Warundi watu safi saaana, hata ukikutana nao Nje ya nchi hawana Maringo na majivuno,
@hamadshein4984 жыл бұрын
Huwajui.
@nabosedward48364 жыл бұрын
Labda siyo mrundi
@Ladymartha19784 жыл бұрын
Warundi ni watu wazuli sana ndio Raymond Oyieko you say the truth
@ndukulusudikucho_4 жыл бұрын
Nazungumzia uzoefu wangu hapa Canada, nikiwa kama Mtanzania sijawahi pata tabu na Mrundi, Waganda,Wakenya,Wazimbabwe, Wacongo, najua zipo changamoto hii ina prove sisi sio Malaika lakini naona wote wako poa tu, ila Nilichokiaona Wakenya wenyewe kwa wenyewe hawapendani kabisaa, kama ilivyo kwa Watanzania, wa Tanganyika na Wazanzibar wakikutana utasema hakuna ndugu kama hawa lakini kuna chuki kubwa saana kwa Wazanzibar dhidi ya Watanganyika nahisi mambo ya Siasa wanaleta hadi Nje ya Nchi lakini ni Watu wazuri saaana wenyewe kwa wenyewe huwa wanasaidiana kwahilo Mwenyezi awabarik, sio sisi Watanganyika huwa tunakimbiana na ukiharibikiwa ndio furaha yao, ila Wazanzibar wanapeana Connections saaana
@Ladymartha19784 жыл бұрын
@@ndukulusudikucho_ ni ukweli even here in Australia warundi hawana maneno mingi wako safi kabisa na Mungu azidi kuwabaliki
@benzenesanyofficial38414 жыл бұрын
Millardayo,hongera sana na nakutakia uwe na amani mema huku kwetu Burundi
@dannycod22404 жыл бұрын
Nawashukuru sana milldy ayo kwakututembelea Nchini kwetu kalibuni Sana BURUNDI Namshukulu mama wa BURUNDI Denise nkurunziza kwa moyo uliekuwanao wakusaidia watoto hatima Mungu ukupe baraka WARUNDI WOTE TUNAKUPENDA SANA MAMA YETU
@niyakhalid56504 жыл бұрын
Respect Milliard Ayo Tv kazi yenu ni nzuri sana nawapenda saaana
@allymapinda88044 жыл бұрын
Mama yupo natural na kapendeza kweli kweli. Sio mademu wa mwendo kasi, mikope iko offside, miwigi inanukaaa. Hebu jifunzeni kwa huyu mama. nyie ni wazuri bila mikope offside na hayo makatani.
@zaudatmakula34544 жыл бұрын
Sante kaka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mauricebaraka91194 жыл бұрын
Hatari sana 😂😂😂😂😂😂😂😂
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@salma-fc4xc4 жыл бұрын
Ndo nyie nyie mkitoka nje mkayaona ayo makope na makatani mnayatongoza uo ndo ukweli
@laurettetetero35294 жыл бұрын
She is so gracious ❤️
@nah75304 жыл бұрын
Ongereni sana oyo TV kwakufika kwetu Burundi karibuni sana ilove you so much denise💕💕✌️
@godymbanyi18784 жыл бұрын
May God bless you Mama Denise Nkurunziza.
@mozam44964 жыл бұрын
Waaaaoooo kuanziya leo nawapenda sana from BURUNDI
@fleuryirakoze80404 жыл бұрын
Thanks
@bigbossmanbossman69464 жыл бұрын
Wow! Waburundi warembo kweli kweli....huyu dada anae tafsiri ni mrembo sana
@jamilanimbona36924 жыл бұрын
Asante
@maishacenter-eastafricatv39764 жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@Reine2574 жыл бұрын
She speaks kiswahili 😍I really love her heart ❤️😭
@fleuryirakoze80404 жыл бұрын
Thank you
@francineniyonkuru7414 жыл бұрын
Asante Sana Ayo TV tumeshukuru Sana kwa kwenda kumutizama muke wa rayisi wetu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏
@KirangaHouston4 жыл бұрын
Nakubali... AyoTv. Karibu kwetu. #KikiHouston
@Agnes-qq4np4 жыл бұрын
Furaha ninayo kuona millard ayo kwetu Burundi sijuwi niseme nini uyu maman kwetu burundi nikipenzi cawatu Mungu amuongezeye siku zakuishi
@MJ-ye7dd4 жыл бұрын
She is so humble and elegant
@azibossladykenny24554 жыл бұрын
Tunakupenda sanaaa mama yetu kipenzi Mungu eendelea kukupigania😍😍😍
@nijimberecyriaque62424 жыл бұрын
Love you Maman Buntu ndashima cane Imana yaguye his wisdom
@mlasinyongolo32564 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mama yetu Denise Nkurunziza . Jehovah azidi kuilaza roho ya marehemu mahala pema peponi .
