Mimi ni mkenya lakini napeda magufuli sana ....ana roho nzuri sana yakutetea wanyonge.....John mwanye roho nzuri asikiza kila mtu mdogo mkubwa tajiri masikini.....Safiri salama baba yetu .. ..Watazania wezetu poleni sana kwa mzimba uyu ...Nasi wakenya twa waombea sana Mwenyezi MUNGU awape Amani kwa wakati huu mgumu🙏🙏🙏🙏🙏
@magrethmkira62503 жыл бұрын
Amin
@coolwaveac76593 жыл бұрын
Asante sana
@tukelengesi17013 жыл бұрын
Asantee sana
@fadhilimadirisha3 жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿💔💔
@stephanomnyakiju67983 жыл бұрын
Waooo
@justuskipruto44983 жыл бұрын
A true representative of Justice and equality,,, the world will miss you baba# RIP from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@felistusomari2313 жыл бұрын
You were more than a father to most of us our role model. My heart still bleeding
@RahmaIddi-s2s21 күн бұрын
Pole sana Baba Maguful.. Mungu atakulipa kwa yote mema ulio yatenda
@elizanzula83753 жыл бұрын
He was the best presdent in africa very understanding..wise man
@nesantoniarodriguizy46433 жыл бұрын
Our hero kwame utasaulika baba katika maisha yetu ulikua mpenda maendeleoooooo na ulitaka tufanye kaziiii kwa bidiiiiii kwa kwl ulifanikiwa BT Leo aupo na sisi kweli ni zaid y pain but mungu hakukaze mahal pema peponiiii amina
@massbass60903 жыл бұрын
Baba malaika wa Mungu wakubebe direct maana Yale umekua ukitenda yote umekua ukimfurahisha mwenyezi Mungu tutakukumbuka daima 🇰🇪
@dorexmamabraflee17563 жыл бұрын
Mungu ailaze Roho yako mr president John magufuli mahali pema, umekuwa kaa taa tanzani nyo imezimwa, mungu awape taa ingine iwakayo vizuri kaa mr John magufuli, tunawaombea hapa kenya ndugu zetu tanzania mungu awafariji
@elibarikielikana18243 жыл бұрын
Nenda dady wewe ni mfano wa Musa 😭😢🤲🇹🇿🐦 Mungu akupokee roho yako
@rebeccasefyuko76213 жыл бұрын
Mungu basi atupe joshua
@katekeymasai3 жыл бұрын
Amen..
@DevatkTk4 ай бұрын
Amen
@maureenwambura14703 жыл бұрын
R.i.p .great leader i can feel the pain .President JOHN u r a hero frm kenya.
@peninahruth28703 жыл бұрын
So prezzo kifo chako kilitengenezwa kitambo muilini mwako ulipopewa sumu n now in this corona u hv departed....i understand the pain ua wife is going through....rest in peace n may God never let ua enemies live in peace until watumbu yet nobody will live in this world ever...pumuzika salama kiongozi kipenzi zetu...from kenya u really touched my heart soo much through kazi yako jema....being humble honest royal is all what u hv tought me through ua devotion
@sidoniaadam80713 жыл бұрын
Am a South sudanese but I have never seen a loving,impressive ,honest president like Pombe,ur legacy will live on forever😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🏽🤲🤲🤲🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤲RIP
@sallygrace14953 жыл бұрын
Yes indeed 👏
@aidahkaranja54593 жыл бұрын
Rip
@franciscawawera91083 жыл бұрын
Rip press
@mercymichael28733 жыл бұрын
Maghuli u.will be remembered for live,jamani.poleni sana jirani yangu Tanzania kwa kumpoteza shujaa na rafiki.
@daisykyungu31093 жыл бұрын
Machozi yangu ni Mengi nikisikia hii sauti ya Baba, apa Kenya tunalia pamoja nanyi Watanzania pokeeni pole kutoka kwetu🙏😭😭😭
@doreenkareem58173 жыл бұрын
Asante
@fridahhamis20103 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@seleh7jeremiah4753 жыл бұрын
Asante
@beautykilagasya10243 жыл бұрын
Asante sana
@joycefelix90473 жыл бұрын
Tunashukuru
@milliahachenya27493 жыл бұрын
Am A Kenyan but still can't believe,still on shock😭😭😭Fare Thee Well Mr President
@dennismichael93983 жыл бұрын
😭😭😭🙏
@brayo0013 жыл бұрын
what's special being a Kenyan...kila time am a Kenyan blah blah blah
Africa’s greatest leader and a teacher of our time. RIP baba!
@christinekaranibay84923 жыл бұрын
Ultabiri Baba Waliokuandama Wamekumaliza safari hi Lakini mungu anawaona.R.I.P The world HERO J. J .M Pombe.
@Tashmofficial3 жыл бұрын
Waah Kenyans tunalia,poleni sana watanzania tunawapenda sana
@ceciliachomba21763 жыл бұрын
Every time am hearing your voice. A tear drops. Cant tell but it pains me you are gone. I loved listening to your speeches. I loved your character. Rip🙏
@musabah29373 жыл бұрын
Rest well sir he is a hero I really like efforts towards Africa and I like the language he speaks I'm from the Gambia west Africa my condolence to all the Tanzanians let's keep the faith...
@HappySamwel-k9g2 ай бұрын
Mungu alaze roho yako peponi akupunguzie adhabu ya kabur tutakukumbuka sana Baba Ameen🙏🙏🙏🙏
@sharonchemeli33923 жыл бұрын
Rest in power baba, my heart is bleeding we will dearly miss you and your powerful speech.
@hoglawawuda81453 жыл бұрын
Am still in shock...icant hold my tears ....Mungu akulaze mahali pema...mzee..🇰🇪
@MOZRATHEKINGCRAB3 жыл бұрын
Rest in peace the best president in my time standing for the poor always you shall remain in our heart farewell ,much respect from 254 Kenya
@timotheoboazi81913 жыл бұрын
Pole sana raisi tutakukumbuka milele daima mungu akupokee huko uendako nadi tupo nyuma hii ni safari ya kila mmoja
@poulapoula63543 жыл бұрын
The way i loved this man i cant even believe he is gone forever rest in peace a man of the people
@Hellennafula483 жыл бұрын
Mr president you where number 1 in all you play your role very smart us man of people who doesn't want darkness and I can only pray for your soul may you rest in peace in God there is another new life with joy and happiness. We love you but God loves you so much farewell sir😭😭😭😭
@mrskhalid75903 жыл бұрын
Kwakwel huwezi kumpendeza kila mtu nawao watakufa tuy pumzika kwa aman shujaa wa afrikan
@Nikkinoonie3 жыл бұрын
This is Powerful , So Many Wonderful Things Regarding President John Pombe Magufuli God Bless You All 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽♥️♥️♥️‼️‼️ RIP ❤️❤️❤️🇺🇸‼️‼️
@sierratopservices91053 жыл бұрын
Am from Kenya indeed you were my great leader and mentor president of East Africa not only Tz i prayed to you when i heard you were sick but i felt my prayers were in limble only to realise God had decided to take you back to a promised land rest in eternal peace of life upto now its like i keep seeing you kiongozi
@nuurjumaan2663 жыл бұрын
Kweli am a kenyan too and a muslim my heart cries every moment i watch
@harrietnasimiyu93873 жыл бұрын
Rest in peace Papa
@bensonmusyoka72443 жыл бұрын
Kenya tutawai pata kiongozi kama huyu kweli??? 😭😭😭😭
@charlesnzivo2873 жыл бұрын
A vehemently accomplished president and son of Africa who accomplished alot within a very short period in power. We admired you and your approach in handling challenges.
@nannywangechi49483 жыл бұрын
A humble president 😭😭😭😭, we love 😍 you as a Kenya 🇰🇪, as a Kenya, can we get a prezo like you, may he rest in peace and in eternal life, prezo wa wanyonge 😭😭😭🙏🙏🙏
@dorcasmunyiva15333 жыл бұрын
Mola aiaze roho yako mema peponi. Twakuenzi na utaishi kwa mioyo yetu. Kwaheri.
@gregorycompanylimited47253 жыл бұрын
mungu ampemwisho muzilikulikomwanzo
@joycemacharia15433 жыл бұрын
GOD rest his soul in eternal peace. GOD grant Kenya such a president and Kenyans wisdom to elect one.
@danielnyandro94393 жыл бұрын
The burial of john bombe makufuli
@danielodongo11413 жыл бұрын
I am really shocked,I really loved Magufuli and still do,from Nairobi kenya
@maggiekiarie54043 жыл бұрын
😭😭😭💔💔💔💔🕊🕊🕊🕊 legends never die they live in our hearts forever 🕊🕊🕊 you were a great man indeed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we are in this together.
@sallygrace14953 жыл бұрын
Baba Magufuli utakuwa siku zote ni mpendwa wetu na Shujaa wetu daima mwenyezi Mungu akubariki mpendwa wetu 💞
@williamoucho43863 жыл бұрын
Am a kenyan but he was more than my father and followed his advice from his speech all the time
@GiftMaon Жыл бұрын
Hakika tulimpoteza Kiongozi.Mungu amjalie pumziko la milele,Amen
@Tadovevo3 жыл бұрын
Am A Kenyan And I Feel the pain Of Loosing Grateful Leader(JOHN POMBE MAGUFULI)......My God Grant You Good life in Jannah🤲
@h.alshidhani89713 жыл бұрын
Jannaa it's the big rewards my friend.
@gloryprojest43363 жыл бұрын
Mungu ailaze mahali pema roho ya baba yetu mpenzi
@babyjohnmusamba57603 жыл бұрын
Amen
@mostwantedcomedians83463 жыл бұрын
Thanks more and more
@angeboutiqueandspa92843 жыл бұрын
Mtu wamungu shuja hafi kbsa amesinziya mungu amlaze pema pahali pema mungu amsamehe popote aliyo koseya hatuwezi kumsahawu atabaki kwarohozeti shuja 2021
@kataninyido9623 жыл бұрын
Tumelia sana jamani Rais wetu Magufuli, Mungu yupo pamoja nawewe na akupokee kwenye pumziko la milele, akusamehe mabaya na uingie mbinguni Paradiso kwenye mji wa mangojeo. Amina 🙏🇹🇿🇮🇱
@beatriceethel12423 жыл бұрын
amina
@franjeskolongo66493 жыл бұрын
Bab etu hatuta mxahau mungu axiimxahau daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kweri yesu anarudi tuokoke yesu anaru tusijidai kwapesa wara nn yesu anarudi baba kaenda wew niudongo tusipo okoka tunakwisha ndo HAPA tuta tafuta yesu Malko 16,16,,mbinguni hatuendi kwadini WAra kwapesa yesu asifiwe xana by f, longo mungu amkumbuke baba njia zababa magu tusizipoteze jamani mana nampenda magu xijui mungu atupe kiongoz kama maguuuu
@georginajohn84563 жыл бұрын
Amina
@moranikibona25243 жыл бұрын
Da lnauma
@h.alshidhani89713 жыл бұрын
@@franjeskolongo6649 acha kukufuru, yesu akirudi ni rungu tu. Tubu kabla hujafa.
@jenisterpaul35793 жыл бұрын
Sometime we wish R. I. P could mean return if possible😭😭 RIP legend
@cruizk81833 жыл бұрын
Napenda alivyokuwa anamwamini Mola ila umetuacha na huzuni kubwa sana😭😭😭😭😭eiiiish unbelievable
@kanshelekaamiri18103 жыл бұрын
Mungu amlazi mahali pema RAIS wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DOCT JOHN JOSEPH MAGUFULI as shujaa ,mchapa kazi na aliye kua anajituma tutakuenzi daima.
@emmanuelmanase11143 жыл бұрын
Mungu ametoa Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe lala salama baba
@kevinochieng24913 жыл бұрын
Fallen soldier.......Rest in peace Papa, i loved you, kenya loved you but God loved you More than us, Rip.
@rukaiyakapele14493 жыл бұрын
Kapumzike kwa amani tumeumia sana
@jacobsdiana15793 жыл бұрын
asante kwa kazi Bora rais..mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani
@marynduta74883 жыл бұрын
Kuna wakati nilitebea Tunduma na nikakaa huko miezi mbili, watanzania ni watu wakalimu na wanapenda watu, God bless you, na azitulize nyoyo zenu
@issabelahassan54813 жыл бұрын
Umevipiga Vita vyema mwendo umeumaliza, Imani umeilinda, pumzika kwa Aman ❤️ Rais wetu
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Ameen
@evansmeso49233 жыл бұрын
Pole kwa Tanzania wote kwa kupoteza raisi wao
@DaudiMagoga Жыл бұрын
Ukweli mhe,magufuri ni jembe haswa hakika hatatokea rais kwa tanzania yetu kama mhe,magufuli mungu ampumzishe mahara pema peponi amina
@khadijahkaitesi46823 жыл бұрын
Subhn'allah, i can't believe your gone Dkr, ooh my God. R. I. P
@sesiliayohana81093 жыл бұрын
Mungu ailaze rohoyakomahalipema peponi aminaa
@raziaidd23923 жыл бұрын
U r great icon to Africa.Go well magufuli will miss u we Kenyans we r so sad but we loves u but Allah loves u more.
@kibaliwanja77173 жыл бұрын
Poleni sana waTanzania MUNGU awape nguvu ya kustahimili machungu,MUNGU awalinde na awapanguze machozi
@rosekadzokadzo14013 жыл бұрын
This so sad can't believe it he is gone... Rip president.... You hard a good presidency in your country..
@axsakibabi94783 жыл бұрын
Rais Magufuli umeacha pengo la kipekee... May God remember your good deeds. Lots of love to tanzanians. Jipeni nguvu.
@silvesamweli76973 жыл бұрын
Sitak kuamin Kama ni kweli mungu tenda hata mujiza amke 💔💔
@malingumubunazitv27473 жыл бұрын
Sasa umelala mungu ailaze loho yako peponi mungu akupunguzie makosa
@boniphacealex79513 жыл бұрын
The president was genius.
@JamesChrizestome4 ай бұрын
Hii hotuba imenikumbusha mbali sana ehe mwenyezi mungu mlaze mahali pema peponi amina
@azzaalmaamry58173 жыл бұрын
Mungu awape subra kwa ujumla Tanzania 🇹🇿
@faukusila30953 жыл бұрын
pooo
@anitahkioi66763 жыл бұрын
Fly so high John...you will forever be remembered for the great deeds you've done..we loved you But God loved you most .have eternal peace till me meet again🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@reubenbosire11993 жыл бұрын
I feel the pain of losing this Man....so painful for us even here in kenya
@marcelluschika69103 жыл бұрын
May his soul rest in pafet peace Amen
@sengendotwaha9333 Жыл бұрын
Rip magu
@AffectionateBirdwingButt-ws9rw3 ай бұрын
tulatwe ., 6:43
@harmonizeprince64763 жыл бұрын
Rip John pombe magufuli watu walipenda kazi yako tumekupoteza sana kazi yako ilitupendeza zaidi ADOLYPHERS MONARI FROM KITALE BUT PIA MIMI NILIPENDA KAZI YAKO MAGUFULI PIA NAPENDA WASAFI WOTE
@gebiamayombo2213 жыл бұрын
Unthinkable agony is all we fell😭😭😭 memories will comfort untill we meet again, Rest in Paradise Dkt John Pombe Magufuli. Mwenyez mungu kukupenda zaid ayseee😭😭😭😭😭😭 it's more than pain, it's hard to believe 😭😭
@JuliusPaulo-qg9fg5 ай бұрын
Mungu akulàzi mahaloi mahaloi mema akupuguzie mazabi ya kaburi baba yagu
@princessdevotha54813 жыл бұрын
Bado siamini kwa kweli bado nahisi kila kinachoendelea ni ndoto nahisi kama Tanzania nzima tunaota kama kweli ni ndoto emwentezi Mungu tuamshe kwenye hii ndoto maana it's painful 😭😭😭😭
@danielpraise60663 жыл бұрын
Mungu Asante kwa kiongoz wetu mpokeee hukoo mbinguni
@dorotiakwoba56533 жыл бұрын
Baba magufuli mungu aihifadhi nafsi yako .nakupenda bure,kwà heshima ulikua nayo,mahshalla baba.rambirambi zangu kutoka mjini Nairobi
@thomasluhanga61393 жыл бұрын
Kwa hari hii basi tunaitaji Mungu mwenyewe,ashuke,sio mwanadamu anaye zaliwa na kufa,maana wata mwekea sumu tu,namuonea huruma MAMA yangu.
@fatumachagudadui31383 жыл бұрын
Hakika sumu ndiyo ilokuua ilikuwa inakuathiri polepole pole baba hakika nmeskiliza na kuona hujafa na corona Nakupenda sana rest in peace libarikiwe tumbo lilokuzaaa
@magrethmkira62503 жыл бұрын
Amina
@judithimange9483 жыл бұрын
Walaaniwe hao waliofanya hayo
@LoveGloria-dr6ox8 ай бұрын
Baba mwenyezi mungu akulaze mahali pema peponi
@jacksonprotas81563 жыл бұрын
Mungu atawahuku hao mungu akuraze mahali pema peponi Tanzania Uzunii🙏😪😪
@ShSh-my8cw3 жыл бұрын
Amiin
@janethyisaya29803 жыл бұрын
@@joycemalima8746 Amina sn mwenyez mung awaukum sn😭😭😭🙏
@coolwaveac76593 жыл бұрын
@@joycemalima8746 MUNGU ndiye anayejua Siri zote za wanadamu watu unacheka nao unakula nao lakini sio wote wazuri
@anitajames43943 жыл бұрын
Kweli maneno ya wahenga huwa yanatimia, kizuri akidumu, lkn tuna tumaini jipya kwamba tutaonanaa baadaee, Nenda baba yetu tutakukumbuka daimaa 😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔
@lydiaoyando97363 жыл бұрын
From 254, may his soul rest in Peace.
@demajuma54303 жыл бұрын
Jaber uko wapi
@juliethhouseofdesigns1473 жыл бұрын
Yaani Magufuli pumzika kwa amani mpendwa wetu na Mungu abariki na kutunza familia yako, pia Watanzania tuenzi, aliyoyafanya kuzuia rushwa, kutenda kweli, kuwajali masikini na kuwapa vipaumbele na si kuwaonea kulinda na kutumia rasilimali za nchi kwa ajiri ya maendeleo ya taifa zima na Mungu atatubariki sana.
@francineneesiv3 жыл бұрын
pumzika kwa amani bwana raïs Magufuli. DRC tuna umiya kwa hii mziba mkali🇨🇩. Pole sana ndugu zetu Tanzania💔😭😭😭😭😭😭😭😭
@charlescastory85423 жыл бұрын
Asante kwakua nasi
@sajentsaksena69033 жыл бұрын
Asante my
@kyangemwakasanga45463 жыл бұрын
Ama kweli makubwa yametukuta. Hatukuwahi waza Kuwa tutakupoteza kipenzi cha moyo wetu. Vizuri havidumu. .. RIP our hero.
@francojohn84883 жыл бұрын
Asante sana
@vanessamagezi69863 жыл бұрын
Ubarikiwe sana rafiki yetu
@DonardMacksoni Жыл бұрын
Mungu yupo nasi tunaheshimu sana upendo amina
@siwemapascal43543 жыл бұрын
naomba watanzania wote tushilikiane katika kumuenzi baba wetu wa taifa na tumuombe mugu na athabu zote sote tuseme amen
@ZaharaQatar11 ай бұрын
Mungu akupokee baba ila wajuetuu hawatapaa kilakmtu ataonja umautii huwa nalia kila niskiapo sauti yaki👋
@yankubaceesay5503 жыл бұрын
Ooh my God 🇬🇲🇬🇲 am Gambian 🇬🇲🇬🇲 today I feel sad as I Los my lovely great presidente in tanzania hero in Africa yesterday I don't sleep nigth, may your soul rest in peace 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@leitinameni90553 жыл бұрын
🙏may God bless for joining us
@wabokomohamed43533 жыл бұрын
R I P magufuri
@jaydeeapolo13873 жыл бұрын
Amen
@mwanamohd68703 жыл бұрын
M/mungu akuweke mahala pema pepon shujaa wetu
@AngelaKWambuaMusic3 жыл бұрын
Legends never die. In our hearts hero.
@rosemartin29843 жыл бұрын
Yeyote aje ila hakun atakae fanya Kama wewe baba umelala na Kila kitu Tanzania tumuombe mungu Sana yamber nii magumu
@uwasesifa75633 жыл бұрын
Pole sana Rais Magufuri 😭😭😭 watakukumbuka wa Tanzania munapenda sana sumu na kuroga muogope mungu hii ni Dunia.
@neemaasheri42043 жыл бұрын
Imeandikwa Kila nafsi itaonja mauti pumzika baba magufuli tutaonana badae
@mostwantedcomedians83463 жыл бұрын
Thamani yako itabaki kuwa yakipekee sana mheshimiwa magufuli kwani hatua tuliyo kawa nayo nyuma na ukiangalia ulipo tufikisha hakika nilikua namuona nyerere kila wakati......mungu awe nawe daima inshaallah
@jadaqualit81593 жыл бұрын
Hasara kabisa kwa nafsi zote mnye lii kwa adui ya humble African leader JPMagufuli! Allah loves you and you shall live eternity in Janah
@petersonmwanzi67593 жыл бұрын
Najivunia huyu rais wa tanzania kwa imani aliyenipa natamani ningekuwa na imani nimumshe lkn naamini africa kutatokea rais Kama uyo😪😪😭😭😭pumzika salama
@khadijajuma71423 жыл бұрын
Haki lillah kama Mungu kamchukua mja huyu kwa mapenzi yake tunamshukuru kwa kutuletea 🙏tulimpenda ila yeye akampenda zaidi. Ila kama kuna mikono ya Shetani na watu wake, Mungu awalaani kila hatua wanayopiga na wasifanikiwe maisha yao yote wateseke.
