HILI SASA NI BALAA WAREMBO 12 WAWASHA TAA | MR RIGHT AFANYA MAAMUZI HAYA | HAUWEZI KUAMINI

  Рет қаралды 187,255

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 155
@CelinCelineort
@CelinCelineort 7 ай бұрын
wananyanduana ata mrejeshoo hawaletiii kama wameowana maisha yao yapoje toka wameowanaaa... wanatuzinguaaa tu... awa
@benhanclove5997
@benhanclove5997 7 ай бұрын
Kuna mrembo mmoja anaitwa. Nasrah Daah!! Huyo ni mrembo yani kanivaa mzima mzima❤ she so gorgeous 🔥
@israeluronu9958
@israeluronu9958 7 ай бұрын
Eliza ndugu yangu jiongeze, kwauelewa wangu mdogo hata haokina Gara B na wenzie wamekuchoka shost.
@LoyceSimon
@LoyceSimon 7 ай бұрын
Fact
@BethiGody
@BethiGody 7 ай бұрын
Kabc wameshamchoka
@Elizabeth-br6sh
@Elizabeth-br6sh 7 ай бұрын
😂😂
@Elizabeth-br6sh
@Elizabeth-br6sh 7 ай бұрын
Kwanin eliza😂
@aswaneliphas2271
@aswaneliphas2271 7 ай бұрын
Much love from Kenya guys like back ❤wow I like this
@ummullaqsa974
@ummullaqsa974 7 ай бұрын
Yan majib anayopew eliza ni wazi wamemchok apo kw ujuaji wake😂😂c ukfny shuhul zngn we bibi😂
@halidhemed7524
@halidhemed7524 5 ай бұрын
Kwl 😂
@AshulaAlly-yi8kq
@AshulaAlly-yi8kq 6 ай бұрын
Mtihani up mwenyezimungu atuifadh na vizazivyetuu
@carolwanjiru3077
@carolwanjiru3077 7 ай бұрын
Tanzanian show is dope ,one that you can watch with kids .Kenyan maze apana haina heshima
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 6 ай бұрын
😂😂😂manzeee I want to join them
@happynkya9770
@happynkya9770 7 ай бұрын
eliza mwanaume ambaye atakuoa ana kazi kubwa sana
@nuruurio8319
@nuruurio8319 7 ай бұрын
Acha tu yaani natamani kumuona atakaemuoa natamani kumjua
@brunoh_bx
@brunoh_bx 7 ай бұрын
Hii ni platform nzuri sana ya kuwakutanisha watu wawili walio serious maana haya mapenz siku hiz unaweza serious kwa mwenzio kumbe yeye hata hayupo serious. Natamani sana na mimi nipate mwanamke humu alie serious humu nifunge nae ndoa kabisa hata kabla ya kuanza kuishi pamoja🙏😊
@Muhamed_mazba
@Muhamed_mazba 7 ай бұрын
ElIZA NDO ANACHANGAMSHAGA MR LIGHT😂😂😂
@elinapetro7136
@elinapetro7136 7 ай бұрын
Tatizo Eliza anamdomo sana Mr right wote wanaokuja hapo huwa wanaangalia kipindi nakwenda moja kwa moja kwamwanamke anaempenda ila Eliza utakesha mdomo punguza nakujifanya unataka hela sana wanaume wanataka mwanamke anewaza maendeleo na sio urembo kitwa
@DJINNOSSBTZ
@DJINNOSSBTZ 7 ай бұрын
Kwanza kazee nan anakataka😂😂😂
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 7 ай бұрын
Kuna wakati Eliza alisema wauza nguo wkt mwingine hawana hela maana sio kila siku wateja wananunua nguo. Nashangaa sana leo anamtaka muuza nguo
@theprincejr1417
@theprincejr1417 7 ай бұрын
Ni Fala sana huyo dem
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 7 ай бұрын
Ajielew
@theprincejr1417
@theprincejr1417 7 ай бұрын
@@baimarrajahbuayan6237 sijui hakuna namna ya kumshusha hapo mbn anazngua sana huyo dada anaharbu had content ya kipindi
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@theprincejr1417
@theprincejr1417 7 ай бұрын
@@binthkhamis8042 kwanza ni li shangazi 😂 nae najkuta -25
@leemakonnengava9866
@leemakonnengava9866 7 ай бұрын
Mwijaku angekuwa hapa angefurahisha sana
@GiftAbduly
@GiftAbduly 7 ай бұрын
Sasa eliza dada angu hapo mko kweny mashindano n kupambania ad upate ukikata tamaa utazeekea apo
@IddaJovent
@IddaJovent 2 ай бұрын
Eliza naomba ukafunge walau ski 3 mnyororo ukazame maombin maan duh!! Makubw hay🤣🤣
@NeemRamadhani-j8h
@NeemRamadhani-j8h 6 ай бұрын
Kipindi kizuri sana kimenivutia jamani prosses Iko kujiunga apo nataka mume .
