Utapata wema moyo wako mzuri utakulipa tu tena na mwanaume wa mapenzi yako furaha yako na hisia zako utapata it's not too late mungu ana sababu kukusubirisha zidisha tu maombi kumuomba ipo siku
@mkaminyintange36022 жыл бұрын
Pole wema na uhakika utapata mtoto ukute wanaongea makusudi ili wakuumize maana wanajua kitu ambacho unapenda ni mtoto hivyo wanakufanyia makusudi
@elinapouljensen92442 жыл бұрын
@@mkaminyintange3602 hamna hawakua na maana iyo ni kawaida mnapokutana kuongea story za maisha watoto nayeye hawezi kuwazuia wenzake ndo mana ata walimfariji atapata pia
Usijari mungu yupo pamoja na wewe usilie wema zidi kumuomba mungu
@furahachomayangapigahao3762 жыл бұрын
Tunakupenda sana na tunakuombea mamy
@mercyprecious2 жыл бұрын
The humility in wema's voice is priceless....much love from Kenya🇰🇪 Wema
@jenabmakobeh36942 жыл бұрын
Lkn wema huhafikisha 35 na unalilia mtoto mm nina 37 cna mtoto nimeitwa majina yote lkn nasema wakati wa mungu ni wakati sahihi bana
@Chimamy52422 жыл бұрын
Pole sana dear Mungu atafungua tumbo lako inshallah
@neemazee18642 жыл бұрын
Inshallah utapata mamy, dada angu amepata mtoto ana miaka 42, usichoke kumuomba Mungu dada angu utapat 2
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Tatizo nini. Ni tumbo linakusumbua la uzazi au umeenda hospital wamekuambia nini nina bibi yangu yupo tanga anasaidia watu wengi sana nawanapata watoto huyu dada natamani nimfuate nimueleze NA akiwa tayari niletee hizo dawa. Ajali u lakini nashindwa labda wewe kqmq hutajali nipe. Mawasiliano yako nipo tayari tiba zakuanza nikughalimie kila kitu
@habbykhaleed33902 жыл бұрын
@@زيتونتنزانيا me nahitaji jaman
@habbykhaleed33902 жыл бұрын
😢😢😢 cwez ongea mengi ila mungu ndo anajua
@bakarimusa62972 жыл бұрын
Nakushauri amka usiku kat ya saa 9 iv muombe mungu akusaidie shida yako ata pokea duwa yako mungu ni wetu sote. Inshaallah utapata mtoto
@abdulkareemseif18922 жыл бұрын
Unashauri wazinifu
@funnyvideos-hl3wb2 жыл бұрын
Bila kuwa na mume ama inakuaje...mungu aramshushia tuu tumbo na mtoto...ama umekusudia kumshaur aombe mungu afu akazin atapata mtoto
@kassimali22732 жыл бұрын
@@abdulkareemseif1892 anaweza akawa mwema mbele za Allah kuliko ww unae mkashifu hadharani ndugu hakuna mbaya wa wabaya mbele za Allah Wema hajafanya kosa lolote kubwa ambalo litamfanya asiombe Dua kwa Allah ndugu nikufundishe ki2 Allah anapenda wanaomkosea na wakamrudi kwa kumuomba msamaha Laataknatul Mirahamatul Allah
@kassimali22732 жыл бұрын
@@funnyvideos-hl3wb ilo la kuzini ndo umeliona uliongele jitafakari amemshauri aamke usiki aombe Dua Allah atamjib akiwa ndani ya ndoa usimfikirie mwezako jambo ovu
@fatmafatu11282 жыл бұрын
Aombe aolewe Kisha mtoto sio zinaa
@ndayijeanclaude50942 жыл бұрын
WEMA ukilia nalia pia, nakupenda sana WEMA, usilie mrembo wangu.
