EXCLUSIVE: STESHENI MPYA YA TRENI DSM KWA NDANI, NI KAMA AIRPORT, MIGAHAWA NA VIP

  Рет қаралды 194,415

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Stesheni ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Dar es salaam imekamilika kwa 100% na itakuwa na uwezo wa kuhudumia Watu zaidi ya 3200 kwa wakati mmoja ambapo stasheni hii imeunganishwa na barabara ya juu yenye urefu wa KM 2.5 ambapo treni zitakua zinapita juu kwa juu hivyo hata ile foleni ya magari ambayo ilikua inakuwepo kutokana na kupisha treni kupita kwenye reli ya zamani haitokuwepo tena katikati ya Jiji, Thadei Paul ni Meneja Msaidizi wa Mradi wa SGR (DSM - Morogoro) katueleza kila kitu.

Пікірлер: 523
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 2 жыл бұрын
Kuna watu wanakereka ni kwanini Magu hatoki akilini mwa Watanzania. Sababu moja wapo ni hii hapa. Watanzania tunampenda Magu sana, amefariki lakini nyuma ameacha jeshi kubwa kama mimi hapa. Tutamtetea siku zote.
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
Kwasbb alithubutu Sana huyu wa SSA mmmmh hata akifa watu watashangilia
@essauedson5589
@essauedson5589 2 жыл бұрын
Wote tuko pamoja
@irenefranco4448
@irenefranco4448 2 жыл бұрын
hakika magufuli 😭😭😭😭
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Asante sana Ndugu Yangu comment Yako Nzuri sana
@aminahussein5418
@aminahussein5418 2 жыл бұрын
Mie bado basikitika Sana uyu mama simuelewi kabisaaaaaa ata afeleo sistuki
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 2 жыл бұрын
RIP OUR PANAFRICANIST, AFRICAN HERO AND PROPHET, MAGUFULI - YOUR ACTIONS CONTINUE TO SPEAK LOUDER THAN WORDS. IMPERIALISTS AND CAPITALISTS MANAGED TO KILL YOU, BUT THEY WILL NEVER KILL YOUR BRIGHT IDEAS…RESPECT FROM CONGO🇨🇩A LUTA CONTINUA…VIVA LUMUMBA, KWAME NKRUMA, BIKO, SANKARA, SAMORA, CHEIKH ANTA DIOP, MAGUFULI ETC.✊🏾
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 2 жыл бұрын
RIP JPM
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 жыл бұрын
Rest in peace dady Maguful
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
Prophet???
@husseinmillinga1920
@husseinmillinga1920 2 жыл бұрын
huna akili prophet
@coffeemuya618
@coffeemuya618 2 жыл бұрын
You made me cry my brother
@benedictkihombo348
@benedictkihombo348 2 жыл бұрын
Hii kazi ya Marehemu Rais J.P.M Mungu Mwenyezi ampumzishe kwa Amani huko aliko. Respect for you J.P.M.
@balilemwab.2542
@balilemwab.2542 2 жыл бұрын
R. I. P Magufuri 🙏You gone but you left Tanzania in the world map for short time... Always feel proud that your have been my President. 🙏🙏👏👏👏
@c75923
@c75923 2 жыл бұрын
RIP President Magufuli CHUMA!! Kuna wasenge flani kama wanataka kufuta historia kwamba kilichofanyika ni cha kawaida blablabla lkn HAWATOWEZA kazi ulizoacha hazikuwahi kufikiriwa toka Uhuru! Continue to Rest In Peace our Champion.
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 жыл бұрын
Kweli kbs
@akahtaan7288
@akahtaan7288 2 жыл бұрын
Lugha chafu ni dalili ya kukosa malezi ya wazazi. Kijana unachafua sifa ya watanzania. Kuwa na adabu
@raiderinfos1472
@raiderinfos1472 2 жыл бұрын
Nimeyatoa maisha yangu kwa ajili ya watanzania masikini ipo siku nikifa mtajua namaanisha Nini in magufuri's voice 🎤🎤R.I.P CHAMP 😔😪😪
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 жыл бұрын
Rest in peace our President JPM, tunakukumbuka kwa moyo wa shukrani🙏🙏🙏pumzika kwa amani🤲🙏🌺🌺🌺🌺🌺
@athanasndele6213
@athanasndele6213 2 жыл бұрын
Tunakukumbuka daima. Hapana mwingine kama wewe
@RockCityTV
@RockCityTV 2 жыл бұрын
Hakika hakuna mwingine Kama JPM
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 2 жыл бұрын
Magufuli mungu akulaze mahali pema baba ,tunaona vision yako..
