#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 15,391

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@Msomali-o7f
@Msomali-o7f Жыл бұрын
Sasa huyo hana no ya simu kimsada zaidi
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 Жыл бұрын
Ata usukumani kulikuwa na ile chagulaga unatumia nguvu kumpata mwanamke,bila hivyo hupati jigijigi!
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Iyo hali ya kutopata Dem mpaka uyafanye Ayo hata kwetu yalikuwepo UJUE KUPIGANA au UJUE KUENDESHA PIKIPIK OVYO SANA au UJUE KUCHEZA MZIKI au UWE NA USHAROBALO WANGUVU SANA yani kwa kifupi UWE NAJINA musimbishe mzee kwentu Lindi YALIKUWEPO AYO
@CyprianTraiphon
@CyprianTraiphon 11 күн бұрын
Maisha yanaenda kasi sana... Miaka 52 anakuwa mzee hivi
@julianayesayamwailolo8240
@julianayesayamwailolo8240 Жыл бұрын
Tuwekeeni na part 2
@jonaskatoto7514
@jonaskatoto7514 Жыл бұрын
Mambo?
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Nikweli mika ya 80 mpaka 90 huna nguvu utaparamia mademu wa hovyo ambao huwezi kulinga nae kitaa, Ukiwa na Nguvu au Umaarufu flani au Mkorofi wa kitaa hapo kweli utawaotea mademu wakali nje ya hapo utakaa sana kupata demu wa kijanja.
@edwardmahemba8189
@edwardmahemba8189 Жыл бұрын
Mikoroshin kumbe ya zaman wenyeji wa mkolan tunaijua sana maana ni maarufu sana hapa mkolani, cku hiz ndo guest ya bei nafuu kabisa buku 5 tu
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Dahhh kweli alikua mkatili yani unataka mapenzi kilazimaa hiyo kali
@yudaaraphati9673
@yudaaraphati9673 Жыл бұрын
Ungezaliwa zamani Aisha yangekukuta😂😂
@rubenprince8990
@rubenprince8990 Жыл бұрын
​@@yudaaraphati9673uzuri wa huyu jamaa anaongea ukweli hataki kudanganya
@yudaaraphati9673
@yudaaraphati9673 Жыл бұрын
Ila mwamba kajifunza
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
@@yudaaraphati9673 dohhh ningekua nami mkatili maana sipendi kuonewa huenda ningemfunga mapema mno
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
@@yudaaraphati9673 sanaa
@johnmwa575
@johnmwa575 Жыл бұрын
mwandishi kapwaya sana. alipokataa pale guest alienda kwake, je alipomtoa pale kwake alimpeleka wapi na alimpelekaje na alimfanya nini na kama alimfanya chchote alimfanyia wapi, hadharani? chumbani?. kwa sababu mpaka story inaisha mwandishi ameshindwa kuuliza maswali ili aeleze kosa aliloshitakiwa nalo. Mpka story inaisha haijulikani mhusika alishitakiwa kwa kosa gani. na kama, kosa lake tuseme ni kubaka, alimbaka hadharani, maana hajasema alipotoka alipokimbilia huyo dada alimvuta kumpeleka wapi.
@Boscomelody
@Boscomelody Жыл бұрын
Inakuja part2
@enterenter7798
@enterenter7798 Жыл бұрын
Kwambaali saut yake inakuja kam JPM
@davidlukumay2226
@davidlukumay2226 Жыл бұрын
Kweli kabisaa
@taussumwa152
@taussumwa152 Жыл бұрын
Ndio 😅
@benedictmhina4819
@benedictmhina4819 Жыл бұрын
Sure
@benedictmhina4819
@benedictmhina4819 Жыл бұрын
Mpaka sura inashabihiana kidogo
@Doreen_ONLINE
@Doreen_ONLINE Жыл бұрын
kuna cha kujifunza apa
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 Жыл бұрын
Sifuri
@basilsawewe1712
@basilsawewe1712 Жыл бұрын
Bado kaniacha na maswali kibao! Hivi hukumu hizi za miaka30 kwa ubakaji, mwaka1996 zilikuwa tayari zishaanza kutumika? Mi nakumbuka Bunge limetunga sheria hizi kuanzia muaka ya 2000 kuendelea. Au huyu mzee kasahau?
@vijanafurniture1810
@vijanafurniture1810 Жыл бұрын
Hata huo mwaka alio zaliwa sidhani kama ni kweli 1972
@fadhilimsafiri216
@fadhilimsafiri216 Жыл бұрын
Hukumu zilikuwepo, hakimu anahukumu kadri anavyo ona inafaa, mf. Mwaka mmoja, 30, 40 n.k baada ya Sheria kutungwa.. ndio kuanzia 30.
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 Жыл бұрын
Huwezi kucheza disco, huwezi kupata mwanamke mzuri, mpaka ngumi? Zamani ya lini hiyo?
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Labda mtaani kwao ila Allah amsamehe kwakweli
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho Жыл бұрын
Zamani ya kabla miaka 30 nyuma😁
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Teheee iyo zmn
@mohamedabdallah6480
@mohamedabdallah6480 Жыл бұрын
Namfahamu vzuri pia ananifahamu enzi zile sio izi,anamakubwa mengi na jela kaenda sio kwa kesi hiyo tu kafungwa mala nyingi tu,mengine kwa vile ni mahojiano hawezi kufungika,nikupe moja alishambaka mbibi kabisa sawa na bibi yake mzaa mamaake,lakini hapo utumbo ulikatwa ukaungwa alishawapiga jamaa wakamchoma kisu tumboni utumbo nje kabisi alikaa ICU siku za kutosha,
@shanifesto9037
@shanifesto9037 Жыл бұрын
@@mohamedabdallah6480 sikupigi wapo wengi wa dizaini hii ,,ila mungu awasemehe kwa kweli kwa wanaojutia makosa
@captenndunga6745
@captenndunga6745 Жыл бұрын
Hajazaliwa 72 huyo muongo.
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН
Aliyehukumiwa kwa miaka 30 kwa kosa la kubakaa aachiwa huru
6:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1 М.
ALIYEHUKUMIWA KUNYONGWA, AKAACHIWA ATAMANI KURUDI TENA GEREZANI..!
24:37
Global TV Online
Рет қаралды 547 М.
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН