EXCLUSIVE:NAY WA MITEGO APOKEA MAOMBI YA KUJIUNGA NA FREEMASON / NIZIKWE BILA DINI / WACHUNGAJI FEKI

  Рет қаралды 66,398

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Msanii wa muziki wa Hip Hop ambaye haishiwi matukio Nay wa Mitego amedai amekuwa akipokea maombi ya watu mashuhuri kujitaka kujiunga na freemason baada ya kuendelea na kutangaza msimamo wake kwamba hana dini yoyote na watu watavyojisikia kumzika watamzika tu.
Rapa huyo amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kuwataja baadhi ya wachungaji na kudai wanawatapeli watu.
Written and edited by @yasiningitu

Пікірлер: 124
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Uzuri ni kwamba Nay anaamini Mungu yupo hyo tu inatosha ni jinsi gani anamuomba mungu wake anajua mwenyewe..True boy!
@brianpaul9739
@brianpaul9739 2 жыл бұрын
WWE nawe unajua ni Mungu Gani ana muamini shetan nae ni Mungu acha Ignorance
@frankmnale1900
@frankmnale1900 2 жыл бұрын
Nay nampenda sana maana anaeleweka yuko upande gani sio uvuguvugu.... Watu kama hao ndio BWANA YESU anawatafuta awakombowe, sio wachungaji, mitume na manabii wa uongo hata wengine pia wasioeleweka gizani kwa ibilisi mchana kwa Mungu (Laodikia)
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Uko straight kweli Nay hudanganyi.
@frankmaige4378
@frankmaige4378 2 жыл бұрын
Exactly I got you from Australia
@lamachocolate6707
@lamachocolate6707 2 жыл бұрын
Ongera Kaka
@pascothedon5431
@pascothedon5431 2 жыл бұрын
True boy. Fanstantik
@esthermwaibasa4778
@esthermwaibasa4778 2 жыл бұрын
Mpokee Yesu kaka yangu ktk maisha yako siku ukifa utakuwa salama usijidanganye na mambo ya dunia hii inapita,
@sifiakileo5635
@sifiakileo5635 2 жыл бұрын
Ndo nan
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Unafikiri wewe ukifa utakuwa sarama nimungu ndio anajuwa nani mkweri
@calvinmoody8736
@calvinmoody8736 2 жыл бұрын
Oyaaaaa ..ney..umeongea.kweli..mwamba..big..up.mwanangu
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 11 ай бұрын
Yesu Kristo ni njia ya kweli
@devibantostarbigboytz3182
@devibantostarbigboytz3182 2 жыл бұрын
Yes nakubari Sana amini mungu wako kweli
@StevenMwarabu
@StevenMwarabu Ай бұрын
Upo sahihi
@shamimu..5120
@shamimu..5120 2 жыл бұрын
The true boy 966"
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 2 жыл бұрын
Uko vzr bro watu wanacheza na mungu dini wamegeuza maduka y
@lulumaligo9206
@lulumaligo9206 2 жыл бұрын
Uko sawa ney
@hajijuma8661
@hajijuma8661 Жыл бұрын
Allah akuongoze, ila naww jiongoze, ickuhadae pumzi broo
@abdulluhlho5249
@abdulluhlho5249 2 жыл бұрын
Akuna mwengine true boy uko Kam Mimi my bro kwe
@godchoosen4830
@godchoosen4830 2 жыл бұрын
Kichwa Sana hii
@festoasanga5572
@festoasanga5572 2 жыл бұрын
Kumbe unaamini kabisa kuwa maswala ya imani so ya kuchezea inamaana una mwamini mungu acha michezo ney
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 2 жыл бұрын
Nay nakukubali kinyama ♥️♥️🌹
@devibantostarbigboytz3182
@devibantostarbigboytz3182 2 жыл бұрын
Mambo
@jembengala8103
@jembengala8103 2 жыл бұрын
Jilan uyu toka kenya...iyo nay ni ukwel kbs wachane awa maboya
@tamimuomulungi2102
@tamimuomulungi2102 2 жыл бұрын
Kwann unapenda sana kuishi katika mm
@p-boy-official-9650
@p-boy-official-9650 2 жыл бұрын
Uko sawa kaka
@edwinedward5352
@edwinedward5352 2 жыл бұрын
Nay nakukubali Sanaa asa mawazo yako nakukataa unafiki wabongo walio wengi ni wanafiki.
@hagarbills4023
@hagarbills4023 2 жыл бұрын
True boy salute 🥰🥰
@Chapesamedia
@Chapesamedia 2 жыл бұрын
Yani waongozi wa dini matajiri waumini maskini sijuwi wenzetu wanaombaje sijuwi.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
Mbona wanamziki matajiri washambiki wao masikini na wanalipia kingilio amaemi wanafiki nyie muokoke
@zungutz9017
@zungutz9017 2 жыл бұрын
Jamaniiiii....kama...ipo...poa
@aloycesimon2028
@aloycesimon2028 2 жыл бұрын
Kweliii Mr Nay Live your Life😂😂😂😂
@raymonadsaliboko3068
@raymonadsaliboko3068 2 жыл бұрын
Imani iko ndani ya nafsi yangu,
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 2 жыл бұрын
Ney shikamoooo Umeongea ukweli ambao wengine wanauficha
@fabianmtweve8814
@fabianmtweve8814 2 жыл бұрын
Mie naomba namba yako nahitaji kuwasoliana nawe wamitego
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Usitudanganye sema kweli
@iranangole7007
@iranangole7007 2 жыл бұрын
Nilivyo na shida na Ela Fremasson wanapatkana WAP
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Ndio maana nkiona waislamu wanawaita wakristu makafili nawaonaga wapumbavu Sana...Mungu Hana dini hizi dini tuliletewa na wazungu.. Mungu Hana dini
@WillMB20
@WillMB20 2 жыл бұрын
Kweli umeongea point dini tuliletewa ili kuamini mkombozi wetu ni mzungu ndomaana kuna yesu mzungu na wengine
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Dini zote sahihi imani tu ndo shida wwe unaamin uslm dini sahhi na wakrst huwamini dini sahhi kwahiyo pambana na hali yako
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 2 жыл бұрын
{ قُلۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡكَٰفِرُونَ } [Surah Al-Kâfirûn: 1] Ali Muhsin Al-Barwani: Sema: Enyi makafiri!
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 2 жыл бұрын
{ لَآ أَعۡبُدُ مَا تَعۡبُدُونَ } [Surah Al-Kâfirûn: 2] Ali Muhsin Al-Barwani: Siabudu mnacho kiabudu;
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 2 жыл бұрын
{ وَلَآ أَنتُمۡ عَٰبِدُونَ مَآ أَعۡبُدُ } [Surah Al-Kâfirûn: 3] Ali Muhsin Al-Barwani: Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
@kitovagvankiwele3447
@kitovagvankiwele3447 2 жыл бұрын
Ni kweli wachungaji wa siku hizi ni wa mchongo tu A.K.A wafanyabiashara Kama wauza Maduka tu.
@BenjaminIsuka
@BenjaminIsuka 4 ай бұрын
Kaka hata mm nipo on ways coming up
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 2 жыл бұрын
Fact
@singidaone5628
@singidaone5628 2 жыл бұрын
True boy kaongea hapo
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
Hueleweki mara huna dini mara wanaomludia Mungu na kuwa wachungaji inakuuma aiwezekani wewe ni mkristo mtumikie Mungu na wewe acha wivu
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 2 жыл бұрын
Nakubali nay
@ngwanasongowelero7153
@ngwanasongowelero7153 2 жыл бұрын
Mmmh
@allymacyikanga5963
@allymacyikanga5963 2 жыл бұрын
Sio mbaya watu wakikujaji nigga nmeipenda bro
@mwashyombo9241
@mwashyombo9241 2 жыл бұрын
Broo unaamin kwenye din Ila jeur unajifanya Kama huamin
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 жыл бұрын
Da kichwa cha ney ibakitu mahna
@SarahJohn-k5p
@SarahJohn-k5p Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉😢😢😢
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
Nay ana majibu ya mdomoni hachagui la kusema wala la kujibu unauliza anakupa jibu hapo hapo😂😂😂😂😂😂
@agustinocharles2650
@agustinocharles2650 2 жыл бұрын
Mwanzo sio tatizo tatizo mwisho
@DjumaFundi
@DjumaFundi Ай бұрын
Sasa mbona hasikilikitena 😮😮😮
@edwardnyangwa8252
@edwardnyangwa8252 2 жыл бұрын
Nay nimekuamini hakika uko sawa
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 2 жыл бұрын
Nay wamitego big bro
@nashadullamwatsavwa7659
@nashadullamwatsavwa7659 2 жыл бұрын
Huyo ndio true boy
@maharamahara4367
@maharamahara4367 2 жыл бұрын
Nay ukiamini uwepo wa mungu hio ni Imani sasa swali unaulizwa imani yako niipi?