@patloveupdatestv1005
@patloveupdatestv1005 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee🤭🙏🏼 kzbin.info/door/BGjEtmsEsFvt2fMeWNtvPg
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 2 жыл бұрын
Miaka mitano tu amefanya vingi je angemaliza kumi?
@gloryidelya9899
@gloryidelya9899 2 жыл бұрын
Balaaa Amesima mia Kazi yake ipasavyoo coz nchi yetu Tajir kwani isipendeze Tuna ripa kod kwanin tusipendezeshee nchi yetu Tajiri Jamani Tukipata kiongoz Msimamizi Boraa Lazi nchii Ipendeze Marehemu Alivunja Record Ya Uongoz Wake .Shujaa Mungu Ampumzishe kwa Aman
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 жыл бұрын
Amiin
@laurentchimbirani5990
@laurentchimbirani5990 2 жыл бұрын
Zaidi ya 90% ya watoa comment wanamtaja Hayati Rais JP. MAGUFULI.., Hii inaonyesha ni namna gani mtoto wa Chato Geita alipendwa. Rest Easy BABA 😥😭
@ibrahims.manyilizu378
@ibrahims.manyilizu378 2 жыл бұрын
Yeah man
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 2 жыл бұрын
Dah...! Natamani sana JPM mwenyewe angekuwepo. #RIPJPM
@angelamarlow510
@angelamarlow510 2 жыл бұрын
Yaan ww unawaz km mm
@abuubilal2646
@abuubilal2646 2 жыл бұрын
@@angelamarlow510 mnawaza ujinga
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 2 жыл бұрын
@@abuubilal2646 nyumbu unateseka..!!
@swalehemzimba3316
@swalehemzimba3316 Жыл бұрын
@@abuubilal2646 wewe ndo mjinga utakua upo pamoja na hao wasio hurumia wanyonge
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 2 жыл бұрын
Ingependeza kiongozi yeyote anaye anzisha mradi apewe heshima ya bonge la picha yake ya mradi. Hii it itawafanya viongozi wajao nao kujipiga kifua ili wakumbukwe. Hii miradi mikubwa inahitaji kiongozi maono. Asante JPM!
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 жыл бұрын
Kama hapo kwa Mwl.Nyerere naomba hiyo picha ibadilishwe na iwekwe ya JPM haraka sana kabla sijakasirika.
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 2 жыл бұрын
@@allyhassan7522 Waweke hapo picha mbili. Ya Baba wa Taifa na JPM wakishikana mikono huku kukiwa na treni ya zamani kama ilivyo kwenye picha na treni ya kisasa .. ili kuonyesha muunganiko wa tulikotoka na tunakoenda
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Rais alikuwa moja tu... Nyerere Baba wa Taifa indeed...
@luhanyamipawantobi6888
@luhanyamipawantobi6888 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 kwani huyu alikosea kuijenga hii!!!? Au nayo niyanyerere?
@shabanimwakalundwa2077
@shabanimwakalundwa2077 2 жыл бұрын
Amakwer makufuli ndo mtuu pee mwenye ficra zakipee sana ndugu zangu watanzania alitaka watanzania tuishi maisha mazuri nyumba kunonge bwana mweee DAAA AI MISS❣️♥️♥️♥️♥️ MAKUFULI🙏💌🤛💯 KIPEZ CHAWATU
@gloryidelya9899
@gloryidelya9899 2 жыл бұрын
😥😥😥😥😥😥Tunammisi mnoo MUNGU Ampunzishe kwa Amani
@alphonceelias2551
@alphonceelias2551 2 жыл бұрын
Rest in peace baba yetu JPM.mzalendo no I wa nchi hii takatifu.