@sellahminayo6133 жыл бұрын
They have eliminated a very great leader africa at large could ever had ooh Lord have mercy 😭🇰🇪 pumzika salama baba yaaani ata siamini Tanzania is like my second home we have lost ooo😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ruthnyakio29183 жыл бұрын
minayo, can you correct your first sentence. it is confusing !! eliminated??
@sellahminayo6133 жыл бұрын
@@ruthnyakio2918 Never mind miss Nyakio I'm just in pain right now and may be I'm not thinking straight or maybe I'm hallucinating I don't know let the man rest in peace we weren't prepared for his death what a loss God will judge😭🙏
@ruthnyakio29183 жыл бұрын
@@sellahminayo613 All of us, we are very sorry. He was a man of the people. He dealt with corruption head on. Am a kenyan but Tanzanians are peaceful people, ,, I tell you, if it, could be kenya by now,, there could be a great war, , Anyway God knows why...
@dennismichael93983 жыл бұрын
😭😭🙏
@cestjolie55743 жыл бұрын
Who eliminated him🤔?
@GibsonMHANZO5 ай бұрын
Mungu akulaze mahalo pema peponi baba yetu
@juliejaphet27003 жыл бұрын
Ee Mungu tupe roho ya upendo hapa duniani tunapita to .Rest in peace Baba wa🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@siwaleinnocent23403 жыл бұрын
May God bless you that you have dan
@francismbwaa28093 жыл бұрын
Hatu wezi kumsahau raid huyu
@annewanjiku523 жыл бұрын
In short magufuli didn't die Godly death he saw the hand of the enemy against him and he almost lose hope and wanted to call it quit but mkapa he is the one who encouraged him but magufuli heart knew his end has alive but the best part of his life he believe the Name Jesus has His personal saviour and protector glory to God because he is now at the safe hand of God and Woe to the hand that did evil to him it will never know peace until it come out public to say the truth before God and man
@zainabumasamira33683 жыл бұрын
Pole
@lenardarutaihwa96553 жыл бұрын
True
@samuelsavon67093 жыл бұрын
Yeah they did it again and this time did it right,may God rest your soul in peace
@urgently58603 жыл бұрын
Jesuit did it
@esthycashofficial12933 жыл бұрын
Amen 🙏
@elizerbethmichael99923 жыл бұрын
Kumbe waovu walikuchukia kitambo lkn Mungu alikuepusha nao,, sasa ndo Mungu ameruhusu uende ume2acha peke ye2 watanzania 2nakulilia jamani daaaaah pumzka kwa aman Kipenz che2 😭😭😭😭🇹🇿🙏🙏
@sundaysichilima41683 жыл бұрын
RIP MH Magufuli 😭😭😭 poleni Sana wa ndugu zangu wa Tanzania🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@SaidJuma-d2w10 ай бұрын
Tunakukumbuka sana docter Jon pombe magufuli
@minnieh_hassan3 жыл бұрын
😩😭😭😭😭So sad am a kenyan but still feel the pain
@levischamballa86153 жыл бұрын
From nigeria i love magufuli, i miss u magufuli and i respect mafuli rest in piece magufuli aimeen🙏🙏🙏
@tofickzuberi82673 жыл бұрын
I'm gotta mind crazy feeling like I'm deezy May Magufuli's soul rest in paradise! I feel crying
@LucasMollel-om4pq Жыл бұрын
Mungu akubariki baba yetu tulikuwa tumekupenda Sana ila mungu amekupenda zaidi
@SalmanKhan-eb7pt3 жыл бұрын
Ikiwa katika safari yako kuna mkono wa mtu basi watawajibika na wao hapa duniani ama huko kwenye really Court.
@sporamashanga40193 жыл бұрын
Mungu akupumzishe mahali pema peponi baba tutakukumbuka sana inauma sana ila hatuna namna
@kozwanalukonga75413 жыл бұрын
You were the best President in Africa, will surely miss you JPM. May you rest in peace
@rinahmusa39273 жыл бұрын
Eeeh mwenyezi mungu akueke mahali pema penye wema inshallah 😭😭😭😭kilio kimejaa east Africa nzima.kenya tunaomboleza pamoja nanyi ndugu zetu watamzania.mungu atutie nguvu sote na atufariji.huu msiba ni wetu sote
@samuelmuliwa77403 жыл бұрын
R.I.P, mzalendo rais John Pombe mangufuli,mungu awajalie Africa marais kama wewe.