@sirrasymarcko4195
@sirrasymarcko4195 2 жыл бұрын
Mbona naww ulifungua kanisa nay vp
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 жыл бұрын
Unasema kweli kabisaa
@andersontibendelana5325
@andersontibendelana5325 2 жыл бұрын
umesema neno la maana sana NEY
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 жыл бұрын
Points sana bro Masha"Allah silimu bro silimu
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 2 жыл бұрын
😭😭😭😭 jaman mashekh mlio na ukaribu na ney mpen daawa jaman huyu ni mjinga tu ila akifikishiwa bila shaka ataifuata dini ya Allah dini ya uislam
@erickngatunga2359
@erickngatunga2359 2 жыл бұрын
Dini ni za watu hakuna dini ya MUNGU.
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 2 жыл бұрын
@@erickngatunga2359 dini uliyoridhiwa na Allah ni dini ya uislam na ndio dini waliyokuja nayo mitume wake
@Mr.P382
@Mr.P382 2 жыл бұрын
Dini zote zimeletwa tu kikubwa ni kuamini mungu yupo
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Huyu kashaibeba dunia huyu aelewi
@EdsonShigeraa
@EdsonShigeraa 3 ай бұрын
Kaka
@gracew7460
@gracew7460 Жыл бұрын
Hakuna wema bila Yesu na ukifa bila Yesu utaenda kuzimu motoni ya milele
@sibomanapierre4692
@sibomanapierre4692 2 жыл бұрын
Mimi natokea Rwanda aje naweza pata number ya nay
@laizeryvalentine2464
@laizeryvalentine2464 2 жыл бұрын
Ney kaongea ya kweli, skuiz mtu ukiwa marufu gafla anakuwa mchungaji
@nyimbizikamtima967
@nyimbizikamtima967 2 жыл бұрын
Salute mwamba
@salehal-oufy5380
@salehal-oufy5380 2 жыл бұрын
Huyo ni mkristo hata wakristo huwa wanasema dini haisaidii kitu mbele ya Mungu ni matendo yako tu kama ndio maneno hayo ni Freemason basi wakristo wote Freemason
@jrsaid4270
@jrsaid4270 2 жыл бұрын
Bila shaka mwandish nawe ni mwehu
@emmanueljulius4887
@emmanueljulius4887 2 жыл бұрын
Fact wachungaji wa mchongo wengi ata mimi sauti yangu imekua nzito na ya kukoroma bado nnn🤕🤕
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
😁😁bd kuongea
@geeva99
@geeva99 2 жыл бұрын
Matangazaji anazingua sana 😂😂😂
@mateuspedritowilliam2684
@mateuspedritowilliam2684 2 жыл бұрын
Uyo jamaa nsiri sana
@mohamedjuma5118
@mohamedjuma5118 2 жыл бұрын
Nakuelewa mkuu
@JuliusmainaNdambuki
@JuliusmainaNdambuki Жыл бұрын
Kujiunga na freemason
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Sema unawakataa wachungaji wa michongo lkn dini unayo
@jumahatibu9240
@jumahatibu9240 2 жыл бұрын
mwisho utaelewa
@gracew7460
@gracew7460 Жыл бұрын
Utajujali kujali badaye sa hii husikii na huoni na utajuta
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 2 жыл бұрын
Hivi kuna mtu anae kufa kidini au kuzikwa kidini.basi ata kifo kingekuwa kinapiga odi maana miye nafaham kifo akichangui Dini na ukifa Aridhi aibagui
@berthamwakalebela7604
@berthamwakalebela7604 2 жыл бұрын
Ningekupenda kwa hili, ni waongo tuuu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mtangazaji 😂😂😂😂
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 2 жыл бұрын
Wamitego....