@zakianzai68542 жыл бұрын
Kabisaa wema mwenyezi Mungu atakujalia na mume na atakujalia na watoto na nakupendea moyo wako na si urongo uko na moyo mweupe
@hawakambi53102 жыл бұрын
Iyo sitution inaumiza mimi yalinikuta hayo unakaa na watu alafu kila mtu anaongelea swala la mtoto inafika mda kila mtu anaangaika na mtoto wake ila wema mimi nilikaa miaka nane kwenye ndoa nikampata mtoto
In Shaa Allah,utapata mtoto wema biidhilillah usikate Tamara dadaa, hujakufa huja umbika simama na mola wako. 🤲🏻 ALLAH KAREEM
@siriyamwanamkemkakamavu2 жыл бұрын
😰😰🥹🥹🥹 God Please help Wema, naomba msamaha badala yake kwa lolote lile alilokutendea, niadhibu Mimi badala yake, Wema ni mwanao, wewe unamjua ndani na Nje kuliko Mtu yoyote yule, unayajua maumivu yake, haja yake, uchungu wake, mawazo yake, Nakuomba eeeh Mwenyezi Mungu angalia Chozi lake Mpendwa Mungu Mwenyezi, Futa machozi yake, kwani umesema yoyote akujuaye wewe, akupendaye wewe hutamuaibisha, naomba umpokee maombi ya Wema kwa fadhira zako. Ninafunga nguvu mbaya zozote zile zinazomzingira Wema kwa jina lako lipitalo majina yote. Nikiomba Nakushukuru kwa Upendo wako kwetu sisi wadhambi Amen 🙏🏾
@anajohn81322 жыл бұрын
duh
@stritajoin59772 жыл бұрын
Amen
@ednaJF10282 жыл бұрын
I'm praying for you wema. God will give you on he's on time ⏲️ 🙏 🙌
@kipepeo_Kitchen2 жыл бұрын
Pole mpenzi, ni mipango ya mungu. Unaweza ukafanya surrogacy. Mungu atakujalia!
@angonzamujunangoma87752 жыл бұрын
M/Mungu yupo nawe dada Wema ipo siku na wewe utapakata mtoto❤️
@vachirawat2 жыл бұрын
Let's share love for wema guys ❤️❤️❤️❤️
@brinahcute41042 жыл бұрын
Daaaaaah mwezimungu atakupatia mtoto usikate tamaa 🥲🥲🥲
@susanmahihu80962 жыл бұрын
Wema your beautiful and for sure God will bless you with a child u in my prayers
@shining_light12 жыл бұрын
Wema God's time is the best... He will bless your womb. It's never too late darling. Much love from Kenya ❤️🇰🇪❤️
@bhuzahope27462 жыл бұрын
Duh natamani Mungu akujalie akupe mtoto.. sina tu hela ila mimi ningezaa na wewe kabisa Amen.
@ibrahimkibira99432 жыл бұрын
Was nice a interview 👌 May Allah bless you wema 🙏 na upate watoto mapacha
@gracek54252 жыл бұрын
Amin 🙏🙏🙏
@fettylenny27182 жыл бұрын
Amen Amen
@hanifaalhanif63922 жыл бұрын
InshaAllah utapata mtoto na awe mwema kwako mmy imani yako ndio nguvu yako❤❤❤❤
@sellysang75042 жыл бұрын
Wema I really love you… u r still young my love… u r such a nice person don’t cry 😢 I pray to god I will see u get that wish I will live to remember u si don’t cry 😢 love you hugs 🤗 ❤️🌹🌹🌹🌹
@eightofhearts2 жыл бұрын
L
@sellysang75042 жыл бұрын
🇰🇪💕🌹👋🇧🇪
@danielngoboye2 жыл бұрын
Mzuri sana wema nakupenda bure na roho yako zuri🥰🥰🥰
@pendomarco89282 жыл бұрын
Wema Yesu wetu hana upendeleo naamini utapokea mimba haijarishi umemkosea mangapi kikubwa ni kuomba na kuamini kuwa utapokea Mtoto wako ktk tumbo lako
@Aliswat-y8o2 жыл бұрын
Raham, ni, nyama, kwahiyo mtoto tutamwita, nyama,
@zuweinaalhabsya87732 жыл бұрын
@@Aliswat-y8o Nyama ni LAHAM.لحم. sio RAHAM.
@Farajahelene230312 жыл бұрын
yes wema snura shes a good women me to i love her shes respectful
@annayambayamba86142 жыл бұрын
Nimekupenda sana wema dada ombi langu kwako nakuhaidi nitakuambea kila siku mungu afunguee milango yako upate mtoto.
@sistersade90392 жыл бұрын
Wonderful interview. Mungu atakupa mtoto wako inshaala. Zidi kumuomba mungu wema.
@victoriadaizy52772 жыл бұрын
Wema Wangu mm nakuombea upate watoto wako mwenyewe in Jesus name 🙏🏼
@patricianyale26522 жыл бұрын
Mkubali yesu awe kiongozi wa maisha yako akuongoze na hayo mengine utazidishiwa
@habbibtymonah69122 жыл бұрын
Duu yan watu wangekuwa kama wema ❤️❤️❤️
@sulekhaabdul4682 жыл бұрын
Inshalaah allah will give you allah is the greatest you will get tweens love you habbty ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️😭
@nadineshimirimana74832 жыл бұрын
usilie da Wema mungu atakujalia utapata mtoto.❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@rashidngwawile90622 жыл бұрын
Nadine upo vzuri sana
@dottohamisi98442 жыл бұрын
Pole sana wema Inshallah mwenyezimungu atakujalia utapata mtoto kwa uwezo Wa Allah
Amini kama Allah anaweza, yeye ndio muweza wa kila kitu. Muombe Allah atakupa unacho itaji, I believe it. Wema SEPETU Golden heart
@SamirBSam2 жыл бұрын
I like your voice, the way you talk👌
@amanikillo55292 жыл бұрын
Wema nampenda sana.. good girl
@queenbibisha19612 жыл бұрын
Ila madam hapo kwa zuchu na dai unatulisha matango pori eti una wawish all the best, tunajuwa mumekula kiapo cha damu , lingine naomba mwenyezi mungu akujalie uweze kupata mtoto 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@mudrcmashaka19362 жыл бұрын
wema utapata lla muone dokta rajabu watu wanapata kupitia yeye kama upo tayari nikupe namba
@taraagire61762 жыл бұрын
For me , i wish Diamond could come back
@abdalladawali89692 жыл бұрын
Allah akupe mtoto mwenye kheiri na wewe. Pia mimi napitia hayo dadangu. Natamani mtoto.
@abdulkareemseif18922 жыл бұрын
Unampa ushauri mzinifu nyinyi mnaakili lakini Kisha waislam .Basi si umuombeee dua aolowe
@kassimali22732 жыл бұрын
@@abdulkareemseif1892 itabidi wazinifu hawaombewi Dua hebu nipe Ayaa au Hadith yoyote swahihi inayosema mzinifu asiombewe Dua ww unaojita muislam kuna amali gani unayo ifanya kubwa mpaka ukahukum dini haipo ivo kijana m2 yoyote anaombewa Dua ataaa awe nani
@abdulkareemseif18922 жыл бұрын
@@kassimali2273 Allah asema ktk Quran sura annisai saidianeni katika Jambo la wema na ucha mungu na musisaidiane katika Jambo la uovu na uadui ..Sasa wewe muislam unamuombea mtoto mtu ambae anatafuta mtoto kwa njia za haramu je hili hulioni ?au kwako Ni dogo .Kama una Nia ya kumuombea dua muombee aache mambo hayo ya kuziini na umuombeee apate mume aolewe sio kumuombea huo upate mtoto huku nikutokuumia na anayoyafanya .Mana Hawa wasanii wao kuzaa nje ya ndoaa Kama wamefaradhishiwa
@kassimali22732 жыл бұрын
@@abdulkareemseif1892 shukran Akhii
@bukuruasina4272 жыл бұрын
@@abdulkareemseif1892 shukran 🙏🥰
@FridaIsrael-fy2zh Жыл бұрын
Wema nakuombea sanaaa kwa jina la Yesu utapata mtoto endelea kumtolea Mungu sadaka za kuwasaidia watu sadaka zako zitakutetea mbele ya madhabahu ya Mungu
@maryamkhamfar40292 жыл бұрын
MwenyeziMungu atakuja alia utapata wa kwako, in sha Allah,. Kwanza akupe mume mwenye kheri na ww.. 🙏🏽
@didacendayishimiye17772 жыл бұрын
Wema pole mamy mungu yupo utapata mtoto
@hamidsoud24362 жыл бұрын
Usisema umechoka zidi kumuomba Allah inshaalah utapata
@nawechi48182 жыл бұрын
😭😭umeniliza Wema but MUNGU ATAKUPA WATOTO TENA MAPACHA LOVE
@mariamusalumu6792 жыл бұрын
Wewe bint umechoka nini? Kwanza umri wako bado mdogo halafu wewe ingia ktk maombi nakuambia utazaa Tena usipandikize wewe omba Tena kaakimya kwenye maombi
@helenmasele19432 жыл бұрын
She has no impurities ❤️
@zawadizuberi11082 жыл бұрын
Usijali mama ... Mungu hacaguwi ...ila Anatumika kwa mda wake tuu. This is from experience, dont worry,have hope and keep praying. ❤️
@megmeg26282 жыл бұрын
God's time is the best daa wema..💞💞💞
@Sarahsaid26482 жыл бұрын
Nimejukuta nalia maan daah😥😥utapata mtoto da wema wetu😥😥🙏🏼
@jolycaca52802 жыл бұрын
It's too pain bt ucjali ipo cku utapata mtoto INSHAALLAH..