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 2 жыл бұрын
Amen. Nimependa comment yako kuhusu nchi yetu Takatifu ya Tanzania. Nimefurahi kuona mtu mwenye mawazo kama yangu kuhusu Tanzania
@yassersalleh8409
@yassersalleh8409 2 жыл бұрын
Aya yote ni maisha alio take tuyajue mzee wetu hayati magufuli mungu ampunguzie adhabu ya kaburi
@patloveupdatestv1005
@patloveupdatestv1005 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee🤭🙏🏼 kzbin.info/door/BGjEtmsEsFvt2fMeWNtvPg
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 2 жыл бұрын
"Heri atendaye mema mengi bila kutazamia malipo, maana vinywa vingi vitamsifu toka pande za mashariki hata magharibi naam kizazi hata vizazi". "Uhuru na kazi, Hapa kazi tu, kazi iendelee"
@hamisisabdallah3146
@hamisisabdallah3146 2 жыл бұрын
Rest in peace John Pombe Magufuli "Jemadari"
@zawadigwilenza4027
@zawadigwilenza4027 2 жыл бұрын
Ameeen
@setholivier4862
@setholivier4862 2 жыл бұрын
Amen
@kamulipatrick8933
@kamulipatrick8933 Жыл бұрын
Hakika jpm pumzika kwa amani
@mr.ab_officially6507
@mr.ab_officially6507 2 жыл бұрын
Tukipata viongozi kama JPM 10 tu wanatosha zidisha kwa miaka 50 TZ it ill be more than abroad
@andrewmashika3756
@andrewmashika3756 2 жыл бұрын
Fabulous! You shall always be in our heart,.. Tutakukumbuka, Tanzania kweli ni nchi tajiri👌🏾 ✨
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 2 жыл бұрын
Ahsante sana Mzee Magu ahsante sana Mwamba Africa ahsante sana Mzalendo wa Kweli ,ahsante sana mama Samia ahsante sana super WOMAN ahsante sana kwa kuendeleza miradi ya mkakati
@ibrahimhemedi9079
@ibrahimhemedi9079 2 жыл бұрын
Very nice Kama mtoni vile RIP Magu homie kwa TZ uzarendo wako.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Tunakushukuru mama Samia kwa umaaliziaji wa ujenzi huo wa tren watakao kuchukuia wavimbe wapasuke
@happyglorynnko602
@happyglorynnko602 2 жыл бұрын
@@abuuramadhan8093 hakuna upinzani kati ya magu na Samiha lkn kunautofauti kati ya mzalendo na fisadi ambaye yuko tayari kupokea fungu kwaajili ya kuwakandamiza wananchi wake kwa faida yake mwenyew bila kujali watu wake. Hii ndy tofauti tu
@nasrachaula9878
@nasrachaula9878 2 жыл бұрын
Daaaaaah nataman hata kulia why God Hakika vizur havidumu Hkn magufuli amejua kuibadilisha Tz na kuipa heshima LALA SALAAM BABA 💔💔
@patloveupdatestv1005
@patloveupdatestv1005 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee🤭🙏🏼 kzbin.info/door/BGjEtmsEsFvt2fMeWNtvPg
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 жыл бұрын
We kuma sio kila sehemu fungua ujionee fungua mwenyewe ujionee again kuma wee
@nasrachaula9878
@nasrachaula9878 2 жыл бұрын
@@shinipapaya846 😂😂😂imekuwaje Tena mbona mitus
@jumaabdala7530
@jumaabdala7530 2 жыл бұрын
Mungu mlaze Pema Magufuli Aliipenda Tanzania mzalendo nambar( 1)
@peterdeus6093
@peterdeus6093 2 жыл бұрын
Swali ni kwamba rais wasasa na hao wajao wataanzisha miradi mikubwa kama hii maana inahitaji viongoz wenye maamuz magumu
@patloveupdatestv1005
@patloveupdatestv1005 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee🤭🙏🏼 kzbin.info/door/BGjEtmsEsFvt2fMeWNtvPg
@rhoidakippa163
@rhoidakippa163 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 2 жыл бұрын
Good point
@ammarybasoty4601
@ammarybasoty4601 2 жыл бұрын
Jibu miradi ilianzishwa wakiwa wote na Anaimalizia na atazindua mingine mingi
@musamohamedi9090
@musamohamedi9090 2 жыл бұрын
Si lazma kila raisi anzishe miradi yake
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Ningependa sana kuona picha ya hayati Magufuli katika jengo hilo jmn, hivi kwanini baadhi ya watu hawampendi huyu hayati Magufuli??? Hili jengo na uzuri wake isingekuwa Magufuli jmn isingekuwepo.
