Muimbaji Wa Muziki Wa Injili Tanzania Upendo Nkone amefunga mengi Live On Live mbele ya Camera Ya Pazia TV,Ikiwemo maisha na huduma ya uimbaji.
Пікірлер: 33
@oorogeorge23695 ай бұрын
Grew up listening to Upendo Nkone. Lots of love from Nairobi, Kenya 🎉❤😊
@geoffreycharo9585Ай бұрын
Pole sana mama kwa kumupoteza mumeo MUNGU akutie nguvu
@lawrencekamete2404 Жыл бұрын
Mama Upendo Mungu akubariki sana, Nakutia moyo sana endelea kipeperusha bendera ya Yesu hakika Mungu ataendelea kukubariki kwa Baraka zake mwenyewe "maana UTAJIRI na HESHIMA viko kwa Bwana" .
@frankjuliethcyprian3115 Жыл бұрын
Nakuelewa Mama,nikutie moyo uendelee na kazi ya Mungu.
@bibianameney8950 Жыл бұрын
That is upendo nkone. Nakupenda sana mama tangu albam ya kwanza nakufuatilia vizuri sana.
@sadikjuma5519 Жыл бұрын
She's talking sense lakini
@maggiendanuministry7865 Жыл бұрын
❤❤ never listened to her before....mama mzuri kweli. Much love from Kenya.
@mcisabellasimon1566 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama. Kazi yako ni njema sana!
@neemamaganga9774 Жыл бұрын
Ubarikiwe mama. Endelea kupeperusha bendera ya Yesu.
@filimonmpinge6039 Жыл бұрын
Mama nakupenda Sana jamani nyimbo zako zinaushuhuda mkubwa sana kwenye maisha yangu
@naikekangele7117 Жыл бұрын
Wow kwa kweli unaushauri mnzuri sana mams bwana akubariki
@monicakagehi1363 Жыл бұрын
Mama upendo Mimi ni shabiki wako ,lakini mapambo yako yakuweka inje.
@avemushi1355 Жыл бұрын
Uko sahihi Sana sana
@WiselightOfficial Жыл бұрын
Ubarikiwe mama jamn me nakupenda najifunza sana kwako
@miriamnaliaka7327 Жыл бұрын
Nakupenda sana mamangu mpendwa🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
@Bettykenya10 ай бұрын
Barikiwa.sana.mtumishi❤
@stellambilinyi5402 Жыл бұрын
Nimependa mama mimi kama mwimbaji chipkizi nimejitunza mengi
@jennifermmanyema6693 Жыл бұрын
Yaan mahijiano yako mazuri Sana mama nimependa Sana
@salomeokeyo4449 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mama
@rahelynocha642 Жыл бұрын
That's my mama 🥰🥰
@shalomkind4575 Жыл бұрын
Nampenda sana na nyimbo zake lakini acha kubleach .ona mikono !na uache mapambo .YESU YUAJA mpendwa .