@jamilamanariyojamila14872 жыл бұрын
Jamani mim Wema Allah akimujalia akapata mtoto Nitafurah💃 Emunguuuu 🤲
@zainabsaidy13812 жыл бұрын
Hakuna kubwa kwa mungu ipo SIKU yako tuu Amina katika mungu....
@miemieymuhoro86302 жыл бұрын
God here the cry of this lady 😍💕.... kwanza utapata twins
@priscaherman53022 жыл бұрын
Ameen
@bakarimusa62972 жыл бұрын
Utapata mtoto inshaallah
@ornellakankolongo99092 жыл бұрын
@Saida Said Kwani mtu kupata mtoto adi awe kwenye ndoa 😟 Mbona watu wako kwenye ndoa na awapati watoto bhana weee mtoto ni baraka popote pale anatokeya 😊 acha kuleta abari ya ndoa na wengine wanabarikiwa watoto kisha ndoa inakuja badae 🤨
@hawaalawi27227 күн бұрын
@@ornellakankolongo9909watoto ni baraka but hakuna dini inayotaka watu wazae nje ya ndoa
@vivianamani23102 жыл бұрын
I never thought that your so deep Wema😳😚. May God give you your heart desire. Your are 1 in a million. Have Learned alot from you Wema. God bless you Darling and remain blessed...💝😘😘😘🙏👍👍
@priscargodwel37942 жыл бұрын
Nakupendaa madam wema
@juliethterry82782 жыл бұрын
Mungu asikie kilio chako wema, huzuni yako ni huzuni ya wengi, Mwamini Mungu atatenda kwa wakati🙏🏻
@emmyneggar60362 жыл бұрын
My baby my favourite human being im very proud of you so much❤️...na pia nakuombea sana kila leo Mungu akujalie juu ya haja ya Moyo wako nautapata naamin sana itakuwa hvyo mpenzi iko sku yako baby usikate tamaa kipenz changu iko sku wako kabisaaaa namin sanaaa ila Nakupenda sana Mungu yuko kwa ajil yako na kila mtu trust iko sku utabeba cha kwako Mung mwema sana🙏🏻❤️🥰
@neemamwanzuga92672 жыл бұрын
Maskini Wema wanguu.nakufill Sana surely my dear.nakupenda na ntazidi kumuombea inshallah mamaangu.Allah atakufungulia huo mlango huo
@vailethymbwambo5842 жыл бұрын
Polee kipenz, mungu ajakuacha bdo utapata nawe mtoto unaemuhitaji.
@julieilunga26032 жыл бұрын
Mungu ata ku bariki utampata kwa uwezo wa mungu 🙏
@naimanimo49252 жыл бұрын
Wow wema is a sweet gal I cried I laughed it was a nice interview watching from harigesia Somalia
@auntdorah91412 жыл бұрын
Pole dear, amini Mungu yupo na iko siku utapakata mtoto wako.. Endelea kumtumainia Mungu, amewapa binadamu pia utaalamu kama anavyokwambia Imelda...usikate tamaa.. Nakupenda sana Wema .
@ziadaskitchen50602 жыл бұрын
Utapata mtoto inshaallah bado kijana mungu yupo
@stellahwilfred57622 жыл бұрын
Pole dear MUNGU kakupa mtihani utashinda kwa Imani
@wanzamuinde67362 жыл бұрын
Wema, na mungu akasikie tamanio la moyo wako.wakati umesema umechoka sana ,umeniliza mama
@ann20B2 жыл бұрын
May God bless you with the fruit of your womb
@irenecidosa80162 жыл бұрын
Pole sana Wema. Endelea kumuomba Mungu na usisahau kufunga. Naamini kuwa Mwenye Enzi zote Mungu wa Mbingu na Nchi atakupa hitajio la moyo wako hasa kutokana na imani yako kwake pamoja na moyo wako mzuri. Sema Big Amen.
@tamausikanye96042 жыл бұрын
usiliye wema rita Dominique ameolewa na umbri kubwa 46 na anafanyikiwa piya kupata mtoto na wewe piya una destiny yako
@benasdoris2 жыл бұрын
Me mwanaume mwenye nidhamu ya uoga kwanza simpendii" Note that ✌️❤️
@queenliz86252 жыл бұрын
Mungu akurehemu Wema 🥰 wewe mwema tu kama jinako ...
@dominarwechungura57972 жыл бұрын
Kila mtu Nasibu, Mungu akubariki Nasibu. Nasibu una nyota yakupendwa🙏🙏🙏
@mishymorgani5828 Жыл бұрын
Yaani siku Mungu akimbariki wema nakupa mtoto, huyo mtoto atakuwa wapekee Sana Tena Sana katika Dunia hii Dunia nzima itazizima kwakweli natamani Sana iyo siku ifike💋💋💋💋❤️
@blandinamayemba58832 жыл бұрын
Usichoke kumuomba mungu ipo siku ataskia kilio chako na wala usikatamaa mtoto utapata kwa uwezo wake mungu, pole sana wema
@fatmarashid81632 жыл бұрын
Utapata mtoto the time ambayo umeisha utoa moyo wako huko na kuamua kuishi maisha Yako kawaida Baadhi yetu tumepita huko.insha Allah mungu atakupa
@irenebeddah65242 жыл бұрын
my luv.. amua .. amua .. amua .. narudia mara 3. na amini katika unalo omba. funga amka uck ongea na Mungu. na usilalamike wala usilie. ongea na Mungu kwa kumaanisha wema. na omba ukiamini Mungu atakujibu. utapokea . hii nyota yetu uzazi ni changamoto. bila Mungu hatuwezi mamy..
@MaryMackori2 жыл бұрын
Good advice..
@Mimy_keys2 жыл бұрын
SNURA Upewe ulinzi ❤️🤗😢
@mwanajumaomahundumla65042 жыл бұрын
Umeonaeee yaani yule dada anaoneka mtu poa sana
@adilmariga5552 жыл бұрын
Wema ukiolewa tu Kwa uwezo wa Allah utapata mapacha Amin.
@mishikitendo44412 жыл бұрын
Umeonaee
@maimunamsakamali9152 Жыл бұрын
Omba sana Dua za usiku Allah atakujibu me nimekaa ktk ndoa miaka 20bila mtoto lakini Allha akanijaria nikiwa na miaka 42wakati wa Mungu ni sahihi
@samyranykadogo26842 жыл бұрын
Dada mzuri huyu❤️❤️
@fatufatu57542 жыл бұрын
Ss ni shabiki zako Sanaa natunakuombea Mungu upate kile unachokita katika maisha yako , naamin utapata mtoto Cha msingi usiache kuomba Mungu mm binafsi nakupenda sanaaaa
@halimazein57182 жыл бұрын
She sweet girl my dear inshallah u will have your child soon ... inshallah and you will get married soon..I am telling you wema..
@anifarahman73032 жыл бұрын
Wema for real l pray for you it's from my heart ln shaa Allah mola atakujalia utapata Mume mwema na atakujalia pia utapata na watoto ln shaa Allah wewe ni binti bora sana hayo mengine ni maisha tu it's ol about time but Mimi na amini muda wako utafika na amini huu ndio wakati Allah akufanyie wepesi In Shaa Allah it's me Juma Makanko
@aaaaaah2902 жыл бұрын
BONGE LA INTERVIEW WALLAH NIMEPENDA NAUNGANA NA WOTE WANAO MUOMBEA MTOTO,, iwe Kwa ndoa (NINGEPENDA ZAIDI) but Cwez mpangia MTOAJI… but Naomba siku moja WEMA APAKATE MTOTO WA KIUME. Amina 🙏🏽🙏🏽
@xkingx80412 жыл бұрын
Nakuombea wema wangu wee !! Mungu akupe mtoto WEma. In Jesus name . Don't give up. Don't give up wema. Nakupenda na nakuombea pia
@liliangrant31102 жыл бұрын
What a lovely interview .....wem a u will come with a new song of congratulations
@hellenpaul21492 жыл бұрын
Nakuombea Dada yangu kua na Imani MUNGU atakujalia tena mapacha wakike na wa kiume inshaalah
@aminasjoekitchen79592 жыл бұрын
Pole Wema usijali mungu atakupa kwa wakati wake dear 😭😭😭
@elizabethmwangi50822 жыл бұрын
Napenda Wema Sepetu , nakuombea Mungu akupe baraka ya mtoto, akupanguze machozi.
@Alfreda_Alfred2 жыл бұрын
Usijali mwaya God is within you kama ni Mtoto Atakupa tu just keep on moving praying hardly ❤️
@winfredndavi33582 жыл бұрын
God I pray that you bless this soul with a kid🤲🙏
@suzanmangi33102 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati usikate tamaa
@nawalsfam.93922 жыл бұрын
May God bless you with fruit of ur own child.. I love you wema
@swalehesaad26922 жыл бұрын
Hili ni funzo kwa wadada pale usipohitaji kuzaa we usibebe mimba tu maana utatoatoa halafu pale utakapokuja kuhitaji ndio mungu hakupi.
@theresaelizabethelijah1172 жыл бұрын
Pole sana Wema japo naelewa maumivu yako lakini hutakiwi kumlilia mungu hivyo, yeye ndie mwenye kupanga na kupangua japo maamuzi yake wakati mwengine yanaumiza moyo lakini anatufanyia kwa Wema,upendo and for our own good. Mimi hapa naingia miaka 41 September hii na sijaajaliwa kupata mtoto lakini siangushi kilio kila siku bali natanguliza imani na shukran kwakua ananiepusha na balaa za kupata mtoto. Nawe pia vile vile inauma lakini muamini mungu na jiandae kufanya Adoption muoneshe mungu imani yako nayeye atakufungulia baraka yako, much love and hugs ❤❤❤🇰🇪
@nailspalour67842 жыл бұрын
God's timing is always good wema just wait
@SamirBSam2 жыл бұрын
I like your voice, I like the way you talk. You so gold👌
@cadettedenise14232 жыл бұрын
Nakupenda sana hadi unaliya Na mimi pia na liyaa please know that I love 💕 you so much from Rwanda 🇷🇼 kigali
@kezastecie95322 жыл бұрын
nange nkunda wema sepetu cyane
@mariamolla35142 жыл бұрын
Mungu mwema tenda miujiza kwa wema watu wakujue kuwa mungu wawahitaji
@ruthmdassa6332 жыл бұрын
Mm nakushauri uende kwa Kuhani Musa kimara temboni ukamuone utapata mume sahihi na mtoto kutoka Kwa mungu pia ukiwa na Muda fuatilia ibada zake
@kabintmpase15442 жыл бұрын
Kadada kazur aka sema kananiuz kujipa strees za kulia kisa mtt mtt majaaliwa ya Mungu lia na Mung wako dada
@evalinehans37492 жыл бұрын
Aki umeniliza... Mungu ni mwema utabarikiwa upate
@tinakipenzi55812 жыл бұрын
Nakupenda sana wema God will answer your prayers .to God everything is possible
@nostresslyly54542 жыл бұрын
Wema Yani katumwa star w1nawake w1 Bongo wewe uko pekeyako kwa kila kituu i love you from burundi ❤❤❤
@waheedahtanzania49122 жыл бұрын
Maskini poleni sana ipo siku mungu atakufanyia miujiza yake ila nikushauri wema Anza na dua la Kwanza upate mume mwenye kheri nawewe na hofu ya Mungu thabiti ukishampata funga ndoa kwanza halafu Ndiyo Mungu atasikia kilio chako cha kutaka mtoto na Mungu atakufanyia wepesi upate kwa haraka,maana Mungu anakushangaa kumuomba yeye akujaalie upate mtoto ilhal haupo kwenye ndoa ya halali,fata utaratibu wa mungu basi nayeye atakufanyia wepesi inshaallah maana huwezi kumuomba Mungu akupe mtoto wa zinaa wakati huna ndoa
@renildevenerand94732 жыл бұрын
Ni kweli kabisa wanaomuombea apate mtoto tumuombee apate mume kwanza ili apate mtoto halali.
@webnet9592 жыл бұрын
Iyo nikweli aache kulia lia nawakati hajaingia kwenye ndoa eti Mungu nipe mtoto uyu Mungu kweli ni mutani wetu
@saidabubakar36122 жыл бұрын
Afadhali kwanza Upate mume mchamungu. Halafu na wewe pia jikurubishe na Mungu kwa swala na Dua. Na Allah atakujalia kupata mtoto au watoto In Sha Allah. Huenda Allah hapendi kukupa mtoto nje ya Ndoa. Forget about Doctors it's only Allah hes one going help you In Sha Allah