#Exclusive

  Рет қаралды 9,126

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 сағат бұрын
Yanga wamuongezee mkataba,mana anacheza vizuri sana 🎉🎉
@elvisnzovu8282
@elvisnzovu8282 4 сағат бұрын
Wamuongezee nani mkataba?
@malietamaliet
@malietamaliet 4 сағат бұрын
​@@elvisnzovu8282paccome japo naskia ety anataka 35m na yanga inataka kumpa 25m
@LilianBitwale
@LilianBitwale 2 сағат бұрын
Hawawez kumuachia aondoke kizembe bhana now tunamarengo makubwa mno
@jonathanmindolo61
@jonathanmindolo61 5 сағат бұрын
MPIRA WA YANGA HAUKUWA NA MVUTO KABISAA!! NAONA KM YANGA WAMESHUKA SN KMCHEZO, NAPATA MASHAKA YA USHNDI KLABU BINGWA AFRIKA.
@amaniomar1755
@amaniomar1755 5 сағат бұрын
Safi sana mwamba Justin Kessy huna baya umeongea vyema tuuh 🎉🎉🎉
@comfortkitiwi2879
@comfortkitiwi2879 Сағат бұрын
Mimi ni mwana Yanga miaka zaidi ya 40. Yanga ya msimu huu jirekebisheni. Kuna kitu hakipo sawa. Ni km mgonjwa anapumulia mashine. Kuna Hali ya kuwa butu uwanjani. Kuna siku mtajikuta pabaya. Timu yetu Yanga be careful. We need speed acurace perfect and confidence. Ushindi wa goli Moja is not deal. .God bless Yanga.
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud Сағат бұрын
Mcjambuzi wangu bora kabisa
@IsraelMwakagire-hn8pn
@IsraelMwakagire-hn8pn Сағат бұрын
Katika majitu pumba ni hili jamaa
@ziadamuhunzi6210
@ziadamuhunzi6210 5 сағат бұрын
sisi wenyewe tumetuma offer tayali kwao kwaio sio mbaya nipe nikupee hiyo
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow Сағат бұрын
Ukiona matusi ujue ni watoto wa shetani yanga wazee wakubebwa
@ericmutalemwa8040
@ericmutalemwa8040 4 сағат бұрын
Kessy unawafurahisha HAO TUU huyo KWENDA SIMBA ni ndoto
@WistoniMtewele
@WistoniMtewele 5 сағат бұрын
kwanza inabidi muangalie kwanza yanga nitimu inayokamiwa Sana ukijumlisha na kiwanja lakini haya
@hajiali1572
@hajiali1572 2 сағат бұрын
Msisahau yang amewapiga vipigo simba na azam
@MwamvitaKizua
@MwamvitaKizua 3 сағат бұрын
Mhh huyu chawa wa yanga nae haeleweki
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 сағат бұрын
Yanga haina mvuto, sawa, mechi 7 point ngapi?
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 4 сағат бұрын
Hili jitu pumbavu sana
@ismailngulingar2133
@ismailngulingar2133 4 сағат бұрын
Wajinga ni wengi wajuwaji ni wengi pia wasenaji ndio viongizi wa clubs na pia ndio makocha clubs wasemaji wamekuwa wanajuwa zaidi kuliko makocha au wachezaji au viongizi Siri za ndani za club wachambuzi wao ndio wanajuwa kuliko viongozi na makocha na wachezaji
@roberttendewa1753
@roberttendewa1753 43 минут бұрын
Mnasema yanga mbona simba amsemi wakati ulikuwa hovyo kubebwa mnaendelea.
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 52 минут бұрын
Mwenzio anataka pesa, Azam katoa pesa amekataa sasa tutakuelewaje
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 3 сағат бұрын
Simba haitaki wachezaje wazee
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 2 сағат бұрын
Simba ya Cameroon au ipi? Kama ya Tanzania hawana hadhi hata kukaa kuongea na Yanga kwani ni timu ya KIHUNI sana na haieleweki IPO IPO TU kuanzia UONGOZI hadi MASHABIKI! Kwanza kwanini mnachanganya na timu za hovyo!
@IsraelMwakagire-hn8pn
@IsraelMwakagire-hn8pn Сағат бұрын
Kwa yanga hii utopolo,timu Limehouse mbeleko tu ya marefa
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow Сағат бұрын
Yanga mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa
@shabanimbega40
@shabanimbega40 4 сағат бұрын
Aziz ki ilikuwa hivyo2 lakini wapi shida ya simba hawana hela
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 173 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 15 МЛН
ദീർഘം - 2024  by Dr.Rashid Gazzali at Salafiyya Training College Karinganad
1:29:47
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
GOD doesn't answer BLACK people's prayers | Nathi Mankayi
3:26:03
King David Studio
Рет қаралды 1 МЛН
Kalyanam OFF Standup Comedy ON | Ft Deepak & Mahadevan | S03EP32
2:25:45
Intelerks Podcast
Рет қаралды 241 М.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН