Uwa nampenda huyu dada mtangazaji anasauti mzuri mashaallah
@Binthashpatooh-sz5zu Жыл бұрын
Nmependa pia ana sauti nzuli
@dauglasnamunga267 Жыл бұрын
Aziza a very humble lady,, very simple,, i love Mweusi family, they are real,,,big up guys
@ndayisengagregoire627 Жыл бұрын
Ubarikiwe Aziza.kutoka Burundi nawaangalia saana na Steven Mweusi.rakini ni mweusi kweli kweli.hakuna uongo hapo.Mungu akurine na akukuze kimaisha dada yangu
@Ihsankeizer7 ай бұрын
Honestly Aziza is very beautiful,modest,humble and down-to-earth. I always watch her on Steve Mweusi and Ndaro videos. She's very cool and love watching her acts. Watching all the way kutoka Toronto Canada.
@blessingbanda620611 ай бұрын
I love ds woman she smart
@innocentlukeka6802 Жыл бұрын
Duuuhh aziza kama aziza much love from Atlanta Georgia USA kiss kiss
@zulachama1067 Жыл бұрын
Aziza ujambo,nimependa interview yako uko kupitia mrengo tv kwa kweli uko sahihi.
@dottowache5149 Жыл бұрын
Kumbe uyu mtoto wa kiarusha ndio mana nampenda kweli uyu mtoto wa mtu
@nucolasule-vr1eu Жыл бұрын
Km Unapaelewa Man'gola kwenye vitunguu vingi Like ya huyu dada ni mwihimu watu wa chuga
@ShamimuH-rr9pg Жыл бұрын
Nakupenda sana my sister aziza❤❤
@PacifiqueSumaili-xg5xk Жыл бұрын
Aziza we ni mrembo 🥰🥰🥰🥰, nimekukubali kabisa.
@alfredkasololo5242 Жыл бұрын
Aziza, Karibu kwetu Congo-Kinshasa. Uko na damu ya kwenda. Nakupenda sana. 💟🇨🇩🙏Mwenyezi akulinde. Uendeleye na mazowezo tu ya kulinda mwili. Ni Mungu alikupa unzuri wako. Karibu Bukavu, Congo, wangu ! 🇨🇩👍
@alfredtebeka2497 Жыл бұрын
Hiiii homonyme unamualika aziza huku kwetu, kwani utaweza kumuhudumiya kweli
@gerlasvayahi8441 Жыл бұрын
Nampenda sana uyu dada From DRcongo
@DamoaTV8 ай бұрын
Mweusi family forever you really inspire me you are my comedy mentors
@serengetimigration3868 Жыл бұрын
Uzuri kitu nimemkubali wa Nyumbani ni kusema ukweli kuwa Kwao Mang'ola-Karatu-Arusha, Uko very honest, keep it up, Wa Nyumbani, usipasahau kwenu lakini, Lake Eyasi _Mang'ola_Karatu,
@CharlesMs25Daghaly3 ай бұрын
Aiseeeee mtangazaj wangu Unaupig mwing sana na Hongera kwakujieleza Bint Shaban Az makukula kwakuwa kul mliko na Steven mweup Mana anafundisha kwakujiamin zaid bila uoga na mic ❤❤❤❤ Anastail kuitwa Boss Mana anayeyusha vipaj vya wadada wake kubwa kuliko zot Steven mweup hana mamb meng sana kumb we kitoto cha 2000 Eeeeeeeeeh lkn Hongera
@EbengoLenge7 ай бұрын
Aziza nakupenda saana, pokea Lakers zangu from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@alfredtebeka2497 Жыл бұрын
Asante sana kwa hiyo interview sasa mimi kama shabiki wa aziza nilipenda nijue huyo mwanaume ambaye anamiliki hiyo mali🥰🥰🥰🥰
@HOLINESSPIUSE-gv8ud Жыл бұрын
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@angelakitimu272 Жыл бұрын
Tulia
@bahatielias6443 Жыл бұрын
Ukishajua itakusaidia Nini?
