Daah tabia za bongo tusiende nazo kwa mataifa mengine tuwe tunauliza utamaduni wa kwao
@ambokileasheengai11409 ай бұрын
We ulikosea ukijaribu nguo ni kuitoa na kulipia si ruksa kuvaa na kuanza kuendelea na manunuzi,,,,,cause marekani wezi ni wengi kama Tz
@frankmpanda58509 ай бұрын
Roma nakukubali sana
@elizabethmakaranga2189 ай бұрын
Pole sana ROMA kuweni wapole nchi za watu
@harounali90579 ай бұрын
Kuna mavazi uki vaa hata Police aki kuona tu tayari usha jitafutia matatizo. Hayo hapo Marekani tu nchi nyingi za kimagharibi. Hoko nyumbani tuna penda sana kuiga mavazi lakini mengine kwa nchi nyingine ni dress code ya kundi fulani la kihalifu. Una weza kupoteza maisha kwa dress code ulio vaa tu wakati wewe huwi kitu Chochote kuhusu ume vaa nini.
@babusobakari78829 ай бұрын
Bro Roma nifahamishe hilo duka lipo mtaa gani one day naweza kuja Marekani then nikatamani kufanya shopping kwenye hilo duka
@LumolaSteven9 ай бұрын
Nimejifunza kitu mwanangu Roma
@samirysharifu86499 ай бұрын
imeshaa Nitokea Hiyo Nipo zangu Tokyo iliniuma sana mpaka leo nipo Dubai nakumbuka hicho😭😭😭
@shabankanyama34319 ай бұрын
Isikuume nchi za watu lazima uwe mtumwe,sasa unasema ulipata hasira,,,,UNGEFANYAJE SASA..tulia bro,usiwe na hasira nchi za watu kuwa mpole..
@dottombilinyi59799 ай бұрын
unyama sana kaka endelea kujifunza mwisho ufanane nao
@teddyndungurusabnu47929 ай бұрын
ila kiukweli mie hapahapa kibongobongo ninatabia hiyo yakujaribu nguo nikiipenda huwa nazunguka nayo dukani natafuta nyingine ,, kunasiku nilinyewa na kunguru , nguo nyeupe ikabidi niingie dukani nikaipenda gauni nikaivaa na nikazunguka nayo mle dukani nikiindelea kutafuta nyingine😅 sasa kwa mtindo huo wa wenzetu c utumbo ungesha mwagwa kitambo
@AlexKweka-j6p9 ай бұрын
Roma nakukubali sana broo 😂😂😂 kwanza ni mkweli kwakweli 😂😂😂
@Salumchiwili20239 ай бұрын
Marekani noma sana mzee sasa hapo ingekua ni polisi amekusimamisha then ujiguse bila kuomba permission hapo RIP zingekua nyingi sana
@alainbouba51649 ай бұрын
Bro! Pia ni story kama hiyo hiyo kabisa. Nimeenda kwa club moja hapa Los Angeles, Beverly-Hills, Jama kaniona nimefa Red kwote yaani. Alipo nikaribia nilikuwa nataka kutoa Sim mfukoni tu, akatowa bastola. Washkaji pembeni wakaziwiya wakisema huyo ni muafrika tena mtuu poa na watu, nikawa ninepona kabisa. Badae wakaja kuniambia niachane nakuvaa ngu żaku Fanana hivo, huwa zinatafsiri ingine vibaya kwa wingine.
@davidTentacion31049 ай бұрын
We upo marekani au ruvuma
@danrappergangamaa11909 ай бұрын
😂@@davidTentacion3104
@jumaabas68379 ай бұрын
Sasa kwa nn uvae red koteeee
@lucasmhagama81669 ай бұрын
@@davidTentacion3104😅😅😅😅daah
@paulhollela94939 ай бұрын
Aisee pole sana bwana
@SalamaNauthar9 ай бұрын
Roma 💐💐💐💐💐💐💐
@selemansaid92956 ай бұрын
Hello
@PilliMazinge-li2jg7 ай бұрын
Sauti ya ladi respect u my brother rom
@barrynzeyimana62709 ай бұрын
Marekani sio mchezo. Na ubaya wa Marekani haijarishi ni sangapi au wapi, unapigwa risasi popote kama unafuatiliwa na watu wenye kukutaka. Iwe katikati mjini, iwe Police, iwe kanisani, iwe ....utapigwa risasi ukipatikana na mulengwa
@AmosMasungwa-pq7jj9 ай бұрын
Pole san bigman
@NasirSaleh-y1m9 ай бұрын
Huko mambele kila nguo inawekwa stika kuonesha kuonesha bei yake kwa maana aliivaa kabisa kwa sababu alikuwa amesha ipenda na alikuwa anajua kuwa ana uwezo wa kuilipia.
@Younghmelody9 ай бұрын
Roma mbona kama mwongo jamani hmm sina chakusema 😮😮😮acha tu nibaki mdomo wazi tu
@anorderastonyondo37269 ай бұрын
Bongo Aman sana tunajambiana club wee na hakuna kinachotokea😊😊😊😊😊
@dabigregory32219 ай бұрын
😂😂
@CindyJulias8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@williamtweve26229 ай бұрын
Duhuu atar sana roma
@NgengeMkeni-uo5hq9 ай бұрын
Marekani ni rahisi kuzoeana na mzungu ila sio blacks. Wana shombo sana hawa jamaa
@InnocentBarn-hf7yb9 ай бұрын
Dah mzee milad roma ana stor za kusisimua ila me nna iman matukio ayo yote yanafanywa na mtu mweus sis watu weusi tuna matatizo sanaa
@YED-B9 ай бұрын
Club za mbele dress code inaitwa (smart casual) huwezi kuingia na tracksuit, sport shoes au sweatpants 😅😅😅 ila mtanga anajifunza kwa taab sana😂
@mnomatvKE9 ай бұрын
Noma baba roma
@happynkya97709 ай бұрын
duuh huko nomaaa
@audaxmlowa99539 ай бұрын
Umevaa nguo haujailipia bado unazunguka nayo we unaona ni sahihi
@Economically-Growth-Musicians9 ай бұрын
🤦Roma au shida ilikuwa Lugha alihisi unamfokea😅😅😱 Waambie nasi hatutaki shobo🤦
@BarakaMahinda-eg7ph9 ай бұрын
We naye ni mjinga si ungalipa mapema matatizo unatafuta mwenyewe
@surusuru19949 ай бұрын
Pole ila kiufupi hakuna amani huko jamn msichke wallah mee na benda tz au omn auchainz
@radikallambo4919 ай бұрын
Roma Duka Gani Hilo Siku Nikija Niwazingue
@ibrayomapenzi70489 ай бұрын
jamaaa anaaangalia michezo sanaa apo alijuwa kama matukio ya mchezo ya kuibiwa anataka aaanzishiwe ndo maaanaa akaaanza yeye
@alumonkisinda45749 ай бұрын
nimejifunzaa kinyama Kwa mwanangu Roma
@brand-c-thedangote9 ай бұрын
Kuna wakati nlikua Los Angeles 🇺🇸...duuh..kila area iko na policies..Inakuaga ngumu kama ww ni mgani.
@EdghaMoses-js8lj9 ай бұрын
Dunia haiwez kuacha kukufundusha kila siku utaona mapya
@sportsextra47959 ай бұрын
ilinitokea hiyo wakati nipo las vegas iliniuma sana😢😢😢😢😢😢
@AsendeNyota9 ай бұрын
Pole saaana roma 😢
@mohammedkidody56189 ай бұрын
Roma nakubali sana❤🎉
@BrunoEmanuel-h1d9 ай бұрын
M nachoelewa hapa ni kwamba kila nchi ina taratibu zake na lifestyle yake Sasa usipojua hilo lazima upate shida
@barakamnazareti57457 ай бұрын
Mpaka wakuue bro😢 siurudi bongo Tanzania
@EziraEvarister5 ай бұрын
kurud bongo swala jingine
@hamisiibrahim18189 ай бұрын
Njoon south Africa ndio mtajua bunduki ni Jambo la kawaida
@itanzaniaAS9 ай бұрын
Kwanza ncheke😂😂
@NoOneknows-e3c9 ай бұрын
Nandomana siku hizi siendagi club especially hapa Seattle.