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Haswaa
@yohanapapu812
@yohanapapu812 2 жыл бұрын
Hata mimi natamani sana jengo liwe na picha kubwa ya Nguli wa Africa Hayati Magufuli
@selemanmaganga6013
@selemanmaganga6013 2 жыл бұрын
Hata Mimi natamani kuiona picha ya shujaa Magufuri akitabasamu kweli Mwendo kaumaliza!.
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 2 жыл бұрын
Angalia video yote ndo u comment
@josephmwanasanga2522
@josephmwanasanga2522 2 жыл бұрын
Kabisa mkuu
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 2 жыл бұрын
Mungu ndio mwingi wa malipo kwa yote uliyoyafanya Magufuli, tulikuwa na kistesheni kiboovu umetuachia jumba hâta za ulaya aziingii, kwakweli msiba wako ni pengo kubwa kwetu
@salminmabrouk5433
@salminmabrouk5433 2 жыл бұрын
Hongera Mama Samia unaupiga mwingi kuendeleza mazuri ya Mtangulizi wako kazi iendelee
@siwonikewiliam5104
@siwonikewiliam5104 2 жыл бұрын
Kweli tutakumbuka daima kwa mema yako mungu akupe kauli thabit
@twalibmgagi1652
@twalibmgagi1652 2 жыл бұрын
Nakubali-nakubali-nakubali, mambo ambayo nilihisi sitowahi kuyaonaga Tz kumbe yanawezekana kama hiv
@angelamarlow510
@angelamarlow510 2 жыл бұрын
Yana wezekana kwa anae dhubut mpendwa kaz ya hayat Rais Magufuli
@ivanterence698
@ivanterence698 2 жыл бұрын
Stesheni linapendeza kweli. Tunaita "post-modern." Love from Kenya
@wilfredmoshi6507
@wilfredmoshi6507 2 жыл бұрын
Tatizo letu Tanzania ni maintenance he baada ya miaka 5 litakuwa na hali gani. Tukumbushane mwendo kasi stand zilivyokuwa na sasa zinahali gani,tukumbushane zile post zilizowekwa na makonda dar es salaam kwenye maua.sasahivi zinazidi kuisha na hazijulikani zinapokwenda.shida hatuna plan ya maintenance.
@patloveupdatestv1005
@patloveupdatestv1005 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee🤭🙏🏼 kzbin.info/door/BGjEtmsEsFvt2fMeWNtvPg
@abdulatiftu9836
@abdulatiftu9836 2 жыл бұрын
@@patloveupdatestv1005 fungua ujionee
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Wazee wa vyuma chakavu
@gracerwegoshora3793
@gracerwegoshora3793 2 жыл бұрын
Yaani mimi nawapa hali vyoo itakuwaje? Hygene kwa wabongo ni shida
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Hapo mchezo wa nyani mitini ukienda chooni unakutana na kitu kimeganda UTI nje nje mbongo pasua kichwa
@manenohongera7617
@manenohongera7617 2 жыл бұрын
Iv magufuli aliwazaga wapi daanh inalilah wainalilah rwajuni 😭😭
@raujohn8238
@raujohn8238 2 жыл бұрын
Na ao wapumbavu walio muhuwa nao watakufa tu naizo mali wanazo zihiba wataziacha na mwenyezi mungu hanawasubilia tu kwa mungu yeye ni mweye kusubilia tu
@saidirashidi6522
@saidirashidi6522 2 жыл бұрын
Ndg we achaaa wadhani wataishii miaka 100000000000000000000
@pilirajabu6853
@pilirajabu6853 2 жыл бұрын
Unauhakika aliuliwa?? Au unaongea tu mtu akimwaga mboga unamwaga ugali acje akafikilia nakumwaga maji
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Covid 19 imemweza Mzee wa watu,,,
@kingmichael1234
@kingmichael1234 2 жыл бұрын
Usafi ni muhimu sana wa nje na ndani katika jengo hili, tunawaomba ndugu zetu watanzania mzingatie sana usafi na kufanya check up ya kila siku, kuangalia kama mashine na vyombo vingine vyote ndani ya jengo viko salama, wizi, uaribifu, uchafu ni mwiko, hili jengo limegharimu pesa nyingi sana hela za kodi ya watanzania. Hongerani sana TRC kwa kazi kubwa sana mnayoifanya. Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
@derrickmutuma7185
@derrickmutuma7185 2 жыл бұрын
Good job Tanzania. Love and greetings from Kenya. Pamoja tusonge mbele!
@jaffersandi8048
@jaffersandi8048 2 жыл бұрын
You welcome our relative
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 2 жыл бұрын
Natamani Magufuli angekuwepo afungue mwenyewe 😭😭😭 Tutamkumbuka sana 😭😭😭😭R. I . P Magufuli
@angelamarlow510
@angelamarlow510 2 жыл бұрын
Hakika tutamkumbuk
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 2 жыл бұрын
Rip JPM Tutamkumbuka na tutamuenzi Daima 😭😭💔🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@sarahmsuya5416
@sarahmsuya5416 2 жыл бұрын
Nje kupo exactly and even more. I’m glad to see this here in my motherland 💪🏽👌🏾👏🏼👏🏼👏🏼
@akahtaan7288
@akahtaan7288 2 жыл бұрын
Nini maana ya exactly Sara
@katemachanda7035
@katemachanda7035 2 жыл бұрын
Tunajua Magufuli alikua Hana ubinafsi, lkn hapo ilipaswa ikae picha yake badala ya Babu...
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 2 жыл бұрын
Zingewekwa zote mbili
@pilirajabu6853
@pilirajabu6853 2 жыл бұрын
Mbona dalaja la kigamboni haikukaa picha ya kikwete ikakaa picha ya nyerere
@katemachanda7035
@katemachanda7035 2 жыл бұрын
@@pilirajabu6853 Ni kweli. Daraja la Kigamboni ilikua maono na ndoto za Nyerere. Hata Bwawa la umeme Hilo ni maono ya Nyerere so wakiweka mapicha yake poa. Lkn SGR mamangu, hayo maono na ndoto za Mzee baba Magu, alitamani halafu hapohapo akafanya maamuzi magumu ya kibabe.
@pilirajabu6853
@pilirajabu6853 2 жыл бұрын
Sawa ilikua maono ya nyerere mbona hakufa kipindi chake kikwete ndo akaja kufanya kipindi yy niwaziri wa miundombinu kaja kua rahic ndo kalifungua
@pilirajabu6853
@pilirajabu6853 2 жыл бұрын
Pia mbn uwanja huo akaita mkapa unazani watu hawaon bhn wamefanya hivyohivyo ndo sahihi bhn
@hallin9561
@hallin9561 2 жыл бұрын
Tatizo waafrica hatunaga service na miundombinu yetu, utashangaa baada ya miaka 5-7 pamechoka mataa hayawaki, vyoo vimeharibika no maintenance
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Siyo leo watu siku hizi wameelevuka lejea usafi wa miji siku hizi ni misafi.
@issakitallo8103
@issakitallo8103 2 жыл бұрын
Akili zako bado zimeganda. Daraja la kigamboni lina miaka zaid ya 5 mpaka sasa na bado pako vizuri
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@issakitallo8103 Akili wapi na anasema ukweli sasa wewe unatoa mfano wa daraja na pahala pa watu ukusanyika mbona ni mfano wa hovyo , Mbongo tangulini akatunza sehemu za mikusanyiko vizur kwani hauoni pale penye bus terminal mbezi ya kimara
@issakitallo8103
@issakitallo8103 2 жыл бұрын
@@Mpakauseme Akili zako zimeganda pia kwaiyo wewe peke ako ndo unajua kutunza mazingira.. Airports nazo ni sehemu za mikusanyiko, malls huko zinajaza watu daily na muda wote safi
@issakitallo8103
@issakitallo8103 2 жыл бұрын
@@Mpakauseme wanafunzi Udsm pale walikua hawakauki mlimani city ila pako safi muda wote. Mikusanyiko ipi unayosemea Mh. Enviromental Auditor
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 2 жыл бұрын
Shukrani kwa Engineer kwa maelezo mazuri
@zimbazimba1000
@zimbazimba1000 2 күн бұрын
I’m loving these developments!! So proud to be Tanzanian ❤❤
@noonelike6382
@noonelike6382 2 жыл бұрын
Big up magufuli huko ulipo.