@josephmuisyo6636 Жыл бұрын
🇰🇪 Unapendeza sana dada haki ukinitaftia nafasi katika roho yako nitashukuru 💯
@AssinaMsafiri-ud5so Жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣
@rozeyousef9823 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@directornyambi9888 Жыл бұрын
Uyu aziza anajua sana kama aziz k
@espoirkipanza3 ай бұрын
Dada mutangazaji uwa napenda sauti yako sana unasauti nzuri mungu akubariki Kwa aziza apo Yani wa dada wa styve mweusi wote uwa niwazuri tena wa rembo sana Yani Natamani Siku moja niwaone live
@rahmaninoh7434 Жыл бұрын
Aaah jaman wa darasa la saba kumbe tupo wengi na maokoto yanaingia kila mwezi Alhamdhulillah kwa kwel
@ImmaBz-wt1ts11 ай бұрын
Jaman aziza kumbe wa home kabisa karatu mhh hongera sana mom😊❤❤❤
@isaiahmutai Жыл бұрын
waaah namupenda sana huyu dada kabsa
@ergidiobotao370 Жыл бұрын
Nampenda Aziza MOZ 🇲🇿
@LyonWalker_ Жыл бұрын
Me mwenzenu nampenda sana huyu dada aseee nampenda mno
@masungajp1 Жыл бұрын
Huyo ni Msukuma. She is blessed with SUKUMA talents.
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Uwo Mwamala walaki 4 mpaka 5 pasipokuomba🤲daaa🙆 Uyo Inatakiwa Uwe Naye makini kama Umechemsha Maziwa fresh jikoni🔥
@hashimmwamba441 Жыл бұрын
Aziza hongera, majibu yako mazuri sana.
@SosoJanette3 ай бұрын
Aziza gipenz nagutenda❤
@enouschangana Жыл бұрын
Mwanamke mzuri sana napenda anavyoigiza kwel ana shape nzuri kbx
@aishaissa2724 Жыл бұрын
Nimemjua kupitia mr right kumbe ndo huyu ma shaa Allah
@ashamwanganzi6400 Жыл бұрын
Mashallah so humble daaa aziza
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Namimi nimeishia la Saba ila sijali wala nini maisha yaendelee 🙏
@donmonda7150 Жыл бұрын
Sky is the limit never up. U never know what the future hold up for u afterwards. 💪💪
@HawaSwabra Жыл бұрын
Tupo wengi jamn ila nichangamoto ya wazazi siwengine
@donmonda7150 Жыл бұрын
@hawaswabra..huja kosea kabisa hapo kweli, changa moto ya wazazi majumbani yame sababisha wengi kutokwenda mbali kimasomo
@SwaumuAbdallah-fu1bx Жыл бұрын
Wee dada nakupenda Sana unasauti nzuri unahoji mtu mpaka unapenda❤
@SalimuRamsey-fq5vf11 ай бұрын
Aziz mzr sana aiseee duuh
@John-gj9rt6 ай бұрын
Wonderful
@PriscaChristopher-x5c11 ай бұрын
Hongera sana Aziza
@NiwaherezaAmos21 күн бұрын
Nawapenda sana
@metrineokola7730 Жыл бұрын
Nakupenda sana aziza
@JohnsonAmos-py3wf Жыл бұрын
Ndio Steve ni mwamba jaman
@dericko10 Жыл бұрын
Napenda hiki kidada ni kiremboo sana
@MourineAchieng-g5i Жыл бұрын
Ai nampendaa sana
@Mwafrika Жыл бұрын
Dada Aziza Mungu azidi kukujalia
@KwizeraEnock-ny1by Жыл бұрын
Aziza Nakupenda sna kweli Kila napokuona najihis tukopamoja
@DishaniDisha-zm2gm Жыл бұрын
Nakukubalisana
@elmosteve586 Жыл бұрын
Good interview with my c★
@jameschumbula7351 Жыл бұрын
Pexa ndy yny nguvu......🔥💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾✌️
@rashidkagunda636 Жыл бұрын
Aziza nampeda kazi zake wakiwa na boss kamaro
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Mungu ampe zaid steve safi
@kinyuabobmartin2079 Жыл бұрын
Urembo wake tu..Kapendeza sana pia kwa sanaa ila kapotea kidogo mtandaoni..