@Bless-b.DL-babyofficial87699 ай бұрын
Ukitolewa gun marekani basi wewe ni mshamba bado cause hua marekani hauruhusiwu kugusa mfukoni jama alicho fanya amekua ana jiteteya kwasababu marekani kila mtu anakua iko na gun
@AwaziRajab8 ай бұрын
Kweli Kabisa Nguo Zingine Unaonekana Mwizi Uko Sawa Maneno Yako Hata Mcongo Mmoja Alisema Kila Kitu Kuusu Maisha Ya Uko
@constantinemanyanda66679 ай бұрын
Angemreport polis
@lilianpuka2189 ай бұрын
❤❤❤🌹🌹🌹🌹Roma 🎉🎉🎉
@ramlaamiri56019 ай бұрын
Duh syo poa
@WebPeter134 ай бұрын
Hatari sana!
@rashidialiuwali9398 ай бұрын
Roma ulitumia ni makosa sana ndo maana ukitoka tz moja k moja bado unakua mshamba sana kama.ungekaa south africa maisha ya mbele kidogo unayaelewa
@frankbundi77136 ай бұрын
what is Ki nyamwezi? I'm in Kenya
@BigZhumbe8 ай бұрын
Ndio maana siendi club wala sehemu zitakazofanya maisha yangu yawe hatarini.
@richardmbasha14119 ай бұрын
Roma hio sio shida ya jamaa.. Ni ni shida anayosababishwa na Black Americans na wengine wanavyo iba (shoplifters). Imepelekea wenye maduka kumprofile mtu na kutia shaka baadhi ya mambo kama hili la kuvaa na kutoka dressing room... hio ni redflag, wanaibiwa sana. Na swala la kukutolea bastola, sio kosa lake na lako lakutokujua kwamba ulichokifanya kimempelekea yeye kutafsiri vingine.. Ndio maana hata polisi akikusimamisha mikono yako mda wote iwe seheme ianayoonekana.. Usirudie siku nyingine na unabahati hakufyetua.. Never try to reach with your hands in an argument without saying your intentions.
@tadashifrancis31649 ай бұрын
Roma story teller 😂
@NgaizaKimbeNgaizakimbe9 ай бұрын
Unyama baba..🚴🚴🚴
@musaeliasi8 ай бұрын
Romah njoo nyumban bhna umepotea xanah
@sunwizy6088 ай бұрын
bongo amani tuuuuu tunajambiana club na akuna nomaaa😂
@Chukwueze149 ай бұрын
Leo ndo nimemuona Millard bila kofia
@vincentmokenye44659 ай бұрын
Huyu nae anatunga story tu hamna kitu
@DouglasMassop9 ай бұрын
Ulijuaj kama katunga? Ao nyie ndo wale wa kujaza nyama ila machine haikui😂😂😂
@zainabwage46589 ай бұрын
Wengne tunajifunza wenda sk tukaenda uko tusifanye makosa
@happynkya97709 ай бұрын
ukishazoea kusema sema uongo basi hata ww kila utakachoambiwa utaona kama unadanganywa tuu
@JumanneMaiko8 ай бұрын
Daaah so p bro ni maisha tuu
@vladiminlenin88839 ай бұрын
Ndo urudi Sasa hom
@songainc21309 ай бұрын
Ulifanya makosa call 911 coz hapa si poa kuwekeya m2 bunduki is kinyume ya sheria hapa merekani
@dunstunnchimbi79949 ай бұрын
Ukute hata hiyo 911 wakigundua ni mweusi wanaweza wasije. Na wakijua ni mweusi wa kutoka nchi nyingine ndo watapata na hasira wataamua kumkamata na kumtengenezea kesi kisha kupata shida zingine. Kifupi hao jamaa wana ulimwengu wao. Mi sijawahi kuwakubali hao. Kwao kuua mtu ni kama kukanyaga sisimizi tu hasa kumuua mweusi. Basi tu yani.
@Terminatorbatogwantama04169 ай бұрын
@@dunstunnchimbi7994 alafu uku tunawashobokea sanaa yani
@itanzaniaAS9 ай бұрын
USHAURI MSILETE UJUAJI NCHI ZA WATU. UNAWEZA KUUWAWA BILA HATIA KISA KULETA TABIA ZA NCHI ZINAZOENDELEA NA KUPELEKA NCHI ZILIZO ENDELEA. HILO VAZI LA MA GANGSTERS😂😂
Sa ujuaji uko wap hapo na anasema alikua hajui na sasa anajua hawezi kufanya hivyo na wala hakubishana na mtu ujuaji we umeuona wap
@itanzaniaAS9 ай бұрын
@@salmabasil385 UJUAJI ni kutouliza taratibu zao. Pia unavaaje nguo ya dukani kabla ya kuilipia na unazunguka nayo SIO SAWA
@sizorstartv61688 ай бұрын
naKumbuka ilitaka nitokea denmark
@michaelmsemo-nf9pk9 ай бұрын
Roma get back home.tujenge nchi yetu.Hao wamejenga nchi yao wanaona shida sana mnaokuja na kuishi tuu.they consider you lazy aka wapenda mteremko.
@EmmanuelSanga-u4e8 ай бұрын
Sheraut kwenu mirad roma na cstar kwaku2pa story maisha yanatufanya tuchukiane na kuishia sehemu fulani
@AwaziRajab8 ай бұрын
Yuko Mcongo Alitoa Mawaiza Kuusu Iyo Ishu Nchi Zingine Ukivaa Nguo Zingine Wanajua Wewe Ni Mwizi Ivo Wanajiami
@augustinesong60669 ай бұрын
Kaka haya mambo ya dunia America kuna mambo
@elvisoscar99129 ай бұрын
Unaleta mambo ya Africa USA ooh uku bara lingine bro chuma ingekuhusu alafu USA ata police akikumata au kukuoji ukashika mfukoni tu mzee unakula chuma apo apo inabidi mikono yako ionekane wazi kabisa na usifanye chochote ruhusu usachiwe ata ukimtukana fresh shida kushika mfuko wa nyuma mbele au kufungua bag
@bcozhenry26988 ай бұрын
Kwa maelezo hayo, demokrasia ipo ya kutosha Africa
@anoldsalvii73368 ай бұрын
Let's have a conversation
@furahaabonga66429 ай бұрын
Watu wa Marekani awana mazoea au maadili ya kutembea na ivyo vi beg ni ushamba wa watu wa africa.
@HABILIYUSUPH8 ай бұрын
Nakuamin mno mwaba unacho kieleza na kunikosha san kw nymb zako RomA
@ibranoahngidange59099 ай бұрын
Roma fala sana😂😂😂😂😂
@sabinaonline65759 ай бұрын
Hiyo haitakiwi kabisa hata Ugerumani haitakiwi kabisa hautakiwi kutumia kitu kabla ya kulipia sasa wewe umevaaje kwanza bila kulipia hapo umechemsha sana acha ushamba
@NgengeMkeni-uo5hq9 ай бұрын
Hiyo mbona hata bongo. Unavaaje kitu hujalipia😂
@reubendidas9 ай бұрын
Bongo ni kawaida tuu mbona
@deogratiusyudatadei56589 ай бұрын
Hivi unalipiaje kitu ambacho hujui Kama kitakutosha au kitakupendezea nyiee ndiyo wale mnao umbukuga nilikuta na mtz mmoja Nairobi akajifanya yy machino akawa anatucheka SS kuuliza Bei ya chakula akaagiza baada ya kula inakuja bili alipie hapo akili ilimka sawa
@shamzone3889 ай бұрын
Huo ni ushamba mmojawapo vipi wavaa nguo wakati hujailipia❓❓❓mkienda nchi za watu fateni sheria zao au mtarudishwa kwenye masanduku
@benedictsumaili72629 ай бұрын
Acha uongo wewe mimi naishi hapa USA kikawaida Kama umependa nguo Lazima ujipimishe kwanza kabla ya kulipia
Oi uko upo Chicago sehem gani nitumie Whatsapp namba ako
@petermahona76886 ай бұрын
Broski mbn Chicago Illinois kuna gangs za kufa mtu, unaishi kwa amani Kweli?? Gangs km O'Block,THF,GD,BD,600,300,nk zina fujo sana kitaa, na kuna rappers km King Von, DThang,051 Melly, OTF Nunu nk walipoteza maisha ktk fujo za mtaani na clubs..au hao jamaa ukimind business zako hawana time na ww??