@burundishallsmile1day1094 жыл бұрын
Gear za lugha zimekwama, ikaingizwa Gear ya Kirundi Ikatokea 👏🏾👏🏾👏🏾 ✊🏾🇧🇮
ayo tv karibu kwetu burundi nawapa heko mumenikubalisha
@vianneyndizeye87144 жыл бұрын
Thank you maman Buntu and we love you soo much
@tantinebettynduwimana3804 жыл бұрын
Asante sana millardayo kufunza warundi utangazaji
@ndayiragijeemilemarlon13694 жыл бұрын
Tunamtakia raheri na afia mzuri mama huo tena asante sana milliard ayo na mama huo aendelee kufanya kazi zake hadi inchni Tanzania..
@GivenLubenda-cc6xr8 ай бұрын
Asanten gusikia hivo mubalikie ten
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
Mama amepiga Lugha mbili Kilundi na kiswahili mama hataki swaga na Lugha za magharibi, asante sana mama barikiwa mno.
@yosetvrwanda41984 жыл бұрын
Kurikira pastor joel kuri Papa bitangaza tv muhabwe umugisha
@lalaslove78314 жыл бұрын
Mama yetu mungu akubariki
@amidazubeda13204 жыл бұрын
Nampendaga ☝️
@rielson39054 жыл бұрын
Nawapenda Sanaa kwenda kwetu Bujumbura
@eliarichard92184 жыл бұрын
Nice kadada kamtandio.
@alshabje71854 жыл бұрын
Mama bantu uko powa Sana mama mungu akubariki 🤲
@izerelauriel80544 жыл бұрын
🙌🙌YOU HAVE MY RESPECT
@mbinonyoso75014 жыл бұрын
Imana izaguhezagire mama wa taifa
@uwimananadia60664 жыл бұрын
Nampenda sana mama yangu😘
@clementofficiel26864 жыл бұрын
I like it kabsa
@yvesndayisaba89914 жыл бұрын
Iyi ladio nayipenda sana mila na ayo tunawapenda sana burundi
@maishacenter-eastafricatv39764 жыл бұрын
Millard ayo
@sarahirakoze99324 жыл бұрын
Ohh naona nkurunziza umukuru wigihugu we miss you kabisa komeza denise
@hashimabdallah6734 жыл бұрын
You have a good smile my sister
@edouardnzmbimana54914 жыл бұрын
Nawabali sana ayo tv
@uwimananadia60664 жыл бұрын
Icompa tugahura muvyeyi ndagukunda cane😘
@friminamkenda74054 жыл бұрын
Ayo big up
@hadijasalim77694 жыл бұрын
Imana ikuzigame mama wacu♥️♥️♥️
@TheMandela214 жыл бұрын
Watanzania tunaipenda Nchi ya Burundi Walundi wote ni ndugu zetu nikiwa Rais nitaanzisha programu maalumu ya kuongeza urafiki na undugu wa Burundi na Tanzania
@chancelineigiraneza5914 жыл бұрын
Wow nice
@maishacenter-eastafricatv39764 жыл бұрын
Sisi tunawapenda zaidi ndugu zetu wa Tanzania❤❤❤
@lazzR19354 жыл бұрын
Sisi Ndugu Burundi na Tanzania sababu kuna aina ya vitu vingi tunavyo kutania licha ya Lugha na Shirika la East África,Allah azijalie Inchi zetu afya maendeleo amani Upendo kama kawa na wazidishie afya uhai Má Rais Wetu Waheshimiwa General Never Evariste Ndayishimiye na Dr JPM,pia Mama Buntu
@nadrahassan52414 жыл бұрын
😁😁😁
@masoudzanzibarali99944 жыл бұрын
Huyu Translator Mzuri kweli very beautiful and Natural no editing no Make up Naenda kuishi Burundi Soon
@paulalphonce58484 жыл бұрын
Unipitie twende wote bhana. 🙈🙈🙈
@vianneyndizeye87144 жыл бұрын
You're warmly welcome bro and you will get more than enough of what you need
@zurisana80684 жыл бұрын
😦😦😦
@maishacenter-eastafricatv39764 жыл бұрын
🤣🤣karibu shemeji
@maishacenter-eastafricatv39764 жыл бұрын
@@paulalphonce5848 karibuni mashemeji
@kingreagen51564 жыл бұрын
Good job 👍🏿
@jubajoseph88084 жыл бұрын
ayo karibu nyumbani kwetu 🇧🇮🇧🇮
@baruonetza15154 жыл бұрын
Number one oyooooo
@saidatikwizera66334 жыл бұрын
Ayo tv nakupenda bure
@milliahachenya27494 жыл бұрын
Mtangazaji uko top sana
@abbyadams86914 жыл бұрын
Barabara ya 13 Ulyankulu asili yao ni Burundi. Warundi kuimba injili ni kipaji chao maridhawa.
@JK-uq1tv4 жыл бұрын
ayo tv mko poa Sana hamtoagi habari za uongo kama ma tv mengine.
@josephemerusabe96874 жыл бұрын
Welcome 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏
@FMercuryEA4 жыл бұрын
I would wish to give a hand in training their youth on matters of renewable energy, services and even production. There is potential. Nobody is incapable, it's just about the right mindsets.
@n.christelle4 жыл бұрын
We love you mama ❤️
@emanuelnzitonda62514 жыл бұрын
Ndamukunda cyane uyu mubyeyi
@chemsaakimana194 жыл бұрын
Huyu ni mama yetu 💓💓
@ambokileasheengai11404 жыл бұрын
R.I.P but huyo Alikuwa mzee sasa,,tuache utani amefariki akiwa bado kijana ,,Uzee unaanzia 60yrs
@fifijay58834 жыл бұрын
Kwetu sisi ni msemo wa heshima
@stevenmasato57874 жыл бұрын
Huyo mdada super sana mrembo sanaa
@fleuryirakoze80404 жыл бұрын
Yupi
@ericboypmeric67494 жыл бұрын
Rest In Peace #herHusband #nkurunziza
@vodacommpesashop94044 жыл бұрын
Yani hapa atakae elewa ni MUHA(KIGOMA) NA MRUNDI TUU
@khadeejaabdullah70834 жыл бұрын
Hata Muhangaza
@godymbanyi18784 жыл бұрын
Na Wahangaza pia. Lakini dada huyo amejitahidi kutafsiri
@UzalendoNaUtu4 жыл бұрын
Ahahah hadi Voda mmekomenti leo 😂😂😂
@geraldmakalala60914 жыл бұрын
Hahahahaha
@khadeejaabdullah70834 жыл бұрын
@@UzalendoNaUtu hahahaaaa
@moullaommywayneofficial11994 жыл бұрын
welcome kwetu 257
@theobaldmosha35374 жыл бұрын
Vidox ebu nichukulie namba kwa huyo mrembo anayetafsiri bhana. Nimemuelewa
@nabosedward48364 жыл бұрын
Jaman mwenye namba ya huyo mtoto anipe kuna zawadi yake
@fleuryirakoze80404 жыл бұрын
Mtoto gani
@nadrahassan52414 жыл бұрын
😂😂😂
@nabosedward48364 жыл бұрын
Vip nadra au ni wew nin
@yvesndayisaba89914 жыл бұрын
Zingine ladio zote zifunge miladi na ayo inafaaa kwakazi nzuli
@amenahalshahrani1124 жыл бұрын
Love 🇧🇮🇧🇮🇧🇮😘😘😍
@Ubuntu2574 жыл бұрын
Hapo ni vema mama Burundi
@manirakizaaimepatrick33754 жыл бұрын
Mama wa taifa.
@munezerotheodore22314 жыл бұрын
Спасибо большое Milliard Ayo and Ayo tv
@piterfedrick46474 жыл бұрын
Yesaa
@niyogushimaoscar92484 жыл бұрын
Ayo mbona hatuoni vipindi awo interview mmefanya na wasanii wa Burundi
@hassanmassaga24764 жыл бұрын
Huyo mkarimani ni mrembo.....au mie sioni vzuri1🤔🥂