@rorency8819
@rorency8819 2 жыл бұрын
Nikwel kabisa dini nimpango wa mwanadam kumtafuta MUNGU
@irakazaeriekim4753
@irakazaeriekim4753 2 жыл бұрын
Nime mpenda huujam amesem ukweli
@mesharkctz2374
@mesharkctz2374 2 жыл бұрын
Ukiish nani ana sema nn iyo nishauli yako baki naiman yako troo bro
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 жыл бұрын
Point
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 2 жыл бұрын
Ney ukisilimu utapendeza
@asmhatanzania8697
@asmhatanzania8697 2 жыл бұрын
Km namuelewa nay vile🤔
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 жыл бұрын
Kama nakuelewa iv!!
@ElihrJonesministries
@ElihrJonesministries 2 жыл бұрын
Sasa wew kijana unasema unaimani yako hutaki kuingiliwa nawew kwanini unaingilia imani ya mwenzako. Kama kawa mchungaji nayeye ni imani yake sio yako
@baloziwawatu
@baloziwawatu 2 жыл бұрын
Mjinga huyu
@habililailo271
@habililailo271 2 жыл бұрын
Rafik wa rusifa ulijisema kweny nyimb yak
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 жыл бұрын
Urafiki na lusifa si kwa kusema, Bali matendo, yawezekana wewe hujatamka kuwa rafiki wa lucifa but matendo yako yashakufanya uwe rafiki wa lucifa. Usipende kuzungumzia imani za watu kirahisi rahisi.
@victormtey4057
@victormtey4057 2 жыл бұрын
Ney ulisha sema fungua kanisa je ww kanisa lako lina muabudu mungu yupi.??
@damanguma5180
@damanguma5180 Жыл бұрын
Nay niunganishe na free mason
@ayoubmbaroukjuma7787
@ayoubmbaroukjuma7787 2 жыл бұрын
Ney ana amini tu mungu ila sjuw nimuungu gan anae sema yeye
@saidhamad533
@saidhamad533 2 жыл бұрын
Anazunguka tu anajua anachokiabudu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Sana
@selemanimandindi9194
@selemanimandindi9194 2 жыл бұрын
Nay unahakiri naujua nini unachokifanya
@shirahikram2587
@shirahikram2587 2 жыл бұрын
huyu ney na wakristo makafiri tu penda usipende kafiri ni mpngaji sasa kama wewe huikubali quran mtume muhammadi ukampinga na humuamini wewe kafiri ukifa mottoni
@hallin9561
@hallin9561 2 жыл бұрын
ukikua ndio utajua, wew bado ni brain washed
@fadhilindunguru7676
@fadhilindunguru7676 2 жыл бұрын
Kijana wa hovyo saaaana....!
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 2 жыл бұрын
Yaani wewe ney, ni mimi kabisa......
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 2 жыл бұрын
Ukweli humuweka mtu huru
@lifeandpimpcarsaworld7763
@lifeandpimpcarsaworld7763 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ameshasilim h's a Muslim
@canibalgazaboy8325
@canibalgazaboy8325 2 жыл бұрын
ko muislam ndo hana dini huyo atakuwa muislam kweli bila kuwa na dini maana Ney kasema hana dini sasa wew kiherehere unasema kaishasilim nimuislam ndo maana nawaonaga watu kama wew niwajinga
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 жыл бұрын
Waislam hatutokuzika sjui wakristo vp
@shamydehamy4787
@shamydehamy4787 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@StevenMwarabu
@StevenMwarabu Ай бұрын
Upo sahihi
@salimucvales7495
@salimucvales7495 2 жыл бұрын
Uko sawa kaka
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 26 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 34 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 13 МЛН
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 445 М.
Nay wa Mitego alivyofukuzwa nyumbani na kuwa Kinyozi. (Part One)
33:57
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 26 МЛН