@pelegrinmwamba1594
@pelegrinmwamba1594 2 жыл бұрын
Magufuli nakukumbuka baba
@patloveupdatestv1005
@patloveupdatestv1005 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee🤭🙏🏼 kzbin.info/door/BGjEtmsEsFvt2fMeWNtvPg
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 2 жыл бұрын
Juhudi zake zinaonekana japo yeye muhusika hayupo
@mohamedmuhajiri4690
@mohamedmuhajiri4690 2 жыл бұрын
Mpaka inatia uruma mwamb
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 2 жыл бұрын
Kweli nikimkumbuka JPM nasikia kulia tu😂😂😂😂Mungu msamehe makosa yake
@imaryamjk2866
@imaryamjk2866 2 жыл бұрын
Woaw this is dope, We need more dope infrastructures like dic, Tz is gona be more better place🙏
@yunusabdulwallace3801
@yunusabdulwallace3801 2 жыл бұрын
Hongera mama samia kwa kusimamia vizuri miradi iliyoachwa na Magufuli.
@trioyoung1389
@trioyoung1389 2 жыл бұрын
Kazi ya magufuli iyo
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Mama Samia atafanya kubwa zaidi! Muhimu, Taifa linasonga mbele 🙏🏽
@jumbemwajabu4006
@jumbemwajabu4006 2 жыл бұрын
Baba umelala mema umetuachia haaa ya Allah mpe pepo mja wako huyo
@abdichangalima3773
@abdichangalima3773 2 жыл бұрын
J.C hapa hatushindanishi maraisi,tunawamotivate tu ili wafanye vizuri kwa ajili ya nchi.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 Atafanya nini hakuna ata dalili yeyote ujenzi wenyewe unasuasua
@alexmasinde2031
@alexmasinde2031 2 жыл бұрын
Hatuna budi kuwa wazalendo pindi mradi ukamilikapo🙏
@katan671
@katan671 3 ай бұрын
BIG UP MAMA SAMIA KWA SPEED KUBWA YA UJENZI WA TRAIN HII. A VERY HIGH SPEED.
@tadyinkmussa2530
@tadyinkmussa2530 2 жыл бұрын
R.i.p jpm
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Mkapa na kikwete walituangusha sana na wizi ulikuwa mwizi sana wakati wa uongozi wao.Magufuli ametufanyia makubwa sana na kwa kipindi kifupi sana.RIP Magufuli
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 2 жыл бұрын
Hongera serikali ya awamu ya tano chini ya Samia na Magufuli mlianza pamoja na sasa unaendelea peke yako mama yetu.
@justinecleophas2950
@justinecleophas2950 2 жыл бұрын
Rest in peace JPM....TRUE LEADER ALWAYS PROVE HIS VISION
@leshaomatayian142
@leshaomatayian142 2 жыл бұрын
Well done Tanzania.Keep setting the pace for African infrastructure modernization.
@edwintouches
@edwintouches 2 жыл бұрын
Kazi nzuri, ila sasa maintainance kwa Watanzania ndo tatizo. Wazee wa Vyuma chakavu dah sijui itakuaje the next 2 years. I hope tutalitunza Jengo. Kazi nzuri, pia nimependa kuona Mdada kashika Camera hahaha! 😀👏
@amiria.mustafa9859
@amiria.mustafa9859 2 жыл бұрын
Tanzania mpya, najivunia kuwa mmoja kati ya mafund wanaoendelea na ujenz huu🙏
@challobruno5768
@challobruno5768 2 жыл бұрын
Rip jpm
@clinton6688
@clinton6688 2 жыл бұрын
Long live in our heart.... Our honorable president Mangufulii💯💫
@luifdls6217
@luifdls6217 2 жыл бұрын
ewaaa pazurii sana..naona maendeleo ya nchi yanapamba..Tanzania oyeee🔥🎉🎉🙌
@ukweli255
@ukweli255 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa Walipa kodi Hii ni pesa ya Watanzania ndio imelala hapo..uwezo wa kufanya miladi mingi kwajili ya Watanzania upo ni swala la viongozi wetu kutambua wajibu wao na kuheshimu Mali za Umma Tanzania ni Tajiri ila ukosefu wa uzalendo na uwajibikaji ndio unafanya Nchi inaonekana ya ovyo
@samweliandrea7802
@samweliandrea7802 2 жыл бұрын
Duuu magufuli mungu akulaze mahali pema peponi maana ulicho tufanyia Tanzania hatuna chakukulipa bali tunasema Asante t
@adellahjonas7008
@adellahjonas7008 2 жыл бұрын