@ibrahimngalupela71708 ай бұрын
Hajui tuu wabongo tukiamua kuiba hamna wa kushtukia
@Shaban-y5f8 ай бұрын
Uwa nawakubalisana watu wa hip hop matukioyao wanatufunza kitu kuliko ata awa ma start wakubwa tz wa 3
@Benomaleo7 ай бұрын
Ilishantokea lagos kwenye club moja ivi aloooo ilikuwa atar😅
@King_Of_Everything9 ай бұрын
👊✌👍.
@RoseKipimo-e4g9 ай бұрын
Yaani hapo unbelievable kabisa ungepiga polisi yaani pesa nje ungemstaki loo
@frankbujiku94969 ай бұрын
Mhuu mm nilienda china mwaka 2018 kilicho nikuta stamani tena kwenda huko😢😢😢😢😢😢
@FreeGod3689 ай бұрын
Ilikuaje aisee kaka😅
@frankbujiku94969 ай бұрын
@@FreeGod368 nilipewa kesi ambayo siijui mtanzania nilikuwa mm tu wengine wanaigeria nimesota blaa kuja kutoka sitaman tena kwenda huko
@FreeGod3689 ай бұрын
@@frankbujiku9496 Duuu aisee pole sanaa kaka, 🙏🙏
@bensonwissa57779 ай бұрын
Mnapoenda nchi za watu acheni kusokota nywele
@ramadhanitokwete80699 ай бұрын
Itakua china plaza pale kariakoo😂😂😂
@josephmwema47059 ай бұрын
Rudi home kaka 😂 watakuulia huko.
@Naptaisafari9 ай бұрын
Roma apewe mauwa yake😂😂😂😂😂😂😂😂
@joramchristian40429 ай бұрын
Mbele unyama ni mwingi
@eugidetembele18 ай бұрын
Hii Kama story yangu ilinitokea nilipokuwa naingia kazini inatakiwa utumie kitambulisho cha Kazi Kama ufunguo Sasa kipindi nakaribia gheti kuna jamaa anatoka nje sasa nilivyopeleka mkono mfukoni kutowa kitambulisho bana Yule jamaa akaingiza mkuno kwenye koti lake like akatowa bastola bana nilihogopa saaana
@YasinOmar-i1k9 ай бұрын
Dah ebhan story yako imenifunza vitu kadha kiukwel uko vizur Roma
@Kidera-w8s9 ай бұрын
Rudi nyumbnj rom
@Kidera-w8s9 ай бұрын
Kazi ipo
@TeamBaganofficial9 ай бұрын
Like south Africa😢
@beatbyrich28919 ай бұрын
Wageni wengi wanaambiwa ignorancy utaachwa tu. ila unaweza kufa kwa rangi ya nguo. unataka kuishi marekani kama wao pia utachapika mzee.
@BrunoEmanuel-h1d9 ай бұрын
We upo Jimbo gan huko
@beatbyrich28919 ай бұрын
Unaweza kwenda kwenye Hoods ya blood gang ukavaa blue umeisha, na ukaenda kwenye hoods za Crips gang ukiwa umevaa Red umeisha.
@ramadhanisalum38988 ай бұрын
Ata mm ilinitokea kama ivyo manzese
@florianhenry71989 ай бұрын
Tatizo hamna sura za pesa
@anoldsalvii73368 ай бұрын
Milady I want to meet you
@tibakabanda65839 ай бұрын
Matatizo yako ni kwamba unataka kuwa mmarekani kuliko wamarekani wenyewe! Kwanza unavyovaa Kwa makuzi yetu Tanzania ni aibu. Hata huku bongo Kwa mavazi hayo utaonekana jambazi!
@janiafaomaa51208 ай бұрын
huyo roma nimshamba anaishi marekani haelewi tabia ya marekani anataka kuleta mambo ya kitanzania marekani jama kamuishimu kama nipolisi wagemshuti roma marekani unapo gombana na mtu usitie mikono mfukoni wala usifuguwe begi watanzania wezetu wakija marekani wazani wako tanzania watulize sisi tupo huku miyaka 30