@annastevensteven9515 Жыл бұрын
Aziza wa boss kimaro
@zohrazohra1051 Жыл бұрын
Mzur mashaallah dada aziza
@ceciliarengua7767 Жыл бұрын
Natamani na mimi siku moja nijipate naigiza.aziza mungu akuzidishie
@johnbayyo6589 Жыл бұрын
Daaah kumbe wa nyumbn kabisa hongera Sanaa aziza
@IsharaFaraja Жыл бұрын
N'aime da iyo
@MourineAchieng-g5i Жыл бұрын
Wa nampenda uyuu dada
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Wajina wangu nakupenda Mungu atakufikisha mbali la Saba sio ishu ishu kupigania ndoto yako
@khadijanjama8721 Жыл бұрын
Aziza pole kwa mitihani utafanikiwa in shaa Allah
@KwizeraEnock-ny1by Жыл бұрын
Nipe namba ya Aziza
@batakakutikuti50267 ай бұрын
We vip
@RubyIbraa-yy1fl11 ай бұрын
Uyu mtangazaji ana sauti nzuri mpaka raha nampenda bulee
@MoudKika-p7c Жыл бұрын
Usimalize maneno kwenye media dada mstili mzazi mwenzio
@MoiseKavuya-ll8cd Жыл бұрын
Natoa sapoti yangu kwa uyu dada kutoka butembo town DRC
@Hamad-jw1mc Жыл бұрын
Yaani Kabula mtupu aisee Aziza
@batakakutikuti50267 ай бұрын
Iyo Kaz aikufai unauliza marudio mswal😢
@bevanjohnson7503 Жыл бұрын
Watching from Jamaica ❤
@omarymwezimpya9666 Жыл бұрын
Ila namuelewaga sana huyu dada daaah nampenda sana
@raybray5943 Жыл бұрын
Shuari sana
@nakitulanibanga Жыл бұрын
Cool sister 💯💯💯
@radjanuyanza4591 Жыл бұрын
naomba number ya Aziza from Nigeria
@amanididas7660 Жыл бұрын
Dada ana saut nzuri
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂nimependa hapo mwanaume anayehema😮😮
@sampachino5184 Жыл бұрын
Uyu dada nampenda sana
@georgesgmmutokambali4217 Жыл бұрын
Nampendaga sana mdada huyu, naitaji awe wangu
@malmavoice8989 Жыл бұрын
Aziza kwa muonekano tu wamemla sana aisee
@emmanuelmwisa5073 Жыл бұрын
Uyu mrembo Ako na sawa natafuta yeye sana
@tomsonsalita6329 Жыл бұрын
I love Mbego TV 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@derrickshirandula477710 ай бұрын
Ako poa
@aminaabdallah7702 Жыл бұрын
Habari zenu dada ??? mungu pekee ndo mwenye mipango ya kiumbe chake nimpeni Stori alfaid ambae mtoto alikufa pamoja na marehemu diana wa ungereza alikua kuhuza coca cola beach London hakusoma.sasa hivi tajiri mkubwa katika matajiri London kwa hio mtu akidharau mwanadamu mwezake kwa sababu yamasomo ni upumbavu wapo walisoma sasa tena Sana kazi hawana wasukuma magurudumu nakuokota chupa barabarani
@victormzolex9817 Жыл бұрын
Tanzania Kuna simu YA million Tatu jameni
@limbomambo9728 Жыл бұрын
Love you Shakira
@issamgonja3498 Жыл бұрын
Yani uyu dada me na mkubali Sanaa hapa tZ
@wazirijunior3343 Жыл бұрын
Sasa wew tom boy atakutongoza nani😂😂😂😂
@PhissooDaniel Жыл бұрын
mbn mwirak huyo aziza
@agneszakayo Жыл бұрын
Aziza mmmh kumbe umetoka mango,la sehemu gan make ww ni wa home 2 daah hatar kusikia hivyoooo
Oy Kama Mimi namroga uyoo dem atakuja mwenyewe geto
@JosiasFidele-dz8fg10 ай бұрын
Kwani Aziza ndio muke wa Steve ?
@annabadru2352 Жыл бұрын
Naomba namba yako Aziza wewe ni km mwanangu wa kwanza
@davidbahati3748 Жыл бұрын
Aziza sio kuwa wanaume hatupendi kutunza watoto Ila ukute baba wa mwanao ndo alichokuwa amejaliwa kuwanacho. Wanaume tusio na pesa tunaonekana hatuna mapenz ya kwel koz hatuna uwezo wa kutunza
@kivuesttv9402 Жыл бұрын
Mimi naipata sana iyi chaîne yenu toka Congo 🇨🇩 nataka nijuwe uyu mutangazaji ni binti au boy
@jan6703 Жыл бұрын
Acha unoko wewe mkongo. Mmezoea tabia zenu za kujikoboa mnataka wote wawe kama nyie. Basi tukwambie ni boy so unasemaje 🙄
@kivuesttv9402 Жыл бұрын
Asante sana
@josefngendakumanadzsszazfe9380 Жыл бұрын
Kama kusoma ujui atapicha kwasababu atasauti ungejua
@Malik12king Жыл бұрын
haukua nampenda ndomana uliswindwa kuvumilia
@denotheactor Жыл бұрын
Mmmmm nice content
@Kaserekahenry-d5k Жыл бұрын
Nami natamani sana kuwa msani kana Dada huyu
@lucybatista2631 Жыл бұрын
I know this gal tumekutana mr right and nilimpenda tukawa tunawasiliana niliposafiri kwenda dubai nikabadirisha no now am back
@RahimaMct-ik8mr Жыл бұрын
Huyu mtangazaji sautiyake mzur kama sestar ve. Vailet mzendakaya