@sharizjimmy4627
@sharizjimmy4627 7 ай бұрын
Aliyah wamuezea sana Eliza
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 7 ай бұрын
Jamaa mnyarwanda kabisa... nao wamesha ingia tena wengi nchini Dodoma na mwanza wamejaa...
@LadouceIranyibutse
@LadouceIranyibutse 5 ай бұрын
Lakini mzuri unaona
@Oman-z7j
@Oman-z7j 7 ай бұрын
Elizabeth pole sana utazeekea hapo hpo na mdomo wako mchafu
@RoseGeofrey
@RoseGeofrey 3 ай бұрын
Maembe hayo chagueni vijana😅
@vickydan2869
@vickydan2869 7 ай бұрын
Elizabeth comedia😅😅😅😅 nakupenda hivohivo
@Oman-z7j
@Oman-z7j 7 ай бұрын
Kuzur hakikos kasoro elza umezid my dear
@AntonyMM-tx3yj
@AntonyMM-tx3yj 5 ай бұрын
Kabisa namuunga mkono aliyah kumfamisha Eliza atazeekea apo kwenye podiam aliyah kiboko yao hongera nawapenda nyote pia lulu na mc nawapenda bure # Eliza naomba mtafute ule stuka mwanaangu atavumilia huo ubibi wakwako
@bensonjonas1437
@bensonjonas1437 7 ай бұрын
Uyo mzee sijui eliza si akalee wajukuu ahache kusumbua warembo😂😂😂😂😂
@RoseGeofrey
@RoseGeofrey 3 ай бұрын
Dunia imeisha
@MarySion-c6h
@MarySion-c6h 7 ай бұрын
Mnawajua wajaluo vizuri.
@sharifasharif3978
@sharifasharif3978 7 ай бұрын
Kina ndakutemurupanga😂😂😂😂😂
@OfficialSonnyb
@OfficialSonnyb 6 ай бұрын
Eliza fanya uende kwa adunje,ukasafishe nyota so kwa gundu hili😂😂😂😂😂
@andrewmallya5182
@andrewmallya5182 7 ай бұрын
Huyo eliza hata nipewe nimle na kachumbari hawezi shuka tumboni 😂😂
@damaskusare9777
@damaskusare9777 7 ай бұрын
Ha😅😅😅😅😅😅😅😅 elizaaaaa
@ashazuber6548
@ashazuber6548 7 ай бұрын
Eliza unamiaka mingapi hapo una mdomo sana khaa kweli kizur hakikosi kasoro
@josminimsigwa5146
@josminimsigwa5146 7 ай бұрын
Ila bongo bwAna eti hana matiti nafikilia angekua hana shepu pia sijui ingekuaje Tanzania nchi yangu nakupenda sana 😂😂
@YOUNGBROOG
@YOUNGBROOG 6 ай бұрын
Eliza Ana kihereher sana shida anakujata rihana
@SibaSaid-k6d
@SibaSaid-k6d Ай бұрын
afu mbona mashape yao huwa hamyaoneshi vizuri bhn, inauzi bhn
@SwagaboyStyle
@SwagaboyStyle 6 ай бұрын
Hivi nikwer wanapendan kabis au mnaigiza tu😮😮
@AbdulSaleh-t4d
@AbdulSaleh-t4d 5 ай бұрын
Hii ni show,nahisi imeshapangwa
@levygasper7438
@levygasper7438 7 ай бұрын
Wanaenda Sana hawa wawili
@Oman-z7j
@Oman-z7j 7 ай бұрын
Hilo limebak kama mboga lipo sokon elza huyooooo😂😂😂
@JacklineMdolwa
@JacklineMdolwa 7 ай бұрын
😅Hhhhh eliza mwenyew kama mzimu hhh
@AthanasGabriel-j9p
@AthanasGabriel-j9p 2 ай бұрын
Eliza kashawachosha , 🤣🤣🤣🤣🤣
@HebronMwaisombe-lv8lq
@HebronMwaisombe-lv8lq 5 ай бұрын
Mbona Hilo balaah
@mwanashasjambia8572
@mwanashasjambia8572 7 ай бұрын
Uyuu Eliza simumtowee tuu yuatuboo kwl
@fatimafatuma4848
@fatimafatuma4848 7 ай бұрын
❤❤❤
@andrewpeter4321
@andrewpeter4321 7 ай бұрын
Eliza ana tatizo la kiafya mchunguze ni vzr 😂😂😂
@ChalNgila
@ChalNgila 2 ай бұрын
Hivi mnajua Eliza kazeeka jaman hamkuwa au
@NancyMwaibula7634
@NancyMwaibula7634 7 ай бұрын
Mr light kajua kuchagua namimi niliona kabla huyo wanaendana
@didasseveline9013
@didasseveline9013 7 ай бұрын
Ivi kumbe hawa viumbe ni kama nyanya sokoni🤔 unachagua chenye unataka!😂😂
@WemaMwasote-eo5ry
@WemaMwasote-eo5ry 7 ай бұрын
Jmn habar zenu humu ndani,, ni siku gani mnafanya hiyo mr right na ni wapi????
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 7 ай бұрын
Moyo wa eliza umemdondokea mtoto wawatu😅😅
@VuwaiHaji
@VuwaiHaji 7 ай бұрын
😂😂 siku akichaguliwa Eliza mnambie 😂😂
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@joyce55727
@joyce55727 7 ай бұрын
😀😀
@LukasMabena
@LukasMabena 7 ай бұрын
So madem mbna kama wanajiuza ao madem Awana tofaut na wale wakimboka
@Raphaelnairiba
@Raphaelnairiba 2 ай бұрын
Aka ka eliza tatz lake kana mdomo xana mdomo umemponzaaaaa
@linahmwakyandwike
@linahmwakyandwike 7 ай бұрын
Uwiiiiiiiiii 😮
@JacksonAntony-jo2cb
@JacksonAntony-jo2cb 7 ай бұрын
Eliza hbr ya shule aliogopa umande pia Hana uzr wowote
@malkiakinyemi5282
@malkiakinyemi5282 7 ай бұрын
Uyu Eliza sijui Ako na shida gn upo kwenye stage ya miss right alafu unataka uwashe taa mwenyewe nonsense
@davidyoyoyo8764
@davidyoyoyo8764 2 ай бұрын
Duh. Nipo single
@davidyoyoyo8764
@davidyoyoyo8764 2 ай бұрын
Mie nahitaji mke .garab brother
@SantaJumaa
@SantaJumaa 7 ай бұрын
Tatizo eliza anajiona mzur sana hiyo rangi inamdanganya yan atazeekea hapo hapo
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 7 ай бұрын
Atazeeka ashazeeka tayari😂😂kibibi icho
@ananiamwatebela3159
@ananiamwatebela3159 7 ай бұрын
Leo kaumbuka kwanza kafupi na kanajiona kazur kapumbavu haka
@paulombay6884
@paulombay6884 7 ай бұрын
Eliza hawez kumpat mwnaume
@vicentpeter9907
@vicentpeter9907 7 ай бұрын
Kuna warembo wanauzuria kama wameajiriwa hahaha
@Amina-i4r
@Amina-i4r 7 ай бұрын
Eliza unamiaka mingapi hpo maana weeeeeee unamdomo sna pole yko mrembo😅😅😅😅😅😅
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 7 ай бұрын
Mmmh soko la kujiuza kabisa
@Salmaseleman-m2j
@Salmaseleman-m2j 7 ай бұрын
Pole yake
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 7 ай бұрын
Si mtoeni Eliza jamani tumemchoka anaziba nafasi tu aingie mdada mwingine hapo khaa
@mitioneline5189
@mitioneline5189 7 ай бұрын
Kama ingekua Mimi nisinge chagua 😂😂😂 hata mmoja ndo maana Wana washa taaa wooote ... Nani abaki Elizabeth mtamlaumu anao pambana nao 😂😂😂😂😂
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy 7 ай бұрын
Eliza jirekebishe mama hakuna mwanaume anapenda mwanamke mwenye hasira na kuongea sana
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 7 ай бұрын
Aliza Unajiona Kama Hakuna Zaidi Yake ila Mchaguwa Wengi..Mwisho.Huondokea Pabovu...?????
@raulentlishoni898
@raulentlishoni898 7 ай бұрын
😅
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 7 ай бұрын
Eliza inaonyesha Hana shule kichwani-0
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 7 ай бұрын
Eliza kama chizi yan alikuja mpole kumbe chenga umeshazeeka eliza tuliza wenge umri hauruhusu halafu hapo unashindana na watoto wa 2000 tulia shangazi😂😂😂😂
@berthafoya447
@berthafoya447 16 күн бұрын
Eliza ni hamnazo
@ibba8082
@ibba8082 7 ай бұрын
Mbona Hana NYONYO Nyooooo
@paulalove1223
@paulalove1223 7 ай бұрын
Hana nyonyo lkn anakatako flan hv na vihips amazing
@BethiGody
@BethiGody 7 ай бұрын
Mmejua kumshushua uyo kibibi eliza 😅😅😅 alaf inaonekana anataka mwanamme ambae yeye ndio atamtawala na nikitu ambacho akitakiwi.utazeekea hapo hapo ww bibi
@marthesifa-5803
@marthesifa-5803 7 ай бұрын
Eliza nakuonea haibu kabisa sio siri wamekuchoka hapo kwenye MR Right
@Sakina-sk8rn
@Sakina-sk8rn 7 ай бұрын
Iki kitu kinachekesha kweli
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 7 ай бұрын
Kw hawa mademu waliopo leo mm ningeondoka bila ata y kuchagua lkn c kw kimbaumbau icho hakina ata maziwa loo😂 km mwananume mwenzangu ashindwe😂
@ashuraa9079
@ashuraa9079 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 ndio kashapenda mwenzi kibaya kwako tu
@peninashungu6633
@peninashungu6633 7 ай бұрын
Nataka kushiriki nikiwa nje ya tz
@IreneMwenda-nl2hu
@IreneMwenda-nl2hu 7 ай бұрын
Eliza kanuna hatarii 😂😂😂😂😂
@BeatriceFrancis-r2j
@BeatriceFrancis-r2j 7 ай бұрын
Eliza kivuruge jmn hahahah ana gunduuu uyoo
@annertz9969
@annertz9969 7 ай бұрын
Eliza abaki hapo mpaka mwaka uishe aendelee kutuchangamsha
@Happinesabella3654
@Happinesabella3654 7 ай бұрын
Hahahhaaaaaa zarish jaman ndo kusimama Kama uko jeshini umechoka na mguu pande hahaaaa nimechoka sana
@RandB_Channel
@RandB_Channel 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Eliza
@tradamus4158
@tradamus4158 7 ай бұрын
Wanajichukulia wanawake tu kaa karanga vile😅😊
@hawababy120
@hawababy120 7 ай бұрын
Eliza arudi tu kwenu unachosha san
@peninashungu6633
@peninashungu6633 7 ай бұрын
Iwe live jaman na sie wa KZbin muwe mnasoma comment zetu
@NancyAyubu-l9s
@NancyAyubu-l9s 7 ай бұрын
Hahahahahah jmn eliza mpk huruma
@LeilaRashid-mz3bl
@LeilaRashid-mz3bl 5 ай бұрын
Bwn huko n kuzaliLishana2
@happynesssamwel4249
@happynesssamwel4249 7 ай бұрын
Huyu Eliza anaonekana ni mtata Sana 🤣 atazeekea hapo kwenye podium
@ZainabHussin-f8p
@ZainabHussin-f8p 7 ай бұрын
Nyie Eliza hajielew jmn aaaah aboa😏
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 7 ай бұрын
Mwaka huu bibi Eliza atakosa hatapakuchungulia
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 7 ай бұрын
Wanawake we mbamba kwa maneno mhuuu mcharuko mno
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 7 ай бұрын
Eliza anamtaka gara B
@monirangerera7155
@monirangerera7155 7 ай бұрын
Elizabeth unanuski
@godlovemanase3423
@godlovemanase3423 7 ай бұрын
Eliza nenda kanisani ukaombewe... Ndo utapata mchumba
@frediemary4386
@frediemary4386 5 ай бұрын
Eliza unabowa
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 6 ай бұрын
Eliza anamatatizo mtafutieni daktari Please
@peninashungu6633
@peninashungu6633 7 ай бұрын
Wote wabaya jaman kama wasichana wa tandika
@metrineomega1635
@metrineomega1635 7 ай бұрын
Zarish kasimama aje jamani hizo miguu
@Happinesabella3654
@Happinesabella3654 7 ай бұрын
😂😂😂😂 kama sio mdada
@AGATHAMAIDA
@AGATHAMAIDA 7 ай бұрын
Yaan wamekua kama mafungu ya nyanya sokon
@happynkya9770
@happynkya9770 7 ай бұрын
eliza ovyo sana
@mkambaselemani-ej7np
@mkambaselemani-ej7np 7 ай бұрын
Anazima elza kwani yeye Hakuwa na mahusiano?kwanini mnasikiliza mahusiano ya upande mmoja?
@agriparose3942
@agriparose3942 7 ай бұрын
Umechokwa Eliza umezidi kwani we nani
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 111 МЛН
This light-skinned bachelor confused all the ladies on Hello Mr Right KE
9:17
MADAM ATAKA KUVUA NGUO KISA SURPRISE BAND
5:12
BongoStarSearch
Рет қаралды 320 М.
MR.RIGHT APATA WAKATI MGUMU/AFANYA MAAMUZI HAYA
7:46
ST BONGO TV
Рет қаралды 442 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН