұрын
TUNGEKUWA NA WATU WATATU TANZANIA KAMA LISSU HII NCHI TUNGEISHI KWA RAHA NA AMAN SAAAAAAN GO MAN TUNDU LISSU GO .
@EmmanuelMandela-f7kАй бұрын
Kweli watanzani sisi nimabwege yaani eti watu watatu kama lisu tutaishi kwa raha swali anakupa Nini au anakuletenini nyumbani kwako
@salehemsumi615Ай бұрын
Huyo ni chizi na inawezekana ni shoga pia. @@EmmanuelMandela-f7k
@mturielias2053Ай бұрын
Mbona hukuwa na sababu ya kutoa matusi
@AnociathaChuwa-cb5nkАй бұрын
Raha na amani gani??? Ndio nchi ingekuwa hovyo kabisa Lisu ni msemaji wala si mtendaji Ni mtu anayependa kusikika
@AnociathaChuwa-cb5nkАй бұрын
Sasa mbona huwa unaongelea hayo hayo kilawakati!!!
@saimonisichimata8559Ай бұрын
jesh la mtu mmoja✌️🙏
@KhalidAlly-je8kyАй бұрын
Kiongozi haogopi huyu ndio kiongozi
@timothmwakakusyu456328 күн бұрын
Angevaa bullet proof 😂😂😂😂
@BossiLaizerАй бұрын
Mungu ni zaidi ya mapolisi ya Dunia yote
@ChristerKokАй бұрын
Mungu hasipoulinda mji wakeshao wafanya kazi bure.Mungu atazidi kukulinda na kuwalinda watu wote.
@PaulNsabiАй бұрын
hongera lisu kwa kujitokeza ktk kupambania haki na maisha ya wote ktk demokrasia ya chadema ya watanzania bara na visiwani
@alijuma99723 күн бұрын
Haki ya mashoga au
@TomasiklistophaMwinukaАй бұрын
Pamoja Lisu mungu akurinde sana
@JailosJoseph-c4v29 күн бұрын
Pole sanaa mkuu lissu kwa kipindi hiki kigumu. mungu awe nawe milele hakika lazima utatuvusha
@AFRICANVILLAGE-l8xАй бұрын
Mwamba hajawahi kufeli 😅😅😅😅
@ukweli255Ай бұрын
Mtu kama huyu hawezi kuja kukisaliti CHAMA
@ErnestLaiza-f3lАй бұрын
Kama babaako alive msaliti mamaako
@aabedi541Ай бұрын
Kulinga navyo mskia tundu lisu kwakweli anayo mengi ya kuhongeya tena anazo siri ngingi. Tumpe mda ipo siku ataongeya kama alivyo ongea Dr slaa
@ValeriJummaneАй бұрын
Mimi Imani yangu hipo Kwa Lisu
@FaridSaleh-i8bАй бұрын
Mr Lissu wewe ndie Rais tunaekutaka kutokana na akili, uzalendo, vision ,ushujaa, uaminifu, ukweli, na kaliba yako, kwa ukweli kabisa hakuna Mtu ye yote anaefaa kuwa Rais wa TZ ispokuwa wewe Mr Lissu.
@hajimjaja1163Ай бұрын
Hapindishi Maneno Huyu Mwamba, ewe mungu wambinguni mpe ulinzi wako na ziada juu
@LucasDando-ru8lgАй бұрын
Lisu mwamba sana
@hildandumbalo5827Ай бұрын
Jamani Nchi yetu inatisha hadi Lisu amevalia Bullet proof Mungu akulinde Lisu
@ismailabdallah4362Ай бұрын
Weeee kichaa kabisa
@mkamimtatiro3449Ай бұрын
Wewe umevaa
@InnocentCharles-hm3ffАй бұрын
Daahh! Mie badala nisikilize anachosema, nimebaki nikishangaa bulletproof 😢...yaani nimejiuliza maswali lukuki lkn hatimaye...swali kubwa ni kuwa haya ndo maisha tunapaswa kuishi? Tumefikia stage hii kwl.? Mbona watu hujifanya kumjua mungu lkn hawajui thamani ya uhai wa wengine....unafki wa kumcha mungu na uchu wa madaraka is all about this world...😢😮
@usembiphonedar5632Ай бұрын
@InnocentCharles-hm3ff Mungu atamlinda dhidi ya hao mashetani waliyotaka kumuua na watakaotaka kumuua Tundulissu wafe wao kabla yake,Ameeeni.
@tinukamlowe2134Ай бұрын
Kumbe na ninyi mnamagari ya nguvu hongera
@ceciliamagalabajimmy4391Ай бұрын
Hongera, hakuna kuenguliwa 😂😂😂😂
@RichardbituroMakoleАй бұрын
😁😁huyu jamaa ni hatari mpeni umwenyekiti chadema itakuwa imara sana
@MwamendySalumu-qb8rzАй бұрын
lisu uko sawa🎉🎉
@BlandinaLukoleАй бұрын
Wote wanaotukana humu wako kazi maalum ila Mungu aliyemnusulu hakufa atamshindia na sasa. Na kama hajafanya kusud la Mungu ni lazima litimie kwanza mpende msipende. Wanachadema hata aibu hamuoni kumshambulia mtu aliyenusulika kufa kwa ajili ya chama lo😭😭😭, aibu ya chama mfu, kampuni
@MikereMioАй бұрын
Lazima ajilinde , angevaa na helmet 🪖🪖🪖 pia au bichwa lake ni bulletproof 😂😂😂😂 eeeeh ! Wee endelea Chezea chezea dictator Mbowe
@lumumbasembuli7807Ай бұрын
Waandishi wa habari ni wachache kwakua huyu ndie threat wa kweli wa mfumo, sasa shubiri mugabe aje kuchujua na kurudisha fomu uone mafuriko ya waandishi
@fathermore9772Ай бұрын
Unaweza kua sio mfano mzuri ila hata mwendazake hakuna alie mtarajia kipindi anachukua nakurudisha foam ilikua hivi hivi..
@cath-ef7wdАй бұрын
Kwa kweli lissu hawa jamaa hawampendi sijui kwa nn
@kwayaviwawaparokiayabashne9281Ай бұрын
Kweli kabisa Mimi Chadema lakini awamuhii Ni WA Lisu
@albadrysadiq8884Ай бұрын
Mugabe hahahahaha kweli kabisa
@SundaySteven-bz4yqАй бұрын
Ulinzi wa mwanadm unamwisho ila wa mungu ni wa milele kamanda lisu god bless you
@daudimchileg307Ай бұрын
Hakika ningekuwa mpiga kura ningekupa kura, but chadema msijichanganye siasa za saiz anafaa lisu.
@michaelmshighati8432Ай бұрын
Usiogope kunyimwa Ulinzi MUNGU atakulinda BWANA asipolinda Nyumba walindao wafanyakazi Bure No fear No hate
@barrynzeyimana6270Ай бұрын
Mbona Mnakufa kila siku na Mungu yupo? Tangu lini Mungu ameanza kulinda viumbe?
@florencejohn6427Ай бұрын
Haswaaa. Tena wasimpe. Wakimpa wanaweza kumpa fake security
@SmilingBulldogPuppy-nb9urАй бұрын
Hongera Muheshimiwa Tundu lissu
@Boniphaceshayo5Ай бұрын
😂😂😂mbona kama uwenyekiti ni vita sasa
@HalimaSaid-h1x27 күн бұрын
Ewe mwenyezi mungu baba ninakuomba uyu babaetu umsimamie ashinde uchaguzi tunakuomba babaetu ..ww ndio unaweza kwakila jambo mwinue juu lisu wewe ndio unayejua Ameen
@FaridSaleh-i8bАй бұрын
Myself nakukubali sana Mr Lissu na nakuelewa sana unafikisha ujumbe wako lakini naamini sio wote wanaokuelewa ujumbe zako so Mr Lissu ushauri wangu hata wale wasiokuelewa wapende na wasemehe buree kwa maana sio watu wote wanaweza kufikiri sawa, wengine huona mbali sana, na wengine huona karibu sana.
@EfrahimMwambene29 күн бұрын
Nakubari sanaaaaaaaaaaa risu mungu akurinde
@SabayaMagilani-y2y17 күн бұрын
Mungu akulinde popote pale ulipo mheshimiwa lisuuu
@robbyman621327 күн бұрын
Mungu ndie mlinzi wako, Amen 🙏🙏
@reubenmakalla745Ай бұрын
Mungu atakulinda. Waliokiwa na ulinzi wengi washauliwa......no time back bro. Songa mbele....ulimi wako hauna unafiki kabisaaa
@rebekakulwa6159Ай бұрын
Polifisiemu mshindwe na mlegee kwa jina la yesu
@usembiphonedar5632Ай бұрын
Tundulissu ulindwe na Mungu, Ameni.
@davidmwandiga3465Ай бұрын
Mungu ametenda
@anosiata8242Ай бұрын
Lissu. Kiboko Yuko jasiri kwelikweli. Mungu akutunze.
@ابوذر-د8كАй бұрын
Mimi naona bado ulinzi haujatosha hapo ila allah akusimamie tu kiongoz
@iddyekanda6456Ай бұрын
Sniper anadungua jicho akiwa umbali wa Mita 300 lisu ni muhuni wa kisiasa anataka Kura za uenyekiti kwa huruma
@mnamamnama2732Ай бұрын
Sniper Tz ukiwa nayo unanyongwa
@chuchumeta8374Ай бұрын
Lissu for chadema
@AndreaLaurent-p5e26 күн бұрын
Hongera kwa kurudisha form kwa amani
@GeraldBahegwa-rn3vbАй бұрын
Mungu akutetee lisuu dhidi ya waovu😢
@LloydsTechАй бұрын
Something ambayo watu wanashindwa elewa ni the fact kwamba chadema haiwezekani ikaongozwa na mtu ambaye sio M kaskazini so Tundulissu he will never stick up there and if akaweza then his days are numbered with facts i speak
@aishakhatib3107Ай бұрын
Allah ndio kila kitu , atakuwa na ww km alivyokulinda na cc waja tutaendelea kukuombea inshaAllah utavuka salama
@GideonLenard24 күн бұрын
Namkubali Sana huyu mzee mbowe njaaa tuuu
@davidkilolelo52517 күн бұрын
Uko sawa lisu
@williamnkuhi6166Ай бұрын
Wasaka tonge ulimwenguni..😅
@KEFRINEENOSАй бұрын
Mzee tunakuitaji sana ❤
@chage97Ай бұрын
MWAROBAINI WA CCM
@mwaamwetahussain9947Ай бұрын
Haya kumbe waliohongwa ndio hao ndio maana wanataka kumuondoa Lisu ili wale mkate WA CCM wenyewe
@joelthomas-mx6gmАй бұрын
Huyu mwamba ni kama maji usimpomnywa utamuoga au utamnawa ,😅. KAMA HAKIIII ITATENDEKA WALAH TUTARAJIE KUONA MABADILIKO
@DelightfulMacawBird-tl5hfАй бұрын
Babu mtata huyu😂😂
@anoldamkumba320828 күн бұрын
Kama kila anayetishiwa maisha apewe ulinzi,kila mtanzania awe na mlinzi wake.(Askari)
@flova702227 күн бұрын
Wewe ni chama gani na uliishia level ipi.
@zariadunia6328Ай бұрын
Chama chenye wagombea wanaovaa bullet proof kwanza nicheke
@mwlekartiesmwankenja3602Ай бұрын
Ungeanza kumcheka Mkapa maana alikuwa anavaa tshert ambayo ni bulletproof
@cath-ef7wdАй бұрын
Wewe mjinga sasa ajiache tu asijiongeze???
@MikereMioАй бұрын
Wanajuana wahalifu hawa😂😂😂
@isaacmwaseba9972Ай бұрын
@@cath-ef7wdsasa hapo mtu akikulenga kichwa
@timothmwakakusyu456328 күн бұрын
Wanajuana 😂😂😂😂😂😂😂😂
@khatibabass3106Ай бұрын
Huyu mwamba kaamua
@jeremiahmuimo7232Ай бұрын
Lissu rais wetu mpendwa Mungu akulinde wewe ndio kiongozi wetu wa kweli
@dorothmsuya1686Ай бұрын
Raisi wa manzrese au!!!😅😅😅
@djurioАй бұрын
Huyu Lissu mtata sana. Hilo gari hadi leo hamna matengenezo. Analitumia kama LOGO 😂😂😂
@chuchumeta8374Ай бұрын
Staili ya mwenyekiti kila uchaguzi😂
@TibihikaGeradАй бұрын
Mh lisu waga nakupinga lakin kwa sasa nimekukubar kwa kutaka kusafisha chama
@laizermaasai6759Ай бұрын
Mi lissu namkubaliii.
@alisaidi2620Ай бұрын
Sasa hiyo ni swali gani mtu wa media anauliza?
@Lenovothink-b2dАй бұрын
Mungu tu sijui namna ya kukufikia lakini Mimi nilifaa mno kuwa mlinzi wako kutoka moyoni maenye chanzo cha kukufikia naomba anifikishe kwako
@MunirDanifordАй бұрын
Mtu wa maana sana
@ameirzapy1318Ай бұрын
Aulizwe swali wakati kashalitengeneza 😅 mzee mtata😅😅 sana
@hajimakarabai470024 күн бұрын
Nampenda sna huyu lisu ❤
@iwenikigodi541929 күн бұрын
Ila huyu Mzee ana sifa hatar
@richarddavidmkАй бұрын
Jamani lisu jasiriiiiiiiiiiiiiiiii
@wazirally179128 күн бұрын
Alipogwa na mwenyekiti😅
@MinskBelarus-il2tlАй бұрын
Tundu Lissu bwanaa,😮😮😮😮 MHESHIMIWA nakwambia hivi,wale waliokushambulia wakati ule, ni walengaji wazuuuuri wa KICHWA,hiyo BULLET PROOF uliovaa ni kama umejiremba tu mzee. Unachekesha sana ila UBELGIJI wamekutumia hilo vazi bila kulipia Ushuru😅😅😅
@rahimsadru-ct4otАй бұрын
Lisu n lulu alindwe dhid ya mashetan hawa
@mrmixedtopics1240Ай бұрын
Very skillful
@leothardngonya484228 күн бұрын
Wasaniii, anataka kuwachota hela wazungu. Amekosa za ATC na Tigo sasa anatangaza kufuatiliwa. Lissu kwa Michongo bhana!!!
@MwakaHappy29 күн бұрын
Wamikuhujum tutakhfuata loplte ila cyo c cm waacbe. Utalindwa. Na mungu
@ProphetM-c9oАй бұрын
Very nice.
@HijaSaid-t6cАй бұрын
Hakuna chawa yeyote anaeweza fuata uadilifu wako
@roudhamahmoud76329 күн бұрын
Lisu chadema haswaaaa hawakutaki mheshimiwa jiandae kutafta chama ama ustaafu upumzike utizame maisha yako kiongozi yote uliopitiya inaonekana wenzio wengi hawayaone
@BonifaceBonala-w9jАй бұрын
Maagizo kutoka juu kwa mama Abdull atakua anahusika kumnyima ulinzi wa Polis tundu lissu
@cath-ef7wdАй бұрын
Mama anahusikaje hapo broo acha chuki
@ErnestLaiza-f3lАй бұрын
@@cath-ef7wd one hundred pasent nikweli
@OmmyJames-xn7jiАй бұрын
CHIZI HUYU 😢😢😢
@CAPYBARA-r6wАй бұрын
GO GO GO GO GO
@BhelekiaBhelekia20 күн бұрын
Lisu uko vzr
@RosadaBarnabas29 күн бұрын
Mungu akulinde kaka
@VoiceofpeopleotzАй бұрын
Kichwa makini sana hiki.
@isaacmwaseba9972Ай бұрын
Yaani mtu unavaa hiyo kitu kwamba ndio kinga mtu akilenga kichwa hapo inakuwaje? Mungu akupe maisha marefu sana ila kwa hapo kuna wahuni watafanya Test.
@FrankShoo-yi8ezАй бұрын
Big up mshua Mungu akutangulie
@Valerianshad26 күн бұрын
Hii haina kuenguliwa wala hakuna come back 😅😅😅😅
@kaundavyoseena651420 күн бұрын
MUNGU Mwenyewe anakulinda. Kwa MUNGU tick ni tick. Ww unayo.
@apostelgodwinАй бұрын
Tundu lissu Mwenyezi Mungu akutangulie wasije wakakufanya kama walivyo mfanyia marehemu chacha zakayo wangwe ... Be care God save You from death .. lissu ushinde hii vita .. Mboye aachie madaraka mara moja