najivunia kua mtanzania kwakweli mungu wabariki viongoz wetu uwape hekima km za mfae sulemani
@kakabaraka1058
@kakabaraka1058 2 жыл бұрын
nimekuelewa sana jamaa unae guide tour, i can tell you're an intelligent and articulate person na hujameza tuu haya maelezo.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Eeeeeh Tanzania hapo au🙄🙄mashallaha magu weee 😪💦
@bryyazz8313
@bryyazz8313 2 жыл бұрын
Natamani huu utaratibu uwepo kama ulivyowasilishwa na ENG. Huwa tunajisahau ,maana unakuta utaratibu unafatwa kwa mwezi mmoja tu, baada ya hapo tickets zinachanwa kwa mkono kma vile ilivyo DART (mwendokasi)
@abdichangalima3773
@abdichangalima3773 2 жыл бұрын
Nafikiri waziri mkuu atalitilia manani ili yastokee ya "mwendo kasi"
@bienvenumasali2548
@bienvenumasali2548 2 жыл бұрын
Nji zingine zanipa Tamara bro. Yaani yavutiya. From drc
@Boss_Zenjboy_7
@Boss_Zenjboy_7 2 жыл бұрын
Jasiri aliumaliza mwendo, Jemedari Tingatinga Big up
@jlyimu1990
@jlyimu1990 2 жыл бұрын
Ila tulivyo hatujui kutunza after 2yrs pamechakaa very nice ..hongera Eng kwa maelezo mazur
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
Magufuli❤️r.i.p
@edwinemrod3933
@edwinemrod3933 2 жыл бұрын
Kilicho Baki ni kuitunza hii project. R.I.P Magufuli 💔
@phoncechriss
@phoncechriss 2 жыл бұрын
Tadei paul ameelezea vizuri sana, huduma zikianza rasmi tujitahidi kutunza miundombinu hii idumu
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka sana kwa mengi mazuri na heshima uliyoipa Tanzania RIP Commred Magu
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 жыл бұрын
Ninaomba niwapongeze Sana wale wote walio comment kwa kumpongeza marehemu Dr.Pombe Jonh Magufuli,alisema tutamkumbua kwa mazuri wala sio mabaya.kweli amekufa tumemzika lkn matendo yk yanaishi.
@dezainermedia1035
@dezainermedia1035 2 жыл бұрын
Ulaya ndani ya Dar es salaaam waaoh wow
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 2 жыл бұрын
GOD bless TANZANIA 🇹🇿
@dorisimwenda6279
@dorisimwenda6279 2 жыл бұрын
Mungu akulaze peponi Magu wetu. Ona hii miradi, mtanikumbuka kwa mazuri! Alisema Magu,
@gloryidelya9899
@gloryidelya9899 2 жыл бұрын
Amina Dunia Nzima walimsha ngaa kiongoz Waa Ajabuu mwenye msimamo na Nchi yake 😭
@kubyjuma4843
@kubyjuma4843 2 жыл бұрын
That's Magu legacy
@DAMUSAFI
@DAMUSAFI 2 жыл бұрын
VITI NAVYO MVIWEKEE PAKUJAJI SIMU KAMA UWANJA WA NDEGE ITAPENDEZA ZAIDI “hilo Ni wazo langu”
@tusaamon3216
@tusaamon3216 2 жыл бұрын
R. I. P Magufuli mungu akulaze mahali pema peponi mwendo ukimaliza tz tunakukumbuka kwa mengi
@yusufrajabu8425
@yusufrajabu8425 2 жыл бұрын
Magufuli alikuwa anafanya vitu vya maana na vinaoneana, mama wa kambo😕
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Huyo unayemwita hivyo atawashangaza! Na mtabaki midomo wazi! 😂😂Tuombe uhai tu! Kazi iendelee!
@josephgomalo41
@josephgomalo41 2 жыл бұрын
Mumemuondoa Ben Mwanantala aliyekuwa alitujulisha vilivyo ili mkae nyinyi.. hivi wote kwenu ni Zanzibar au?? Kama unaelezea ambavyo Ben alifanya vizuri zaidi.. ni kwa ninin mumemuondoa..? NIkiwa raisi.. nitawafukuza wote.. including huyu Samia wenu mzandiki..! RIP JPM rais wangu..!
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 2 жыл бұрын
Mambo ya jpm hayo daa mungu aku leheem uko ulipo 2ta mkumbuka daima kwa uzalendo wake katka inchi na maono yako kwa taifa
@shabanialfani5394
@shabanialfani5394 2 жыл бұрын
Mueliziaji una Kithethe😂😂😂😂😂. Salute kwa Magufuri tutakukumbuka sana
@williammsigala6950
@williammsigala6950 2 жыл бұрын
Maono ya chuma kilichopita!!
@lande7510
@lande7510 2 жыл бұрын
safi 👏👏👏👏
@raymondjeremiah5857
@raymondjeremiah5857 2 жыл бұрын
Magufuli hakwepeki ni km kanuni za hesabu utamuchafua weeeh mwisho utamusafisha
@raujohn8238
@raujohn8238 2 жыл бұрын
Kunawatu walikasilika kipindi magu halivyo kua hanafanya hayo mambo wakafanya njama zao hili Auwawe kwa mahana nyingine wama muhuwa tena watu wenyewe ni viongozi wa CCM wengiwao walikuwa hawapendi anavyo fanya magufuli mwenyezi mungu Amleem Rais wakweli magufuli
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 жыл бұрын
Acha Kuropoka huku ukiwa huna uthibitisho,,,Ukisifu tuu inatosha sio uanze na mengine ile uonekane na wewe umechangia vijihabari vya kipuuzi mnavyosimulianaga huko kwenye vijiweni vyenu vya kipuuzi vya wanyoa kisaani na viduku!!
@florianruttahindurwa1189
@florianruttahindurwa1189 2 жыл бұрын
Wakati wake ulifika ndugu!ingekuwa bado Mungu wa mbinguni ange mwepusha kama kwenye sumu aliyopewa.Tusilaumu everyone dies.
@SALEHEKUNGULE
@SALEHEKUNGULE 2 жыл бұрын
Kwanza jifunze kuandika. Pili ficha upumbavu wako kwa kutoleta taharuki kwa jamii kwa kuleta habari za kuunga unga mnazosimuliana vijiweni. Hii haikufanyi uonekane kuwa una mapenzi makubwa kwake kwa kuleta habari za uzushi.
@gsninetz5019
@gsninetz5019 2 жыл бұрын
R.I.P Jpm msukuma Mwenzangu Mwendo umemaliza
@emmamtusi9868
@emmamtusi9868 2 жыл бұрын
Mimi huwa sipendi sn kumkumbuka huyu jpm nimefiwa na ndugu wengi sn wa damu.ila hakuna kifo kilichoniuma km magu mimi bado inaniuma sana
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 2 жыл бұрын
Tuko wengi aisee. Magu alinifanya nilie kama mtoto
@fadhilmtunha4070
@fadhilmtunha4070 2 жыл бұрын
Thanks ayo kwa kuonesha Mambo mhim na ya faida kwetu
@jescagodwin2732
@jescagodwin2732 2 жыл бұрын
Asante Mungu for our Magufuli please raise him again we will receive him with 2 hands
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 жыл бұрын
MAGUFULI ndio Rais pekeee aliyefanya maajabu katika Taifa la TANZANIA.
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Hongereni Tanganyika kwa maendeleo 👊👊
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 2 жыл бұрын
RIP MAGUFULI
@mudikiongozi9505
@mudikiongozi9505 2 жыл бұрын
Hongeren kwa kaz mlioifanya
@deborahjackson1059
@deborahjackson1059 2 жыл бұрын
Rest in peace Magufuli😭😭
@princemercury5824
@princemercury5824 2 жыл бұрын
Magufuri for life
@emmanuelzao
@emmanuelzao 2 жыл бұрын
Jamani ni maendeleo ya mradi sio msiba … nimekuja kwa amani tu.😎
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 жыл бұрын
Mim naona Tanzania pazuri kuliko South Africa au macho yangu ukienda Tabata watu wanamajumba kam wako south tu Na zaidi ukija hapo station duh airport
@assimmhamed1851
@assimmhamed1851 2 жыл бұрын
Maa shaa ALLAH
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 жыл бұрын
Hakika kazi karibu inakwisha
@rehemacharles6159
@rehemacharles6159 2 жыл бұрын
Amka kidogo Baba Magufuli uje uone matokeo ya kazi uliofanya hakika hautatoka kichwani mwangu siku zote wewe ulikua zaidi ya kiongozi bora ...we miss u alot 😔
Station Tour : Station Mpya ya TRC Dar kama Airport ndogo
10:50
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
HAJI MANARA NA MAURID KITENGE WALIVYOINGIA UWANJANI YANGA DAY
6:49
CM media group
Рет қаралды 16 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН